SHANGWE LA TAWALA.!!AHMED ALLY ALIVYOTUA NA SIMBA /AWAOMBA RADHI /AGOMA KUELEZA SWALA LA USHIRIKINA

  Рет қаралды 40,437

Bona Tv

Bona Tv

Күн бұрын

Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
SHANGWE LA TAWALA.!!AHMED ALLY ALIVYOTUA NA SIMBA /AWAOMBA RADHI /AGOMA KUELEZA SWALA LA USHIRIKINA
#Bonatv #ahmedally ##simbasc

Пікірлер: 102
@barikikimaro9165
@barikikimaro9165 2 жыл бұрын
Tutaiunga mkono timu yetu nyakati zote za raha na shida hii ndo simba bana💪💪
@zainabrajab9608
@zainabrajab9608 2 жыл бұрын
Imenifurahisha nashukuru mashabiki wote tumeridhika na matokeo
@vicentlaurent9008
@vicentlaurent9008 2 жыл бұрын
ukomavu wamashabiki wa SIMBA ni level nyingine Kwenye shida na raha wako pa1 hii inatia moyo kwa wachezaji wetu🦁🦁
@fatmaabasi5262
@fatmaabasi5262 2 жыл бұрын
Simba tunapenzi kama mama Kwa mwanae pamoja sana.
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 2 жыл бұрын
Aisee hongereni mashabiki wa Simba huu ndio mpira unaotakiwa nadhani wachezaji watafanya vizuri kwa wakati mwingine
@thechosenone.9169
@thechosenone.9169 2 жыл бұрын
Washabiki wa Simba,hushabikia team na sio matokeo ya mechi.tulitabiriwa goli saba na wabaya wetu,lakini tumeruhusu gori moja tu tena la offside.
@agnesarran5339
@agnesarran5339 2 жыл бұрын
semaji la CAF congrats umeupiga mwingi❤❤
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 жыл бұрын
Mwingiiiii
@reymahandrew2564
@reymahandrew2564 2 жыл бұрын
Oooh I love what I see 💖💖💖......Team 🦁🦁🦁🦁 for life
@ClaraCecil-rq4xf
@ClaraCecil-rq4xf Жыл бұрын
Mmepambana sana asante kwa kazi mmeionesha Afrika na Dunia kuwa Tanzania tunaweza
@kessyester2479
@kessyester2479 2 жыл бұрын
HONGERENI WATANI MMEJITAHIDI
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 жыл бұрын
Asanteeeee kaka wewe umeona na unaujua mpira nje ya ushabiki
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 жыл бұрын
Mashallah simba nguvu Moja kwenye raha shida yupo p1
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 жыл бұрын
Kabisa my huo ndio umoja
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 2 жыл бұрын
Basi bwana fulani akiona hivi kiroho kinamuuma hatari🤣🤣🏋‍♂️
@shahidarashidy5272
@shahidarashidy5272 2 жыл бұрын
Musihuzunike sana wachezaji wetu mulichokifanya uwanjani tumekiona bahati haikuwa yetu tujipange upya msimu ujaoni tulipoishia tuvuke penye marekebisho tuyarekebishe pamoja na club yetu tupo nyuma yenu popote mulipo nasisi tupo SIMBA NGUVU MOJA💪💪.🦁🦁🦁 daima nitakupenda timu yangu❤❤.
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 жыл бұрын
Weweeeeee aminaaaaaaa kubwa weyeeee kubwa lao Mohammed Ally uyooooo mtandikieni nguo apiteee
@masharikicosmetics1054
@masharikicosmetics1054 2 жыл бұрын
SIMBAAAAAAA 🦁 🦁 🦁 🦁 🦁 🦁 ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@DianaAbdalah-d8z
@DianaAbdalah-d8z 4 ай бұрын
Namkubali hehmed ally,
@alfredsindani3996
@alfredsindani3996 2 жыл бұрын
Manara toka azaliwe hajawahi kupokelewa hivyo
@shahidarashidy5272
@shahidarashidy5272 2 жыл бұрын
😂😂😂Amekuwa masai dada aliye jichubua munduli nzima hakuna kama yeye amewakaa
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 жыл бұрын
Ndiooooo
@halimahalima1984
@halimahalima1984 2 жыл бұрын
Nguvu moja uyo ndo mpira semaji la kimataifa
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 жыл бұрын
Iyeeeeeeeees
@airinsumeno2490
@airinsumeno2490 2 жыл бұрын
❤️
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 жыл бұрын
Sure tunaitamani finali tujipange upya kwa stage toka kutambaa tunaka sasa kutembea na fainali
@abdulkareemseif1892
