Straight Path Association continues to spread the message of Islam to the Non Muslims and reminding the Muslims. Please subscribe to our channel to support our dawah activities.
Пікірлер: 395
@aaibrahim44872 жыл бұрын
They aimed to bring confusion in Islam but Allah barricade their evil idiology, They planned but forgotten that Allah is the best of planners.... Mashallah great work
@Mombasaweldingworks2 жыл бұрын
Only by the blood of jesus all you have to do is to let him into your crooked inner self and you will be whole again...
@sevenscounty4092 жыл бұрын
@@Mombasaweldingworks we love jesus more than u so called Christians, just so u know
@Mombasaweldingworks2 жыл бұрын
@@sevenscounty409 say you love isa ,but not our lord Jesus from the holy bible who died for our sins..
@phoebemwikali2 жыл бұрын
We all need peace nothing else ...kindly preach peace
@rayaali75512 жыл бұрын
Bismilaaah maasha allaah alhamdulilaaah yaaraby azidi kutuhidi na kutuongoza na kutuongowa katika njia iliyo nyooka yaaraby AAMEENA YAARABY🤲🤲🤲🙏🙏🙏
@Nana-do5po2 жыл бұрын
Right now in Kenya we are in peace time let's peace prevail.
@alhamdulillah57962 жыл бұрын
Ikiwa siasa haijakutoeni kwenye amani...dini itakutoeni vp???
@dorcasatieno37052 жыл бұрын
asante daa MUNGU akubariki sana tuko na amani
@halma77642 жыл бұрын
Mashaallah
@nooor1120 Жыл бұрын
Maa shaa Allah natamani niwe nimekuzaa mimi sheikh Ramadhan. Nakuombea kwa Allah akuhifadhi na akujaalie dua zako ziwe mustajabah.
@Evnelsonkariuki2 жыл бұрын
Jesus is Lord..Mungu akusamehe..Usitukane ukristo..
@ukweliwauislamu95902 жыл бұрын
Masha Allah , JazakAllahu kheyran ustadh Ramadhan kuria ....
@hadiyamohamed5942 жыл бұрын
Huu ni msiba mkubwa kutowafundisha dini watoto wetu . 😭😭😭😭Huu ni mtihani kwa kila mzazi lazima mtoto I mfundishe dini iko awe na nguzo imara ya kutopotezwa . Shukran sheikh Allah ndie atakulipa kwa ujira wako
@nakundwamkubwe78232 жыл бұрын
Alhamdulilah Allah ashukuruwe kwakweli Shekhe Ramadhani Allah atakulipa.
@yusufmwangichannel66922 жыл бұрын
Masha Allah, Allahu Akbar, Allah akuzidishie elimu, umri na afya njema sheikh wetu Ramadhan na Allah atupe mwisho mwema sote waislamu pamoja na vizazi vyetu Allah Humma Amiin
@seniorcade17842 жыл бұрын
M.a sheikh Ramadhan Allah akurahisishie kazi ya daawah ....kwa juhudi yako InshaAllh uta badilisha makanisa mengi kuwa msikiti,.
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Allah atujaalie
@andallaathman38562 жыл бұрын
@@StraightPathDawah Amin 🙏
@andallaathman38562 жыл бұрын
@@StraightPathDawah Amin 🙏
@rooseupojuubuanaaarose30112 жыл бұрын
Masha Allah tabarak Allah.....tupo duniani kulingania dini sheikh wetu
@geegunen92192 жыл бұрын
MashaAllah Ustadh Wangu Ramadan
@jamalathman62192 жыл бұрын
Shukran sheikh ramadhan kwa juhudi zako za da'waa,Allah akulipe pepo
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Ameen
@mahdiyusuf34312 жыл бұрын
May Allah bless you Sheekh luck off understanding their own faith Allah sw only can cure and no one can help you May Allah give understanding of faith
@marianachriss24442 жыл бұрын
YESU KRISTO ndio Njia ya kweli na uzima,na Ndio Nuru ya ulimwengu wote
@patiancekelvine86782 жыл бұрын
Kila ulimi utakir ya kuwa Yesu ndie Bwana Huu ni mwanzo tu,, wimbi la wokovu laja tena wokovu wa kweli sio huu wa kupapasapapasa maana watu wataokoka sanaaa maana kumuamini Yesu ndio njia ya pekee kwenda kwa Mungu Baba
@marianachriss24442 жыл бұрын
@@patiancekelvine8678 Ameeen Haleluyaaaa
@erickotero57592 жыл бұрын
True Jesus is the way
@marianachriss24442 жыл бұрын
@@erickotero5759 Halelujah Halelujah JESUS CHRIST is Lord of Lord and King of king lion of judah alpha and omega
@essyjerry94822 жыл бұрын
Amen na yesu kristo yuaja
@mahdiyusuf34312 жыл бұрын
Sheekh Ramathan May Allah bless you Amiin
@suheilahsuheilah49682 жыл бұрын
subhanaallah ya rabby tuokoe umm wa mtume s.a.w kwa siku tukufu zibadilishe nyoyo za waja wako ya rabby Tue kitu kimoja na tuishike bendera yetu ya LAILAHA ILALLAH MUHAMMED RASULULLAH YA RABBY
@bentybenty23432 жыл бұрын
Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh sheikh Ramadhan. ALLAH akuepushe na hasad na akulinde sheikh wetu..
