TRC naona miradi inaendelea vizuri kwakweli, hongereni sana, Lakini jitahidi kutokurudia makosa yaliyo fanyika katika ujenzi wa awamu ya kwanza yaani Dar to Moro. Liangalieni sanaa la njia za watembea kwa miguu, najuwa njia hii inapita mijini na vijijini, kuna barabara nyingi ndogo ndogo ambazo hukatiza reli wekeni vivuko ambavyo havitaleta usumbufu kama ilivyotokea Dar ninaamini hili litafanyiwa kazi jambo hili TRC reli tv kazi iendelee
@isareva2 жыл бұрын
Calvert, summary fupi, top layer, sub ballast, structures, stages, bottom slab, binding Haya ni maneno machache tu ambayo mhandisi ameyatumia Hivi mnatarajia ni watanzania wangapi wanakuelewa kwa maelezo haya. Mtangazaji eti umemsifu mhandisi kwa taarifa nzuri 😮😮😮😮
@mimiraia25312 жыл бұрын
Huyu engineer mwenyewe hata hajui kujieleza/kufafanua kazi yake. Hovyo kabisa!!
@fransicmushenyera93022 жыл бұрын
tatizo mnakuwa na kigugumizi kutaja.jina la magufuri ktk miradi aliyoianzisha R.I.P.JPM .
@modestwenceslaus92 жыл бұрын
Wanaongelea maendeleo ya ujenzi wa Reli ya SGR Wala hawaongelei Sala,Dua au Misa za wafu,ukitaka Misa za wafu nenda kasalie kwenye Kaburi lake kule Chato.
@julianjudex63392 жыл бұрын
Engineer ajui kuelezea mradi
@julianjudex63392 жыл бұрын
Ma engineer wengine awa nafikiri wa wa nenda kamleteee compente zao zinatisha shakaaa
@beaugosseadam68312 жыл бұрын
@@modestwenceslaus9Hata mamako kahaba wa mitaani ni mfu anayetembea. Mfu wa chato alionyesha mataga wa kipwani na ndondokera aliopo Ikulu walivyo Empty kichwani. Mtatembelea nyota yake na wengine bado mnanapigana na KIVULI cha Mwanaume shupavu JPM.
Reli tunaijenga kwa gharama kuuuubwa lakini cha kushangaza kwenye ununuzi wa treni tunafanyiwa uhuni.. Inaumiza sana
@luhendesoloshija95022 жыл бұрын
Mupo aridhi ya madini muwe makini mwaweza pata diamond au gold
@semwenzimohamed76092 жыл бұрын
Huyu engineer anaongea kama ame-kremu tuu. Hawezi kujielezea kazicanayofanya. Typical shule zetu unaenda kwa ku-memorise tuu hauelewi.
@isareva2 жыл бұрын
Imekuwa Tabia mbaya ya wahandisi wa TRC kutoa taarifa zao kwa lugha isiyotambulika duniani Huwezi kuwataarifu watanzania maradi huu kabambe kwa kutumia mchanganyiko wa kiswahili na kiingereza kibovu Tumieni lugha moja tu Kama hamjui kiswahili zungumzeni kiingereza au lugha ya kienyeji kama kisukuma😂😂😂
@vince_vinson.20832 жыл бұрын
😀😀😀😀
@kabwelasutiviraka47652 жыл бұрын
Hii elimu ya bongo mbona aibu tupu yaani madudu kweli kweli , mtangazaji ndio anaonekana ndio engineer na anajieleza vizuri kuliko huyo Bwana mkubwa engineer
@rajabomary42222 жыл бұрын
Quality ya picha zenu iko chini sana mbona YapiMalekez wanatoa picha nzuri...
@HASASON2 жыл бұрын
Mtangazaji unaongea mno kuliko unaemhost, uandishi wa wapi huu? Ongea kidogo muda mwingi achia wataalam halafu punguza kurudiarudia kitu, kitu kimoja unarudia mara 40 🚮
@beaugosseadam68312 жыл бұрын
Asipoongea sana na kusifia upuuzi, ataonekana hafanyi kazi
@mimiraia25312 жыл бұрын
KILAZA KAPEWA MICROPHONE
@beaugosseadam68312 жыл бұрын
Miaka 30 ya kipwani tulipoteza sanaaa.
@mimiraia25312 жыл бұрын
WAPWANI wamerudi tena, tutazidi kupoteza zaidi. Fikiria suala la umeme, kama Magufuli asingethubutu kujenga bwawa la Rufiji, hawa WAPWANI wangetufikisha wapi!!??