Ukijikita kwenye msimamo wa kupinga tu badala ya kupima hoja,utabaki gizani,aksante sana sheikh yusuf diwani na sheikh aliyetangulia mmeeleweka uzuri,Allah swt awahifadhi insha Allah,mawahabi hawana Ilimu na hata nidhamu hawana,
@Abusalim308 Жыл бұрын
Dozi gani muliotoa maskini ya mungu mumedhalilika mchana kweupee kilichobaki ni porojo na kelele tu
@ayoubhamis7987 Жыл бұрын
Huwezi kujua ndugu yangu,jitahidi Kwanza kuhudhuria katika darss za kielimu mashekh wakifanya mjadala utaelewa tu
@Abusalim308 Жыл бұрын
Darsa zip wakati haki imeonekana km wana hoja wangejibu pale mbele ya hadhira ya watu ili watu wajue ukweli mbona wameshindwa wanabaki kupiga kelele tu mitandaoni
@ayoubhamis7987 Жыл бұрын
Hao ndio masalafi bwana wapo vizuri Sana katika dini mashallah sio watu wa Kubabaisha kwani mnawasikia mashia siku hizi!!
@JamalAbdallah-m1o Жыл бұрын
Mawahabi hawajui ht majaz, wanakariri km kasuku tu, unajua wahabi ht ukimwambia kw kiswahili tu "serikali Ina mkono mrefu" ataenda Kigoma kutafuta mkono wa serikali wenye vidole na kucha
@rukiakhamis-le6kg Жыл бұрын
@@JamalAbdallah-m1oMajazi, Majazi Majazi
@eddieeddie275513 күн бұрын
@@JamalAbdallah-m1o Majahazi ya Sabasi 😂😂😂, .
@Daawa-l8s Жыл бұрын
Poleni watu washapambanua ukweli na nikash imeisha nyinyi ndio mnajifariji.
@pakashume725 Жыл бұрын
Inshallah Allah anakuoneni na inshallah atakuhukumuni Kwa Nia zenu
@FarahJey Жыл бұрын
Warburton wasema hivi(بَعْدِ الْعَرْكَهْ يِنْتِفِخِ الْمِفَش) Baada yapambano kuisha,na kuondoka masujaa uwanjani, Wanakuja watu kutaka kupambana,ilihali mashujaa washaondoka. Hamuoni kuwa hayo munao sema kuwa mwajitusi,simulikuwa note kwenye uwanja wa majadiliano,tena mukaambiwa note ambae ataeza kuja kutetea,ili kumsaidia majahazi maana jahazi lilikua lazama,na nyinyi mukatelea mutazama afazali kafara athlete mmoja,masikini sabasi mulimfanya kafara. Mwambieni sabasi ashaona haki awatane na uzushi wa maulidi, mutaenda ulizwa uzushi mulipo utoa tengenezeni majibu.
@ahmadmadaai1357 Жыл бұрын
Unamtetea ujahil bachu hna elimu na baba yke yalimkuta kW ujing wke n yy yatamkut
@abdulmalikmohamed732 Жыл бұрын
@@ahmadmadaai1357Hebu jibu ile hoja ya 19 kuhusu kina Asia na Mariam tuone unayoyasema 😄
@FarahJey Жыл бұрын
@@ahmadmadaai1357 Tena wamtuka na babake ambae amekufa,Allah akulipe unavyo sitahiki
Mashekhe wenye hekma kamwe hawaropoki wanaaongea kwa Adabu sku zote Mwenyezimungu awalipe mashekhe wetu wa kisuufi kwa kwa hekma zenu na kutokuropokaroka hovyo.
@omarally6819 Жыл бұрын
Mnajifanya mmepania vita, wakati MAKOMANDO wa Bwana Mtume Muhammad Swallallaahu Alayhi Wasallama wamesha shinda vita, na wameshaondoka! Khaaa!!!! Mnaakili kweli!!!
