Semina muhimu ya Katiba Mpya ya Markaz na kanuni zake - Sheikh Salim Barahiyan

  Рет қаралды 903

IHSAAN TV

IHSAAN TV

Күн бұрын

MWALIKO WA SEMINA YA ELIMU YA KATIBA, KANUNI ZA MARKAZ NA MCHAKATO WA KUYAENDEA MABADILIKO
Tunayo furaha kuwakaribisha kwenye semina maalum ya elimu ya katiba, kanuni za Markaz, na mchakato wa kuyaendea mabadiliko. Semina hii itahusisha washiriki kutoka majimbo 14 yaliyo katika kanda mbili, yaani Kanda ya Kaskazini na Kanda ya Mashariki Kati. Majimbo yanayohusika ni:
1 - Tanga Mjini 2 - Korogwe
3 - Muheza 4 - Pangani
5 - Handeni 6 - Maramba
7 - Moa 8 - Kilindi
9 - Lushoto 9 - Mjini
10 - Mkinga 11 - Singida
12 - Tawi la Pingamale
13 - Kanda ya Kaskazini
14 - Kamati ya Jimbo la Matui Azimio
Semina itafanyika katika Jimbo la Korogwe, kuanzia tarehe 08/06/2024 hadi 09/06/2024.
Tunatarajia ushiriki wenu ili kufanikisha mchakato huu muhimu wa kuyaendea mabadiliko ndani ya Markaz zetu. Karibuni sana!
📡🎥📸📰
IDARA YA HABARI NA UTANGAZAJI - MARKAZ KUU

Пікірлер: 5
@abasimakamla1119
@abasimakamla1119 4 ай бұрын
Allah akuhifadhi Sheikh wetu kwa kazi kubwa ambayo umekuwa ukihifanya ya da'awa na uongozaji wa taasisi yetu pendwa kwa uwazi na ukweli wa mambo
@hassanmsumari1200
@hassanmsumari1200 4 ай бұрын
Maashaallah Asante mudir
@abuuhafswaawadh261
@abuuhafswaawadh261 4 ай бұрын
Maashaa'Allah,Tasisi ya Ansaar ndio tasisi inayoendesha mambo yake kwa uwazi na kuwapa wanachama wake elimu
@mohamedhamismagoraonlinetv459
@mohamedhamismagoraonlinetv459 4 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/nZCtiYWqaqqCirMsi=tn0cgK5CXKQHxCHi HAKUNA HADITHI INAYOELEKEZA SWAUMU YA ARAFA IWE SIKU MOJA NA KISIMAMO CHA MAHUJAJI. SHEIKH KHALIFA KHAMIS.
@aminaosman3315
@aminaosman3315 3 ай бұрын
,katiba yenu muandike kipa umbele chenu NI kudhulumu waislam mayatima wajene
KWANINI TUNAJENGA MASHULE? | Sheikh Salim Barahiyan
1:02:48
IHSAAN TV
Рет қаралды 452
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,2 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,4 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 118 МЛН
SIFA ZA MWANAMKE ANAE PENDWA NA MUME WAKE
1:05:14
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 46 М.
FAIDA ZA KUITUMIA BISMILLAHI RAHMAANI RAHIIM SHEKH SUNGUSUNGU
30:33
Shekh Sungusungu
Рет қаралды 71 М.
🔴 Exclusive Bayan at Birmingham by Molana Tariq Jamil | 22 Feb 2023
2:42:17
Chanzo cha Madhehebu katika Uislamu - Sheikh Salim Barahiyan
14:33
Sheikh كومبو (Kombo Ali Fundi) - Kujiepusha na  Maovu
33:25
Mahaasin Tv Official Channel
Рет қаралды 155 М.
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,2 МЛН