SHEIKH AULIZWA SWALI ZITO JE MASHIA NI WAISLAMU NANI MWANAZUONI WAO, JE MAIBADHI MWANAZUONI WAO NANI

  Рет қаралды 9,721

KHIDMA TV

KHIDMA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 171
@jumabeja956
@jumabeja956 27 күн бұрын
بارك الله فيك
@maase2023
@maase2023 25 күн бұрын
Ustaaz ana tatizo
@samirrubeya2379
@samirrubeya2379 29 күн бұрын
Sufii hawezi mkashifu Shia amuogopa ndio maana wengi masufi huingia dini ya kishia sababu ni maslai ya dunia...pia akiponda ataulizwa mbona mwafuata sheria zao.
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s Ай бұрын
Sina Elimu kubwa ya dini ila ALLAH ndie anajua zaidi. Lakini hao mnawanyooshea vidole ndo wanaopambana na madhalimu wa magharibi. Kuhakikisha waisilamu hawadhulumiwi.
@jumamaulid3577
@jumamaulid3577 Ай бұрын
Safi kabisa mashia ni watu wenye kufanya uislam uheshimike
@9119-r4t
@9119-r4t Ай бұрын
Soma wewe wacha kuropokwa
@jumamaulid3577
@jumamaulid3577 Ай бұрын
Mashia elimu Yao kubwa wanaifata elimu ya mtume an imam ali na ndie mtume mwenyew kwa dhahir kuwa Mimi n jiji la elimu na ali n mlango wake na anayetaka elimu na apite mlangon mwake wewe unaejifnya msomi elimu yako unaitoa kwa kiongoz yupi ambae mtume aliyemtaja kam anaelimu?
@jumamaulid3577
@jumamaulid3577 Ай бұрын
Unafiki mwngi saiv umepandkizwa kwenye din nyie mnajfnya mnawatetea masuni viongoz wenu wanawafaa nn watu wa Palestine zaid kula bata 😂 sis tupo zetu iran watu safi unafiki c hatuna
@MadieMtimbuka
@MadieMtimbuka Ай бұрын
@@Aziz-p6s kupambana na madhalimu kama vp?
@9119-r4t
@9119-r4t Ай бұрын
Wewe waruka ruka.jibu waislamu ama la. Kwa mtizamo sio waislamu
@allykagoma5168
@allykagoma5168 24 күн бұрын
Kuna vitu vya kupandikizwa ambavyo na nyie mashekh mnasoma tu kichwa chini miguu juu mfano Ally na Mtume walikua wanafanana sana kiasi kwamba Jibril alikosea kumpa utume Ally akampa Muhammad swali langu ni hili wakati Mtume anapewa utume alikua na miaka 40 na Ally alikua na miaka 7 je Jibril alishinda kutofautisha huyu ni mtoto na huyu mtu mzimaa?
@jumabeja956
@jumabeja956 27 күн бұрын
Shia rafidhwa na makafir kabisa kwa kuwatusi maswahaba
@moestate9982
@moestate9982 Ай бұрын
Unaweza akawa mshia na akawa na hofu ya mungu na akapambania dini yake na unaweza ukawa msuni ukawa huna hofu ya mungu ukawa mnafiki usiweza hata kuipambania dini ya mungu kma tunavyowaona baadhi yao madhehebu sio sababu hizo ni tabia za mtu binafsi
@muhammadbilali8209
@muhammadbilali8209 29 күн бұрын
Khofu na mungu yupi ss wkt dini yake si uislam.
@jumabeja956
@jumabeja956 26 күн бұрын
@@moestate9982 kwa hiyo mashia kuwatukana maswahaba ndio kuipambania dini?
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 26 күн бұрын
ushia ni ukafiri hatuna shaka
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 26 күн бұрын
Shia ibda zao ni za kishirikina kuabudu Allah na kuchanganya na watu badala ya Allah peke yake. Hilo kosa moja tu kabla hatujachanganya na mengine ya kuituhumu quran au kutukana mashwahaba na wakeze mtume linatosha kuwaondoa kwenye uislamu.
@ahmadseaman3487
@ahmadseaman3487 Ай бұрын
Allah akbar
@ismailosanoomar3326
@ismailosanoomar3326 29 күн бұрын
Kuhusiana na masahaba ikhtilaf lazima itapatikana. Kuna aya zinazozungumzia munafiqin na ilishuka ikizungumzia baadhi ya masahaba, kuna aya zinazozungumzia fusaq ilishuka kwa ikimzungumzia swahaba, na pia kuna aya sinazowasifu baadhi ya masahaba kwa wema. Kwa hivyo masahaba wamegawanyika katika makundi:- 1. Wako ambao ni wema. 2. Wako ambao ni munafiquun. 3. Wako ambao ni fasiqi (waovu).