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Allahuma ameen
@amsodewiz4901 Жыл бұрын
Mwenyezi atujaalie kheri ustadh
@khadijakhamis3812 жыл бұрын
Ma shaa Allah mungu amuhifadhi na amuongoze
@maryambintukhadija16042 жыл бұрын
Maa Shaa Allah shekh wangu ramadhaan kuria bin kaguo
@furahamossi31992 жыл бұрын
Mansha Allah sheikh tabarakallah Allah akulipe kheir insha Allah watarejeya Allah yupo pamoja nanyi
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Ameen
@hamoodalrawahy20262 жыл бұрын
MAASHAA ALLAH MAASHAA ALLAH MAASHAA ALLAH. TABARAKA RAHMAN ALLAH AZIDI WA IBAREEK
@jumanjenga76822 жыл бұрын
Good job Ustaz
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Shukran jazeelan
@salmaathuman91562 жыл бұрын
Alhamdulillah mashaa allah mitihani tumeumbiw ss heri kumuomba mungu kuliko kumshirikisha Allah na vitu vingine ahsante shekhe wetu
@rassorabbat87612 жыл бұрын
Ustadh rama mola akuzidishie zaidi
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Ameen
@dopesalo2 жыл бұрын
shukran bro...amazing work. ma sha Allah
@princessmuthoni3732 жыл бұрын
Kwa yesu Kuna mwangaza.njooooni mnitafute nko within
@princessmuthoni3732 жыл бұрын
My friend acha kuingilia kabisa Mimi nimetoka kwa uislam nimerudia yesu wangu plzzzzz usimwingilie pastor Ezekiel,mbona mnahoji waislamu acha mtu afiate dini yenye anataka
@abdalaauame38632 жыл бұрын
Mashalla allbdulilai ustaz ramazane
@fatmamombasa34302 жыл бұрын
Masha ALLAH Akhy Ramadhan Allah akulipe mema akupe nguvu ueze kuufikisha kalima ya lailah illah llah
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Allahuma ameen
@dennistwala2062 жыл бұрын
Umesema kuna uhuru wa kuabudu na pia muislamu hafai kutukana dini zingine, in your previous clips it's obvious wewe mwenyewe umetoa kejeli, umeonyesha uhasama/chuki flani. What you're show is double standards, you're not walking the talk. Alaf kuhusu point ya vitamba haviponyi ni Mungu, nakubaliana na wewe kabisa, ila Yesu alipomponya kipofu batimayo, alitema mate chini akiunda tope na kumpaka machoni hatimoye upofu ukamtoka, kwa si vitamba si matope, ni nguvu ziko behind it na imani yako. Unafanya vyema kuhubiri uislamu, lakini fanya kihekima, kwa upendo bila chuki, maana hivyo inakuwa rahisi kushawishi mtu kuwa muumini. As you said we have freedom of worship, lets respect it, it's a person choice, for God does not force Himself on us, He has given us a choice to worship Him. Personally I have grown with Muslim brothers and sisters peaceful and with love, and they used to share their teachings to me but not like the way you're doing, in theu would easily persuade us, hii yako ni kama tisho flani. If you wish to win souls, stick to teaching Islam, show us umuhimu wake, leave other religions, fighting them and showing hatred towards them, wont make you win more souls. Nmesema kwa upendo, natumai despite our differences, we continue to live in peace and harmony.
@ibrahimdawood65472 жыл бұрын
Kama kuna uhuru wa kuabudu, mbona wanatishia huyo mama mjane asiende kuabudu kanisani na wanamlazimisha kwenda msikitini?