@abdulkareemseif1892 2 жыл бұрын
Unaweza kuilazimisha furaha lkn haiji
@suleimanmachano1098
@suleimanmachano1098 2 жыл бұрын
Wanajitoa kimasomaso......siku zote mwisho wa ubaya na dharau kwa wenzako ni aibu
@juliusisack4090
@juliusisack4090 2 жыл бұрын
Nguvu moja
@mariamuomary8373
@mariamuomary8373 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🙏sawa semaj nimekuelewa
@marselinarweyemamu4034
@marselinarweyemamu4034 2 жыл бұрын
Nguvu 1
@brunothimoteo9971
@brunothimoteo9971 2 жыл бұрын
Pamoja.milele
@mahmoudramadhani2043
@mahmoudramadhani2043 2 жыл бұрын
♥️♥️♥️♥️♥️💪👏👏
@alfredsindani3996
@alfredsindani3996 2 жыл бұрын
Kwann asiumie
@adamhashayro3133
@adamhashayro3133 2 жыл бұрын
Nchi imevamiwa na wachawi wa nchi
@abdulkareemseif1892
@abdulkareemseif1892 2 жыл бұрын
Asanteni kwa kushiriki
@kambimtonnasra7163
@kambimtonnasra7163 2 жыл бұрын
Kam nyinyi mlio nus a😂😂😂
@winfridagama5832
@winfridagama5832 2 жыл бұрын
@@kambimtonnasra7163 kapisa hatabkunusa kwenye kwa mbaliiiiii
@sazanahussen6715
@sazanahussen6715 2 жыл бұрын
Mbona hajiamini🤣🤣🤣🤣🤣ila welcome home
@mohammedkhamis75
@mohammedkhamis75 2 жыл бұрын
Hamaneno uio
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 жыл бұрын
Nimekimis kigomaaa 🤣🤣🤣😁😁😁😁😁😁
@abdulmalikiramadhani8067
@abdulmalikiramadhani8067 2 жыл бұрын
Aisee mmepambana lakini baat haikuayetu
@uthmanmaluja7005
@uthmanmaluja7005 2 жыл бұрын
Nakasikia kwa mbaaali.Hawaamini macho Yaooo,Tabasam la kulazimishaa
@kambimtonnasra7163
@kambimtonnasra7163 2 жыл бұрын
Macho yao yanakanush
@isackshayo9344
@isackshayo9344 2 жыл бұрын
Nguvu moyaa semajii
@lameckerasto9676
@lameckerasto9676 2 жыл бұрын
1976
@zabronkalulu9388
@zabronkalulu9388 2 жыл бұрын
Simba naipenda kokote nakwenda nayo. Nguvu 1
@suleimanmachano1098
@suleimanmachano1098 2 жыл бұрын
Ni vipi matokeo yasikufurahishe lakini yakuridhishe??
@kherymnzava9079
@kherymnzava9079 2 жыл бұрын
Ilikuwa saaa ngapi hivi
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 2 жыл бұрын
☕️☕️☕️🍵
@timamusulemani7306
@timamusulemani7306 2 жыл бұрын
Inaumaga iyo 😄😄😄😄😄😄😄😄
@mohammedkhamis75
@mohammedkhamis75 2 жыл бұрын
Hawanaakilii
@mohammedkhamis75
@mohammedkhamis75 2 жыл бұрын
Masikini😃😃😃😃😃
@afrahoman2844
@afrahoman2844 2 жыл бұрын
Wesimba ulaya mbona kinyonge ivyo misijakuzoiya ivyo
@billgussy6099
@billgussy6099 2 жыл бұрын
Mbona kachoka sana?!
@nassorobakari6231
@nassorobakari6231 2 жыл бұрын
6
@bornfaceisaalivisonisaa7495
@bornfaceisaalivisonisaa7495 2 жыл бұрын
Sawa ila kutolea kupo pale pale
@mbaumau3565
@mbaumau3565 2 жыл бұрын
Acheni kutafuta droo
@mbaumau3565
@mbaumau3565 2 жыл бұрын
Mmedanganyika na kudifence tu mwisho wake ndio hiyo imekula kwenu
@hassanmfaume9175
@hassanmfaume9175 2 жыл бұрын
Masini ww hujuwi mpira
@shahidarashidy5272
@shahidarashidy5272 2 жыл бұрын
Hebu fumba domo nausipende kukariri jifunze najitahidi kuufahamu mpira nabado hamuta amini macho yenu SIMBA NGUVU MOJA
@jumaselemani2720
@jumaselemani2720 2 жыл бұрын
Uyu mtangazaji kolo nini 😅😅
@abdulkareemseif1892
@abdulkareemseif1892 2 жыл бұрын
Uchawi mwisho chalinze
@nasskidy8196
@nasskidy8196 2 жыл бұрын
wanawanga Hadi uwanja wa ndege🙄
@jumaselemani2720
@jumaselemani2720 2 жыл бұрын
Wamekodi cha uruguai 😅😅
@rehemamohamedi5533
@rehemamohamedi5533 2 жыл бұрын
Unawajua wakali wa terminal au unawackia👌bac kama hujui uliza sio ilmrad ucoment😏
@mohammedkhamis75
@mohammedkhamis75 2 жыл бұрын
Unetolewa wanafurahi
@winfridagama5832
@winfridagama5832 2 жыл бұрын
Wewe ukutolewa ,Uganda,Kenya,Burundi Simba amewakikisha vema KTK Africa.
@selemanihassan6350