@muhammadbilali8209
@muhammadbilali8209 29 күн бұрын
Na huu ndio ushia wenyewe, hakuna mgawanyo huo kwa maswahaba mbele ya ahlu sunnah
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 29 күн бұрын
​@@muhammadbilali8209 hao Ahlusunna ndio waliopokezewa aya na hadithi na wakatufunza swahaba wema na wanafik wakubwa. Au humjui mnafiq mkubwa kipindi cha Mtume saw?
@ismailosanoomar3326
@ismailosanoomar3326 29 күн бұрын
@@muhammadbilali8209 Ahlusunna wao wanaamini kuwa maswahaba wote ni waadilifu. Mtu kama walid bin utba aliyekuwa mlevu na kaswalisha watu swala ya alfajiri rakaa nne akiwa mlevu chakari, na aya ya fisqi ikamteremkia huyo ni muadilifu!! Muawiya bin abii sufyan aliyemuuwa mjukuu wa bwana mtume Hassan bin Ali (a.s) kwa kumuhadaa mkewe akampa sumu amuwekee kwenye chakula, huyo muawiya ni muadilifu!! Twalha na Zubair waliotoa kiapo cha utiifu (baia) kwa imam Ali bin Abii Twalib kisha wakakengeuka wakampiga Ali bin Abii Twalib vita pia wao ni waadilifu!! Abdullah bin ubay bin salul aliyekuwa mkubwa wa munafiqiin pia ni muadilifu!!! Hii ni akili gani?? Afalaa taaqiluuna!!!
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 26 күн бұрын
ushia ni ukafiri hatuna shaka
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 25 күн бұрын
@@abdallahdataguy Nini itakusaidia katika ibada zako ukisha kujua shia ni kafiri?. Vipi yako yashatimia katika dini?
@hamynas
@hamynas Ай бұрын
vitabu vya kisuni vinavyonukuu kuran kupungua ni hivi hapa 1. Sunan Ibne Majah, Volume 2, Page 39, Published Karachi. 2. Musnad Imam Ahmad, Volume 6, Page 269, Published Beirut. 3. Taweel Mukhtalif Al hadees, Page 310, Published Beirut
@rahmahamisi6021
@rahmahamisi6021 Ай бұрын
Taja milango (Chapters) )باب ya hizo hadithi Kwa kila kitabu, ili iwe rahisi Kwa asiyekuwa na publication hizo atafute kupitia chapters.
@hamynas
@hamynas Ай бұрын
@@rahmahamisi6021 we mgeni wa rejea? usiogelee maji usiyoyaweza tafadhali
@hamynas
@hamynas Ай бұрын
@@rahmahamisi6021 hata unachouliza hukijui maskini ya mungu,umewekewa unachouliza bado unauliza kiko wapi?duh ujahili kitu ngumu saana
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 26 күн бұрын
ushia ni ukafiri hatuna shaka
@hamynas
@hamynas 25 күн бұрын
@abdallahdataguy umesoma vitabu vyenu au unaishilia kubweka tuu?au hujui kuvisoma? ha ha ha haaa
@isaackmlayy6228
@isaackmlayy6228 Ай бұрын
waislamu tumieni iman naakili kwasababu akili ulipewa na mungu
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 26 күн бұрын
​ Ushia ni ukafiri bila shaka. Mashia wanaituhumu quran ambayo ndo mwongozo kwa waislamu kwamba haijakamilika yaani hii quran tuliyonayo ina shaka kwao hali ya kuwa Allah alishaahidi kuilinda mpaka qiyama. wanatukana maswahaba na wakeze mtume. wana ibada za ushirikina za kuomba kupitia ahlulbayt kama wakristo wanaoomba kupitia yesu na mengineyo mengi machafu kama kujuzisha kuwaingilia wanawake tupu ya nyuma n.k. hayo ni machache katika mambo ya kufru waliyonayo.