@ismailyjuma-q5e Жыл бұрын
waislaamu tunalosea sana sana kumtusi mwenzeko ni dhambi jamani tuache kututanana mindaoni bali watu tuelimishane kwa amani hii ndo khulqa yetu waislaam
@AllyAbubakary-q5l Жыл бұрын
Bora yangu nimesema uongo kwa mtume kuliko yule aliyemzulia mungu mwenyew ni shirki kubwa
@nassiryahya Жыл бұрын
Ivi ww una akili kweli
@WahidYahya-bf4lq Жыл бұрын
Ashekhe hatuzingunzii vipi mtu anaweza kua Muslim. Tunaongelea vipi mtu anaweza kua mshirikina
@Abdulrahman.84 Жыл бұрын
Shukran wajazaka allahu kheir Habib
@issaabdallah1205 Жыл бұрын
Enyi masufi kama muwakweli Ktk kuadhimisha kuzuliwa kwake basi FUNGENI JUMATATU NDO ALIVOFANYA MTUME NA SIO MAHAFALI
@ibbu-tz Жыл бұрын
Yaani Ukiwa na akili ya kubisha hutaelewa, mimi nadhani tukubali kuwafahamu wanavyofafanua haya masuala kielimu sio kibishani then mtu anaamua. Sio kupinga kila kitu.
@haridyhillaryndembo1946 Жыл бұрын
Naam Kuna wa2 wameshibishwa misimamo na siyo ilmu hata kama haqi inasemwa
@shabaniissa9792 Жыл бұрын
Watu wamaulid muniambie mashahaba wa mutume Muhammad walishelehekea kuzariwa kwake?
@KubwaKuliko-dk4bm Жыл бұрын
Nyinyi mumeona muite watu ili muwapoteze baada kuona watu wamefahamishwa haki, munajipoza baada kuona kuzalilika kwenu..
@KubwaKuliko-dk4bm Жыл бұрын
Ulikuwa wapi jumapili
@mgungachannel9280 Жыл бұрын
Haujajibu swali Sheikh Diwani. Unazunguka sana
@MusaYusuphu-y2l Жыл бұрын
Nini maana ya neno Allah, nini maana Rabbu na nini maana ya muombe mwenye zi mungukwa majina yake
@ibrahimabdulrahman9374 Жыл бұрын
Alikua wapi siku bachu yupo mpka leo ndio kajitokeza.. Kweli bachu anawaumiza kichwa wazee wa majaaz.. Sabas wacha kujitoa ufahamu sote tumesikia ulivyoshonwa na bachu😂😂
@hajimuhidini1903 Жыл бұрын
من يرد الله به خيرا يفقهه في الدين maneno haya aliyatamka mtume صلى الله عليه وسلم Nadhani mtayakubali japo huwa hadithi ikipinga hawaazenu huwa hamuikubali lakini hii naona mtaikubali ipo hata katka babu majaa kupitia ufahamu wa hadithi hi wanachuoni waka weka vigawanyo mfano haiati na ab adhu waliosoma fiqhi wanajua je kidawa wapi mtume صلى الله عليه وسلم ameeleza haiati na abahi kuna kifaya na Aini wapi mtume صلى الله عليه وسلم ameeleza kifaya na ayini al imam Shafiiyu رحمة الله عليه amesema العلم الفقه علم الشرعية بأدلته من الكتاب والسنة kuna kaulu nyengine inasema العلم الفقه مستنبط من الكتاب والسنة Allah akisema الحمد لله رب العالمين Neno رب ndio mstanbituna wakatoa rububia الرحمن الرحيم ndio wakatioa Asmau wa swifati ,,,,,,,, neno اياك نعبد واباك نستعين Ndio uluhiya au wanachuoni wengine wanasema tuhidul ibada Nashayangu dini husomwa kisha ikafundishwa kwa uaminifu sio kujenga makundi kama yanga na simba
@mwanakomboabdala-bt4po Жыл бұрын
Hamna hoja za kumshinda Muhammad Bachu
@abdulrahmanlutenga51196 күн бұрын
Wewe Huna akili hata kidogo badala ya kusikiliza hoja na kuzipima kwa kichwa chako wewe unabakia kusema eti hawawezi kumshida bachu. Sasa nikuulize huyo bachu wako Ana elimu kuliko mtume Muhammad s.a.w ?
