SEHEMU YA 1: SHEIKH MUHAMMAD IDDI AMJIBU KASSIM MAFUTA, MAWAHABI HAWANA DHEHEBU

  Рет қаралды 17,672

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

7 ай бұрын

Follow Us On:
INSTAGRAM: / miladu_tv
FACEBOOK: / babdeo miladu/
TIKTOK: www.tiktok.com/@miladu_tv?lan...
KZbin: / @babdeomiladu

Пікірлер: 432
@YusufMatianyi1388
@YusufMatianyi1388 5 ай бұрын
Shiekh letu Nakupenda Kupitiliza ,much love from Kenya ,Warekebishe mawahabi waache kupotosha umma .Allah Akuhifadhii na vitimbi vyiao in shaa Allah
@rjqaasam4587
@rjqaasam4587 7 ай бұрын
شكرا لك وجزاك الله خيرا شيخنا الكريم
@abuujibriltv5233
@abuujibriltv5233 7 ай бұрын
Shekh Muhammad idi usikae kimya muda mrefu . Tuna kupenda sana mwenyezi mungu akulipe, au refushe uhai wako katika kheri, akulipe na atulipe pepo ya juu aaamiin
@ayububakari9942
@ayububakari9942 7 ай бұрын
hawezi atakimbia mda si mrefu...
@abiabi9353
@abiabi9353 7 ай бұрын
​@@ayububakari9942akimbizwe na nani? Yani mawahabi mnajidanganya sana
@SugowFarah-up3db
@SugowFarah-up3db 7 ай бұрын
Huyu ni asome kwanza ndipo aingie kwa ruduud
@abiabi9353
@abiabi9353 7 ай бұрын
@@SugowFarah-up3db mawahabi ndo mkasome hamna mnachojua
@ayububakari9942
@ayububakari9942 7 ай бұрын
@@abiabi9353 we labda ndio umenunuliwa smart phone juzi tafuta mijadala kuhusu mwezi muandamo akijadiliana na Sheikh abulfadhli qaasim mafuta Allah amuhifadhi uone alivyokimbia AKIDAI AMEKATAZWA NA WAZEE WAKE !!
@user-zk3dt3us7j
@user-zk3dt3us7j 6 ай бұрын
Alhmdulilah allaah akuifadhi zaidi shekhe abu idi kazi unayo fanya nikubwa twapaswa kukupongeza na kukuombeya saidi kwa allaah akuifadhi. unafanya hivyo kunusuru watu wasipotezwe nikazi kubwa sana allaah atakulipa. mimi ni mjukuku wa shekhe muhammad ayubu nimefundishwa kutoka kwa mwanafunzi aliye soma kwa shekhe muhammad ayubu.lazima nikupongeze na kukuombeya kwa allaah akuifadhi saidi.kazi unayo fanya nikubwa.allaah akuifadhi.na kila shari zote.
@user-bo1ew3xq6w
@user-bo1ew3xq6w 7 ай бұрын
Asante sana sheikh wetu kazi yako ni nzuri sana yakupambana na mawahabi.kwa kweli wamemwaga damu za waislamu kuwagawanya waislamu na kuwaingiza katika shirki ya kuabudu miungu mitatu wakishikiana na mayahudi na waengeza.
@ibrahimjumbe8121
@ibrahimjumbe8121 7 ай бұрын
Kutoka ndani ya moyo wangu Nampenda sana sheikh Muhammad abuu Idd
@ayububakari9942
@ayububakari9942 7 ай бұрын
kutoka moyoni simpendi kwa ajili "Allah"
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 7 ай бұрын
احبك الله الذي احببته فيه
@abiabi9353
@abiabi9353 7 ай бұрын
​@@ayububakari9942Sasa usipompenda wewe panya mmoja wakiwahabi ndiyo nini?
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 7 ай бұрын
​@@ayububakari9942 KICHAAA WEWE
@dezainermedia1035
@dezainermedia1035 7 ай бұрын
Jazakallah
@hassanmadodi5396
@hassanmadodi5396 7 ай бұрын
Jamaa ananifurahisha sana, eti mawahabi walivyojipanga ipo siku watakuwa na muft wao na sikukuu yao. Maa shaAllah Hii inaonyesha ni namna gani haqi inavyo eleweka na inavyo kuwa juu na hii yote ni tawfiq ya Allah baada ya waislam kushajihishwa kusoma dini yao.
