Kazi ipo, tusipoangalia tutaishia mbali na miradi haitakamilika. Let us be honest and do our due diligence. Watanzania wanatuangalia kwa hili, tuache siasa na tuifanye kazi kama hiyo pesa inavyohitajika kufanya!
@lucygodwin75908 ай бұрын
Tunataka ianze kazi. Kutoakuanza kazi ni kuleta uchungu na kumkumbuka Mafuguli.
@PhilibetLadislaus8 ай бұрын
Serikali yetu inatuuza kusaini mikataba bila kukamilisha ya kwetu 10 percent inaua uchumi wetu
@AAAAlphan8 ай бұрын
Cha msingi train ianze tembea
@domymerinyo81658 ай бұрын
Hapo mnapigwa na kitu kizito mngeangalia hiyo kama itaweza kuingiza hela na sio kuwapa watu fursa ya kula hela. Sikubaliani nanyi kwenye kukopa wakati hakuna viwanda vinvyozalisha vitu vya kusafirisha. Kukiwa na vita nchi za jirani maana yake hakuna hela ya kulipa deni. Mtaumiza wananchi kwa mizigo ya kodi mfukirie kwa kina sio kwa sifa.