@mizumo6935
@mizumo6935 Ай бұрын
SHEIKH HUYU ANAYO MAARIFA MAKUBWA SANA HUYU
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ Ай бұрын
Mashia ni makafiri
@ismailosanoomar3326
@ismailosanoomar3326 29 күн бұрын
@@MzeeKigogo_ Bilahi alaika, wewe unamamlaka gani ya kuwakufurisha mashia? Shia ndio Uislamu halisi ya mtume Muhammad (s.a.w.w). Mtume alisema:"Ninawaachieni vizito viwili ambavyo mkishikanana navyo hamtapotea baada yangu, kitabu cha Allah na ahlulbayt watu wa nyumba yangu". Ni madh-hab gani ya Kiislamu walioshikana na kitabu cha Allah na ahlulbayt?? Masunni wameshikana na kitabu cha Allah na Abubakar, Omar, Uthman wakaachana na ahlulbayt. Mashia wameshikana na Qur’ani na ahlulbayt wakiongozwa na imam Ali bin Abii Twalib (a.s) na watoto wa bibi Fatima binti wa mtume Muhammad (s.a.w.w).
@ismailosanoomar3326
@ismailosanoomar3326 29 күн бұрын
@@MzeeKigogo_ Kwa hivyo wale waliopotea ni masunni na madhehebu zao potofu twarika watu wa kunguruma na wengineo.
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 26 күн бұрын
@@ismailosanoomar3326 wangeshikamana na ahlulbayt wasingewatukana wakeze mtume. mashia ni washenzi sana wanaichafua dini. ibada zao za ushirikina chafu bdala ya kumuabudu Allah dua zao nyingi zinapitia kwa ahlulbayt jambo ambalo ni ushirikina. uislamu gani wa kutukana wakeze na marafiki wa mtume. ushia ni ukafiri bila shaka
@hamynas
@hamynas Ай бұрын
shekhe ana mbwembwe saana
@pkjaffarsadiq7052
@pkjaffarsadiq7052 Ай бұрын
Mzee mzima hajui chochote huyu heri afunge mdomo
@hamisimkulu6571
@hamisimkulu6571 29 күн бұрын
Mawahabi adabu ikochini sana sasahuyo kama hajui chochote unailimu yakumsogelea huyo au ujeuritu wakijinga
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 26 күн бұрын
@@hamisimkulu6571 huyo shia wewe wahabi wa wapi unaona hata jina jaffarsadiq. umekariri
@MohammedAhmed-qx5vt
@MohammedAhmed-qx5vt Ай бұрын
Wewe mjinga unae sema mama aisha alipoteza sura jee aijua no sura gani
@MudathirJamal
@MudathirJamal Ай бұрын
Al Imam Mahdi Ajalallah Taallah Faraja Wa Sharrif yupo kwenye kheibat kama Nabii Issa ibn Mariam Allah ndie anajua watarudi wote siokama ulivyosema kwamba yupo Pangoni rejelea vitabu vizuri kama Najul Balagh kwenye Kheibat ya Al Imam Mahdi utapata elimu kubwa sana na utaweza kufafanua vizuri sio pangoni hakuna mashia wanasema hivyo
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 26 күн бұрын
ushia ni ukafiri hatuna shaka
@SalumMusafiri
@SalumMusafiri Ай бұрын
Tafauti ya sunni na shia ni yawapi Wote wamoja mtume hakuwacha shia ama sunni
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 26 күн бұрын
ushia ni ukafiri hatuna shaka
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Ай бұрын
Shekh , Nyooosha tu maneno Ashia cio waislamu full stop!
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 Ай бұрын
Acha jazba zaki shaytwan hii Dini na Dini upelekwa kwa Qur'an na sunna acha jazba
@assadyabdull5146
@assadyabdull5146 Ай бұрын
Alafu ukute umesilimu jana 😅😅😅alafu unasema unajisemea huna hta herufi moja
@thenlion4260
@thenlion4260 Ай бұрын
Ww tu ndio muislam
@mohammedkhimji7505
@mohammedkhimji7505 Ай бұрын
mwislamu wewe peke yako yakhe
@soudsoud335
@soudsoud335 Ай бұрын
Kweli maneno yako mtu hana dalili wala ushahidi wowote huropokwa tu hana Alifu wala bee dini yenyewe kaingia Kwa kusilimu halafu halafu yeye ndio wa mwanzo kuwaita watu makafiri na kuwaingiza watu motoni wakati hukmu ni ya mungu Mie nataka mashekh wanijibu hili swali langu Je Mtume Mohammed alikua dhehebu gani ? Kama yeye ni muongozo wetu tujue yeye alikua ni dhehebu gani afuatwe
@AhmadMohamad-ew8vo
@AhmadMohamad-ew8vo Ай бұрын
Unaogipa mashia
