SHABANI YABIN ft NEEMA CIZUNGU - Mke Wa Mtu official video

  Рет қаралды 166,741

Neema Cizungu

Neema Cizungu

6 жыл бұрын

SHABANI YABIN ft. NEEMA CIZUNGU -
Song: Mke Wa Mtu
Official video
shalom shalom wapendwa wangu
nawasalimu katika jina la yesu kristo mimi Shaban Yabin nina matumaini makubwa kwamba wimbo huu utakubariki sana na ndoa yako itakuwa ndoa ya baraka sana na yenye kuwafurahisha watu na Mungu
pia naomba ukiangalia usisahau pia kumtumia rafiki na ndugu yako ili tubarikiwe pamoja

Пікірлер: 61
@maggymshay7666
@maggymshay7666 4 жыл бұрын
Wale ambao hatujaolewa tunasikiza kupata mafundisho wekeni like... 2020 Corona na iishe
@bishopezraassumani3693
@bishopezraassumani3693 2 жыл бұрын
tunawashukuru nyote mbarikiwe sana
@chrismutisya
@chrismutisya 3 жыл бұрын
Mwanamke jishughulishe usije ukampa nafasi mwengine. Wimbo murua. Barikiwa Neema.
@naomimpemba9914
@naomimpemba9914 4 жыл бұрын
yaani huu wimbo nilikuwa wapi kuuona jamani, wimbo mzuri mnoo, Mungu awabariki sana, wanasema kweli hakika inabidi kujipanga upya.Mungu atusaidie sana tuwe bora kuliko jana.
@NeemaCizungu
@NeemaCizungu 2 жыл бұрын
nashukuru sana kabisa marafiki zangu mbarikiwe
@cizajosephina8525
@cizajosephina8525 3 жыл бұрын
Wimbo wa kweli na mafundisho
@kalcismalu1602
@kalcismalu1602 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mpendwa na endelea.c'est fr.kalkis
@josuekalwani5725
@josuekalwani5725 4 жыл бұрын
Nakupenda sana dada Neema uwa nakufuatalia sana kila siku nyimbo zako ni faraja kwangu yaan sana mim ni mroma lakin nyimbo zako zinanijenga sana.
@seziholiness9860
@seziholiness9860 4 жыл бұрын
mwanamke jishuhulishe
@mwasiazangambanda3233
@mwasiazangambanda3233 2 жыл бұрын
Nasema amen kwa sahuti kubwa mubarikiwe sana wa pendwa 🔥🔥🔥🔥🔥
@innocentmunga2832
@innocentmunga2832 4 жыл бұрын
Mubarikiwe sana
@samdavid8583
@samdavid8583 3 жыл бұрын
Jaman kuna wanawake wagum kuelwa hatar utafikir hawasikilizi nyimbo wara kuangalia movie duh
@tokasontouchclean2146
@tokasontouchclean2146 4 жыл бұрын
Barikiweni jameni
@fatimaabu174
@fatimaabu174 3 жыл бұрын
Amen pia hivo mammy uwao niukweli tu
@tatubaraka5752
@tatubaraka5752 2 жыл бұрын
Mbarikiwe sana watumishi
@aishamatangamatangamatanga1344
@aishamatangamatangamatanga1344 2 жыл бұрын
Love you dada neema 💞💞💞
@furahamimi6422
@furahamimi6422 2 жыл бұрын
Always heats
@gracekatulanya3151
@gracekatulanya3151 3 жыл бұрын
Mungu Aku bariki
@mlasiesembe895
@mlasiesembe895 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana jamani💯💯
@abuusamwel7286
@abuusamwel7286 5 жыл бұрын
Huyu mama anajua kuimba nampenda sana
@NeemaCizungu
@NeemaCizungu 5 жыл бұрын
Asante
@elizabethjemo2645
@elizabethjemo2645 4 жыл бұрын
@@NeemaCizungu Mungu aibariki huduma yako Napenda nyimbo zako,utukufu kwa Yesu Kristo
@paulisevindu1261
@paulisevindu1261 4 жыл бұрын
Mbarikiwe wapendwa, wimbo una mashauri mhimu mengi
@wilfridashilwatso8870
@wilfridashilwatso8870 2 жыл бұрын
Very nice song
@jacksaid
@jacksaid 3 жыл бұрын
Wimbo nzuri, ukiweka wimbo huu kwenye tv, radio etc.. na mkewe akinuna basi ujuwe ana vijitabiya
@annajustin1945
@annajustin1945 2 жыл бұрын
Hahaha kabisa na mtu asiyenipenda kukemewa hataki kubadilika
@sylviaoum2943
@sylviaoum2943 2 жыл бұрын
Hahahahaa...Ni kweli kabisaaa
@ireneanzuruni3802
@ireneanzuruni3802 4 жыл бұрын
Amen,muke mwema ujenga nyumba yake.mubarikiwe
@kennedyimbuga001
@kennedyimbuga001 5 жыл бұрын
Nyimbo za Neema Cizungu zilinifanya niokoke. Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
@ezraassumani6108
@ezraassumani6108 5 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@NeemaCizungu
@NeemaCizungu 4 жыл бұрын
KENNEDY IMBUGA Amen
@rosehezron7451
@rosehezron7451 5 жыл бұрын
