SHEIKH ALHAD AWAONGOZA MASHEIKH KUTOA TAMKO LA PAMOJA KWA NIABA YA MUFTI KUELEKEA TAREHE 31,08,2024

  Рет қаралды 6,161

KHIDMA TV

KHIDMA TV

Күн бұрын

Tufuatilie mitaondao ya kijamii;-
Facebook: / mzeewakhidma
Instagram: / khidma_tv
Tiktok: / khidmatv1
KZbin: / @khidmaonlinetv350

Пікірлер: 61
@faridaally-jp1gx
@faridaally-jp1gx 17 күн бұрын
Ma shaa Allaah
@yusufsingano6202
@yusufsingano6202 16 күн бұрын
Kur'an ya mtume rehma na amani za ALLAH zimshukie haikuja kwa maana hii
@jamalkishangu
@jamalkishangu 17 күн бұрын
Profesa Mazinge umemefanua vyema lengo la mkutano huo.
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 5 күн бұрын
Masheikh ya Bidaa
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 17 күн бұрын
Namuona mganga Yusuph Diwani kapakata tumbo hapo mzee wa kuwaita masheikh mayahudi.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 17 күн бұрын
Ikiwa masalafi mnawaunga mkono mayahudi kuwauwa waislam wa Palestina je muitwaje?!
@HemedSerious
@HemedSerious 17 күн бұрын
Chuki utaingia nazo kaburini kama hutojirekebisha
@user-xo9rb7wj7s
@user-xo9rb7wj7s 17 күн бұрын
KAAFIR la kiwahabi wewe,,
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 17 күн бұрын
@@user-xo9rb7wj7s Hahahaha! Alhmulillah nnachojua utaenda kuulizwa utoe ushahid kuwa mimi kafiri
@user-xo9rb7wj7s
@user-xo9rb7wj7s 17 күн бұрын
@@Hamis-ks1sy nikiulizwa mimi we inakuhusu nini wahabi mkuubwa we!!!! Masalafi uvundo mna shida sana nyinyi , ahlu'Farqa walfitna.
@yusufsingano6202
@yusufsingano6202 16 күн бұрын
Sura ya 7 aya 17 ibilis amepiga msalaba nitawazukia mbele nyuma kulia kushoto
@yusufsingano6202
@yusufsingano6202 16 күн бұрын
Muonekano wa dhahili (ibada)....nitawazukia mbele nyuma kulia kushoto wengi
@SaidAbdallah-sm1ft
@SaidAbdallah-sm1ft 13 күн бұрын
Mzee wa usuul Yuko wap mziwanda?
@binseif2216
@binseif2216 17 күн бұрын
Huwa nafurahi sana kumuona sheikh mazinge
@yusufsingano6202
@yusufsingano6202 16 күн бұрын
Ibilisi kaziyake ni kumzuia mwanaadam asimuabudu molawake
@yusufsingano6202
@yusufsingano6202 16 күн бұрын
Kweli elimu bila khofu ni mtiihani
@MbegaOmari
@MbegaOmari 17 күн бұрын
Ndio Kwa hakik ni kweliiiiii ila hat kukumbusha kunahitaji hekma punguzeni ukal wa maneno Kwa viongozi
@saidilindukwa
@saidilindukwa 17 күн бұрын
Itasikika sauti ya wanawake bila ya shaka watasoma Qur'an hawaji kuimba mziki pale,nimekujibu
@user-ot2dk9kt6k
@user-ot2dk9kt6k 17 күн бұрын
Kipozeo usigeuke ukawa kiwashio omar bin khatwab kusikia sauti ya dada yake kusoma QUR'AAN sidalili ya mwanamme kwenda ktk kiwanja kusikiliza saut ya mahaarima yake anapo soma Qur'aan
@SaidAbdallah-sm1ft
@SaidAbdallah-sm1ft 13 күн бұрын
Diwani hamna kitu
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 17 күн бұрын
hili tukio halijafanyiwa promotion kwa waislamu wakalijua
