I will not fear to spread the three angels message
@mjombawallace4966Ай бұрын
Mwalimu Ndacha Nenda kafanye hiyo course baba we shall contribute mpaka umalize hiyo course and other Biblia nuru ya Dunia comrades
@AareMjunguАй бұрын
naungana na wewe lakini hofu ni kwamba:- ni chuo kipi Ndasha atakwenda wakati vyou vote vinafundisha trinity?. he can't qualify kwasababu mitiani yao yote itataka ukili Utatu nje na hapo atafukuzwq chuoni.
@dicksonkimanthi5242Ай бұрын
Kweli babeli amechafua neno la mungu kabisa.ata waweke Sheria kazi ya mungu lazima isonge siogopi kwa maana ni mungu wetu twaubili
@MatubaSonАй бұрын
Hatuwezi kujiungamanisha na dini za uongo, hizo faini zenu mtajua wenyewe, ukweli lazima uhubiriwe
@johnmuturigithinji3581Ай бұрын
Bwana Yesu kristo asifiwe, okay ujube wa malaika watatu, Mungu amefanikiza kazi yake ,umefikia kilamtu, watu wa MUNGU ahatajiunga na sheria za dunia, mambo ya registration niya watu wa ndunia, ibada imebakia kilamtu kwa nyumba yake na familia yake siku ya Sabato, lazima tuabundu mungu kwa Roho na ukweli
@mjombawallace4966Ай бұрын
Hiyo Nayo mpaka tutafanya
@mjombawallace4966Ай бұрын
We know it very well that Ibilisi ndio ameanza kazi zake but pryars will continue kabisa
@jimmymatheka2697Ай бұрын
Hii andiko litatimia Amos 8:11
@JeanMuzaliwa-bs6qhАй бұрын
ndio maana biblia niukweli kbs
@Mapenzi2635Ай бұрын
This bill is in violation of freedom of conscious. It is direct violation of bill of rights .
@mjombawallace4966Ай бұрын
Yah
@johngikiru5400Ай бұрын
Hapa jela zimekuwa activated Kwa watu WA Mungu
@ChrispinOriamaАй бұрын
Ati lazima mtu awe amepitia this demonic theology? Watu wa mungu amkeni dunia mwisho
@mamalaozphilemonmtawali.8467Ай бұрын
Serekali sai imeamua kuzalimisha kila kitu!!
@dominickithimshule3302Ай бұрын
Tujipange wapendwa Dunia imeisha
@mjombawallace4966Ай бұрын
Kabisa 🙆🙆🙆
@MajaliwaYusuphlushikaАй бұрын
Furusa ya watumishi wa Mungu kwenda kuhubili wafungwa magerezani
@legrajayАй бұрын
Wapanue jela ,coz tutajaa tufurike Hadi pomoni washindwe kutudhibiti...wanunue viwanja vikubwa wajenge jela nyingi
@HellenaMkyАй бұрын
Minaona anaeongea mwenyewe ndo shetani
@HellenaMkyАй бұрын
Shetani kashaanza Sasa kazi yake. Watatufunga wengi. Maana humo jela hatutakia peke yetu. Nuru ya YESU itakua nasi.
@mjombawallace4966Ай бұрын
Hapo tunaenda sisi wote Roman Catholics are doing there good job but God is God
@stephen-CEOАй бұрын
@@mjombawallace4966 ujinga ya chuki dio inakusumbua mkuu 1 Yohana 2; 11 Bali yeye amchukiaye ndugu yake, yu katika giza, tena anakwenda katika giza, wala hajui aendako, kwa sababu giza imempofusha macho. Hii sio mambo na watu ya kuabundu jumapili au jumatatu ....wacheni chuki za kijinga....angalia mkutano iliyofanyika Neno EVANGELISM CENTRE tarehe 10 mwezi wa tisa ilikuwa mkutano ya pastors....wahubiri wote wa kiroho wamepunga hii ujinga cheki clip ya prophet Alan Jomba ......chuki dio inawaua mnaojiita wakristo 😢😢