nice combination shaban ft neema wimbo unabariki sana from RPCT boko chama Dar es saalam Tanzania
@armandemushwere3521
@armandemushwere3521 4 жыл бұрын
Félicitations papa Shabani. Nyimbo nzuri saana. Tunapokeya shauri tusiwe wa vivu. Tatashugulika saaana sana. Mubarikiwe
@ziberaetienne7251
@ziberaetienne7251 5 жыл бұрын
hiyi nyimbo ni nzuri
@redhillhero1975
@redhillhero1975 4 жыл бұрын
Huu wimbo ulijificha wapi? we need you to minister in 🇰🇪 both of you..much love.
@echasamabanga8924
@echasamabanga8924 4 жыл бұрын
mbarikiwe san nyimbo nzuri san kbs iyo mungu awe nanyinyi pmj san 🙏🙏🙏
@floribertmukambwadun7173
@floribertmukambwadun7173 2 жыл бұрын
Soyez richement béni
@husenilukecha9129
@husenilukecha9129 6 жыл бұрын
AMEN AMEN! MUNGU AWABARIKI SAAANA. asante kwa wimbo
@patrickmkambilwa9932
@patrickmkambilwa9932 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
@selemanimmeswa3556
@selemanimmeswa3556 5 жыл бұрын
matendo mema
@evelynerisasi5338
@evelynerisasi5338 5 жыл бұрын
Mubarikiwe saaaaaaana
@abuusamwel7286
@abuusamwel7286 5 жыл бұрын
Neema cizungu wimbo mzuri sana ila ungeuimba peke yako
@swahiliandculture6599
@swahiliandculture6599 2 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️
@justinkalembemanzurukwe1631
@justinkalembemanzurukwe1631 6 жыл бұрын
Que Dieu te donne la force ma Soeur.
@tantinembozaye1748
@tantinembozaye1748 3 жыл бұрын
Ameni lovely so much
@rizmarkabraham8705
@rizmarkabraham8705 5 жыл бұрын
Be blessed man of God
@matondoclaudine8268
@matondoclaudine8268 5 жыл бұрын
munguabarikiwe sana maman nelly na mutumishi wa mungu shabani
@ireneanzuruni3802
@ireneanzuruni3802 6 жыл бұрын
Amen Amen,Nawapenda sanaaaaaa,Mungu Awa bariki.
@josephineshomari963
@josephineshomari963 5 жыл бұрын
Amen amen
@beatricegaston6519
@beatricegaston6519 5 жыл бұрын
Wow nice song
@munguakonkwajulesrwabaduka1968
@munguakonkwajulesrwabaduka1968 4 жыл бұрын
Que le bon seigneur puisse vous bénir car, vous êtes toujours à l'évangélisation. Camarade Jules
@mariamuabwe2800
@mariamuabwe2800 5 жыл бұрын
God bless you guys
@christineuwimana6091
@christineuwimana6091 3 жыл бұрын
Amen
@tsongovirikundi4742
@tsongovirikundi4742 2 жыл бұрын
Thanks
@samsonjisele6435
@samsonjisele6435 3 жыл бұрын
🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
@jullynahimana873
@jullynahimana873 6 жыл бұрын
Ameena
@byamungulusambo2635
@byamungulusambo2635 5 жыл бұрын
mungu akubariki Sana
@bisengobubasha
@bisengobubasha 5 жыл бұрын
Mubarikiwe sana
@NeemaCizungu
@NeemaCizungu 5 жыл бұрын
Amen
@joycewilliam1119
@joycewilliam1119 5 жыл бұрын
The Vocalist Amen
TUMRUDIE MUNGU-NEEMA CIZUNGU SMS SKIZA 9868498 to 811
6:25
Neema Cizungu
Рет қаралды 264 М.
MAPITO BY NEEMA CIZUNGU
7:36
Neema Cizungu
Рет қаралды 313 М.
Получилось у Вики?😂 #хабибка
00:14
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 76 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 4,7 МЛН
KITU CHEMA By SHABANI YABIN/Bukavu
10:49
SHABANI YABIN TV
Рет қаралды 4 М.
Maggie Muliri Ft Bahati Bukuku - Nitafika Tu  (Official Video)
5:21
Maggie Muliri
Рет қаралды 2,7 МЛН
NEEMA CIZUNGU,MAPITO LIVE
7:33
Neema Cizungu
Рет қаралды 23 М.
Neema Jeckonia  Chavala - JARIBU KAMA MLIMA (Official Video)
8:08
NEEMA JECKONIA CHAVALA
Рет қаралды 254 М.
Unionavyo Sivyo - Jackson Yusuph X Aniset Butati (Official VIdeo 4K)
5:29
neema cizungu - nimebaki na wewe  [Live performance] RHIC
9:41
Restoration Of Hearts International Church (RHIC)
Рет қаралды 13 М.
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 21 МЛН
KICHWA CHA YOHANA By SHABANI YABIN/Bukavu
7:49
SHABANI YABIN TV
Рет қаралды 8 М.
NEEMA CIZUNGU - UNATENGENEZA NJIA (OFFICIAL VIDEO)SMS SKIZA 7916242 TO 811
8:09
SEMA NAMI - NEEMA CIZUNGU
5:33
Neema Cizungu
Рет қаралды 1,4 МЛН