@katherinasamwel39372 жыл бұрын
Huyu shehena ana shuki na dini yetu YESU ndio njia ya kweri na umima sasa huyo dada simjane na dini ya kiisilamu ina luhusu kuoa wake wengi shehe bola umuoe tuu huyo mjanee 😄😄
@blackke60852 жыл бұрын
Sheikh Ramadan amejaa chuki tu na wakristo
@fjghfufgg32272 жыл бұрын
@@blackke6085 hio ni kweli kabisa na haifai ivo sisi sote tuliumbwa na Mungu
@fjghfufgg32272 жыл бұрын
@@ibrahimdawood6547 Sasa hapo wanafanya makosa mbona iwe lazima ya kua muslim ilhali mtu ni halali yake, kwani kua Muslim ni lazima??si bora mtu aende pale anapotaka na pia Mungu ni yule yule so wacheni watu wawe huru muache kuwafunga
@naimaabuualii5782 жыл бұрын
Kabisa Leo umeongea maneno kuntu mpk nashangaa na Mimi ilakuwaje wanatukane ila mungu akuweke shekh wetu kipenzi chetu Ramadhani kiboko yao 🤗
@abdiaosman44882 жыл бұрын
Mashallah ustadh kuria.. endelea kuwabia ukweli Allah atakulipa in sha Allah
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Ameen
@iddyally72282 жыл бұрын
Allah awajalie mashekh wetu kwa kazi nzuri sana mnafanya na awaepushe na madui wa uislam
ALLAH AKULIPE KHEIR USTADH RAMADHAN NA AKUJAALIE NUSRA KILLA UNAPOKWENDA NA HUYO DADAETU ALLAH AMPE MAISHA YA KHERI NA BARKA KWA KUMRUDIA MOLA WAKE...NA WENGINE WALIOTOKA KWENYE DINI ALLAH AWARUDISHE....AAMIIIN AAMIIIN..YAARABB.M
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Ameen
@sakinat25272 жыл бұрын
Amiin
@zainabumwagiroabdallamwagi972 жыл бұрын
Dadaangu mungu amekuonesha nuru na hiyo ndoto yako ni njema na inakuonesha ufuate njia iliyonyooka ,njia yawale aliowaneemesha mwezimungu,nao ni mitume na masahaba na wajawema waliotangulia uachane na hiyo njia ya waliopotezwa na kupotea.
@aminaamiri76842 жыл бұрын
Shekh wetu Allah akuzidishie umr mref wenye manufaa
@makenakendi90142 жыл бұрын
Mashaallah ALLAH BARIIK always my brother
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Allahuma ameen
@norahmwenyewe.27992 жыл бұрын
I think Islam mean peace 🙏just preach about peace,the rest leave to our almighty God Who is in heaven yeye ndiye mwenye kuugumu.
@samxx4112 жыл бұрын
Hata kumuokoa binadam mwenzio katika ushirikina pia ni peace mana Mungu hapendi kushirikishwa, uislam utamfikishia yeyote ambayo hajielewi na anashirikisha hata bila ya kujijua baadae ukufata sawa hukufata sawa wewe na Mungu wako
@ignasmalema83542 жыл бұрын
Islam mean surrender, if you not surrender you die
@salmanassir78862 жыл бұрын
MashaAllah sheikh Ramadhan........ Allah azidi kukupa nguvu utangaze dini ya Allah
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Allahuma ameen
@getrudezighe44832 жыл бұрын
Mtaongea sana nabado
@jacquesuwezo228 Жыл бұрын
Wewe sheh jiangaliye utapigwa na Mungu acha kufatiliya yasio kuusu acha kuzuwiya watu wamjuwe Mungu wakweli
@mufid7072 жыл бұрын
Alhamdulillah Alhamdulillah
@khaddy27362 жыл бұрын
Waudhi sana jameni khaaa!!!
