Mashaaalllaaah ALLAH akuongeee Umrii Na akupe Mwishoo
@zayyatiyussuf95664 жыл бұрын
Shukran sheikh Allah akujalie umri wenye afya njema
@happyjumanne2058 Жыл бұрын
Allah akujaze kheri..!
@salmachabani38953 жыл бұрын
Masha Allah 👌👌👌👌kabissa
@muchogusto74934 жыл бұрын
Shukran sana kwa dawaah shk wangu mauba.Maneno ya kweli kabisa ss wanaumme tumepozea mapenzi kwa wake zetu,Ajabu zaidii tumefunga nao ndoa ya kisheria lakini tunakuja kupoteza mapenzi nao kwa kutowafanyia mambo hayo madogo tunaona hayana maana kumbe ni kinyume.bitter truth
@zeinabswaleh80084 жыл бұрын
Sisi wanawake tunapenda kudekezwa jamaniii..mambo mdogo madogo yanauzito kwetu..yanatufanya tuzidi mapenzi ila nyinyi hamufahamu hilo..Shukraan sheikh kwa kuwakumbusha