@yusufmunisi4796
@yusufmunisi4796 29 күн бұрын
Isaak tumepewa akili lakini kuna vitu haipaswi kufikiria kwamba unaweza kutumia akili zako maelekezo ya mungu yanafaa kufuatwa kama maelekezo yanavosema
@hamisimkoma7380
@hamisimkoma7380 Ай бұрын
Mawahabi wote maarufu kama answaru sunnah sio waislamu bali ni makafiri
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Ай бұрын
MASHIA NI MAKAFIRI PERIOD 😢😢😢😢😢😢TAQIYA
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e Ай бұрын
@@hamisimkoma7380 ukafiri wao ni nini au waropokwa tuuh unamjjuwa kafiri ni mtu wa aina gani ww au unatoa hukumu waropoka tuuh hujui haya maneno utakwenda kujibia mbele ya allah ukiambiwa thibitisha ukafiri wao ni nini utasemaje
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 Ай бұрын
Acha jazba zaki shaytwan hakuna mawahabi bali kuna waisilamu wahabi jina la mtu ilo naso Dini jazba zako pereka kanisani
@MadieMtimbuka
@MadieMtimbuka Ай бұрын
@@hamisimkoma7380 watu shida na Imani zao
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 26 күн бұрын
ushia ni ukafiri hatuna shaka
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s Ай бұрын
Wote ni waisilamu haya mengine ni maneno tu. Mapungufu km binaadamu ni lazima. Leo hii saudia wana ligi ya mpira wana mamiss. Wanafukwe watu kukaa uchi gonna linauzwa umo. So hii ni dunia tu
@hamynas
@hamynas Ай бұрын
je kama ktk vitabu vya masuni imeandika kuwa MAMA AISHA ALIRIPOTIWA KUWA KUNA SURA NZIMA INAITWA SURATUL RAJM ILILILIWA NA MBUZI NA MPAKA LEO HAIJAONEKANA...JE MASUNI SIYO WAISLAMU KWA SWALA HILO
@KoleYasini
@KoleYasini Ай бұрын
Kaachini usome uislamu ulio sahii..
@mtutulaclassic6207
@mtutulaclassic6207 Ай бұрын
Hiyo ndokwanza nakusikia wews mshia acha uzushi mbuzi wa blue wewe
@hamynas
@hamynas Ай бұрын
@@KoleYasini wewe unesoma, jibu swali basi?au na wewe juha tuu unaficha ujuha wako kwa kuniambia nikasome?nimeshasoma nimekuta hiyo hadithi,nifafanulie sasa msomi wetu?
@azizaj776
@azizaj776 Ай бұрын
@@KoleYasini, Jibu hoja acha kukurubuka imeandika kwenye VITABU VYENU acha kujitetea pasipo na hoja
@azizaj776
@azizaj776 Ай бұрын
@@mtutulaclassic6207, Huna hoja jibu kwa kashfa huna elimu umelishwa matango pori
@mtindikoja8837
@mtindikoja8837 Ай бұрын
Nyooosha sheikh Shia sio waislamu
@jumaciza461
@jumaciza461 Ай бұрын
Muislamu ninani sasa.
@taurehassan7399
@taurehassan7399 Ай бұрын
Ww c umeshanyoosha yatosha,ww c wajua Zaid na umesoma kuliko huyu
@SalehLofy
@SalehLofy Ай бұрын
Mawahabi wametumwa wao wanaunga mkono makafiri tu waislam wenzao wanawapga vita peleleza nchi zote za Mawahabi kuanzia Suudia na kuendelea hawa ndio aliowatabiri Mtume s.a.w mwisho wa Dunia watakuja mjue Dunia ishaisha
@azizaj776
@azizaj776 Ай бұрын
Toa hoja kwa nini Shia SIYO WAISLAMU ?????? Siyo kubwabwaja umelishwa matango pori
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 26 күн бұрын
@@SalehLofy ushia ni ukafiri hatuna shaka
@jumabeja956
@jumabeja956 27 күн бұрын
HAYA ANAYO ELEZA YAMO KWENYE VITABU VYA MASHIA WENYEWE SASA MWAPINGA NINI??
@azizaj776
@azizaj776 Ай бұрын
Nenda kawaulize Palestina watakujibu
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 26 күн бұрын
ushia ni ukafiri hatuna shaka
@MwazoaMwazoa
@MwazoaMwazoa 25 күн бұрын
Allah Atukinge na kumkufurisha yeyote Anaetamka Lailaha ila llah Mohamada Rasuulu llah.Hayo mengine ni siasa na propaganda tu.Watu wameandikiana kukomoana na kutumikia siasa za watawala.
@ismailosanoomar3326
@ismailosanoomar3326 29 күн бұрын
Huyu sheikh amechanganyikiwa au hana amanatu ilmiyya. Hakuna suratul wilaya. Ni ayatul wilaya ambayo inapatikana katika suratul maida aya ya 55, hii ndiyo inaitwa ayatul wilaya na sio suratul wilaya.
