SERIKALI IMEAMUA KUWAJENGEA NYUMBA WANANCHI WAKE DODOMA KWA MKOPO

  Рет қаралды 34,970

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Baada ya Serikali kutoa mkopo za zaidi ya Bilion 71 kwa Shirika la nyumba la taifa NHC kwa ajili ya kujenga nyumba 1000 katika maeneo ya Chamwino Ikulu na Iyumbu kwa lengo la kupunguza changamoto za makazi kwa wananchi wake kufuatia maamuzi ya Serikali kuhamia Dodoma ambapo lengo ni kuwauzia nyumba hizo wananchi kwa kipato cha chini kwa gharama naafuu.
leo June 11, 2021 Mkurugenzi mkuu wa Benki ya Azania ambayo ndio itakuwa wadhamini wa mikopo kwa wananchi watakaouziwa nyumba hizo Charles Itembe ametembelea mradi huo ili kujionea ujenzi unavyoendelea huku akiwataka wananchi wa kipato cha chini kujitokeza kwa wingi kuchangamkia nyumba hizo pindi zitakapokamilika.

Пікірлер: 137
@saidrajabu9589
@saidrajabu9589 3 жыл бұрын
Nyumba ya maskini kununua mwisho wa kununua ni mil tano sema mmejijengea wenyewe kipato cha maskini hakifiki milioni 70 tuwekane ukweli
@allymapinda8804
@allymapinda8804 3 жыл бұрын
Kwa jinsi Bongo ilivyo, hizo nyumba zitauzwa kwa matajiri/watoto wa vigogo na walengwa kuambulia kuangalia tu😳👀
@marymfugwa847
@marymfugwa847 3 жыл бұрын
Pandeni miti maana Dodoma mungu aliinyima miti.
@mklarazaa719
@mklarazaa719 3 жыл бұрын
Kuna kipindi zilijengwa mwanza nikauliza bei ni milioni 70 masikini yupo hapo kweli
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 3 жыл бұрын
Wanazingua hao Milioni.70 kwa mwananchi wa hali ya chini uyo??
@mutalemwafaridu5341
@mutalemwafaridu5341 3 жыл бұрын
Thanks for the good work to the nation
@ooafrica3626
@ooafrica3626 3 жыл бұрын
Apa inatakiwa miti ipandwe kweli kweli
@MrNoNonsenseYes
@MrNoNonsenseYes 3 жыл бұрын
Concrete jungle in the making, kueni makini sana mimea ni muhimu sana zaidi ya vile munavyofikiria
@asiakimolo5616
@asiakimolo5616 3 жыл бұрын
Wameshajipanga ,pangu pakavu tutaziona tu kwenye TV
@leokamil6284
@leokamil6284 3 жыл бұрын
Kama za Kigamboni za wauguzi kama sikosei
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 3 жыл бұрын
Jamani wekeni kampuni ipande miti sasa yaani panatisha si kwa ukame
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 жыл бұрын
Dodoma kama Oman ivyoiyvo
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@kiatu
@kiatu 3 жыл бұрын
Watakopa hao wanaochota pesa zetu huko hazina
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
WANAO CHOTA WATALIPA CASH.
@highvoltages4169
@highvoltages4169 3 жыл бұрын
_"Wananchi wa kipato cha chini kununua hizo nyumba"_ ULIZA BEI, Halafu ndo utajua ni wananchi gani watanunua, wenye uchumi wa hali ya chini au hali ya juu
@amzamrid3571
@amzamrid3571 3 жыл бұрын
Asante sana
@ramadhanichalachala549
@ramadhanichalachala549 3 жыл бұрын
Siyo kweli hizo nyumba mtauziana wenyewe ila angekuwa JPM nikweli wangekopeshwa masikini
@omaryregga5315
@omaryregga5315 3 жыл бұрын
Kiukweri hizo nyumba wanajengewa matajili huku sumbawanga hizo nyumba wanakaa matajili tu
@aboubakar4793
@aboubakar4793 3 жыл бұрын
Unakopa benk afu ukishindwa kulipa bank inakuwa mali yao wenyewe
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 3 жыл бұрын
Bei gani mbona maneno meeeeeeeengi mnashindwa kuitaja bei elekezi ya izo nyumba zenyewe?na kwa kipindi gani?