@TwahirBurhan19 күн бұрын
Masufi hamna jipya
@mustafahamdu1900 Жыл бұрын
Wafahamishe awo mawahabi majinga wasiojielwa
@saidimmbago5769 Жыл бұрын
Saw lakin amejibu hoja ngap ndugu yangu
@ramadhanhajji Жыл бұрын
Cc cyo wajinga Tena tumeelimika tayari Bali nyinyi mlikuwa kwenye viti mnaona mnasikia sabas anavyo fanywa ubao mlitakiwa mumsaidie Leo haisaidii chochote jambo limepita 3 bilaaa
@ramadhanhajji Жыл бұрын
Ww sheikh nimjinga sana sasa shahada ninini shartizake nikukubali uluhiya na rububiyya ucp kubali Ivo simuialam
@tanzaniaonmzamiloon8627 Жыл бұрын
@@saidimmbago5769 kajibu kielimu sio mpk Anza na mojamoja kajibu injenero kuwa kumuhukumu mtu ni muongo mpk umuulize mwenyewe alikusudia Nini alikusudia majazi au dhahiri
@saidnaggy5209 Жыл бұрын
Mimi naona jahazi lilianguka juzi sasa leo mwajaribu kujienua lkn walio na akili wanawaelewa .kama niqasha iliisha muitishe tena nyengine ili tuzidi kupata elimu.kwa sababu kina sheikh barzanji ni binadamu huwenda mtu pia ajateleza suluhisho nikumuombea msamaha kwa ALLAH
@abamohamed7092 Жыл бұрын
Itikadi ya kiwahabi ni kupinga kila hoja,kibaya hata baadhi ya wanazuoni wao wakilikubali jambo bado wao hawakubali,
@aymanmangube4092 Жыл бұрын
huku mpo huru fanyeni muwezavyo lakini ole wenu tena mkubali mjadala na safari hii tunataka mumchokonoe Abul Fadhil tuone kama baada ya mjadala kuisha kama hamjalazwa ICU
@mudybeka6698 Жыл бұрын
😂😂wacjaribu kabisa kumuomba huyo mwamba watakaashwa maji na dam
@mustafahamdu1900 Жыл бұрын
Mawahabi ni makojozi tuu akina mtoto wa Bachu
@khamishassan68 Жыл бұрын
Makasiriko bb ayo
@hashimhabib3024 Жыл бұрын
Tena ni wapuuzi wakubwa
@jumbemachano9207 Жыл бұрын
Hamtokaa sawa kwa muda wa miaka 3
@AthumanJuma-hg2cl Жыл бұрын
Wewe wareware
@FarahJey Жыл бұрын
Washaingiwa na upupu hao Wawate wajipare
@Team-t6k Жыл бұрын
Vyema ungejibu zile nukta 19 than ukaleta porojo zingine ao uwombe munaqasha kuhusu hayo
@mbaroukbakar572 Жыл бұрын
hii yote ni dalili ya kuwa mumeshidwa muambieni shk majaz alkubra "ache kujigamba wakati hajuwi"
@amourmakame9795 Жыл бұрын
MUHAMMAD NASSOR BACHU, ALIMWAMBIA KAMA KUNA MTU AKAE AJIBU POINT LKN HAKUNA ATA MMOJA LEO MNATOA MAJAZI ZENU
@issaabdallah1205 Жыл бұрын
Huyu diwani leo keshakuwa mwanaume mbona juzi alionekana kama kibinti
@foodcook3626 Жыл бұрын
Hi!😅hamna cha kusema! Bachu akirejea mtapotea tena iwe diwani ama mazinge ama alkubra muache kujigamba hali munajua hili jambo linachukiza na linaangamiza amali
@Abusalim308 Жыл бұрын
Hivi hamuoni aibu kwenye hadhira ya watu na mumeshindwa kujibu hoja kilichobaki sasa ni porojo na kujifariji mumedhalilishwa sana😂😂
@aymanmangube4092 Жыл бұрын
hawa jamaa kweli hata mishipa ya aibu ilishatokaga
@hajikomora703 Жыл бұрын
Shkrn
@hamisinjuga8573 Жыл бұрын
Hanna lolote nahau nyingi tu tauheed hamuijui
@abushawalihamisi2649 Жыл бұрын
Mashaallah
@WahidYahya-bf4lq Жыл бұрын
Huyu shekhe anaonekana hana elimi .yaani hajapita kabbisa kusoma
@saleherashid2262 Жыл бұрын
Munaaqasha ulikuwa na taratibu zake na so mtu kama anatokatoka tu kusaidia kwan yeye nd kaomba Niqaash au je Shekh Sabas alishindwa kitu gn mpka Bachu aseme msaidieni bali alitaka kuondolewa mzigo ulokuwa unamuelemea maana walishakubaliana kuw pembeni asiwepo yeyote wa kusaidia maana ni Niqaash ya kielim
@barzaqtradingcompany8541 Жыл бұрын
Sh Majazi kubra hoja ya covid 19 nimajazi au?