@maase2023
@maase2023 25 күн бұрын
Kwani uislamu mpk ufuate wanazuoni??? Au uifuate quraan? Ustaaz mbn mnapindisha dini?
@AhmadMohamad-ew8vo
@AhmadMohamad-ew8vo Ай бұрын
Unawaogopa
@FadhiliNyassi
@FadhiliNyassi Ай бұрын
Kabla haujajibu ilifaa utuambie wewe ni dhehebu gani? Waislam tuko na madhebu tofauti na hakuna mwislamu atalizungumzia dhehebu la mwenzie kwa uzuri
@MohammedSaid-zk7yg
@MohammedSaid-zk7yg Ай бұрын
Sheikh umesahau maibadhi wanatukana maswahaba as well
@Sharifuhabiby
@Sharifuhabiby Ай бұрын
We nyamanza ma ibadhi hawatukani ma Swahaba koma koma. Kabisa
@MohammedSaid-zk7yg
@MohammedSaid-zk7yg Ай бұрын
@Sharifuhabiby maibadhi hawawatukani maswahaba kielim Lakin kwa masuni ni kuwatukana,masuni ukisema Kuna baadhi ya maswahaba walikua walevi umewatukana,ukisema Kuna maswahaba walipenda sana Dunia,mali,madaraka umewatukana Sasa inakua mtihani kidogo,halafu kua na adabu unaporeply Sawa eehh punguza mihemuko uwe unatumia akili zaid feelings ok
@SalehLofy
@SalehLofy Ай бұрын
​@@Sharifuhabiby muogope Allah ushawahi kusikia muibadhi akatukana swahaba yoyote yule? Wewe ni Wahabi hamsomi mnasikiliza masheikh zenu tu na hata mkisoma mnasoma vitabu vyenu tu utaijuaje Haki kwa njia hio?
@SelemaniIssah-p2g
@SelemaniIssah-p2g Ай бұрын
Tuambie wewe mashia ni watu gani na kinachomfanya mtu hawe muislamu nn? Acheni mambo yenu wawekeni waislamu pamoja itikadi wekeni pembeni wewe upo kimbiji unawasema mashia wenzako wapo pale makka na wanaswalinao kwenye alkaaba
@muhammadal-bimani8120
@muhammadal-bimani8120 Ай бұрын
Wacheni upuuzi wa madhehebu. Kulikuwa na Ahli Sunna, Shia, Ibadhi wakati wa mtume? Nyinyi ahli sunna muko makundi mane. Kubalianeni muwe kundi moja tu. Sasa katika nyinyi makundi mane lipi hilo litaingia peponi? Hao ahlu sunna wengine muna itiqadi kwa makapu hazina faida hata mtu unastaajabu, tele yamo katika vitabu vyenu. Wacheni hayo. Alokuwa sahih au si sahihi ni kazi ya Allah pekee.
@fabssaleh7273
@fabssaleh7273 Ай бұрын
Je shahada zao ni sahihi?
@MohammedSaid-zk7yg
@MohammedSaid-zk7yg Ай бұрын
Nyinyi wenyewe mliokaa hapo nyote hapo ni washirikina kwa msimamo wa kiwahabi 😂😂😂😂😂
@abdallahkaskas6168
@abdallahkaskas6168 Ай бұрын
😂😂we jamaa ww..
@MohammedSaid-zk7yg
@MohammedSaid-zk7yg Ай бұрын
@@abdallahkaskas6168 aakh maana naona wanahukumu wenziwao wao tuu,ukimuona mwenzio kapotea na yeye ndio anakuona wewe ndio muovu kabisaaa
@DuniaHassan-p8v
@DuniaHassan-p8v Ай бұрын
Soma kwanza ndo ujue ukwel upo wapi mtume wetu katuachia vitu viwili Quran na Sunnah zake sass ww endelea kuwa mshabiki tu ​@@MohammedSaid-zk7yg
@soudsoud335
@soudsoud335 Ай бұрын
Je ili uwe muislam uwe dhehebu gani na Mtume muhammad (S.A.W) alikua dhehebu gani?
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 29 күн бұрын
Mtume saw hakuwacha kitabu chocolate kile. Chagua mwanachuoni ambae unahisi atakufaa katika ufahamu wake ambae alikubalika na WAISLAMU WA mwanzo. Yoyote utakae mfuata hutapotea. Sisi hatukumkuta Mtume saw, kwahio utamfata uliomkuta akuongoze
@soudsoud335
@soudsoud335 26 күн бұрын
@hilalkhalfan tufahamishe kidogo Mtume S.AW) alipofariki si dini ameshaikamiliisha sasa haya madhehebu yamekujaje na inakuaje kundi moja limnyooshee mwenzie kidole Kwa kuliambia kundi hili motoni na kigezo kilokua kinatumika ni mtume na mtume hakuna na dhehebu?