@rjqaasam4587
@rjqaasam4587 7 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akupe Umri Mrefu Sheykh Muhammad Iddi
@mahmoudally3906
@mahmoudally3906 6 ай бұрын
Aaamiin
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 7 ай бұрын
Jazaaka llahu shekh
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 7 ай бұрын
ASANTE SHEIKH WATU WAMESOMA KWA MASHEIKH ZETU WAO WAMEKUA NA ILMU
@mwalimuyussuph6469
@mwalimuyussuph6469 7 ай бұрын
HAMNA CHA KUJIBU KWENYE MITANDAO NA NYIE SIO WATU WA KUITUMIKIA DINI.
@user-kv8ot1we6m
@user-kv8ot1we6m 3 ай бұрын
Mungu akulinde nakula baya
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 7 ай бұрын
ALLAH AKUBAARIQ SANA ... MWLM UMEKAA KIMYA SANA KIASI KWAMBA MAWAHABI WAJIGAMBA UMESHINDWA
@SalamaKhamis-un8vn
@SalamaKhamis-un8vn 7 ай бұрын
Mwendelezo ßhekh
@mohdomar6760
@mohdomar6760 7 ай бұрын
Allah akuzidishie sheikh letu
@abuuhudhaifa5134
@abuuhudhaifa5134 7 ай бұрын
Allah akujalie uendelee kujibu kwasababu watu wengi wasiojua sunna na bidaa wata bainikiwa na mambo mengi yalio zushwa ktk dini, na mawahabi nao wakibainisha basi sisi wanafunzi ambao tunajifunza dini yetu huwa tuna pata faida kwasababu yanaletwa majibu yenye nguvu kwadalili kutoka ktk Quran na sunna na ndicho tunacho kitaka
@mwalimuyussuph6469
@mwalimuyussuph6469 7 ай бұрын
Wallahi nashukuru sana Allaaha, Huyu SHEKH WA kibid'a amezikubali jitihada za masafi
@abiabi9353
@abiabi9353 7 ай бұрын
Hata ibilis ana jitihada
@user-kq8lk1cx8g
@user-kq8lk1cx8g 6 ай бұрын
Maashaallhh
@user-zk3dt3us7j
@user-zk3dt3us7j 6 ай бұрын
لا يؤمن احدكم حتى يكون هواه تبعا لما جاء ت به
@adamjutto5849
@adamjutto5849 7 ай бұрын
Hzo hoja alijibiwa,anarudia tena,mwenzio sheikh sameer anatweta hukoo😂
@abuuuyaynah8801
@abuuuyaynah8801 7 ай бұрын
Anapumulia mipira acha kabisaaa
@aliyseif8114
@aliyseif8114 7 ай бұрын
ماشاء الله تبارك الله. الله يعطيك العافيه
@rajabubilalimakau8529
@rajabubilalimakau8529 7 ай бұрын
Sababu za kujibu hoja zao umezibainisha vizuri sana Sheikh.
@bashirusalumbigapsana673
@bashirusalumbigapsana673 7 ай бұрын
Nakuelewa sana mzee wangu
@malengajuma2694
@malengajuma2694 7 ай бұрын
Shukran sheikh,
@salumhamed5074
@salumhamed5074 7 ай бұрын
Umechelewa sana
@SalimuAbdala-sg9cw
@SalimuAbdala-sg9cw 7 ай бұрын
Mimi sijaona kiongozi tanzania hii. Ambaye nikiongozi mkuu wawaisilamu anawaunganisha waisilamu au kuwatetea waisilamu .
@bilalikaoneka5080
@bilalikaoneka5080 4 ай бұрын
ila suudia yupo
@WastarYoussuf-wb7fz
@WastarYoussuf-wb7fz 7 ай бұрын
Uko sahihi sana Muhammad iddi
@mwalimjecha6893
@mwalimjecha6893 7 ай бұрын
Kweli kabisa shekhe wetu Allah atupe afya njema na nguvu ya kujibu hoja zao hatua kwa hatua.