@AhmedMohamed-so7db
@AhmedMohamed-so7db Ай бұрын
Bei gan sii mnajua kadirio ama mnatichocha
@shinipapaya846
@shinipapaya846 3 жыл бұрын
Asante sana Raisi wangu mzee baba
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
AHSANTE UMEPEWA BURE???
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
@@salimsaid7200 🤣🤣🤣🤣
@ooafrica3626
@ooafrica3626 3 жыл бұрын
Safi sana
@kabalajunior5441
@kabalajunior5441 3 жыл бұрын
Hiyo nchi Ni kavu sanaaa jmn
@josephstephen2047
@josephstephen2047 3 жыл бұрын
Ni semi desert mzee
@tusajigwekanemela2864
@tusajigwekanemela2864 3 жыл бұрын
Tunazisubilia yetu machooo
@bonyngere3758
@bonyngere3758 3 жыл бұрын
Nakuona kaka mkubwa mkurugenzi mkuu Azania Bank
@blackbeauty579
@blackbeauty579 3 жыл бұрын
Bei gani tujue mapema
@sijalikifunyo912
@sijalikifunyo912 3 жыл бұрын
Miezi mitatu wakati miundombwinu mingi bado!!!!
@gracielachiloloma2154
@gracielachiloloma2154 3 жыл бұрын
Bei gan
@aboubakar4793
@aboubakar4793 3 жыл бұрын
Tengenezeni nyumba na muuze kwa milion moja hadi mbili na zenye laki 7 ndo tujue mnasaidia wanainch sio hizo
@gilbertidi9682
@gilbertidi9682 3 жыл бұрын
MAGUFULI MAGUFULI MAGUFULI..................
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
ONGEZA SAUTI LABDA ATAKUSIKIA.
@kasililamecksatano7302
@kasililamecksatano7302 3 жыл бұрын
Safi sana Tz sisi siyo masikini
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
BASI KANUNUWE.
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
@@salimsaid7200 😊😊
@chingawadunia3621
@chingawadunia3621 3 жыл бұрын
Tunahtji Kaz wakuuu
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
Tajeni bei bc tupime km vp bora tujenge wenyw
@morganrobinson3542
@morganrobinson3542 3 жыл бұрын
Swali ni kwamba hao walengwa watazipata kweli! Maana kifuatacho hapo ni vigogo mitoto yao kujimilikisha juu kwa juu.
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
HAPO HAKUNA MLENGWA NI POCHI YAKO 2
@ramlazuber6038
@ramlazuber6038 3 жыл бұрын
Watalizwaaaa WATUUU huko ipo siku.
@gerkombo6512
@gerkombo6512 3 жыл бұрын
Inabidi maji yachimbwe chini, la cvyo hilo ni jangwa.
@sponsalfathedj8177
@sponsalfathedj8177 3 жыл бұрын
Mvua ikinyesha hapo pako salama?
@zuwenaabrahman9913
@zuwenaabrahman9913 3 жыл бұрын
mumepoteza pesa hapo mulikuwa mujenge magorofa ya mana ili wakaazi wangepata wengi kuliko Mia tatu mulio taja
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
NENDA MICHENZANI UKAONE PALIVO OZA NA KUNUKA HADI AIBU.
@aishaomari944
@aishaomari944 3 жыл бұрын
Oda plz
@staralive9260
@staralive9260 3 жыл бұрын
Wanachi wa chini ni kigezo tu lakini kwasababu lengo sio wananchi wa hali ya chini.
@vedastokeya3344
@vedastokeya3344 3 жыл бұрын
Tanzania bhana eti nyumba za watu masikini ukiuliza bei unaambiwa 33M -- 70M Kuna mtu masikini mwenye hiyo hera ongeeni vitu halisia kama tupo tz sio London.