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 26 күн бұрын
@@soudsoud335 ni makundi yaliokosa imamu tu yaani mwanachuoni ndio makundi yanayotia motoni na kunyooshea vidole wengine. Lakini MADHEHEBU hayakuwahi kuingizana motoni kwasababu dini ilikamilika ila kuna utofauti wa ufahamu wa wanachuoni kuyaendea mambo. Huo ufaham huitwa madh haby kama mfano madh haby manne ya Ahlusunna shafy au maliky au hanmbali au hanafy. Haya ni madh haby manne tofauti halikuwahi moja kumtia mwenziwe motoni kwasababu kila mmoja kashika ufaham wa mwanachuoni wake. Makundi ambayo sio madh haby kama ANSWAR au SALAF au tabliigh na mfano huwo, hawa hawana mwanachuoni na hubaka baka huku na kule kutafuta fitna na kupoteza TAAWILI. Huo ndio mfano wa wenye madh haby na wenye makundi. Kua na madh haby na usiwe na kundi.
@AhmadMohamad-ew8vo
@AhmadMohamad-ew8vo Ай бұрын
Ungeulizwa je sheikh uthaimini ni kafiri? Ungejibu moja kwa moja
@musarashid3482
@musarashid3482 Ай бұрын
Sheikh umejib kisomi sn ila watu ambao awajasoma ndio wanataka Majin ya ndio au hapana 😂
@MadieMtimbuka
@MadieMtimbuka Ай бұрын
MAKUNDI YA NINI! tumuachie mungu hakuna ajuae hukmu ila muumba. kuliko kunyoosheana vidole
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene Ай бұрын
Yaani mtu anatukana maswahaba na mke wa mtume (saw) halafu unataka waachwe tu?
@MadieMtimbuka
@MadieMtimbuka Ай бұрын
@@Kekulebenzene unataka uwafanyaje?
@soudsoud335
@soudsoud335 Ай бұрын
Kutukanwa kama vipi ? Hivi umesoma vita vya siffin Bi Aisha (R. A) alitabiriwa vipi na bwana Mtume (S.A.W) katika vita hivi ?
@mohammedkhimji7505
@mohammedkhimji7505 Ай бұрын
duh! huyu shekhe mbona anaropoka vitu sivyo??? Eti kuna ma Shia hawaamini Quran hii yetu imekamilika????? Tuambie basi ni ki na nani hao????
@MohamedMeja
@MohamedMeja Ай бұрын
Mimi siku soma lkn mashia nimakafirii wawatukana maswahaba na wakea za mtumea na ahalalishaa mtu kumgiliaa bibi yakea nyumaa
@soudsoud335
@soudsoud335 Ай бұрын
Kwa iyo ili usiwe kafiri katika uislam uwe upande gani
@ismailosanoomar3326
@ismailosanoomar3326 29 күн бұрын
Wewe sheikh acha kupotosha umma. Hakuna mashia wanaosema kuwa Qur’ani imepungua au ina ziyada. Pili:- ikiwa tutajadili suala ya Qur’ani hata masunni wanadai kuwa kuna aya ambazo zilikuwa zikisomwa wakati wa mtume lakini haiko kwenye Qur’ani. Kama aya ya ridhwaatul kabira, aya ya rajmi na zinginezo. Mkazi Mkazibunia istilaha nyingi mara naskhu tilawa wal hukmu ma'an, naskhu tilawa dunal hukum.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 29 күн бұрын
Huja fahanu
@ismailosanoomar3326
@ismailosanoomar3326 29 күн бұрын
@@hilalkhalfan1452 wewe ndiye hujafahamu. Mie nimefanya takhasus katika ulumul Qur’ani kwa hivyo nafahamu vizuri hoja nazozileta huyo twarika.
@KoleYasini
@KoleYasini Ай бұрын
Shekh usikwepe swali nyooka..
@taurehassan7399
@taurehassan7399 Ай бұрын
Jibu ww ili ulinyooshe Hilo swali,
@Jumaupnda
@Jumaupnda Ай бұрын
makundi yaliobuniwa ktk uislamu yametuletea majanga makubwa mpaka dini yetu hatuijui ipo wapi. sijui nani atatuwekea mambo sawa.