@munirashughuli72242 жыл бұрын
Alhamdhulillah 🤲
@mariamsefukhamissi88092 жыл бұрын
MashaAllah Tabarakallah Allah akuongoz zaid sn
@muminaroba91222 жыл бұрын
MashaAllah
@alsalihintvonline92322 жыл бұрын
Elimu ni nguzo ya dini jamani tusomeni dini tujuwe.... Kizuri na kibaya please hii yote ni kukosa kujuwa Imani ndogo mungu atuhifathi insha Allah
@maimunamohamed9811 Жыл бұрын
Allah atuepushe na hawa mapastor wa uongo
@sevenscounty4092 жыл бұрын
Kazi zuri sana ustad ramadhan
@naomymose18662 жыл бұрын
Wewe wenye unachuki falani kwa waliokobolewa, waja kutisia na kuwafingia watu WA Mungu, kumfikia yesu kristo
@jibrilwardere83762 жыл бұрын
Masha Allah
@briejoy37602 жыл бұрын
Kweli pastor Ezekiel anawakosesha usingizi 😴😴 yaani mko desperate kuprove kitu hkuna 🤔🤔 muachie Mungu kazi yake🙌🙏
@teshilifestyle49522 жыл бұрын
All we need now is peace Muslims and Christians that's all we need in our country Kenya
@fauziaabdullah37332 жыл бұрын
MashaAllah shukuran sheikh kwakutuilimishaa
@michaelmunene7382 жыл бұрын
Wacha kuzarau dini za wenzio utathi
@repentjesusiscomingsoon87992 жыл бұрын
Amina, umefanya vizuri sana kutoka kwa ushirikina wa Ezekiel, mtafute Mwenyezi Mungu kwa bidii cha muhimu acha uvivu na kupuuza nguvu ya Mungu ndani yako,Mola yuko kila mahali kwa watu wote, na Mungu ana subira sana kwa hivyo lazima uwe na subira pia, usitake vitu vya haraka haraka, lkn ukifuata njia mkato utapotezwa,🙏🙏
@annkuya14462 жыл бұрын
Lakini uponyaji unatoka kwa Yesu pekee yake ambaye ako mbinguni kwa Nuru pekee .Yesu alisema wacha wafu wafuate wafu wenzake maana mfu mwenye ako kwa kaburi kwa Giza haweze kumponya MTU aliye Hai.Bali walio hai ndio humfuata aliye juu milele kwa Nuru nayr akiomba kwa Jina LA Yesu Ataponywa.Mafarisayo ndio ilikua kazi yao juu ya wivu walipokua wanaona Yesu akiponya watu wanamwendea yule aliye ponywa na kumdhihaki asitaje jina LA Yesu kamwe. Maana walikuwa wanaona wao wakiombea MTU kwa Jina LA mwenyezi Mungu pekee bila kumtaja Yesu hakua anapona, Sasa ili watu wasimfuate Yesu awaponye walimkejeli sana na kumuita majina yasiyo faa.Yesu ndiye Alpha na Omega Hakuna mwenye atakuja baada Yake. Yesu amesalia Mfalme Mshindi wao wenye walitegemea Dini yao kuwaokoa waliangamia katikati dhambi zao kwa kaburi LA sahau na bado wanangonja Hukumu ya Mwisho kutoka kwa the same,same Jesus Christ. Yesu ndiye ufufuo Wa Mwisho tukifuata maangizo yake tutaishi naye.
@annkuya14462 жыл бұрын
Mungu yupi .Taja jina LA Huyo Mungu please?
@hansmswagara27892 жыл бұрын
@@annkuya1446 yan nyie mmeaminishwa kuwa mzungu ndo Mungu wenu kwan alie muumba mamayake yesu anaitwa nani
@fjghfufgg32272 жыл бұрын
@@hansmswagara2789 na nyinyi Mungu wenu ni mwarabu pia so sote gora moja
@annkuya14462 жыл бұрын
@@hansmswagara2789 Ni wapi penye pameandikwa kwa Bible ati Mungu ni Mungu?,Mungu Wa Bible alituumba kwa Sura Yake yeye mwenyewe na kwa mfano wake alivyo yeye mwenyewe ndivyo Bible inasema.Ndiyo unaona Bible imetafsiriwa kwa kila Lugha, hata nyimbo za injili ya Yesu zimetafsiriwa kwa kila Lugha maana Mungu Wa Bible anelewa Lugha zote na hana ubaguzi kwa mwenye anamtaka,ukimwita atakusikia maadam anapatikana kila pahali.
@hanifajuma61212 жыл бұрын
Hizo vitambaa hua zina nguvu ya giza, manabii wa mungu walifanya muijiza bila kupatia watu vitu, isitoshe yesu mwenye hakua NA sarakasi hizi tunaona siku hizi, pia mwanza kuna mwingine anaitwa papa god.
