Hata kama unaona huu mwaka wa 2023 malengo yako hayajatimia,,,jua jibu la maisha yako utafika kwa Jina la Yesu Kristo Amen
@adrerarauliani3518 Жыл бұрын
Kweli inabidi kujipa moyo pia kuomba Mungu anajibu .pia malengo yatatimia kwa jina la yesu.
@lucyrichard39235 жыл бұрын
Mlobarikiwa na huu wimbo zaidi yangu pia mko humu kwani??####nitafika katika jina la yesuu
@hatamimnimempendabulejaman15965 жыл бұрын
Kapendeza halafu kama inye edo wa nsijeria kidogo
@hatamimnimempendabulejaman15965 жыл бұрын
Kumbe Bahati yumo ndio nilishangaa wamemtaja halafu mwanzo sikumuona
@nyamogafamily42625 жыл бұрын
Ninayo Kama waitaka Andika hapa no yako..
@nancyruoruo10255 жыл бұрын
Amen nitafika tu
@mathiaskasato76785 жыл бұрын
Amen
@zeshsulesh608411 ай бұрын
Any Muslim here ambao tunaupenda huu wimbo gonga like,Tutafika tu,jibu nikufika
@KatihabwaShabani7 ай бұрын
😂😂 i like it
@justinasyokau20205 жыл бұрын
Congratulation wimbo mzuri umenitia moyo
@jeannettekeza64345 жыл бұрын
Yani nikiona jina la Bahati bukuku hata kama sija sikia wimbo Nina juwa tu nita faridjiwa tu nakupenda bure my dada ❤️❤️🥰🥰
@mariekapongo20415 жыл бұрын
Namimi pia, minapataka faraja tosha kupitiya bahati bukuku the servant of our living God. Mungu azidi kukutumiya dada hilikwinuwa mwoyo hiliyo pondeka
@ladyannmusic57635 жыл бұрын
Waaah nampenda saana bahati
@TheGospelMelodies5 жыл бұрын
Bahati Bukuku kiboko yao... Nampenda Sana pia
@makokokabwe42505 жыл бұрын
hajawahi kukosea kabisa
@jisukali36785 жыл бұрын
Jeannette keza wewe kama mimi tu
@DaisyZainab-cc6sg5 ай бұрын
Nani ako hapa 2024 gonga like unipitie nifike 1k😊
@danterey5 жыл бұрын
Kama unaamini UTAFIKA kama mimi gonga like.
@makelemohuya53804 жыл бұрын
God bless you mumy
@francinahmwinga6845 ай бұрын
Nitafika kwa imani
@nellykadenyi2 ай бұрын
nitafika tuu
@benminaj5 жыл бұрын
Kenyans in the room.......like hapa
@joykanjadavid26175 жыл бұрын
Nice music
@philyskasaya73174 жыл бұрын
Nko kwa mpigo
@freddyfredricks34354 жыл бұрын
Present coz of Bukuku's voice and her knowledgeable lyrics 😍😍😍
@steveb27454 жыл бұрын
L
@judym912 Жыл бұрын
Nitafika tuuu haki wimbo naupenda sna mungu awabariki sna
@SCOVIAVILLAKWOBA8 ай бұрын
Najua nitafika hata mm kwa jina la Yesu🙏
@drsmartdanial37355 жыл бұрын
Mimi nilikuwa namusubilia wimbo huu wa BAHATI BUKUKU Ingawa nacherewa lakini musinichukiye sana kabsa nipeni likes hapa ingawa niko,wamarekani 💪💪💪💪💪💪💪💪❤❤❤❤❤❤
@joykanjadavid26175 жыл бұрын
💕💕💕💕
@purity_7_m2 жыл бұрын
Great song Thank you for taking care of chibalonza's daughter ' wonder' magy muliri.......we are happy to see her growing well ......🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@michaelmichaelpetro Жыл бұрын
Yaan dada bahati nakupenda had nakupenda tena ,❤
@naftalimimbi26745 жыл бұрын
Kama unakubali nyimbo hii gonga like twende sawa.