@DonadiMwapule-he1je
@DonadiMwapule-he1je 7 ай бұрын
Mshauri imara asiwe anarudi mambo aliyoshindwa kuyajibu Uko ulishindwa Iddy?
@ayububakari9942
@ayububakari9942 7 ай бұрын
mdanganyeni tu kwani alishakimbia hapo karudi sababu ya ushabiki wenu !!!
@abiabi9353
@abiabi9353 7 ай бұрын
​@@DonadiMwapule-he1jetupe mfano wa mambo aliyoshindwa.mawahabi kazi yao ni uongo tu
@abiabi9353
@abiabi9353 7 ай бұрын
​@@ayububakari9942alikimbia wapi.hivi nyinyi mawahabi mnahoja za kumkimbiza mtu kweli.nyinyi ndo mna historia ya kujikojolea mkisha banwa
@HamidHilika-kq3xx
@HamidHilika-kq3xx 7 ай бұрын
Allah akubarik sana shekhe na Allah akulipe kwa jitihada hii
@allyhabibu3746
@allyhabibu3746 7 ай бұрын
mashallah ❤❤ allah amrehm shekh letu shekh muhammad abubakar al burhan allah akuhifadh pya shekh abuu eidi
@kagalihussein1959
@kagalihussein1959 7 ай бұрын
Umeongea maneno chukuchuku bila Dalili...Elimu yako Ndogo Muhammad Eid
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 7 ай бұрын
Uislamu hauna dhehebu, dhehebu la muislamu ni kufuata mtume s.a.w.
@AbdulmajidHyder
@AbdulmajidHyder 7 ай бұрын
Utamfuataje kama sio hao wanazuoni?. Wamefanya juhudi kubwa mpaka Uislaam ukatufikia hapa tulipo. Kama sio wao.....
@ahmadSeif860
@ahmadSeif860 7 ай бұрын
Ww Ata hujuwi dhehebu ni nini!
@abakibibi9917
@abakibibi9917 7 ай бұрын
UNGENIVUTA KWENYE MAULID KAMA UNGESEMA WATAKA KUYAFUTA MAULID MAWAHABI TULIOACHIWA NA MTUME (S A W)LAKINI WASEMA TUMEACHIWA NA BABU ZETU NA MASHEIKH WETU INA MAANA MTUME HAKUFANYA ZIRO HAPO
@imamumohamedmalina6995
@imamumohamedmalina6995 7 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh elimu nzuri sana umetoa
@jumaajambiamusa8214
@jumaajambiamusa8214 7 ай бұрын
maashaaallaaah ndug shekh wangu mola akujaze heri
@FarajiAbdallah-yw2wn
@FarajiAbdallah-yw2wn 7 ай бұрын
بورکت یا ابو عید کلام الراٸعة بارک الله فیکم
@ayububakari9942
@ayububakari9942 7 ай бұрын
یا أبا عید wacha kuvamia luga usomakinika nayo !! sema yaa Abaa Eid
@tellackyabdul9312
@tellackyabdul9312 7 ай бұрын
Kumbe ni يا af kisha ابو 😂😂😂😂 يا أبا.......
@tellackyabdul9312
@tellackyabdul9312 7 ай бұрын
​@@ayububakari9942 بارك الله فيك أخي
@athumankalua501
@athumankalua501 7 ай бұрын
Tunakuombeaa Allah usimame juu ya kuwasambalatishaa mawahabi
@MusaMkata
@MusaMkata 7 ай бұрын
Ubavu huo hana hata kdg mtu wa bidaa hawezi kumtengua mtu wa haqq
@yusuphsaad4349
@yusuphsaad4349 7 ай бұрын
Shukran sheikh Abuu idd... Upo sahihi sana
@kaliskaguzkalis4424
@kaliskaguzkalis4424 7 ай бұрын
Kwa kheri
@abdallahal-khaify
@abdallahal-khaify 7 ай бұрын
Ndio dhehebu lao ni qaala-llaah wa qaala-rrasuul kwa ufahamu wa wema waliotangulia(maswahaba, mataabi'i na mataabi'i taabi'iina) . Umesema sawa shekhe wa mnyamani.