@simonishija8087
@simonishija8087 3 жыл бұрын
Jamaa kafanana na lizy one
@nipolive..2745
@nipolive..2745 3 жыл бұрын
Mwenye mawasiliano na wahuska. Nitumie namba nipo kigoma nije na mi nikope nyumba
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 3 жыл бұрын
Akuna Nyumba Ya Masikini Apo Maneno Tu Utamkwa
@mrgeorgeisdory5277
@mrgeorgeisdory5277 3 жыл бұрын
Magufuli hoyeeeeeeee Rest In Peace Mfalme 👑👑👑👑
@ashamtumwa7226
@ashamtumwa7226 3 жыл бұрын
Azania oyo
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
UNA DHANI BURE.
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 жыл бұрын
Nitanunuwa
@kiatu
@kiatu 3 жыл бұрын
Unakopesha mamilioni halafu ndio kwanza leo unatembelea😟
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 3 жыл бұрын
Hakuna mtu mwenye kipato cha chini mwenye hiyo hela
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Bora kununua kiwanja milion 6 kujenga kibanda chumba seble nikae 😅
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
HAPO SAWA UMEPATIA SANA👍👍👍👍
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 3 жыл бұрын
Kujenga nyumba sio tatizo bali nyumba zikikamilika tamaa ya baadhi ya Watendaji wa Ngazi za Juu wanaingiwa na tamaa ya fedha hivyo Rushwa zinakuwepo na kufanya wananchi wenye uhitaji makazi bora kukosa nyumba sababu ya ukiritimba uliopo. Azania Benki naomba mtende haki kwa watu wote hasa wastaafu nadhani zingewasaidia sana maana wanapoteza fedha nyingi kupata makazi ya kudumu baada ya kustaafu.
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Kwanza kiuhalisia hizo nyumba sio za kimaskini wataenda kuishi wenyewe
@ambakisyemwakinunu2002
@ambakisyemwakinunu2002 3 жыл бұрын
Hakuna chochote ni danganya toto ni watu kujitengenezea njia za kujinufaisha wao tu, hizo nyumba zitamilikiwa na wenye pesa tu hakuna mtu wa hali ya chini atakaeweza kumiriki nyumba hizo kwani gharama zake hatoweza kuzimudu
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 3 жыл бұрын
Ajira babkubwa kwa waliopo huko iyumbu
@aboubakar4793
@aboubakar4793 3 жыл бұрын
Hakuna nyumba za wanainchi wenye kipato cha chini hv selikali nayo kumbe ni yakifiki hivi
@marymfugwa847
@marymfugwa847 3 жыл бұрын
Hizo nyumba masikini hawazipati.
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
AKIWA NA PESA ATAIPATA.
@ambakisyemwakinunu2002
@ambakisyemwakinunu2002 3 жыл бұрын
@@salimsaid7200 kama ni milion 70 ni masikini huyo? Masikini akopeshwe kwa milion 5,6,7 hapo sawa, wewe unavyofikiri zitapatika za Kiasi hicho?
@IBENGM
@IBENGM 3 жыл бұрын
@@ambakisyemwakinunu2002 Nyumba gani hyo inathamani ya Mil 5? Hyo sio nyumba labda useme banda!
@ambakisyemwakinunu2002
@ambakisyemwakinunu2002 3 жыл бұрын
@@IBENGM ndugu yangu hayo ni maisha watu usiyadhihaki kama wewe Unapesa kaa kimya,Hata hiyo unyoiita wewe nyumba waliokizidi kifedha wanakiita kibanda, tuna madaraja hapa duniani kikubwa tuheshimiane
@IBENGM
@IBENGM 3 жыл бұрын
@@ambakisyemwakinunu2002 Haya bwana isiwe shida sema nia yangu ilikuwa sio kudhihaki bali ni mtizamo tu maana kila mtu anauelewa wake.
@frederickmwakatobe4669
@frederickmwakatobe4669 3 жыл бұрын
Mimi ni mwananchi maskini napata milioni mbili na nusu kwa mwaka. Ntapateje nafasi ya kununua nyumba hizo?