@marywanza56434 жыл бұрын
Barikiwa mama
@williamndele84603 жыл бұрын
Vaileth Petter nakubali Sana ngoma hii kwakweli imenibarki
@mamafatu21662 жыл бұрын
Unanibariki Sana huuwimbo hasante sanaaa
@merrysangamerryaanga3498 Жыл бұрын
😢😊
@merrysangamerryaanga3498 Жыл бұрын
@@williamndele8460 😂
@joshuabaharia934 жыл бұрын
Hakika tutafika saf sana mabest
@lilianiq84165 жыл бұрын
Nahitaji msaada wako bwana nifike niendapo, ni kufika nikufikaweeee, ntafika kwa jina la yesu. Kenyan nabarikiwa nikiwa apa iraq mungu ni mwema
@maggiemulirimuliri73975 жыл бұрын
amen zidi kubarikiwa dear
@velmawandera54712 жыл бұрын
nina imani nitafika jibu nikufika 🙏🙏🙏🙏listening in saudi arabia
@loyceemacy91855 жыл бұрын
Barikiwen jamani nimebarikiwa sana
@Ayaka.Evelyn4 ай бұрын
Jibu ni kufika ,Hadi mimi jamani nionjeshe likes
@marionoyalo6628 Жыл бұрын
Amen.. Hakika hata safari iwe ndefu.. Tutafika katika Jina la yesu christo
@Baley-M.a.b Жыл бұрын
Amen nitafika tu nina Imani🌹🌹🌹 naomba unishike mkono Mungu.
@chrissjoel77523 жыл бұрын
*Jibu langu lipo Mungu yu pamoja nami 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 In God we trust* Niko hapa baada ya kumzika MAGUFULI nafarijika kwa nyimbo 😢😢😢😢😢😭😢😢😢
@asteriayohana37463 жыл бұрын
R.I.P our Hero
@SamuelkimaniMuthoni-ql2bm11 ай бұрын
God is good kwa imami tu tafika tu
@milkagakungi53682 жыл бұрын
Delay is not denial,kucheleweshwa sio kunyimwa ,Niko na Imani nitafikaa❤️
@ireneouma98938 ай бұрын
Amen
@magrethsimtenda9264 жыл бұрын
Naamini nitafikatu sikat tamaa
@salomefelix20522 жыл бұрын
KUUUMBEEEH TUMBONI MWAKE AMEMBEBA SAMWELIIII,,Mungu awatunze MAGGIE NA BAHATI.
@SteveNyombo Жыл бұрын
Mimi wimbo uyu umenifuraisha na Kuni USA kabisa ,na Amini ni tafika kwa safari ya uduma yangu
@liliankitundu3 жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu kazi Nzuri Sana...
@FurahaEdward-u4z Жыл бұрын
Yaani huwa nikiusikiliza huu wimbo napata faraja mungu awatunze na kipawa kiongezeke kwa viwango vya juu kwa jina la YESU
@Health-living362 жыл бұрын
Nitafika tu Eeh mungu wangu nisaidie, nitangulie baba, fungua njia, ondoa vikwazo vyote, fungua milango baba😭😭🙏🙏🙏❤️❤️❤️
@LuckMuso Жыл бұрын
Naomba Mungu napotoka hapa nipate kazi mahali pazuri MUNGU nikumbuke
@edithayouma15285 жыл бұрын
Massage nzuri sana, thanks may almighty God uplift you sanaaa,, haijalishi hali ninayo pitia.Amen🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪mpoooo???
@sarahnambuva31534 жыл бұрын
Safi kabisa
@rodenyirene80824 жыл бұрын
Huu wimbo unanikumbusha mbali...wakati safari yangu ilikuwa ready ya kwenda canada ...gafla n kaibiwa passport 😭😭😭 nina imani nitafika...ndio corona ilitokelezea border zikafungwa ndio nilijua Mungu ana sababu ya Kila kitu maisha n mwangu
@truphenanerea84232 жыл бұрын
Aki mungu ana kusudi Kwa Kila jambo 🙏🙏
@Mutabazi222 жыл бұрын
Omg 😱 I’m really sorry 😢 to hear that you know that is the work of devil 👿 because when the good things happened to you he can’t stay like that he will need to get people in problems but as we have Jesus and he is everything to us so we are a winner
@suzanalucasemanuel70062 жыл бұрын
Jibu la Maisha yangu ni kufika naomba nishike mkono baba
@fennyodera2828 Жыл бұрын
pole sana
@raelmochache7075 Жыл бұрын
Hpe ulikua sababu
@lucybrayson Жыл бұрын
Huu wimbo umeniongezea Imani ..mana kila wakati naona nimefika mwisho ..kukata tamaa na machozi kwangu hayaishi ..Mungu nisaidie ..hatakama nimechoka kiasi gani nisaidie nisikate tamaa🙏🏻
@violetseje7089 Жыл бұрын
"Ata giza liwe kubwa nuru nayo iko" ... Amen 🙏
@judithadede33944 жыл бұрын
Nikufika..huruma za mungu Bado zinanitafuta..💖💖💖💖
@miriamatieno6490 Жыл бұрын
Ipo siku nitafika tu Mungu naomba unitie nguvu I'm blessed through this song😢😢🙏
@evewesco Жыл бұрын
My baby was going through a surgery I was weak and crying everytime this song encouraged me and glory be to God the surgery was a success.
@ProsperMwakikoti Жыл бұрын
Nakumbuka wakati natafuta kazi
@IreneNyagaya6 ай бұрын
Huu wimbo inanikumbusha the day my baby daddy told me ninunue ata nguo nibadilishe maana hiyo moja nimevaa sana na ilipata nyumba yangu pia ilichomeka😢😢Leo I can testify jibu ni kufika Tu🙏
@susansuziest6912 жыл бұрын
B blessed 💞 Wana Gulf tutafika tuu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@chanellenibikora97915 жыл бұрын
Amen mbarikiwe sana nitafika tuu kwa jina la YESU
@pstrebeccahnduku Жыл бұрын
Nimekufuatilia sana mum na nimekupenda buuure. Msalimu sana mama Bukuku kipenzi changu....
@alicemucharia65385 жыл бұрын
Nitafika tu .my tomorrow is greater in Jesus Name
@felixodhiambo82045 жыл бұрын
Nitafika tu. Amen. Felix,Kenya
@alicemucharia65385 жыл бұрын
@@felixodhiambo8204 Amen
@hellentyrah7789 Жыл бұрын
Huu wimbo unanigusa sana kila mara nikiskiza shida zangu zinaisha na stress baadae nafanikiwa
@malikiawafamilia67605 жыл бұрын
Ingelikuwa nyimbo yakumutkana mungu ningepata likes 100000,twende,wakombolewa
@doctorharrietndalo82432 жыл бұрын
Mungu nikumbuke vile ulikumbuka Sarah jameni
@linetynanjala54 жыл бұрын
Nitafika! Kutapambazuka katika Jina la Yesu
@ShamilaNachembe-qt8rn Жыл бұрын
Kila ninachopanga Cha mafanikio kinaharibikia mwishoni.ila Nina Imani nitafikia tu.mmenibariki sana n'a nyimbo mzuri
@rithakuyala99514 жыл бұрын
Mungu awabariki yani nyimbo zenu nzuri uluma ya MUNGU nitafika tuuu❤❤❤❤❤❤❤❤
@Baley-M.a.b Жыл бұрын
Amen
@nataliaprincess50664 ай бұрын
❤❤❤ itafika
@jilliankarisa5445 жыл бұрын
😔😔😔😔😔😔😔 mwenye kusema bahati alikufa si aje asikie hii. Be blessed ladies 🙏🙏
@ildephonsentahomvukiye54105 жыл бұрын
Yule anatakia afungiwe chanal yake ya KZbin
@maggiemulirimuliri73975 жыл бұрын
Kabisa
@winfredmaithya89035 жыл бұрын
Hao hawana kazi ni kujunguza maisha ya wengine
@rosemarykagine69965 жыл бұрын
Mungu atamzidishia miaka yakuishi bahati
@jonhkirikeija36914 жыл бұрын
Bonjour
@getrudelewa52973 жыл бұрын
Naamini nina Imani nitafika tuu,Amen
@beatriceumuhevyi1882 жыл бұрын
Mungu atukuzwe na Yesu kristo awasaidie ba dada zetu, mumeimba vizuri saana mwimbo huyu umenisaidia kuomba, Aksante sana Bahati na Maggie Mungu awabaliki tena, you are very beautiful ladies, be blessed
@christinapaschal31903 жыл бұрын
My sister asante Asante sana aaa maana umenitiamoyo nikiwanashida huu wimbo unanitiamoyo 👋👋👋👋👋
@meredouble98975 жыл бұрын
Kesho yangu itafika tu... nimebarikiwa sana na huu wimbo 🙏🏾🙏🏾❤️
@esterjohn14335 жыл бұрын
Amin tutafikatu
@fatumatunu90555 жыл бұрын
Amen tutafika tuendako dadangu
@MichNabs Жыл бұрын
Wimbo huu hunifariji na kunitia moyo
@winniengesa94215 жыл бұрын
Nitafika tuu....jibu langu lipo... I'm blessed Women of God
@joykanjadavid26175 жыл бұрын
Amazing voice
@EverineMunkombweКүн бұрын
Nitafika tu, Amen 🙏🙏🙏 vraiment
@fatumanaliaka22104 жыл бұрын
Ameeeeen in Jesus name amen 🙏🙏🙏🙏 nitafika japo majaribu ni mengi lakini naamini kwamba Bwana utanifusha na utanishindia na kuniwesesha vyema Kwa yote katika Jina La YESU KRISTO ameeeeen Hallelujah 🙌 ameeeeen 🙏🙏 Mwenyezi Mungu aendelee kuwapikania kuwa dia nguvu vyema na kuwashindia na kuwawesesha vyema kwa yote na kuwainua katika Jina La YESU KRISTO Aliye Bwana na Mwokozi wetu amen 🙏🙏🙏
@barackmuyobora263 Жыл бұрын
Atakama safari nindefu tunaimanini kwamba pamoya na Mungu tutafika🙏🙏🙏
@luhekelondelwa97143 жыл бұрын
Jibu la moyo wangu ni kufika tu Mbarikiwe kwa wimbo mzuri
@NancyJohn-r9l5 ай бұрын
Hata na mimi nitafika tyy kwenye kwenye uzima wa afya eee mungu angu nmechoka na magonjwa nifkishe na mimi kwenye uzimaa 😭😭😭
@eleanorahchao38585 жыл бұрын
Tumaini langu iko mwaka kesho nitafaniwa tu Mungu Asante kwa kunifikisha mahali nilipo you made a way for me thanks for everything I really do appreciate it Your Blessings and mercies upon my life jibu la Maisha yangu iko
@estherbellmakokha3 жыл бұрын
Aki nimeuona tiktok nkautafuta KZbin nimeupenda sana barikiweni wadau
@rosettematenga17275 жыл бұрын
Mubarikiwe sana tumebarikiwa Mungu awachie nguvu mumekuta kwa sauti naBukuku Mungu awafunulie mtowe zingine nyimbo nyingi yani mumewazidi wote.
@victoriamumbua87474 ай бұрын
Apa Tena 😊nina Imani nitafika 🙏🏻
@isayakimanga2835 жыл бұрын
uhafifu wa mbaramwezi haufanyi usiku kukwama___________YESU NDIYE MUNGU pia nimwaminifu sana
@lovenesssarungi2193 Жыл бұрын
Nimesikiliza huu wimbo zaidi ya mara kumi na tano
@nereahwakesho32215 жыл бұрын
Nina Imani ntafika ninako enda, Amen asanteni sana
@stellaokumu42432 жыл бұрын
Mbarikiwe sana kunipa moyo kuinuka tena
@fidelisferuzi55035 жыл бұрын
Mbarikiwe katika utumishi wenu. Tunawaombea mtengeneze wimbo mwingine pamoja.
@patientmusahada9324 Жыл бұрын
Tuache dhambi kusudi tufike mbinguni.
@evalynesamuel54394 жыл бұрын
No temptation has overtaken you that is not common to God. God is faithful and he will not let you be tempted beyond your ability bt with the temptation he will also provide the way to escape that you may be able to endure it#1corintians 10:13#
@JonathanKule-p8w Жыл бұрын
Unatu jenga sana kiroho
@violetjuma95225 жыл бұрын
Waaa dis song iko juu to xaaana God bless
@kennedytapala7800 Жыл бұрын
Wimbo unaingia hadi ndani ya roho
@faithowen6875 жыл бұрын
Nina Imani.... Nitafika tu kwa uwezo wa MUNGU🙏
@rajabubakari20605 жыл бұрын
Mbalikiwe watumishi malikia wanguvu
@upendochenga81095 жыл бұрын
Hongera Dada Maggie, hii colabo nimeipenda.Mungu awabariki.
@janetnzikali68234 ай бұрын
....Nina imanii nitafika hata Mimi, safari imenichosha ,milima na mabonde,misitu na Giza, lakini najua nitafika tuuu...Eee Mungu wangu Wacha wimbo huu uwe kama makumbusho na na tumaini Kwa maisha yangu... be blessed team utafika tuu
@eng.moseso.ongudipe28443 жыл бұрын
Bahati bukuku has a blessed voice. The voice can make satan vanish like passing wind. Kudos the daugher of Kabarage Nyerere.
@Nancychemkang Жыл бұрын
Ameen powerful song 🙏🙏
@merryhussein82754 жыл бұрын
Amina mam mbarikiwe sana
@queenanglethebossladymybra33045 жыл бұрын
Bahati bukuku you are one in millonea God bless you more than today
@elsanjeri22945 жыл бұрын
L
@tanzanianaturalt.n48465 жыл бұрын
Nimebalikiwa
@carolinChambangwe3 ай бұрын
Najipa moyo mwaka Kesho ntafaulu jibu lipo Leo ...Nitafika tu atakma Safari iwe na vikwazo🙏🙏🙏🙏
@mashnjo82715 жыл бұрын
Why would some one give thumb down to such a beautiful song.
@honorathamosses44 жыл бұрын
Asante kwa nyimbo hii yenye kutia moyo, Nitafika tu.