No video

SHEHE KIPOZEO Alivyowavunja Mbavu Watu

  Рет қаралды 168,016

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

SHEKHE KIPOZEO Alivyowavunja Mbavu Watu
Kiongozi wa Dini Sheikh Kipozeo ameungana na wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kushiriki Futari ambayo imeandalia na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Mkonda katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na wakazi wa jiji la Dar walioalikwa katika futari hiyo Sheikh Kipozeo amesema kuwa tendo la kufungu katika kipindi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani humfanya Mungu kumsamehe mwanadamu dhambi zake zote zilizotangulia.
"Madhambi tunayo mengi tena wengine wadogodogo tu wana madhambi kuliko watu wazima yangekuwa yanaonekana tungekimbiana," alisema Sheikh Kipozeo
Hata hivyo Sheikh huyo ametoa mawaidha kwa wanandoa ambao hawafahamu nini maana ya Ndoa mpaka wanafikia hatua ya kufanyiana ukatili katika ndoa.
nstal GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1

Пікірлер: 83
@jeremiahmugambi8638
@jeremiahmugambi8638 5 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akulinde na akupe umri inshaallah sheikh kipozeo usidi kutuelimisha njia inayofaa,
@raniyahhussein4539
@raniyahhussein4539 4 жыл бұрын
Masha Allah. Mwenyezi. Mungu. Akulinde. Na. Jambo. Lolote. Baya
@bellbell9294
@bellbell9294 3 жыл бұрын
Alhamdulilah maashaallah sheikh kipozeo Allah akubariki Sana jazakallah kher
@saadmgendi8537
@saadmgendi8537 6 жыл бұрын
Masha Allah blessed Sheikh Kipozeo
@amnaalshabani2777
@amnaalshabani2777 4 жыл бұрын
Alhamdullillah unafundisha vizuri na unafurahisha hawatochoka na kawaida yako ❤
@daprince7545
@daprince7545 6 жыл бұрын
sheikh kipozeo mashaallah
@akimmbwego797
@akimmbwego797 6 жыл бұрын
MEET YOU JAHNAAH ONE DAY INSHAALLAH
@idrissabeha1493
@idrissabeha1493 4 жыл бұрын
Pole xana na akili zako zilizo ganda
@elizabethfares4650
@elizabethfares4650 6 жыл бұрын
Mashallah
@shafiuiddi5128
@shafiuiddi5128 5 жыл бұрын
Alhamdulillahi
@aleemaalrahbi338
@aleemaalrahbi338 6 жыл бұрын
Achen kupondo ivi ss binadam tukoje ss hapo kaongea bay gan kam mna laan je hapo angekuwa msanii mungesem mashaallah achen utaira muwe munafikiria pumbavu zen mloponda kasimameni bc nyiny pale ili mtoe mawaidha
@fadhilafaki5436
@fadhilafaki5436 4 жыл бұрын
Hawana akili wajinga
@user-jr4sz5ds9w
@user-jr4sz5ds9w 6 жыл бұрын
Ameen yaarab
@mahmoudhabibu1351
@mahmoudhabibu1351 5 жыл бұрын
Mungu akulipe
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 жыл бұрын
Maa Shaallh
@shanimpenike7568
@shanimpenike7568 6 жыл бұрын
Ukiona mtu anamponda mwenye Kufikisha elimu ya Mwenyez mungu ujue huyo ni shetani wa kibinaadam
@ramadhanisuleymani2646
@ramadhanisuleymani2646 5 жыл бұрын
shani umesema kweli
@abdulkareemseif667
@abdulkareemseif667 4 жыл бұрын
Mhh kila anaemtaja ALLAH tu ndo anatoa mawaidha ,kuisoma dini muhimu,,hapo anachekesha tu
@aliaden5512
@aliaden5512 4 жыл бұрын
Munampenda huyo shehe juu anaongea mambo ya mizigo
@salumhilal7911
@salumhilal7911 6 жыл бұрын
Mbona hajaongea baya lakini naona watu muna mponda
@mwanamwarabu1246
@mwanamwarabu1246 5 жыл бұрын
Mimi nataka namba yke jamani ntaipataje
@sufiainihhaji1820
@sufiainihhaji1820 5 жыл бұрын
Mna uwelewa mdogosana nyinyi amnao msema vibaya
@husnamarandu8380
@husnamarandu8380 6 жыл бұрын
Binadamu hatuna jema!
@jamillaibrahim7068
@jamillaibrahim7068 6 жыл бұрын
shekhe wa wcb
@abdallahshomar1319
@abdallahshomar1319 6 жыл бұрын
Jamilla Ibrahim kipoozeo kapozwa njaa