@selemanihassan6350 2 жыл бұрын
Tanzania tuna washukuru kwa kutudhalilisha mmepak basi mwanzo mwisho
@helenraulent9630
@helenraulent9630 2 жыл бұрын
Timu yako imefika wapi nayo ilishindwa kupaki basi
@lilianvitus2488
@lilianvitus2488 2 жыл бұрын
Ulifiringwa mbele na nyuma ulitudharirisheje watz
@suleimanmachano1098
@suleimanmachano1098 2 жыл бұрын
Siku zote mwisho wa ubaya na dharau kwa wenzako ni aibu.........hamuamini macho yenuuuuuu
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 2 жыл бұрын
😜😜😜
@martinandugai2340
@martinandugai2340 2 жыл бұрын
Kwa kuroga 😂😂😂😂
@tabletennis6296
@tabletennis6296 2 жыл бұрын
Wangefanya oland mungesema ni kuwatoa watu ktk saikolojia ya mpira akifanya mtanzania karoga tuna roho chafu ndio maana tuko mkiani siku zote
@magrethwasha3741
@magrethwasha3741 2 жыл бұрын
Ulikuepo mda wanaroga au mkumbo peleka uchawi wako huko
@suleimanmachano1098
@suleimanmachano1098 2 жыл бұрын
Makolo mabingwa wa robo fainali mara TATU karibuni tena nyumbani
@johnmwawa2838
@johnmwawa2838 2 жыл бұрын
Tunaweza kukumbushana nyie ata hatua ya makundi ilikuwa lini?
@christinamsuya5492
@christinamsuya5492 2 жыл бұрын
Na nyie mwaka 1970 ndo mlicheza robo fainal hamuon aibu
@ramadhansesala4891
@ramadhansesala4891 2 жыл бұрын
Selemani kwann ukui simba Ni ya level za juu sana
@rahmamukhtar521
@rahmamukhtar521 2 жыл бұрын
Hahahaha,Sijui Orlando Pirates wao wamepokelewa vipi Mnatia aibu kweli,aaaahhhh,furaha ya kulazimisha na dufu la kukodi Pyramid, Mamelod wametolewa na kurudi kwa huzuni na kujiuliza nini tatizo,tena club Bingwa,nyie shirikisho shangwe
@estermpare9903
@estermpare9903 2 жыл бұрын
Ukitakaa nawewe kampokee mamaaakoo malayaa mzee weweee😎🤣wivuu tuu
@rahmamukhtar521
@rahmamukhtar521 2 жыл бұрын
@@estermpare9903 We unamkia kwenye futuhi,sikujibu Simple minded person Malaya Huyo Mama yako aliekuzaa nje ya ndoa ukawa na akili tope
@roserajabu8732
@roserajabu8732 2 жыл бұрын
Tena mwanamke uoni aibu ovyoo wivu umekujaa mpaka uoni mazuri
@christinamsuya5492
@christinamsuya5492 2 жыл бұрын
Malaya ww kadange uko
@christinamsuya5492
@christinamsuya5492 2 жыл бұрын
@@estermpare9903 achana nalo lidangaji ilo ndugu yang hata halijui mpira linabwatuka tu
@nasriabdi9046
@nasriabdi9046 2 жыл бұрын
mbona anatia huruma maskini sio huyu tunaemjua
@jumaseif2452
@jumaseif2452 2 жыл бұрын
VIPI TENA WAMEAMINI MACHO YAO AU
@rahmamukhtar521
@rahmamukhtar521 2 жыл бұрын
Makolo kweli hamnazo,sasa mnashangilia kutolewa? Mtakuwa lini nyie? Mnachekwa na Team zenye akili,ndio maana Galaxy walicheza na akili zenu mkapapaswa
@sportscodesentertainment2753
@sportscodesentertainment2753 2 жыл бұрын
Kafirwe
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 2 жыл бұрын
Inakuuma, eti?
@christinamsuya5492
@christinamsuya5492 2 жыл бұрын
Nyie mbwaaaaa lin mlifka robo final
@kelyjames8142
@kelyjames8142 2 жыл бұрын
Kuma ww watakuwa Utopolo waliopigwa na Rivers United !!!
@rahmamukhtar521
@rahmamukhtar521 2 жыл бұрын
@@kelyjames8142 Hiyo kuma ndio Mama yako aliokutolea,sasa ndio maana unaitaja sana,na sijui kama hukumeza maji ya ukeni ndio maana akili huna,muulize vizuri mama yako
LEMA AFUNGUKA MAZITO BAADA YA HOTUBA YA RAIS KWENYE MIAKA 60 YA POLISI
21:28
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 16 МЛН
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 11 МЛН
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 10 МЛН
AHMED ALLY AFUNGUKA A-Z VURUGU WALIZOFANYIWA LIBYA, INAUMA
15:03
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 39 М.
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 16 МЛН