@ibrahimabdillah5729
@ibrahimabdillah5729 Ай бұрын
Soma Dini yako Acha kusubiri Mtu aje kukuwekea sawa Dini yako Soma Dini yako kwa maana ya kusoma...penda kuufungua moyo wako katika kukubali haki kwa Mtu mwengine.
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e Ай бұрын
@@Jumaupnda tafuta ilmu arafu muombe mungu akuongoze katika njia ya sawa mwambie mwenyezi mungu katika uislamu naona kuna makundi mengi naomba umuongoze katika njia ya sawa kikundi lipi katika hakki uniweke na wao na ufungue moyo wangu kukubali hakki Allah atakuongoza maana kashasema hawaongozi watu wasotaka kuongoka ukiomba duwa hiyo na ww ufungue kifua chako Allah atakuongoza maana makundi ni mengi kweli na mtume katika hadithi yake ametabili kuzuka kwa makundi mengi katika umati wake na yote yattaenda motoni isipokuwa kundi moja tuuh hilo litaongoka na moto sasa usipofanya juhudi ndugu ukarizika tuuh huwezi kuongoka leo kila kundi kila watu wana nadi uislamu mtihani kujuwa hakki ilipo
@MadieMtimbuka
@MadieMtimbuka Ай бұрын
Lakini usumbufu unakuja kwa viongozi hawa, maneno kibao wanasababisha sana makundi
@Jumaupnda
@Jumaupnda Ай бұрын
@@ibrahimabdillah5729 sasa wewe hiyo dini utapokea kutoka kwa kundi gani. wakati kila kundi linasema lenyewe ndilo bora kuliko jengine.
@jumaciza461
@jumaciza461 Ай бұрын
​@@Jumaupndaumeuliza vizuri kbs yani kiufupi nikubaki muislamu bila kundi lolote
@muhammadal-bimani8120
@muhammadal-bimani8120 Ай бұрын
Hao ahli sunna walikuweko wakati wa mtume? Quran imetuita sisi waislamu sio Shia au ahli sunna au nani wala nani. Nyinyi Ahli sunna mumejigawa katika madhehebu mane, kwanza kubalieni muwe kundi moja tu maana huko akhera hadithi imrkuja kundi moja ndio la peponi. Sasa nyie muko makurdi manne Shafi, Hanbali, Maaliki na Hanafi. Basi kwanza jiekeni muwe kitu kimoja mana mtume saw kafa hakuna hata dhehebu moja. Siasa ndio yameleta yote haya. Kwa hiyo musiingilie dhehebu nyengine kabla nyinyi kuwa na dhehebu moja nalo ni Muislamu. Jitizameni kwenye kioo kwanza. Ibadhi haimfati Abdallah bin Abadhi. Ibadhi inafata dalili tu itoke wapi popote.
@azizaj776
@azizaj776 Ай бұрын
Huyu Shekh kichaaaaaa ikiwa Imam Jaffer Sadiq amekataa kumtukana Abubakar na huyo ni Kiongozi yaani Imamu wa Sita Şaş’a Shia gani anayethubutu kuwatukana kina Abubakar ???? ACHENI UONGO Shekh MUONGO HUYOOOOOO
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e Ай бұрын
Wale ni makfiri tuuh wamechupa mipaka hta hawo wasotukana wanaitikadi za kihirikina tuuh
@AngumbwikeNdumbwinee
@AngumbwikeNdumbwinee Ай бұрын
Daah haya mwisho unakuja,,wafuas wa ahlul bait tuna furaha saana
@adamhashim3352
@adamhashim3352 Ай бұрын
Mhhh nyie ndo wale hata aje jibril utabaki na mismamo
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e Ай бұрын
Hujui na hawoo ibadhi wanaituhumu quruani ni kiumbe nyote vipofu tuuh hakuna ujualo au mkijuwa mnaficha kulingana na maslahi yenu wao wanatukana swahaba pia na huoni aibu kudanganya vijana hao
@ahmedbadi5822
@ahmedbadi5822 Ай бұрын
Waonaje ukafungua ukumbi wako ukayaongelea wewe? Sote tunajukumu la kidaawa wala sio watu Fulani pekee.
