SGR MWANZA-ISAKA YAFIKIA 54%, KAKOSO AMWAGIZA KADOGOSA KUKAMILISHA HARAKA

  Рет қаралды 6,855

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 9
@ulimbombonaulindi5088
@ulimbombonaulindi5088 2 ай бұрын
Twende kazi jamani, tuko nyuma kwa miaka mingi sana. Bado mikoa ya kusini inatudai, Dar-Lindi-Mtwara-Ruvuma reli iguse mbamba bay iambae kuelekea mpaka wa Tz na Malawi iende mpaka mbeya-Rukwa ikaungie Tbr. Inawezekana kabisa tukiweka vipaumbele vyetu vizuri.
@loner_wolf
@loner_wolf Ай бұрын
Huyu cjui anaongea nini😅😅😅😅 Train ya sgr hata mzigo wamesema hairuhusiw .... yeye anasifia tu bila break . Au pombe nini ....
@user-ys3gt8lp5h
@user-ys3gt8lp5h 5 ай бұрын
Sis tunataka kuona reli inakamilika Imani ya wananchi ndo itakuja
@Kabwela776
@Kabwela776 5 ай бұрын
Wachina watamaliza ila waturuki watakuwa wanasuasa
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 5 ай бұрын
Fanyeni KAZI Sisi tunatambia ya uvivu . wakoloni waliweza Kwa nguvu ya Wananchi kuchimba milima Kwa nguvu za watu Leo tuna technology kubwa lakini bado mnalalamika lazima muende na muda sio blabla.
@musakatwale1959
@musakatwale1959 2 ай бұрын
JPM❤
@richardbegga6679
@richardbegga6679 5 ай бұрын
Huyu anaongea nn?😂😂😂
@mosaidi2633
@mosaidi2633 5 ай бұрын
Kila siku blah blah huyu afyekwe
@Kabwela776
@Kabwela776 5 ай бұрын
Sasa si Ndio kazi ya serikali kujenga miundo mbinu na huduma za kijamii au serikali ulitaka ifanye Nini ?
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 35 МЛН
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 17 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 67 МЛН
KIPINDI CHA RELI NA MATUKIO | WALIO NYUMA YA HUDUMA ZA SGR
26:29
TRC RELI TV
Рет қаралды 2,7 М.
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 4,9 М.
DARAJA REFU LA SGR MWANZA ALILOLIZUNGUMZIA WAZIRI MKUU MAJALIWA
1:19
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 35 МЛН