@mrafm7285
@mrafm7285 17 күн бұрын
Kazi ipo
@stedeteam531
@stedeteam531 17 күн бұрын
HII AYA MKIWAULIZA MAS ALA WAULIZENI NYUMA YA PAZIA NAWAKAE MAJUMBANI MWAO HAIFANYI KAZI TENAA NIFAHAMISHENI BISMI LLAAAHI
@faridahalil4456
@faridahalil4456 17 күн бұрын
Tunaambiwa sauti ya mwanamke isiweze kuwa kubwa zaidi ya mwanamume iweje leo mwafanya mashindano ya mabinti????
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 17 күн бұрын
Tatizo siasa za kidunia zimeingia katika dini ya Mungu hapa Tanzania
@Tupena-ov7xq
@Tupena-ov7xq 17 күн бұрын
Mbona hakuna wanawake hapo juu
@user-wv8ec6ls2e
@user-wv8ec6ls2e 17 күн бұрын
Ni wanawake kwa wanawake?
@user-ot2dk9kt6k
@user-ot2dk9kt6k 17 күн бұрын
FALAATAKHDHA ANABILQAULI nyie watu munaotoa tangazo hilo itizameni tafsiri ya hii aya ktk surat ahzaab walipita watu walio kua na fasaha na mantiq na swarfa kuliko nyinyi lakini walishindwa kuibadilisha maana ya hii Qur'aan Allah kawafeka nanyi muko nyuma yao anasema ALAM NUHLIKIL AWWALIIN THUMMA NUTB GHHUMUL AAKHARIIN
@OmanMuscat-d5g
@OmanMuscat-d5g 17 күн бұрын
Shekhe mche allaa watuniwamungu hakuna mtuwabidaa hiinishirki mche allaaa
@shabanimussa4269
@shabanimussa4269 17 күн бұрын
hivi hopo huyo kataja bidaa mbona unajishuku wewe niwawapi ?
@Tupena-ov7xq
@Tupena-ov7xq 17 күн бұрын
Dini hizi zinanyanyasa wanawake viongozi wote wanaume hakuna wanawake na wanawake wamenyamaza kimya,
@HamduMasud-xw6qc
@HamduMasud-xw6qc 17 күн бұрын
Usiseme bila elimu au kuwauliza wanaofam
@HamduMasud-xw6qc
@HamduMasud-xw6qc 17 күн бұрын
Kasome biblia Timotheo 1_2 na 8_2 na pia kasome wakoritho1_14.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 17 күн бұрын
Hujalazimishwa uzifuate, katafute dini yako kawapromote wanawake,,,, kafiri wewe
@AbasHabimana
@AbasHabimana 17 күн бұрын
Kafiri mkubwa ww nenda kanisani kaimbe kwaya maandiko hujuwi ww
@yasinmasawe6421
@yasinmasawe6421 17 күн бұрын
Mlitaka na mafuta awepo si ndio mtume wenu
@user-ot2dk9kt6k
@user-ot2dk9kt6k 17 күн бұрын
Ekesha hata haya hamuna munadharauliwa watizameni wenzenu wabunge kila mmoja ktk kiti chake ana maiki au hupelekewa nyie munafuata maik
@rashidyyusuph4386
@rashidyyusuph4386 17 күн бұрын
Kwahy sauti ya wanawake itasikika kwa wanaume??
@HemedSerious
@HemedSerious 17 күн бұрын
Wewe kichwa chako kina matatzo, wanawake c tunawaskia sehem mbali mbali? C tunawaskia kwenye madaladala, masokoni, mitaani, kwenye mashghuli mbali mbali km vile maharusi, party mbali mbali, mipira nk. Na hamsemi chochote na masalafi mpo 😂😂😂 sasa mnasikia kuhusu kur.an mnaanza kubweka nyny mna matatzo, Yani mkiskia wenzenu wanataka kufanya kheri mnabweka. Poleni sana ndgu
@rashidyyusuph4386
@rashidyyusuph4386 17 күн бұрын