@fadhilafaki5436
@fadhilafaki5436 4 жыл бұрын
Mjinga sana wewe ebu jitambue
@agwaaydosantos4869
@agwaaydosantos4869 4 жыл бұрын
Hakuna shekhe apoo
@mahamoudmasoud3924
@mahamoudmasoud3924 6 жыл бұрын
shekh kipozea endelea kulingania kwa hekima sio jazba,mtume angetumia jazba dini isingefka hapa
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 4 жыл бұрын
Mahamoud Masoud Jazba gani hapo?
@abdulkareemseif667
@abdulkareemseif667 4 жыл бұрын
Kwani jazba au comedy tu anafanya
@najmamakame9881
@najmamakame9881 6 жыл бұрын
Sijui kwann wanakuaga ivi dah
@hammyyombe5229
@hammyyombe5229 6 жыл бұрын
Amiin
@hamidahamida1473
@hamidahamida1473 4 жыл бұрын
Aamina
@shanisaidy5033
@shanisaidy5033 6 жыл бұрын
Mh hatari kweli
@wahidymrosso7600
@wahidymrosso7600 4 жыл бұрын
MTOTO WA BABA MSAFI 93
@francinensavyimana5601
@francinensavyimana5601 4 жыл бұрын
Yani kunavipaji vya masheikh tofauti kila sheikh anaweka sawa humat MUHAMMADI uisilamu ni raha kwelikweli yani awama sheikh huongeya vitu sahihi isipokua kilamoja na talent yake jamani ukikutanana uyu huzuni utakuishatu
@hajially2903
@hajially2903 4 жыл бұрын
Mashekhe we2 wa saiv ni mtihani, wanajuzisha kila kitu ktk dini kwa ajili ya maslahi yao. Kusema kweliTumcheni Allah kwani tutakwenda kulipwa kwa haya tunayoyatenda
@ahmadsalim4417
@ahmadsalim4417 4 жыл бұрын
Kwamfno sasa hapo kajuzisha nn?
@hajially2903
@hajially2903 4 жыл бұрын
Mm nimepiga mfano tu
@hajially2903
@hajially2903 4 жыл бұрын
Anasema wakristo sisi nduguzetu tokea lini waislaam wakawa ndugu na makafiri iyo Qur-an yenyewe inapinga jambo ilo ktk suratul kaafirun (لكم دينكم ولي دين) maana ya Aya, nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu. والله أعلم
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 4 жыл бұрын
Kipozeo lini utacha comedy ktk dini ya allah ?
@saidinalola1527
@saidinalola1527 6 жыл бұрын
ndio nn ss sheh unamponda kisha uko nae ina maana ss tutakuelewa vp au dunia?
@muhsinmwambule9128
@muhsinmwambule9128 6 жыл бұрын
Saidi Nalola, Imam Abuu hanifa mwa maimamu wakubwa wanaosifika sana pamoja na Imam Shafii, Imam Maalik na Imam Muhammad bin Hambaliy. Alipokuwa anaishi jirani yake alikuwa ni mlevi, na kila akirudi alikuwa akiimba nyimbo inayosema mmeniacha mmeniacha. Ambayo kwa ile hali yake ya ulevi ilikuwa ni kilele kwa kiasi chake kwa majirani zake. Siku moja miongoni mwa siku huyo jirani aliyekuwa mlevi alikamatwa na maaskari wa doria ambapo walevi waliyopatikana kwa siku hiyo walisagwa korokoroni. Imam Abuhanifa akastaajabu kuona jirani yake aliyemzoea kila anaporudi huwa amelewa na huimba nyimbo siku hiyo ni kimya kitupu, alupoulizia akaambiwa amekamatwa na maaskari. Akafunga safari mpaka kituo cha polisi, akaomba kuna rafiki yake amekamatwa anawaomba wamuachie huyo rafiki yao. Wale maaskari walodhani rafikiye naye ni sheikh.Na kwa heshima ya sheikh wakawaacha na walevi waliyokamatwa usiku, yule mlevi kutoka kwa ghafla anamuona Imam. Imam akamchukua akampandisha kwenye punda wake huku yeye akiwa anamkokota yule punda. Baada ya mwendo kiasi, Imam akamuuliza ukipita wakati wa kurudi nyumbani huwa unaimba wameniacha wemeniacha. Sasa je, kuna aliye Kuacha. Bila shaka nimelijibu swali lako.
@hamijeyhamijey9078
@hamijeyhamijey9078 6 жыл бұрын
Kipozeo axhakua dalluu huyo anajichanganya haewek
@abdallahshomar1319
@abdallahshomar1319 6 жыл бұрын
Hamijey Hamijey njaa
@stevenclaud6648
@stevenclaud6648 6 жыл бұрын
Hamijey Hamijey naweza pata mawasiliano yako
@tejawamapenzi1958
@tejawamapenzi1958 6 жыл бұрын