@jumaciza461
@jumaciza461 7 ай бұрын
😂😂😂😂 Shukrani
@adamjutto5849
@adamjutto5849 7 ай бұрын
Aliulizwa maswali kuhusu uwahabi hajajibu😂,leo anatuletea tena kidevu chake kma andazi,huyu ndo maana aliambiwa na ndugu yake wa twariqa mwenye adabu kua amerudia tena bangi😂,ila masuuuufiii😂😂😂
@user-zr2pn5uv8b
@user-zr2pn5uv8b 7 ай бұрын
kipigo alichopewaga kwenye ule mjadala na Sheikh Qassim bado hajakisahau
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp 7 ай бұрын
Amekudhuru aliekuhadaa abuu sikukuu
@tellackyabdul9312
@tellackyabdul9312 7 ай бұрын
😂😂😂abuu man???😂
@shaabansheehabdallah8770
@shaabansheehabdallah8770 7 ай бұрын
SubhannAllah umesema kweli sheikh, kumbe mumerithi maulid kwa masheikh na wazee wenu???? Poleni saana matwariqa. Tafuteni elimu kutoka kwa Mtume Muhammad Swallallahu Alleyhi Wassallaam nyie
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 7 ай бұрын
❤❤❤❤😂Wachapeni. Haswa
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 7 ай бұрын
UMEFIKA KUMBE AMA
@shaabansheehabdallah8770
@shaabansheehabdallah8770 7 ай бұрын
Alafu sheikh ukizungumzia uislamu toa uraia wako, uislamu hauna mipaka ya kiichi za kitwaut
@user-zx2yd4bl2x
@user-zx2yd4bl2x 7 ай бұрын
KAZI UNAYO - LKN SUNA IKO PALE PALE
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 7 ай бұрын
KARIBUNI GROUND
@adamkilembwe.
@adamkilembwe. 7 ай бұрын
Kweli kabisa,sheikh
@abuuuyaynah8801
@abuuuyaynah8801 7 ай бұрын
Sina shaka akijibiwa majlis moja tuuuuu anakimbia
@ramygichero1016
@ramygichero1016 7 ай бұрын
amna kitu mawahabi so watu wa maaana kabixa wanajionyesha sana
@user-zr2pn5uv8b
@user-zr2pn5uv8b 7 ай бұрын
huyu kichwa ngumu sana kujibu maswali hawezi na ha hajajibu
@user-zr2pn5uv8b
@user-zr2pn5uv8b 7 ай бұрын
ule mjadala wako na Sheikh Qassim Mafuta ungeupitia tena ujibu yale maswali mbona kama umepiga chenga ya mwili
@user-xn3kz4mc4v
@user-xn3kz4mc4v 7 ай бұрын
Hawajui hao
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 7 ай бұрын
Usisahau zile hoja za Mawlidi Bado hujajibu Na usije ukakimbia kama ulivyo kimbia mwanzo
@mustafaramadhan5941
@mustafaramadhan5941 7 ай бұрын
Yaani jamaa ana matatizo yasiyoelezeka hapa duniani hakujibu hoja alizoulizwa na Qassim mafuta ss kaamua kuja na upuuzi mwengine na akibainishiwa usawa anakimbia tena miaka mitano km alivyokimbia kujibu hoja huku nyuma zaidi ya miaka miwili ss Shortly tumechoka na ubabaishaji wako muhammad iddy
@abuuhudhaifa5134
@abuuhudhaifa5134 7 ай бұрын
Lakini masufi mnatatiza Sana wafuasi wenu amejibiwa Shekhe lenu Alburhaaan mnalia kwamba "ooh anajibiwa hadi alie kufa" kwani nyinyi mkimsema vibaya ibn taimiyya mmesahau kua na yeye amekufa! Mizani yenu inapima vipi mbona hamna uadilifu,,,,, ndo mana mtaendelea kuwakosa vijana wengi ktk huo usufi wenu kwasababu watu welevu wanataka hoja na dalili sio porojo na michezo
@tellackyabdul9312
@tellackyabdul9312 7 ай бұрын
Naaaam wajinga hawaa wakisufi
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 7 ай бұрын
Jisufi LOPOLOPO
@abuuhudhayfah5108
@abuuhudhayfah5108 7 ай бұрын
Ungejibu kwanza majibu uloulizwa, sasa naona umekuja kwa stayl nyingen
@abubakarshaban6118
@abubakarshaban6118 7 ай бұрын
Ndo namshangaa...
