SERIKALI YASITISHA UKAGUZI WA RISITI ZA EFD KARIAKOO

  Рет қаралды 538

Daily News Digital

Daily News Digital

Күн бұрын

DODOMA: SERIKALI imesitisha zoezi la ukaguzi wa risiti za Kielekroniki (EFD) na ritani za kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), iliyokuwa ikifanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia Mkoa wa kikodi wa Kariakoo jijini Dar es Salaam, wakati ukiandaliwa utaratibu mzuri wa utekelezaji wa suala hilo katika Soko Kuu la Kimataifa la Kariakoo.
Hayo yamesemwa naWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo kwa niaba ya Serikali mkoani Dodoma leo wakati akitoa maazimio ya kikao kati ya viongozi wa wafanyabiashara Tanzania, viongozi wa wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo na Taasisi zinazosimamia masuala ya wafanyabiashara.
KIkao hicho ambacho kiliitishwa na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) kilihudhuriwa pia na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Ashatu Kijaji na viongozi wengine waandamizi wa Serikali.
Imeandaliwa na Mwandishi Wetu
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: ....
SpotiLeo: ....
TWITTER;
Twitter HabariLeo: Ha...

Пікірлер
We Put 7 Uber Drivers in One Room. What We Found Will Shock You.
12:03
More Perfect Union
Рет қаралды 2,1 МЛН
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 1,2 МЛН
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН
Alat yang Membersihkan Kaki dalam Hitungan Detik 🦶🫧
00:24
Poly Holy Yow Indonesia
Рет қаралды 11 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 987 М.
CCWT YAITISHA MKUTANO WA DHARURA
2:07
Daily News Digital
Рет қаралды 192
TUNATAKA KUOKOA MAISHA YA WATU-DK. BITEKO
2:02
Daily News Digital
Рет қаралды 322
MGOMO WA KARIAKOO, MFANYA BIASHARA AFUNGUKA KUPOKEA VITISHO
11:55
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 1,2 МЛН