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e Ай бұрын
@@ahmedbadi5822 mashekh zetu waniongelea hayoo so kila siku wanatumbua uozo wa mashia na maibadhi Sasa Hawa wazee wa matumbo mbele vilemba vikubwaa wanaficha ukweli lengo watu waone kitu kimoja hakuna umoja wa namna hiyoo kwani ukisema ni makafiri kuna nini wamemtukana mama aysha kumsema ni mzinufu inama wamepinga Allah alipoteremsha Aya ya kumtakasa na uchafu walomzulia lakini hii Hawa jamaa wamemtukana mpk leo, arafu wanasema omari ni shoga, wanasema pia abubakari kafiri na ndugu zao ibazi wamekanusha mengi pia unaporemba remba kutaja makosa yao kuna nini utakufa nao hawoo au watakuzulu Nini mmewageuza vipenzi wenu hawoo na kuwashambulia masalafi mnaowaita mawahabi mkawaona ni adui kwenu kuliko hiyo mishia
@allymwinkyambi9689
@allymwinkyambi9689 Ай бұрын
Wewe huna adabu, kwhy kuwa makin na wanazuon
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e Ай бұрын
@@allymwinkyambi9689 ah. ah ah mwazuini mwennyewe huyo.mzee. au yupi. Wakusudia Ana ilmu ya. Kuwa mwanazuoni au. Kila mtu mwanazuoni
@SalehLofy
@SalehLofy Ай бұрын
Duniani Kuna khaaliq na makhluq Muumba na viumbe waliokuwa sio Muumba basi ni viumbe ALLAH peke yake ni Muumba waliobaki wote ni viumbe hio kufuru iko wapi hapo? mnasema maneno ya Allah ndio na Ibadhi Wanasema hivyohivyo tofauti wao Ibadhi Wanasema ALLAH kayaumba, Mawahabi wanasema hajayaumba tafakari chukuwa hatua
@hamynas
@hamynas Ай бұрын
tusi ni lipi?kumtukana matusi kama haya tunayoyasikia ktk mitaa au kusema mtu tabia zake na ukweli wa matendo yake?
@taurehassan7399
@taurehassan7399 Ай бұрын
Ww matendo yko wayatja ktk jamii pale ulipokwenda kuzini?
@hamynas
@hamynas Ай бұрын
@@taurehassan7399 umehamishia hoja kuwa ni mtu bianfsi...hioja ni kuwa maswahaba ni vipimo vya uislamu sahihi wa mtu,je kusema madhambi yao ni kosa au tusi?
@taurehassan7399
@taurehassan7399 Ай бұрын
@@hamynas kusema madhambi Yao ni kosa kw dalili mtume amesema hv أذكروا محاسن موتاكم وكفوا عن مساويهم.yatajeni mema ya maiti wenu na jizuieni kuyataja makosa yao.alfu pima wema walifnya maswahb ktk dini na ww upime jitihada zko mpka ifikie kuw ww unahadhi y kumtukna swhb
@hamynas
@hamynas Ай бұрын
@@taurehassan7399 kwa hiyo kusema na kusoma makosa ya swahaba kama thaalaba ni dhambi?
@taurehassan7399
@taurehassan7399 Ай бұрын
@@hamynas nimkupa dalili Ila kw ziada ni kwmba kusoma makosa waloyafnya c dhambi lkn ukawa ww kazi yko ni kuwasema maswahaba vbya tu mema waloyafnya hta huyataji Hilo ni kosa kw7bu Allah maswahaba amewasamehe lkn kuwasema watu wa kawaida km vile ndgu zko au wazazi wko ukawasema vbya unawsengnya lkn pia unawaongezea adhabu kw Allah,km hujanielewa niulize plz
@alisaadmohammed
@alisaadmohammed Ай бұрын
Wewe kama hufwati quraan na sunnah za mtumi basi wewe ni shia na wew ni kafiri
@soudsoud335
@soudsoud335 Ай бұрын
Mtume Muhammad ( S.A.W) alikua dhehebu gani ustadhi?
@ismailosanoomar3326
@ismailosanoomar3326 29 күн бұрын
@@alisaadmohammed Je, mtume aliacha kitabu na sunna au kitabu na ahlulbayt? Je hadithi ya kitabu na sunna inapatikana katika vitabu muhimu vya hadithi au kwenye al-muwatwa ya imam malik pekee tena bila ya sanad!!
@Kassim-o6m
@Kassim-o6m 26 күн бұрын
Hakuna swahaba mnafiki
Симбу закрыли дома?! 🔒 #симба #симбочка #арти
00:41
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 5 МЛН
When Cucumbers Meet PVC Pipe The Results Are Wild! 🤭
00:44
Crafty Buddy
Рет қаралды 60 МЛН
How to Fight a Gross Man 😡
00:19
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 17 МЛН
Молодой боец приземлил легенду!
01:02
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 2,1 МЛН
TUULIZE SISI NDO TUNAEMJUA USIKURUPUKE SHEIKH KISHKI
21:22
SAMBAWIY TV
Рет қаралды 18 М.
Симбу закрыли дома?! 🔒 #симба #симбочка #арти
00:41
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 5 МЛН