@AbuwSuhaylahSalafiy
@AbuwSuhaylahSalafiy 7 ай бұрын
Kwa hiyo Tofauti za ki FIQHI ni kuwagawa waislaamu? Yaani ulitaka watu wafuatane hata kwenye makosa kwa hiyo baba angu akiwa mtu wa Mawlid lazima na mimi niwe mtu wa Mawlid? Sasa ndo hoja gani hizo? Unaacha kuwabainisha ma Shia wanawatusi maswahaba kila kukicha, unakuja kuwazungumzia Salafiyuun? Harakati zako hazina afya ni kupoteza muda tu bora ukae darsa usomeshe hao unaowaita mawahabi wako busy kusomesha watu dini katika maraakiz zao ndio maana huoni KZbin wakiwasha Cameras kuongea ongea bila issue maalum acha ushekhe wa matukio.
@abuumaisarah6595
@abuumaisarah6595 7 ай бұрын
SHEIKH WA MCHONGO HUYO HHH
@AbuwSuhaylahSalafiy
@AbuwSuhaylahSalafiy 7 ай бұрын
@@abuumaisarah6595 Ana feli sana. Halafu kuna ma jahl wengi wanamsifia kwenye comments.
@user-bo1ew3xq6w
@user-bo1ew3xq6w 7 ай бұрын
Kwani nyie mawahabi ikiwa kama kweli mpo sahihi sini sawa kama mtazungumzia kuusu hao maswahaba kutukanwa na watu watwarika kuzumzia maulid kuli kuwatusi wanachuoni na kuwaita makafiri.
@AbuwSuhaylahSalafiy
@AbuwSuhaylahSalafiy 7 ай бұрын
@@user-bo1ew3xq6w Mwanazuoni gani kaitwa Kaafiri?
@AbuwSuhaylahSalafiy
@AbuwSuhaylahSalafiy 7 ай бұрын
@@user-bo1ew3xq6w Na wewe unavyotuita ma Wahabi unajua unaponda kumbe unatukweza "Al-Wahhab" ni katika majina ya ALLAH.
@ramadhanmbwana5718
@ramadhanmbwana5718 7 ай бұрын
HII NI MUHIMU SANA MUHAMMAD IDI AMKIMBIA SHEKH KASIMU MAFUTA SIKILIZA HII HAPA ILI UPATE FAIDA ZAIDI NA UJUE KILICHO MKIMBIZA MUHAMMAD IDI kzbin.info/www/bejne/hKnWo5mdqNuDjtksi=-Q-lTcDHz8rFok8H
@abuuyusra6139
@abuuyusra6139 7 ай бұрын
Tatizo lako mzee auchelewi kukimbia tulizani umekufa kumbe uwahai unaonaje sasa tukaanza pale kwenye maswali ulioulizw ukayajibu kisha ndo mkaanza maadaiii
@IbrahMiracle-em4sh
@IbrahMiracle-em4sh 7 ай бұрын
Mamaa abuu idd baada yakuaibika mda mrefu ety kaamua kuja kupiga porojo tena pole utajibiwa vzr tena uje ujikanyage kama ulivo jikanyaga kama mtt mdogo
@user-in2lg9oq3h
@user-in2lg9oq3h 7 ай бұрын
Upo sahihi lakini vipi waislam kua na hospital, university, mahakama ya Kadhi hayo ndy mambo ya msingi coz waislam wengi wanapesa
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 7 ай бұрын
Hadith sahihi
@mchizisoo3953
@mchizisoo3953 7 ай бұрын
Mpaka leo unanyoa ndevu style ya O'' vipi unaweza kuongea haki watu wakakuelewa.. Allah akufaamishe haki uweze kuifata
@mwambashiiddi9295
@mwambashiiddi9295 6 ай бұрын
Msikilize shekh muhammad ayyub Allah amrehem amsamehe kzbin.info/www/bejne/mKHKnZKZgdKNgbssi=tx8yrbzeKC8xH0Iv
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp 7 ай бұрын
Hakki hukaa juu wala haikaliwi juu
@selemankishema5780
@selemankishema5780 7 ай бұрын
HUNA UBAVU WA KUMJIBU KASSIM MAFUTA INGALAU WOOTE MMEKUTANA WAPUMBAVU NA WAJINGA😂😂😂
@husseinibnuhassan1272
@husseinibnuhassan1272 7 ай бұрын
Maulid ni Nini? Je Mtume Muhammad ametuachia maulid?je Maswahaba waliitambua Mawlid?
