Huu wimbo wanibariki sana hata kama shetani ananitesa hapa duniani nachukiwa na wanadamu mpaka amenitupia ugonjwa wa homa na mwanangu naamini nimepokeya uponyaji na mwanangu ameni shetani ushindwe kwa jina la yesu kristo wa nazareth
@songacohen94413 ай бұрын
Usife moyo
@kaytwok23452 жыл бұрын
Gods time always is the best....6yrs hii goma ikiwa hapa tu navile Iko at another level 💯...kama unakumbaliana nami nipe like
@nathanmusyoka43222 жыл бұрын
Wenye tumejua hii song courtesy of Tiktok tujuane.... This song is amazing
@agy95682 жыл бұрын
Wow am one of them...so nice instruments n vocals ziko on point
@MERCYJAY69132 жыл бұрын
Nko apa mmoja wapo🥰🥰
@kiptoobett12632 жыл бұрын
True,lazima I trend kabisa
@mirriamsyokau94752 жыл бұрын
Niko hapa hadi nikaitafuta
@damamwelu3572 жыл бұрын
🖐️🖐️
@williamnoah25496 ай бұрын
Ndo kufika .this song its a blessing ❤❤❤
@ZakariahMunyali4 ай бұрын
Asante mungu baba wewe ndiwe wakuwabudiwà hakuna mwinĝine wakuabudiwani wewe niokoe mwanao ķwa mikono ya adui mwovu
@josephopanda304711 ай бұрын
Glory to the Lord God......the song is a big blessing to me
@vivianoira82798 ай бұрын
Amen Amen, I have been searching this chore from TikTok to KZbin , wow very nice song Amen Amen
@ZakariahMunyali3 ай бұрын
asante mungu baba hata kama nateswa na shetani nitashinda ameni
@LynetteMwende4 күн бұрын
Courtesy of TikTok.......my song next year. I know mungu atatenda
@nuruchriss70174 жыл бұрын
Pokea sifa BWANA YESU wewe uliye ngome ya wanyonge
@nuruchriss70174 жыл бұрын
Nimeisikiliza 2020 bado ni nyimbo nzuri imetulia big up WRM church kivule ukonga
@magrethndahan60333 жыл бұрын
Mungu Azidi kuwabariki sana kwa nyimbo nzur san
@paulinemoraa20642 жыл бұрын
Amina,
@valarienyasore91255 ай бұрын
A great song. Let God receive all the hournor and glory.
@miminimiminika Жыл бұрын
Am blessed na huu wimbo ningependa kutuma sakaka yangu
@winniegesare29057 ай бұрын
Nimeitoa tiktok na imenibariki sana may God bless you guys Kwa KAZI zuri
@sakimecorporation92718 ай бұрын
Wonderful performance and glory to the most high
@paulinemwende9973 Жыл бұрын
Wale Wa kutoka Tiktok tent yetu iko hapa😂😂😂nyimbo Tamu samu❤
@angelinemutua3634 Жыл бұрын
finally the song is here...Mungu awabariki
@rosekamenepeter4897 ай бұрын
Straight away from TikTok. Be blessed 🙏🏼
@aggreyomusikoyo2 жыл бұрын
Sauti za sifaaaaaa mmecheza kama nyinyi
@songacohen94413 ай бұрын
Ebu niulize wanaimba ati pokea sifa bwana yesu ,eshima na utukufu...next sipaskii vizuli naomba mnisaiidie
@merrym97 ай бұрын
Feeling blessed from kenya🇰🇪🇰🇪with this amazing song🙏
@kend71707 ай бұрын
Wonderful voices. Praise God
@AsheriMande7 ай бұрын
Wimbo mkubwa sana,hongereni waimbaji👏👏👏
@frediussfortunatuss9888Ай бұрын
Huu wimbo leo 29 November 2024 nimekumbuka nimeutafuta, nimemkumbuka Prophet Suguye
@YusuphMwamba-h5m14 күн бұрын
Nabalikiwa sawa na huu wimbo Mimi
@faithmwende26622 жыл бұрын
Heshima na utukufu wastahili Bwana
@justuskingoo137 ай бұрын
Here courtesy of TikTok,Asante baba
@dotaofmosthigh24892 жыл бұрын
Cant have enough worshiping Jesus thru this song.be blessed
@estherponda7902 жыл бұрын
Aaaaamen heshima na utukufu niza Mungu
@japhetmanumbu45955 жыл бұрын
Pokea sifa bwana heshima na utukufu ni wako....Amen
@peterwambua14968 ай бұрын
Wahoo nice, Glory To Almighty God 🙏 🙏 🙏
@josephmusyoka6328 Жыл бұрын
Wooow nice song groly be to God❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Tanzania mnaimba aisee mungu awabariki sana.
@aliceonchora40022 жыл бұрын
Amina Heshima na utukufu zikurudishie baba
@omaryjuma3714 Жыл бұрын
Siku zote
@mueni2482 жыл бұрын
This song is really a blessing my life... I can't get enough of it
@moseswathome72277 ай бұрын
I love the song,thank you God for what you have for me
@annemercy6076 Жыл бұрын
Nimetafuta hii song sana,glory to God nimeipata❤
@felixdaktari8 ай бұрын
Nobody is talking about the guitarists in this song 🔥 Good job
@aggreyomusikoyo2 жыл бұрын
I can't say anything this choir pooooooooo I have been lessening this song reaptely
@ronaldkemboi86542 жыл бұрын
So TikTok can get one closer to Christ... great song