Hamijey Hamijey Hajichanganyi ila Kama Humuelewi Ndio Utaona Anakuchanganya Yuko Sahihi sheikh Ramadhaan Kareem Wa Swaum Maqbul Ukhty Na Samahani Ikiwa Nimekosea Mahali
@tejawamapenzi1958
@tejawamapenzi1958 6 жыл бұрын
abdallah shomar Unaijuwa Njaa Ama Unasema Tu Usipende Kudharau Mtu Mtt Wa Kislamu Wasema Sheikh Njaa SubhanaAllah Allah Akusamehe Na Mwezi Huu Mtukufu In Shaa Allah
@fareedufahamu8893
@fareedufahamu8893 6 жыл бұрын
Hamijey Hamijey mbona yuko vzuri tu!
@jumamunga715
@jumamunga715 6 жыл бұрын
Sheikh ungekua watoa darsa za jihad wallah nna imani wangepatikana mujahidin wengi zaidi
@abdulrazaqayubu894
@abdulrazaqayubu894 6 жыл бұрын
Juma Munga jihad gan sheikh?
@nurudiniidd8969
@nurudiniidd8969 6 жыл бұрын
Yani wewe juma Kwa akili zako jihad nikupgana Tu, nakumrushia jiwe police ,,,,takbiir""Allaaah Akbar...ndicho unacho kiwaza wewe,, hujui kwamba hata anachokisema hpo nijihadi?
@ahmadsalim4417
@ahmadsalim4417 4 жыл бұрын
Mbona waja hatuna jema???? Hata ww waeza toa icho ukisemacho koz hakuna mpaka wa hilo lkn kufanya hufanyi kaz kusubir afanye mwngne ili umtie ila hebu acheni unafki nyie
@ahmadsalim4417
@ahmadsalim4417 4 жыл бұрын
@@nurudiniidd8969 hawa ndo wa kwanza kuleta farka katka umma... atoe yy sasa izo darsa za jihad kwani kuna mtu kamzuia????? Kufnya hufanyi wasubir afanye mtu ukosoe..... kma huo si unafki nni???
@selemankishema5780
@selemankishema5780 6 жыл бұрын
Sheh wawasanii mtihani mtupu namawaidha yangono tupu na istihizai tupu
@ramadhanisuleymani2646
@ramadhanisuleymani2646 5 жыл бұрын
selemani labda we mwenyewe mfanya ngono umeguswa.
@abdulkareemseif667
@abdulkareemseif667 4 жыл бұрын
Hapa hakuna shehe upuuzi tu
@noahvan6890
@noahvan6890 4 жыл бұрын
Pumbavu ww unazini na kutenda dhambi kila unakuja kumuhukumu Mtu, wee umekamilika Nn?
@adamsudy6154
@adamsudy6154 6 жыл бұрын
hakuna shekhe hapo ni mtaftaji rizki tu yupo tayar kuipamba bidaa kisa pesa hana lolote hafai hata kufuatwa
@adambolingo8097
@adambolingo8097 6 жыл бұрын
Adam Sudy hauna ulijualo wewe yabiothi tu
@humudmarhoon8044
@humudmarhoon8044 6 жыл бұрын
Adam Sudy mi nataka nijue kwan hapo kaongea baya gani kaka .. maana utakuja kuulizwa kaka Allah sio dhalim hata kafiri hamdhulumu chunga sana bro
@aleemaalrahbi338
@aleemaalrahbi338 6 жыл бұрын
Adam Sudy kwan hapo kaongea bay gan ww uwe unafikiria unachoandik sio kukurupuk inamaan mashekhe ndo wapaswi hat kuchekesha watu kwan kuchekesha ni haram maneno anayosem ni mazito lkn kuyatamk yanakuj kam kichekesho lkn yupo sahihi ss wasem hakun shekh hapo mpelek bc baba ako akasimame pale chevu sura kam kobe
@rukiaally5898
@rukiaally5898 6 жыл бұрын
Hiyo comment yako kama vile una ugomvi na sheikh. Mi nna wasi wasi na wewee ulie comment hivyo na sheikh
@tejawamapenzi1958
@tejawamapenzi1958 6 жыл бұрын
Adam Sudy Kabla huja Comments Kwanzaa Fikiria Usipende Dhana Khui Ramadhaan Kareem Wa Swaum Maqbul Allah Azitakabalie Dua na Swaum na Swala Zetu Aamiin Yaa Rabbi
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,4 МЛН
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 9 МЛН
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 8 МЛН
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 30 МЛН
UTACHEKA! Sheikh KIPOZEO Amwambia MAGUFULI  "I LOVE YOU" Hadharani!
2:31
Global TV Online
Рет қаралды 248 М.
Jahanam
37:51
Ahlul Sunnah
Рет қаралды 365 М.
IBILISI NI MSHENZI TU //SHEIKH KIPOZEO
19:11
arkas online tv
Рет қаралды 86 М.
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,4 МЛН