@khamisothman1154
@khamisothman1154 7 ай бұрын
UPUUZI MTUPU
@rashidimatiwili7585
@rashidimatiwili7585 7 ай бұрын
Uozo mtupu,na sharubu hizo
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 7 ай бұрын
Uislam Unapitia mafunzo kutoka kwa Quran na hadith za mtume maswahaba, maimamu na wanavioni, hakuna dhehebu la maswahaba wala la maimam, dhehebu ni la mtume s.a.w.
@Naaam353
@Naaam353 7 ай бұрын
Naam nakuelewa sana sheh
@amirialimshamba9754
@amirialimshamba9754 7 ай бұрын
SHEKHE ungeanzia asiliyao tangia kipindi cha mtume (saw) mtume aliwatabiri vipi na happy najidi alipotokea muanzilishi wao abdul wahab
@user-zr2pn5uv8b
@user-zr2pn5uv8b 7 ай бұрын
utalishwa matangopori mpaka lini
@ismailmursal1933
@ismailmursal1933 7 ай бұрын
Hhh jamaa atapatapa
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp 7 ай бұрын
Na makafiri walisema mtume aliwakuta watu ni wamoja ( ktk batili zao) akawagawa, je sawa nisawa kusema ujinga kama huu
@fatibra7768
@fatibra7768 7 ай бұрын
Shehe aumwa na uharo. Hatuliiii.
@malikiwaziri3429
@malikiwaziri3429 7 ай бұрын
Huku ni kukosa adabu Kwa mashekh zetu,kweli uwahabi umekuja kugawa waislamu Hadi unaandika hv Kwa shekh kama huyu,subhaanallah
@mwalimjecha6893
@mwalimjecha6893 7 ай бұрын
Wewe hujijui hujitambui
@mwalimjecha6893
@mwalimjecha6893 7 ай бұрын
Wewe hujijui hujitambui
@fatibra7768
@fatibra7768 7 ай бұрын
@@malikiwaziri3429 Ahsanteeeeeeeeeee kijana mweny adabu kwa mashaaikh
@mwalimjecha6893
@mwalimjecha6893 7 ай бұрын
Wewe hujijui hujitambui
@ishakakhalid
@ishakakhalid 7 ай бұрын
MITANDAO BADO INAREKODI MASWALI HOJA 19. HAZIJAJIBIWA.. JIBUUUUUU😂😂😂😂😂
@HassanJamada-pf4jt
@HassanJamada-pf4jt 7 ай бұрын
Mzee jibu Yale maswali 10 uliyoulizwa kwanza ndio uingilie kadhia hii Ama kweli umekutana na mwamba usiopasuliwa na baruti ukakimbia kimyakimya mpk tukadhani haupo , kumbe upoo! JIBU MASWALI 10 ULIYOULIZWA NDIO UJICHANGANYE NA HUKU
@kimingowameno4068
@kimingowameno4068 7 ай бұрын
Hua napenda sana mawaidha yake shekh abuu eid
@mwalimuyussuph6469
@mwalimuyussuph6469 7 ай бұрын
WE KUBAKIZA SHARUBU HUO SIO MTASHADIDI?
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 7 ай бұрын
YAANI SHEIKH ABUU IDD UNAZUNGUMZA KAMA ULOPITA MOYONI MWANGU
@DonadiMwapule-he1je
@DonadiMwapule-he1je 7 ай бұрын
Kwa hiyo umeamua kupiga Ramli eti kuna siku watakuwa na mufti wao.au unataka serikali iwashike? Nimeelewa kwanini Mashekh wengi wanapotea
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 7 ай бұрын
​@@DonadiMwapule-he1jeWW NI MUISLAMU AMA?
