No video

BREAKING NEWS: WAZEE WAMVUA URAIS ENG.HERSI SAID NA WENZAKE KUFUATIA MAAMUZI YA MAHAKAMANI.

  Рет қаралды 925

wispoti tv

wispoti tv

Күн бұрын

JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.

Пікірлер: 12
@joackimumalya7138
@joackimumalya7138 Ай бұрын
Ubaya ubwela
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Mtaongea sanaaa
@melkiadesmogella6402
@melkiadesmogella6402 Ай бұрын
Gen z waiting
@alihumaid3492
@alihumaid3492 Ай бұрын
Huyu hersi ni maarufu sana kwa rushwa mechi za ligi TZ
@SAKINAJUMA-ey8qd
@SAKINAJUMA-ey8qd Ай бұрын
Siku zote mafanikio lazima yaje na changamoto, na Hao wazee siamini kama ni akili zao itakua Kuna mtu yuko nyuma Yao lichunguzeni vizuri hili😢😢😢😢😢
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 Ай бұрын
😂😂😂😂safi sana nimefurahi kinyama hao wameiingiza yanga hasara kubwa mno
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 Ай бұрын
Nyiyi mnaombeza engineer Heres Saidi kaeni kimyaa kwanza mahakama ya kisutu na mpira wapi na wapiii? Mimi mwenyewe ni shabiki wa yanga kitambo mno ila sikuwa na furaha kushabikia yanga wala sikuwa naifuatilia yanga kiivyo ka ivi sasa nimefuraishwa sana na uongozi mzima wa yanga chini ya mhandisi Hersi Saidi yupo poa sana tena sana sana atutaki kusikia habari za wazee wanga wanga hao wachukue time pumbavu zao wametumwa upande wa pili na makolo na pesa wamepewa ili waivuruge yanga kwa taarifa yao mhandisi Heris saidi atoki na tutamlinda kama wao ni wazee wa yanga hata sisi huku ni wazee wa yanga tena ndiyo wachawi kuliko wao wasipo angalia atapotea mtu kimzaha mzaha maana kuna midude mikubwa yakiutisha tupo ata atujulikani tulipo ndiyo tuna tunamlinda huyo raisi wetu mpendwa wa Yanga Africa kwa mazuri yake aliyo yafanya atutaki siasa ktk foot Ball ivyo wakiiona hii coment wakae chonjo machifu tusije kuwafanyia mabalaaa ooh ooooh 🔥🔥🔥😢
@marianamontoedi1318
@marianamontoedi1318 Ай бұрын
Wa Pumbafu
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 Ай бұрын
Kumekuchaaaa🤣🤣🤣🤣
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 Ай бұрын
Jamani mboni mnadanganya hivyo Walioshakiwa ni wadhamini wa Yanga na sio viongozi Kama hujui lugha ya kimahaka tulia usiitie aibu tv yako
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Ай бұрын
Leo ni sikukuu ya wajinga
@kolosii4351
@kolosii4351 Ай бұрын
Hao wazee wakalale mbele. Watakaa peke yao uwanja wa mkapa. Ujinga tu.
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 11 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 38 МЛН
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47