@andallaathman38562 жыл бұрын
Mashaa llah
@khamissalim74372 жыл бұрын
AMEEN YA Rabbi
@davidmarimi65982 жыл бұрын
Nafikiri nimakosa kwa mkristo kwenda msikitini kufuata wakristo wanaosilimu. Vivyo hivyo Ramadan kuria hafai kwenda kanisani kufuata waisilamu wanaohudhuria huko. Sheikh ananjia zingine anaweza kutumia kushawishi waisilamu wasiende huko. Tuheshimu uhuru wa kuabudu.
@asiaphilmon22332 жыл бұрын
Mashallah
@user-mq6lu2po3y2 жыл бұрын
Allah amsamehe dada yetu kwa hili
@khamissalim74372 жыл бұрын
Alhamduliah
@festusmuli53972 жыл бұрын
Kwa Yesu Kuna uponyaji s waganga wanaeza ponya hila yesu humusaidii mama ungemwambia umuombee kwaza aweze kupona
@mamuskamery452 жыл бұрын
Waaleikum salam warahmatullah wabarakatu
@wamugimohammed38482 жыл бұрын
Asalam Alaykum warahamatulilh wabarakatuh! INSHA ALLAH ALLAH akuongoze SHEKHE RAMADHANI kwa kuinusiuru DINI ya haki Amin Amin!
@winnysyombuandambuki54752 жыл бұрын
Mbona mkienda kwa hao wagaga hamsemi mkatangaza
@habibasalim30922 жыл бұрын
Alhamdulilla
@dorcasatieno37052 жыл бұрын
Mimi sijawai ona mkristo akitukana mwislamu but waislam hutukana sana wakristo
@nekesaester20682 жыл бұрын
Mbona huyu jamaa anamchimba pastor Ezekiel
@oman77102 жыл бұрын
Walaykum salam warahmatullaah wabarakatuh
@adbulmama50652 жыл бұрын
Kweri cheh Allah awalipe kwa ico munacofanya Allah awalike kesho ashera
@eunicemwangirani86842 жыл бұрын
Utapata shda sana sheikh..huezi zuia injili...injili ni moto💪💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@gladysrael33962 жыл бұрын
Unajoka bure sikuhizi hawafai buibui ndio mziwajue uislmu qwisha Mombasa kristo ndio kuzema
@blackke60852 жыл бұрын
wow!
@alhamdulillah57962 жыл бұрын
Unajidanganya hali ya kua unaujua ukweli. Uisilam hauezi kwisha duniani si Mombasa, kenya si ppte na unazidi kukua.
@alhamdulillah57962 жыл бұрын
Na Allah anasema na mkigeuka atawaleta watu wengine badala yenu, nao hawatokua kama nyinyi. Na si unaona watu wa dini tofauti wanausoma uisilam na wanaingia ktk uisilam na kua waumini wazuri zaidi kuliko waliozaliwa nao??? Qur-an 47:38.
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Hiki kiswahili ni Cha wapi?
@maureenmasoni12762 жыл бұрын
una kazi kweli, umbea kila uchao
@rikiasalim14282 жыл бұрын
AllahuAkbar
@apostlejanegracegidraph20542 жыл бұрын
She was having a dream👍
@ramadhanyusuf24012 жыл бұрын
Waislamu wamefumzwa na Allah watizame marafiki wanaokaa nao.wengi wao wanakaa na marafiki ambao sio
@khamissalim74372 жыл бұрын
Dawah imefika sekh Ramadan
@bsfmaggotsinkenya7862 жыл бұрын
Sio vizuri
@selfaakinyi78242 жыл бұрын
Sio kwa ubaya ila hawa wanao hojiwa Kuna mengi wanaficha, ila wacha Mungu atupiganie,
@ambasaephraim91822 жыл бұрын
Hawa wanatishiwa maisha usidhani yanayotoka moyoni mwao ni ya ukweli
Hao ni waisilam wanaokuja makanisani kwa ujinga. Na wengi wao hua hawajasoma...na kumuongoza mjinga hakujakatazwa na hakuna anaechukia ila iblis na wtto wake ima mashetani watu au majini. Hv Pastors wangekua wanasambaza neno la Mungu halfu wanaona watu wanaingia misikitini kwa sabbu zao tofauti wangekhofia kuwafuata wakawaongoza ili wasije kupotea??? Lkn wanajua km uisilam ni uongofu na wanaujua km wao wanapoteza watu na target zao haswa ni wale wasiosoma au waloghafilika tena wawapoteze vipembeni na sio penye waliosoma...na ndio mana hawaendi misikitini wanaona wataadhirika. Halafu ukiachia mbali huu mtindo wa kufata mke/mume ambao upo kwenye kila dini...wanaokuja kwenye uisilam wengi hua wamesoma na kuamini kwa hio hua vigumu mtu kumtoa.