@jordan.3109 Жыл бұрын
NYIE MASHIA HAMNA MPYA BANA NENDENI HUKO.
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
😂Hii inaitwa Paka Akiondoka panya hutawala😂😂 sasa mlikua wapi juzi mtu anasema njooni mumsaidie hamtaki saizi mnabadili hoja na niqashi hamjaipost🤣
@rogertuga007 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Wajitokeze waumbuke
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
😂😂Walitupa vidio mpaka za Airpot wakitoka congo saiz niqashi hawajaipost 😂😂😂
@blacknature3691 Жыл бұрын
Mjuzi ni mungu hata mtume hakujisifu kama anavyo jisifu bachu
@rukiakhamis-le6kg Жыл бұрын
@@blacknature3691Kwani Mungu alifanya niqash???
@MohamefMullah Жыл бұрын
Mimi nashangaa kwa nini Hawa Mawahabi hata wakiona haki hawataki kuifuata au ndio uyahudi sahihi Hawa wanakufuru sana wanasema Allah anachoka wanasema Allah Ana mikono kichwa miguu subhannallah Mtume s, a, w mpaka anaondoka duniani hakuwahi kufundisha au kusema kufru hii enyi mawahabi mcheni Allah kama nyinyi hamumuoni yeye anawaona iko siku mutaondoka mutakwenda kuulizwa mujiandae na majibu
@KubwaKuliko-dk4bm Жыл бұрын
Hayo ni makelele kama yale walioambiana Walee waliosema muhammad rehma na amani ziwe juu yake,,akisoma qur'an pigeni makelele ili asifahamike..na nyinyi mumeona mupige makelele ili muivuruge hakki iliosikika muwavuruge waliofaham..basi pigeni makele naALLAH NDIO MWENYE KUITHIBITISHA HAKKI..
@HemedSerious25 күн бұрын
Haki ndio hiyo ya uzush mnaouleta wa tauhid 3?
@HemedSerious25 күн бұрын
Taksim Tauhid HAIPO KWENYE MAFUNDISHO YA MTUME MUHAMMAD (saw). Ni UZUSHI.
@foodcook3626 Жыл бұрын
Jambo la maulid mmeshindwa kujibu hoja hata moja sasa kwa hili nyinyi na bachu mbora wa ilmu ni nani? Mimi nilikuwa msikilizaji lakini imeisha niko nyuma ya bachu Muhammad na hili mnalifanya kwa kujifariji na mnamtaka tena akija hamna cha kusema! Kwa sasa mnasema je juu ya maulid msitetee ufusiki jameni!!!
@sadih5333 Жыл бұрын
Hahaha jana sheikh Maajaz alikutana na Bachu na aliambiwa hato sahau hadi mwisho wa kuishi kwake.
@MohammedBakari-pn9yg2 күн бұрын
Kijiganga diwan bana kimeulizwa mtume amefundishaje hayo maulidi maneno mengi jibu hakuna
@abuuyasir4684 Жыл бұрын
Nyie endeleeni tu na uganga wenu na kuuza dawa mkisingizia eti ni za kisunnah 😂😂😂😂😂
@nabiljumaothman5912 Жыл бұрын
Nidhamu ya woga mlikuwa wapi juz😂😂😂😂😂😂 usituletee upuuzi
@CharafimalisalimoAli-qw3hk Жыл бұрын
Shahada 3 inafanana KIDOGO na ya makafiri , babá mwana robô ntakatif.
