SAUTI ya OSCAR NYERERE Yamkosha RC MAKONGORO, WAZIRI MKUU Amtunza MINOTI....

  Рет қаралды 36,001

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Angalia OSCAR NYERERE Alivyomvunja MBAVU WAZIRI MKUU Akiigiza SAUTI ya NYERERE, AMTUNZA MINOTI....
WAZIRI mkuu, Kassim Majaliwa, leo Oktoba 04, ameshiriki kongamano la tano la taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi lililofanyika jijini Dodoma.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 20
@susannaikuni8595
@susannaikuni8595 2 жыл бұрын
Hahahaa Tanzania nawapenda from Kenya
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 2 жыл бұрын
Inapendeza sana namna hii hata kizazi kijacho watajua mwenye sauti hiyo alikua nimtu wa aina gani katika nchi
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 2 жыл бұрын
safii sana nakukubali Sana mpaka naumwa
@salvareveli2091
@salvareveli2091 2 жыл бұрын
Nyerere baba twakukumbuka
@upendowakwelinaamani1060
@upendowakwelinaamani1060 2 жыл бұрын
Nchi za wenzetu barakoa wanaacha kutumia ila kwetu sisi ndio zimepamba moto hasa kwa viongozi jamani mungu wetu tuokoe Tz kwetu tunaelekea kubaya
@amranikigolo5974
@amranikigolo5974 2 жыл бұрын
MAASHAALLAH
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 2 жыл бұрын
Umeua mzee ,Kama yeye.
@enockkagomba1261
@enockkagomba1261 2 жыл бұрын
Safi sana
@Nedjadist
@Nedjadist 2 жыл бұрын
Andeiga hotuba hasa neno kwa neno ingependeza sana na ingekumbusha.
@solanyiwamhoja6940
@solanyiwamhoja6940 2 жыл бұрын
Jamaa yuko vizuri
@alistidiusjohn3757
@alistidiusjohn3757 2 жыл бұрын
Umekosea sana kiongozi hiyo platform sio ndogo ulikua ueleze kero japo moja tu ila kwa ufasaha sana kama unachekesha na ujumbe ungefika
@RioIpo
@RioIpo 2 жыл бұрын
Huyu ni Nyerere kabisa yaani
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 жыл бұрын
Mzee Makongoro hupo?
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 2 жыл бұрын
Nyerere alikua amesimamia Jadi na ndo maana kajuta kuingia mwenye mtego wa dini. Leo viongozi wengi ni washabiki wa dini ambazo hazituunganishi bali kututenganisha. Dini 1 haielewani na nyingine na inajiona bola kuliko nyingine. Maadiri yameporomoka...Leo
@mwanalau2457
@mwanalau2457 2 жыл бұрын
Amenikumbusha saut mpk natoa machoz dah
@emmanuelphabian1980
@emmanuelphabian1980 2 жыл бұрын
Mungu mkubwa
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 2 жыл бұрын
Copyright. Kijana unaweza sana
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 2 жыл бұрын
Unaweza kulia kwakweli
@bmajesky63
@bmajesky63 2 жыл бұрын
😂😂😂
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 2 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 200 МЛН
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 20 МЛН
TAZAMA OSCAR NYERERE ALIVYOMUACHA HOI RAIS SAMIA, AITWA KUTUNZWA
6:20
"KAMATA WATENDAJI WOTE"-WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA
5:02
Millard Ayo
Рет қаралды 39 М.
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
TAZAMA 'Oscar Nyerere' ALIVYOMVUNJA MBAVU WAZIRI MKUU
4:28
Mwananchi Digital
Рет қаралды 459 М.