@thabitsaidi1507
@thabitsaidi1507 7 ай бұрын
Safar hii usikimbie tena kama ulivyokimbia kipindi kile maana huchelewi kukimbia. Huna uwezo wa kumjibu Sheikh Qaasimu
@SaidKondo-rw8wb
@SaidKondo-rw8wb 7 ай бұрын
Muhammad iddi kaka ,maulid yapo madhehebu Gani? Kama mawaHabi hawana madhehebu,
@abiabi9353
@abiabi9353 7 ай бұрын
Hata kiongozi wenu kafiri ibn taymiyah pia anayakubali maulidi
@SaidKondo-rw8wb
@SaidKondo-rw8wb 7 ай бұрын
@@abiabi9353 weee jamaaa hiii dini,sio mpira usifanye hivo,usiseme hivo ,kama hujui kitu nyamaza,umekosea kaka ,usimkufurishe mtu.ni jambo kubwa,hiii dini ni taaluma ,
@user-eb9ch5vt1e
@user-eb9ch5vt1e 7 ай бұрын
Acha kueneza chuki mzee alafu soma maan ulivokuwa jahili huko nyuma umeweka picha 😭 Allah mustaan
@topfreelancer5151
@topfreelancer5151 7 ай бұрын
Tulikuwa tunakusubiri sheikh ili umjibie kielimu maswali sheikh abubakar Allah amsamehe makosa yake.
@MuslimYussuf
@MuslimYussuf 7 ай бұрын
Sasa wachamba aw wajibu huja hatutaki maneno jibu huja
@abuuluqmaana8444
@abuuluqmaana8444 7 ай бұрын
Yaani toka alivyo pewa maswali ajibu mpaka leo ndio anajitokeza ama kweli ukiwa huna elimu halafu umewapoteza watu kwa kuwaaminisha kua wew ni sheikh kumbe sheikh kanzu sio elimu nafsi yakusuta
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 7 ай бұрын
Yote hayo yanatokana na kupingwa kwa maulidi na baadhi ya bidaaa nadhani dawa imekuingyeni Akina shekh Muhammad Iddi
@user-zx2yd4bl2x
@user-zx2yd4bl2x 7 ай бұрын
UISLAMU SI DINI YA MASHEKHE NI QURANI na SUNNA - TATIZO WEWE HUJIELEWI
@taurehassan7399
@taurehassan7399 7 ай бұрын
Ww ndo hujielewi Kuna jengine hujalidhihirisha hpo umeweka viwili tu
@mutumwinkaashura1897
@mutumwinkaashura1897 7 ай бұрын
Hao mnao waita mawahabi, niwale ambao wanaisimamisha tauheed na kupinga bida'a Allah atujaalie tuendelee hio njia hadi Kufa. Na hilo jina la mawahabi mnalitunga tu ili kuchafuwa Allah awaongoze
@bakaribakari6444
@bakaribakari6444 6 ай бұрын
Mmekuwa kama nyani haoni kundule...
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 7 ай бұрын
يا شيخ أبوابوا ما تظنك على لمن قال عليهم رسول الله صل الله عليه وسلم من حدث عيشة رضي الله عنها " من احدث في امرنا هذا ماليس منه فهو رد، هل رسول الله صل الله قال على المؤمن او كفار ? علم رسول الله ستكون فريق من الذين يزعمون ان هم مسلمون يٸتون هم يحدثون في الدين.