@Team-t6k Жыл бұрын
Nyoshe tu ni ukafiri ao ni ushirikina kisha miskitini yao yote miseawali na mkienda macca msali mwenyewe mbona hakuna kulazimisha katika uwislam huyu na haqqi itabaki kuwa haqqi tu mskiti wa watu wa bid'a ao masufi siwezi kusali endapo takosa mkitini wa sunna it is clear
@WaBata-u1k Жыл бұрын
Lilikuwepi wapi hili jamaa
@abuushakiraddausiy8666 Жыл бұрын
Nlikua nakusikiza kwa makiini sanaa kumbe jaahili tuu??? Kwa uluuhiyya nnini????😢😢😢
@eddieeddie275513 күн бұрын
Alhamdulillah kwa kuacha hii mishehe ya maulidi , Ovyo kabisa
@usseneandurabe9733 Жыл бұрын
Jama Wa michango wamechanganyikiwa wana jitaidi kunusuru michango kwasababu mtoto wa bacho kawavuruga kwelikweli Yani majazi wal kubra akirudiya tena ni kidume.
Swali ni, je Mtume S.A.W alitufunza vipi kusherehekea' yaani alifanya vp yye
@JumaKhamis-cw8ec Жыл бұрын
Waliufyata wote walijificha walilishindwa kujibu sasa leo ndio wamejitokeza kumsema ambae hayupo
@naimasheikh3055 Жыл бұрын
Kama yeye alivo msema imam jaafar na hayupo hata duniani Ambapo yeye yupo zanzibar tu aweza jitetea.
@SadaKassmАй бұрын
Hawa watu wengine ni mbumbumbu kweli na wanafurahisha mno Kwa sbb hapa panazungumwa TAWHIID, yeye kashika MAULIDI , inakuwaje? Yakizungumzwa Maulidi tuchangie Maulidi na ikiwa TAWHIID TUZUNGUMZE TAWHIID, tuwacheni kuuvaa UWAHABI mpaka ukachangaya akili zenu , hebu tutoweni michango ya Kitawhiid Kwa hapa tusirukeruke .
@yasiniali72756 сағат бұрын
sasa dozi gani hiyo na nyinyi wenyewe niwagonjwa
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
TUNATAKA MPOST NIQASH YOTE MWANZO MWISHO TUONE KIMPANGILIO WA HOJA ZA IBNU BACHU NA MAJIBU YA KIELIMU YA SHEIKH SABAS
@AllyAhmad-zg2yp Жыл бұрын
Ndevu za bure mbona hamkutaka uendelee mngedhalilika zaidi majahili nyie lkini siku yakoama mtabeba msdhambi yenu na madhambi ya wale mnaowapoteza bila wao kupunguziwa chochote
@FarahJey Жыл бұрын
Juzi muliambia (دا فرس ودا ميدان) Yaani farsi na nyangwa hizi, lakini mulinyea hakuna alien jitokeza
@mohagurey2214 Жыл бұрын
Kijana kauliza "tunafaa kusherehekea vipi birthday ya mtume" kisha mtume anajibu yafaa kusherehekea ama haifai. Who asked that question. Are this people normal 😮😮😮
@suleimanahmadaali5989 Жыл бұрын
Wazee wa majaaz😁
@KubwaKuliko-dk4bm Жыл бұрын
Huyo kijana kauliza mnashindwa kujibu.. mtume wetu rehma na amani ziwe ju yake, kafundisha vipi tuyafanye mauld majibu majazi
@issaabdallah1205 Жыл бұрын
Huyu hajui kitu na hajui kuwa hajui
@naimasheikh3055 Жыл бұрын
Je na wewe wajua???