@kawtharalbarwani13372 жыл бұрын
MashaAllah barakallahu feekum
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Ameen
@salumjumaruhaga25132 жыл бұрын
Awa wngine hfanya maskhara Tu ni washenzi utaenda vip kanisani,kama unashida Lilia waislam wenzako,mtu wa Mombasa ATI hajui kama kuwa mkirstu ni laana,hao njaa inawasumbua((umasikini ni nusu ya ukafir)
@fahmilomar9572 жыл бұрын
ostadhi ramadhan kazi unoifanya hakika inaujira mkubwa kwamungu uskate tamaa man ibilisi yupo nawewe ili akupoteze
@samotero23232 жыл бұрын
Wewe dawah KAZI Yako ni kuwatoa waislamu wako kwa ukiristo.
@armstrongsalim13282 жыл бұрын
Mtwapa si Mombasa ni kilifi
@xavierowino Жыл бұрын
She said she got healed of hiv due to Ezekiel's prayers. She turned hiv negative. So now that she has come to Islam, does she gets to keep her healing? And who gets the credit for the healing? The church or Islam?
@festusmuli53972 жыл бұрын
Hii diyo ndini ambayo inatishia kuua wafuasi wake wakienda inje ya msikiti najua Kuna wengi Sana wanataka kutoka hila wanaofia maisha yao
@davidmarimi65982 жыл бұрын
Uhuru wa kuabudu unapatia mtu uhuru wa kubadilisha dini pia. Nimeona wakristo wengi waisilamu na hakuna pasta anaenda msikitini kuwafuata huko. Vivyo hivyo mtu akienda kanisani asifuatwe huko
@mshai2032 жыл бұрын
Uislamu ni dini ya haki dini ya kweli na ni dini ya Allah subhallah wataAllaH
@kanuhummer64852 жыл бұрын
Asalam alaykum,ustadh mtafute na yule alie sema anaishi liko anaitwa mwanamkuu said,
@boscokimonyi1412 Жыл бұрын
Dini haitawai peleka mtu popote , zingatia uhusiano wako binafsi Kati yako na mwenyezi mungu , zingatia kutenda mapenzi yake mwenyezi mungu . Haijalishi wewe n Muslim hau mristo lakini uhusiano wako na mungu n Jambo La msingi
@zaburionlinetv62452 жыл бұрын
WOTE WALIODANGANYWA NA HAWA WAIBA SADAKA NI LAZIMA WAUMBULIWE
@bsfmaggotsinkenya7862 жыл бұрын
Bro nimekutumia link hapo chini angalia ushuhuda wa mama muislamu
@kihimbamushyaibrahim72842 жыл бұрын
Ukweli sheikh Sisi WA Islam tunahitaji kuweka mipangilio yakupiganisha umasiki,nahii twaweza jaribisha small projects,umasikini,maradhi kama hauna imani waweza potea wazee wetu hawakuwa nanidhamu(plan)sahihi sheikhe wavijana kila hali ikiwabana waweza wakapotoshwa!!!miskitini tumezungumzia sana akhera(Moto na jana) asante alakini vipi twaweza pata mugao wetu duniani!??kwanini tusifunze ufugaji kuku,bata,sungura,havihitaji dongo kubwa!wallahu waliyu atawafiiq tuanze kusanya Dola kumi kumi au tano in two years let's see how we can achieve asanteni
@bettysyrah26352 жыл бұрын
Wao wanatuita makafiri lkn anasema wakristo wanatusi waislamu
@onesmusmusyoka222 Жыл бұрын
Jameni wachaneni na pastor wetu Ezekiel aendelee na kazi ya ,pastor Ezekieli akujii mtu yeyeto kwa nyumba
@kenyan97392 жыл бұрын
Huyu mtu ana roho mbaya sana!nyinyi mkifuga majini sisi tuongei
@dreamer40522 жыл бұрын
Mbona msiende muwatoe kwa waganga sababu wengi wao wanaishi kwa waganga
@carendeborah56872 жыл бұрын
Hata Mimi nikitoka huku Dubai nitavaa abaya niingie nayo church ndo nione mkinikujia Mimi muislamu..Kenya Kuna freedom of worship
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Wewe sio Muislamu jifunze adabu za uislamu kabla ujiite Muislamu