@@HemedSerious ALHAMDULLAHI NASHUKURU KWA KUJUA USALAFI KWELI DAAWA SALAFIYYAH INAFANYA KAZI ILA ACHA KUTUMIA AKILI BASI MAMBO YA DINI NA YA KILIMWENGU NI VITU TOFAUTI NDUGU UKIZUNGUMZA QUR'AN NI DINI UKIZUNGUMZA MPIRA NI MAMBO YA KILIMWENGU HIVYO HAIWEZI KUFANANA KWENYE HUKUMU ZAKE
@MohamedMkwepu
@MohamedMkwepu 17 күн бұрын
WATU WA BIDAA WANAKAZI KWELI KWELI
@JAHAZIYAH-TV
@JAHAZIYAH-TV 17 күн бұрын
Bidaa ipi hyo? Qur'an ni bidaa? Nyie mmesoma wp
@abdunasiriathumani9011
@abdunasiriathumani9011 17 күн бұрын
Muhammad ibni sirin aliingiza vidole vyake masikioni ili asisikie Quran ya mtu wa bidaa
@user-xo9rb7wj7s
@user-xo9rb7wj7s 17 күн бұрын
​@abdunasiriathumani9011 kajitia violence mkunduni kwake,, hukumuelewa tuu na wewe muigize hivyo. Bachu kasoma kitaab cha imamu ssuyuuti kuwa anafundisha raaha za kuto--'mba na kupitia Qur'an
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 17 күн бұрын
Sabbas Majaza kumbe yupo
@HemedSerious
@HemedSerious 17 күн бұрын
Majazi ni kitu kikubwa ktk elimu , unakebehi kutokana na ujinga wako tu, mtume Muhammad katumia sana iyo majazi kweny maneno yke mengi acha ujinga na umwehu 😂😂
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 17 күн бұрын
@@HemedSerious mbona hayakufanya kazi Tanga kule alikua anarukaruka2😂😂
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 5 күн бұрын
@@HemedSerious mbona Tanga hayakufanya kazi?
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 5 күн бұрын
Hahahaha
@jumakassim1112
@jumakassim1112 17 күн бұрын
jamani nyie watu hawaa za nafsi mcheni Allaah basi waacheni wanawake majumbani mwao sauti zao kwa wanaume ni fitnah jamani kuweni basi waelewah japo hata kwa robo ya elimu zenu mbona mnafelishwa na vijambo vidogodogo wazee daaaaah
@salimaljahwari1
@salimaljahwari1 17 күн бұрын
Ikiwa wanawake ni wakubwa wamebaalegh haifai. Sauti zao ni fitna.Labda wataohudhuria wawe wanawake watupu peke yao na sauti zao zisitoke nje. Wallahu A'alam.
@salimaljahwari1
@salimaljahwari1 17 күн бұрын
Jee inafaa sisi wanaume kuwashuhudia na kuwaona na kuzisikia sauti zao jahraa.
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni 17 күн бұрын
@@salimaljahwari1 kwani unasikiliza sauti au qur'an mbona watu mumekua mapimbi kupitiliza?
@jumbemaalim4250
@jumbemaalim4250 17 күн бұрын
Kuna majitu ni majinga sana,yaani kila kitu yenyewe ni kupinga tu,mtihani sana mnafanya dini ionekane ya hovyo
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op 17 күн бұрын
Watu wa bidaah
@JAHAZIYAH-TV
@JAHAZIYAH-TV 17 күн бұрын
Soma kwanza Kisha useme hyo umesema
@user-xo9rb7wj7s
@user-xo9rb7wj7s 17 күн бұрын
Shenanigans la kiwahabi,, zayuuni mkuubwa
@yusufsingano6202
@yusufsingano6202 16 күн бұрын
Kweli elimu bila khofu ni mtiihan
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 7 МЛН
SHEIKH WALID AKIMKARIBISHA SHEIKH OTHMAN MAALIM KWA AINA YA KIPEKEE
40:58