@ibrahimsuleyman9465 Жыл бұрын
Bachu kaondoka mnaanza kupiga kelele, Jana alisema sheikh yyte akae hapo lakini wote mlikaa kimya! Porojo na unafiki, pumbavu
@azeemsham1768 Жыл бұрын
angalau mutoe clip za kufunja hoja lkn nyote ndio wale wale kina majaazi😅😅😅
@omarmwabege Жыл бұрын
Kabisa
@omarmwabege Жыл бұрын
Mana walituambia muda Ni mchache Kwa
@hamisinjuga8573 Жыл бұрын
Watu wa majaazi
@saidabdallah5448 Жыл бұрын
Kamaoko sawa omba niqash
@JumaKhamis-cw8ec Жыл бұрын
Omba niqashi. Kidawa kama upo sawa wewe
@saidsheha1336 Жыл бұрын
Kidawa(kimedicine)😅😅😅
@aymanmangube4092 Жыл бұрын
jamaa ni kama wamechanganyikiwa flani hivi na wao wameamua kuweka picha ya wanaowaita mawahabi ili wafanye mjadala na wanajinasibu wamewashinda kumbe wapo pekeyao
@FarahJey Жыл бұрын
Adrawned man catch a straw Alie kufa maji hawatu kutapatapa (العريق يتعلق بقشة)
@CharafimalisalimoAli-qw3hk Жыл бұрын
NA VYUOVIKUU VYA KIISLAM PIA AULIZE AMEFUNDISHAJE UPEWE NINI UKIMALIZA CHUOKIKUU KUSOMA. NA SWAHABAGANI KASOMA CHUOKIKUU CHOCHOTE.
@MohamefMullah Жыл бұрын
Ukitaka uwe mpotofu uwe mtu wa fitna mtu wa kudharau Watu kusema Watu kudharau mashekhe kuzua yasiokuwepo basi ingia katika dhehebu jipya la kutengeneza la wahab ni shida wao wanamtia mtu peponi na kumuingia motoni hawajui kuwa hiyo ni kazi ya Allah, Hawa hawaelezi jee hizi tauhid 3 zimetoka kwa M. Mungu na Mtume wake au ni mipango yao tu ya kiyahud hii ya tauhid 3 ndio bidaa iliyo wazi kabisa
@saidkondo5112 Жыл бұрын
Waislam Tusomeni dini tuacheni kusoma kasumba,hawa kina kidawa watawasumbua sana ,yaaani anachoongea kiroja mtupu
@aymanmangube4092 Жыл бұрын
wazo zuri sana hawa jamaa wanapoteza sana umma
@alawisaid280 Жыл бұрын
Hamna kitu hapo mnajisafisha baada ya simba kuondoka jana ulikuwa wapi namliambiwa yeyote aje amsaidie sabbas wakati ananyea debe
@AhmedMalick-jf6sk Жыл бұрын
Muda wakujifariji si mngetetea hoja siku ile alipokuwepo mo bachu
@abdulmalikmohamed732 Жыл бұрын
@@omarhamisi3389 Hebu tueleze hyo haki iliyopo kwa vtabu vya Twariqa ili tuvsome, walau kwa uchache!!
@abdulmalikmohamed732 Жыл бұрын
@@omarhamisi3389kuhusu wakikristo, huo mzan wa sawa, twariqa inafahamika ndani yake kuna uzushi na watu wanang'ang'ana wakidhan ni haqq, hii ndo mbaya zaid kuliko ukikristo ambao tayar unafahamika moja kwa moja kuwa ni baatwil
@AthumanJuma-hg2cl Жыл бұрын
Irikuaje Jana amujibu
@abuushaymaa117 Жыл бұрын
Hilo swali haujalijibu shekhe bwana kuwa mkweli
@omarally6819 Жыл бұрын
Musitumalizie bando. Hamna kitu masufi zaidi ya uongo na upotofu.
@FarahJey Жыл бұрын
Muliambiwe kabla tarehe ya munakasha haijaanza,mujadili kuhusu tawhidi mukakataa wateni udanganyifu,simba ameondoka kiwanjani sahii semeni, nyinyi waporokaji,shida nahao wanawasikiliza,vipi wadanganyika
@omarmwabege Жыл бұрын
Hii maneno tulimaliza tangu juzi
@abamohamed7092 Жыл бұрын
Tatizo lipo wapi hapa?,ikiwa twataka ukweli tumsikilize sheikh huyu haya anayoyasema kisha tuyapime,sio kuleta ushabiki usiokuwa na maana yoyote,
@YAHAYAMOHAMEDI-sq3dr Жыл бұрын
Bacho Ali igawa tawhidi mwazo wa mada ya shirk ametoa wapi
@omarmwabege Жыл бұрын
Mbona bado mwajitetea na Niqash imeisha.