@chingawadunia3621
@chingawadunia3621 3 жыл бұрын
Tupeni Oda ya Kaz kw madalal wadogo wqkuuu
@aganolamotoeliya2027
@aganolamotoeliya2027 3 жыл бұрын
Hivi maskini ni yupi? Kama anaweza kununua hizo nyumba atakua maskini kweli?
@highvoltages4169
@highvoltages4169 3 жыл бұрын
Hapo sijajua aina ya maskini wa kununua hizo nyumba
@chingawadunia3621
@chingawadunia3621 3 жыл бұрын
Mm nazjua mpk unapoonglea nakupngza San mm Kam machinga San
@alhajimbwambo3785
@alhajimbwambo3785 3 жыл бұрын
Bei nishingapi
@naipendatanzania3248
@naipendatanzania3248 3 жыл бұрын
Ulie kuwa kalibu vyumba vingapi izo nyumban na lazima awe mkazi wa dodoma tu au mtanzania yoyote
@davidmathias1654
@davidmathias1654 3 жыл бұрын
3 bedroom Na 2 bedroom
@naipendatanzania3248
@naipendatanzania3248 3 жыл бұрын
@@davidmathias1654 masha Allah
@naipendatanzania3248
@naipendatanzania3248 3 жыл бұрын
@@davidmathias1654 vyoo ndan au
@davidmathias1654
@davidmathias1654 3 жыл бұрын
Ndiooo
@eltajir
@eltajir 3 жыл бұрын
Jamani bei zikoje na sisi wamikoani tuje tununue
@williebenmarunda9854
@williebenmarunda9854 3 жыл бұрын
Nyumba zinajengwa barabara za vumbi?
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
Eti milion 70 kipato cha chini hawa jamaaa hawajielewi
@najmaulaya8819
@najmaulaya8819 3 жыл бұрын
Mbona kama jangwani mmmh
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
DODOMA SINGIDA TABORA SHINYANGA NA MWANZA NDIO KULIVYO WEWE KWENU WAPI????
@degelajeshibatamaji3105
@degelajeshibatamaji3105 3 жыл бұрын
Kwa mwanza sio kweli
@saimonmanyerezi7169
@saimonmanyerezi7169 3 жыл бұрын
Tembea uone wewe umejifungia vijibweni tuuu,hata jiografia huijui?????..
@antonyvallerian1718
@antonyvallerian1718 3 жыл бұрын
Tukopesha mama
@kakamkubwa3210
@kakamkubwa3210 3 жыл бұрын
@Tanzania mmesha tulia hela zetu hakuna masikini atakae pewa hawana uwezo huo mmejijengea nyie wenyewe mtamilikishana kwa kujuana bola mngewapa viwanja tungejua ni kweli ila sio nyumba
@tanzaboy4824
@tanzaboy4824 3 жыл бұрын
Wanakupanga wanasema kipato cha chini alafu hakuna nyumba ya milion 50
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 3 жыл бұрын
Million 50 kubwa ivo, 25 tu
@wazirimbwambo672
@wazirimbwambo672 3 жыл бұрын
Bei bei
@paulnsabi3779
@paulnsabi3779 3 жыл бұрын
Mambo gani muhimu yazingatiwayo kukopa/kununua ni watumishi au wajasiriamali,Bei ya kununua/mkopo,ukubwa wa nyumba muda wa kulipa,je mikoa mingine mradi huu upo,kupanga kero
@benethmengele9255
@benethmengele9255 3 жыл бұрын
Bei gan toeni maelekezo ya kutosha
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 3 жыл бұрын
Hizo nyumba ni za serikal sio maskin
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
@@paulnsabi3779 HIZO HABARI ZOTE NENDA BENKI UTAZIPATA.
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
@@benethmengele9255 HUYO NI MSIMIAJI 2 HIZO HABARI NENDA KITENGO CHA KUNUNUWA WATAKUPA MAELEZO YOTE.
@msafiriiddy3135
@msafiriiddy3135 3 жыл бұрын
Sio vizuri kupendelea kukaa kwenye makazi ya watu Wenye kipato cha chini kwanza Wizi ,umalaya,wivu, kurogana, mimba za utotoni ni vitu muhimu kwenye makazi ya masikini
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Kwanza kiuhalisia hizo nyumba sio za kimaskini
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 KWELI UMESAHAU NA UCHAFU WA MAKUSUDI......