@swalehejuma6611
@swalehejuma6611 7 ай бұрын
Dini hailazimishwi, wala hakuna utofauti wa uadui kama unavyodai. Hao mawahabi ni nani nani?! mtutajie, na nini uwahabi? Hao mawahabi wanasimamia nini. Tafadhali tueleze kwanza kuhusu uwahabi na mawahabi ili tuchague wenyewe
@fatibra7768
@fatibra7768 7 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@MuslimYussuf
@MuslimYussuf 7 ай бұрын
Ww jubu huja nyie makhuraf munajua kuchamba tu lakin hamna elim
@mustafaramadhan5941
@mustafaramadhan5941 7 ай бұрын
Jamaa nusu saa nzima anazungumza porojo tu hana moja la maana alilolisema
@husseinsaid8021
@husseinsaid8021 7 ай бұрын
Sheikh Abu Eid unakaa kimya sana unatukosea sana tunaishi kama wanyonge
@shazyahya4121
@shazyahya4121 7 ай бұрын
Sheikh wako amerithi maulid kwa masheikh zake si ibada bali ni mira 😅 msikilize vizuri Sheikh wako Ana hoja zaifu sana
@shabansaid2323
@shabansaid2323 7 ай бұрын
Kumswalia mtume si ibada basi ibada nini?
@shazyahya4121
@shazyahya4121 7 ай бұрын
@@shabansaid2323 kwanza unajua jinsi ya kumswalia mtume mohammad ( S.A.W ) tuanzie hapo sababu mtume mwenyewe ametoa maelekezo jinsi ya kumswalia na laukama utajua jinsi ya kumswalia mtume huwezi kua mtu wa maulid kwasababu Said jafar barzanji amejichanganya mwenyewe kwenye kitabu chake za barzanji kuna upuuzi wa kila aina ameandika tatizo Africa wengi hawajui kiarabu that's why Said jafar barzanji ametumia uwo mwanya kupotosha umma
@husseinsaid8021
@husseinsaid8021 7 ай бұрын
@@shazyahya4121 Kumswalia Mtume ni bidaa?
@shazyahya4121
@shazyahya4121 7 ай бұрын
@@husseinsaid8021 kumswalia mtume ni ibada lakn unamswalia kwa taratibu zipi na kwa maelekezo gani mtume mwenye ameshaelekeza jinsi ya kumswalia
@abdulmalikmohamed732
@abdulmalikmohamed732 7 ай бұрын
😁 shkh abuu eid
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 7 ай бұрын
Ombi langu sheikh Iddi njoo utusomeshe BARAZANJI kwanza PAMOJA NA SHERH ZA BARZANJI ILI WATU WAYAJUWE YALIYOMO ndani yake ILI WASIYAWACHE HAYO MAULIDI. maana huku kwetu washaanza kuya wayawacha
@abdulrahmanbakar5416
@abdulrahmanbakar5416 7 ай бұрын
"Akiwa na nidhamu huyo sie wenye akili washaelewa" Mwenye kukaa nao atalijua hilo
@mwalimuyussuph6469
@mwalimuyussuph6469 7 ай бұрын
KAMA NYIE HAMJIONESHI MBONA MNAFANYA MATANGAZO YA MAULIDI?
@abubakarshaban6118
@abubakarshaban6118 7 ай бұрын
Huyu kaja tena wakati hajajibu maswali alopewa na Shaykh Kassim Mafuta....
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 7 ай бұрын
Sheikh wetu jibu kwanza zile 19 usisahau
@athumanimahunda6541
@athumanimahunda6541 7 ай бұрын
Hoja za kipuzi. Muhammadi Bacho ni mpuzi tu
HAMA KWENU HAKIKA KWENYE KUHAMA NDO KWENYE MAFANIKIO - SHEKH MZIWANDA
11:52
SHEKH MZIWANDA ONLINE TV
Рет қаралды 4,6 М.
YANAYO FUATA BAADA YA KURUHUSIWA MUNGOKAA 1 June 2024
18:28
Abu Shuraim
Рет қаралды 7 М.
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,8 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 129 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 49 МЛН
SEHEMU YA 9 :MFULULIZO WA KUWAJIBU MAWAHABI - SHEIKH MUHAMMAD IDDI
1:01:28
HIZI NI ZAMA ZA MWISHO //SHEIKH KIPOZEO
18:11
arkas online tv
Рет қаралды 6 М.
Tambayoyi da amsa: Matakan da akebi wajan fitar da'aljanu
15:28
Hausa Islamic Q/a
Рет қаралды 32
SEHEMU YA 8 :MFULULIZO WA KUWAJIBU MAWAHABI - SHEIKH MUHAMMAD IDDI
58:00
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 86 М.