@nzwibasaidi7953 Жыл бұрын
Nyie ni wazushi na hamuwezi kuacha uzushi wenu adi kitakapo kujieni kifo
@jumbemachano9207 Жыл бұрын
Ulikuwa wapi sheikh katika niqash? mbona uko sawa.
@saidsheha1336 Жыл бұрын
Asogee anaweza😅😅😅
@YahyaYahya-vp2pp Жыл бұрын
Haahaa 😂😂 itachukua miaka 2 ili kujisafisha. Ole wenu mumroge Muhammad bachu.
@@omarmwabege .... muislam hawezi kusema km Allah anaondoka sehem moja kwenda nyingine au ana miguu 2 mikono 2 na kila mmoja una vidole 5 huwo sio uislamu ni ukristo
@isihakamgeta5433 Жыл бұрын
NIMEONA JINA LAKE TU NIKAPUUZIA , HAWEZI ONGEA NA WANAUME
@rogertuga007 Жыл бұрын
😅😂😂😂😂😂
@saidabdallah5448 Жыл бұрын
COVID 19 zinatakiwa majibu Nyinyi kinamajazi
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
😂😂Kumbe wamepigwa ki COVID 19 nineteen😂😂😂
@AliShee-mb2gh Жыл бұрын
swali langu ni hili: tawhid inayo asili kwenye dini na maulid nayo?
@jumaciza46111 күн бұрын
Uwahabi ni ukafiri. Kulingana na historia yao walivyo kuja. Hiyi kitu ilipangwa kitambo ndio maana kuibomawa itakupeni kazi. Yani mtu yuko tayari kubisha hata umuonyeshe ayah na hadithi.hamjiulize kitu hapo yani hawa mashekh wameongea ukweli hata bila ilmu unaewa ila Mawahabi kwakuwa ni wakina ndaca ubishi tu mbele
@hajjisanga789 Жыл бұрын
Sasa ikiwa bachu hajui lugha hao mashabiki wake sindio kabisa watu Wana zungumza kielimu wao ni ubishi kaida za lugha hawawezi kuzitambua basi ni sifuri
@rashidhemed1444 Жыл бұрын
Bachu hazingumzi kielimu Bali porojo akipelekwa darasani anaona kama vile watu wanatoka ktk nada kumbe maskini hajui lugha na balagha na mengi ktk dini
@ediamir-m8l Жыл бұрын
usipotoshe wenzio wee diwani majazi
@mbjunior166 Жыл бұрын
Anaitwa Kidawa? Kashindwa Diwani na Sheikh Majazi atafaa mtu anaitwa Kidawa?😂😂😂
@DiudaKozi-qu8sl Жыл бұрын
Hahahaha masufi wanafukia makabuli Yao yaliyochimbwa sheikh Mohammed bachu
@mnolamanyendi4956 Жыл бұрын
Muende kwa bachu mkasome
@mudybeka6698 Жыл бұрын
Kidawa vp tukuandalie mjadala ww na mo bachu...
@mbjunior166 Жыл бұрын
Ahaha ana jeuri hiyo😂😂😂
@mudybeka6698 Жыл бұрын
Sabas Al majaz anajuta kwann alitaka niqash 🤣🤣🤣
@YahyaYahya-vp2pp Жыл бұрын
Saiv hata museme nn hamuez eleweka tene bora mtulie tu
@abdillahally872 Жыл бұрын
Wew unaushabiki usiokuwa na maana mtoto wa bachu nikelele tu nyiiingi
@azeemsham1768 Жыл бұрын
hizo kelele mumeshindwa kuzijibu😅😅😅
@omaryissa2562 Жыл бұрын
Wewe pia ulikuwepo mbona hukumsaidia huyo shekhe wako Sema kweli kama haqq imejulikana Hata iweje maulidi ni bidaa