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
@@ilynpayne7491 WABONGO WAMEZOWEYA KUDANGANYWA WAKIAMBIA ZA MASIKINI WANAFURAHI HAJUWI HIYO NI BIASHARA MWENYE PESA ANAUZIWA UTAONA KUNA WATU WANAFURAHIA NA KUSIFIA KAMA WAMEPEWA BURE.
@husseinsaid9007
@husseinsaid9007 3 жыл бұрын
Si uwongoo maana nawajuwa mm hlfu mara umepewa jini wa kujitakiA
@ramadhanimbulu6716
@ramadhanimbulu6716 3 жыл бұрын
Fanyeni kama Kyle Libya alivyofanya Gadafi nyumba kama hizo alijenga watu wakapewa wakae bure kwa watu masikini kama sisi,unawauziaje masikini nyumba?
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
HAPO TUNGEJUWA KAMA SISI SIO MASIKINI........SIO KUBANDIKANA MADENI YA MAISHA.
@salha6596
@salha6596 3 жыл бұрын
Kwa sisi tuliopo nje ya nchi tunapata je uduma?
@dostovan5142
@dostovan5142 3 жыл бұрын
Uduma gani,rudini kwanza
@salha6596
@salha6596 3 жыл бұрын
Naitaji mkopo wa nyumba nitaoataje mkopo huo nipo nje ya tz
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
@@salha6596 PIGA SIMU BENKI.
@marcominja8850
@marcominja8850 3 жыл бұрын
Mnajinadi kuwa nyumba ni nafuu huku mnaogopa kutaja bei, hakuna cha unafuu hapo na pia vijumba vidogo sana.
@salumabdallah6680
@salumabdallah6680 3 жыл бұрын
Jenga yako kubwa sasa maana kila kinachofanywa na serikali awamu ya 6 mnaona hakifai
@marcominja8850
@marcominja8850 3 жыл бұрын
@@salumabdallah6680 mnaona na nani?
@twilamtumbi5351
@twilamtumbi5351 3 жыл бұрын
@@marcominja8850 kiswahili kigumu. Muulize vizuri
@sankofaman4112
@sankofaman4112 3 жыл бұрын
@@salumabdallah6680 huu ni mradi wa awamu ya tano. Awamu ya sita haijaanzisha mradi wowote zaidi ya mradi wa mama kubadilisha mishungi na kupiga picha.
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 3 жыл бұрын
Miradi ya awamu ya tano JPM mama hajaanzisha chochote zaidi ya misemo ya kanga taarabu na kubadilisha mishungi na kupuyanga na ndege . Mtamkumbuka JPM angekuwepo hizo nyumba ziko mbali sana
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
Hawa walio vaa Makoti kwenye jua hilo jamani
@charlesngarapi8434
@charlesngarapi8434 3 жыл бұрын
Sasa hvi dodoma baridi
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
@@charlesngarapi8434 . Hua wana vipindi vya baridi kumbe. Au upepo
@edsu3092
@edsu3092 3 жыл бұрын
@@bjzee1981 barid tena kali
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
@@edsu3092 . Shukran kunifahamisha. Sijawahi kufika Dodoma hua naelewa tu ni sehem ya joto nani pakavu sana
@rahimdikungule3737
@rahimdikungule3737 3 жыл бұрын
@@bjzee1981 sahivi sio kama miaka ile ya 2000 kuna baridi hatare
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 16 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 12 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 78 МЛН
MIRADI YA NYUMBA ZA NSSF
15:06
NSSF TANZANIA
Рет қаралды 13 М.
Mpaka Home MAISHA YA RAYVANNY NA JUMBA LEKE LA KIFAHARI UTAPENDA
10:32
Most Useless Megaprojects in the World
16:31
MegaBuilds
Рет қаралды 48 МЛН
BREAKING: Nyumba za NSSF Kigamboni zapigwa mnada
9:16
Millard Ayo
Рет қаралды 168 М.
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН