SHANGAZI YAKE ZUCHU AFUNGUKA MAZITO | DIAMOND AMETUZALILISHA SANA

  Рет қаралды 5,623

KUBWA KULIKO TZ

KUBWA KULIKO TZ

Күн бұрын

Пікірлер
@rashidfatma2137
@rashidfatma2137 2 күн бұрын
Maasha'Allah! 🎉👍💯🥰
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 2 күн бұрын
Zuchu ana nyota Kali, dada ni mkweli
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 2 күн бұрын
Hivi Zuchu si mama yake alisema alimpeleka kwa Diamond amuendeleze? Sasa nyota ya Zuchu ikoje juu kuliko ya Diamond aliyempaisha? Aondoke basi tuone
@OlgaAmboulou
@OlgaAmboulou 10 сағат бұрын
​@@Brunn-mh2bqWIVU 😢
@rosebullens5155
@rosebullens5155 Күн бұрын
Alifikiria yeye ni bora kushida tanasha. Zari? Hamisa. .😂😂😂😂🎉hapo ni moto mama
@SarahHappy-k1o
@SarahHappy-k1o Күн бұрын
Hapo kwa nyota kweli zuchu ananyota kwakweli
@kariaagness4213
@kariaagness4213 Күн бұрын
Amweo mama yake mbwa lakini Tifa yupo atatombwa sana
@ashahassan2120
@ashahassan2120 2 күн бұрын
Mnajichosha kisa maish yasiyo wausau aembu mtajeni na mtume kwanza mpate ata sababu mchana zuchu usiku zuchu
@LuluMalima-j1w
@LuluMalima-j1w 8 сағат бұрын
Zuchu atarudi tuu he asikii ni sad
@rashidfatma2137
@rashidfatma2137 2 күн бұрын
👍💯🥰🎉
@GisèleNdayikeza-d6f
@GisèleNdayikeza-d6f Күн бұрын
Ninaco waomba tu kwenye swali la mahusiano muwe mna acha viherehere maana mta aibika kama mama mkwe na Barnaba😂😂
@chumchum1526
@chumchum1526 12 сағат бұрын
Kafanyaje tena mbona nilipitwa😂😂😂mama kimbo
@sweet16honey75
@sweet16honey75 2 күн бұрын
Diamond ndio ali mnyorosha Zuchu ki music dada Diamond alikua na warembo wangapi kwani zuchu alikua hajui jamani na wote waliondoka na watoto haswa na alitangaza kama hataki mwanamke ata mpiga matukio
@aminaissa3312
@aminaissa3312 21 сағат бұрын
Mwanaume anamzalau ndomana anaafanya hivo
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 Күн бұрын
Zuchu aone hii tu, ajitoe kwa hiyo family, I wish ningekuwa na no ya zuu
@faridaalshabibi9226
@faridaalshabibi9226 Күн бұрын
Lakini Mimi nilivyo ona Daimond alimuingiza zuzu kwa ajili ya kuimba lakini zuchu akaruka mipaka kupenda sehemu haipendeki sasa avumiliye makosa yake
@uwimana6533
@uwimana6533 Күн бұрын
Kabisa 😂
@jamilajamila9682
@jamilajamila9682 Күн бұрын
Ndio hivo diamond alimuingiza kwenye lebo yake kwa heshma na huruma na kwa ajili ya khadija kopa,sasa yeye alipoingia hapo alikuwa na malengo pia ya kumtamani diamond 😂😂sasa hakuona wenzake wangapi walipita hapo na wamezalishwa wakaachwa??yeye ndio nani asiachwe kama sio king'nganizi +hatakiwi kwenye family hiyo😢?,!khaa hebu aache shobo kujipensekeza mwisho unakuwa kama kujishusha personality akae kwa kutulia aache shobo afocus kwenye kuimba tu ,diamond si muowaji hapo.
@patriciambuvi8233
@patriciambuvi8233 Күн бұрын
Diamond wakati Yuko na Tanasha alijaribu kutulia kuliko wakati huu Ako na zuchu! Zuchu ulia Kila siku na wakati wa Tanasha hatukisikia diamond na mwanamke yeyote Hadi Tanasha akaja kutoka na kutoka kwake haikuwa kupigwa tukio ati alikuwa na mwanamke la hasha! Walimlazimisha hasifanye mziki
@MercyChemutai-dz6ur
@MercyChemutai-dz6ur 2 күн бұрын
Umeongea ukweli dada kama diamond anataka zuchu alipe pia yeye amlipe zuchu deni ni kulipa so walipane
@uwimana6533
@uwimana6533 Күн бұрын
Nimuono wako salijiona atamueza daimond kuliko wengine avumilie mtoto akililia wembe mpee 😂😂
@YusuphMtanga
@YusuphMtanga 2 күн бұрын
Wewe mkulima umetokea wapi zuchu ananyota kuliko daimond akapimwe akili kwanza ndio uropoke
@MaulidmtajiMaulid
@MaulidmtajiMaulid 2 күн бұрын
Zuchu ana nyota kali bana
@YusuphMtanga
@YusuphMtanga 2 күн бұрын
Wewe mbona unateswa na mpenzi wako na hautoki mjinga wewe mwenyewe unateswa na utoki
@Marry-u8m
@Marry-u8m 13 сағат бұрын
Kama niboso yeye asha maliza mkataba sasa aki toka hana shida hapo kwazuchu siongei ika boso toka sasa uji tafute zaidi
Kikuyu Comedy King - Mbote Njogu
Obinna TV Extra
Рет қаралды 3,9 М.
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
CITIZEN NIPASHE 3rd February 2025
24:17
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 31 М.
It's a Crystal Day! Diamond Point , outside of Payson
5:39
Chad Elli
Рет қаралды 69 М.
YANGA KAMPIGA MWARABU 4 BUYU  KISASI KIMELIPWA TAZAMA BEROUSDAD ULIMI NJE
2:56
MZEE WA VITUMBUA AWAPIGA NONDO WANA JANGWANI KIMENUKA.....
2:51
UVCCM (W) MTWARA VMJINI WAFANYA DUA KULIOMBEA TAIFA.
7:22
Faruku Ngonyani
Рет қаралды 36
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН