SHEIKH JONGO AMJIBU SHEIKH ALHAD WAZIWAZI MBELE YAKE BAADA YA KUPIGWA DONGO

  Рет қаралды 23,654

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Пікірлер: 43
@MWAMBAZanzibar
@MWAMBAZanzibar Ай бұрын
Babdeo unazingua sasa mbona kichwa cha habari tofauti na kilicho kwenye video
@soudbako5925
@soudbako5925 11 ай бұрын
Bakwata bhana
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 11 ай бұрын
Hasomekiiiii😂😂
@iddihamisiharuna8261
@iddihamisiharuna8261 11 ай бұрын
Mhhh watu wa bidaà, basi hawawafundishi wake zao na mabinti zao kuvaa stara vizr, yani hata kwenye mahafla yao ya maulidi wanavaa hovyoo hovyoo. Allah awaongoze. Wanawake wa kisunna maasha-Allah ni kama wake wa zama za mtume swalallahu alayh wasanlam. Allah awajaze kheri na atuongoze wanawake wote wakiislamu wajitahid kuvaa stara ktk maisha yao ya kila siku
@allyelbusaid9888
@allyelbusaid9888 11 ай бұрын
Mnaumia kweli yani.. 😅😅 Mawahabi kwenye ubora wao
@iddihamisiharuna8261
@iddihamisiharuna8261 11 ай бұрын
@@allyelbusaid9888 Sisi watu wa sunna tunawasikitikia watu wa bidaà, mko mbali na alivyokua mtume na maswahaba wake. Dini yenu ipo kwenye maulidi, hali yakua maulidi sio dini, kwakua mtume na maswahaba wake hawayajui. Sasa nyinyi dini yenu imebaki huko
@rashid3562
@rashid3562 11 ай бұрын
Acha upumbavu una sunna gan ww unayo ifata ...sifa tu
@AdamRajab-xd3zg
@AdamRajab-xd3zg 7 ай бұрын
Una upunguf wa elimu
@iddihamisiharuna8261
@iddihamisiharuna8261 7 ай бұрын
@@AdamRajab-xd3zg Kweli kabisa watu wa bidaa mna upungufu wa elimu mkubwa. Tena wake zao ndio kabisa wamesaulika masikin kidogo wanaume utawaona maulidini wakila ubwabwa, lakini wake zao stara ni mtihan utawaona wakienda misikitin na mitandio ya kanga huku mikono kuanzia kiwikoni ipo wazi na miguu nayo yaonekana, ni mtihan mtupu hawafundishwi hata masharti ya swala
@EnthusiasticAtv-gn6pb
@EnthusiasticAtv-gn6pb 7 ай бұрын
NENDENI IRAN
@ag-rabbitzenj1379
@ag-rabbitzenj1379 11 ай бұрын
توضيح الواضحات من المشكلات 😂😂
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 11 ай бұрын
Yani alhadi mussa ajiona yy ndo anastasia kuwa shekh tu
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 11 ай бұрын
Acha chuki
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY 11 ай бұрын
Sheikh JONGO huwa ni COMEDY COMEDY tuu. Huwa hana lolote la KI ILMU.
@abdulsakibu
@abdulsakibu 11 ай бұрын
Mbona shekhe kasema toka awali yeye kapewa jukumu la kutoa shukran tu sasa maneno gan ya kielimu ulotaka ayazungumze katika neno la shukran?
@YakubuRajabu
@YakubuRajabu 11 ай бұрын
Duu Saudia sasa pombe tukitoka hapo sijui tutakwenda wapi yaa Rabbi
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 11 ай бұрын
Ndugu fata utaratibu ulowekwa kwenye quran na hadith basi Saudia nao viumbe na kwa Mungu hawana utukufu wowote kama hawatamcha Mungu ivyo rufiji au wete inaweza kuwa na watu Bora kama watamcha Mungu kuliko wasaudia wataomkufuru Mungu.
@allyelbusaid9888
@allyelbusaid9888 11 ай бұрын
😅😅 Ikitoka pombe ni Bangi nahisi
@allyelbusaid9888
@allyelbusaid9888 11 ай бұрын
@fahad nyie si ndo mnaotuambia tufuate Saudia kwa kuwa kule ndiokitovu cha dini.!? 😅
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 11 ай бұрын
@@allyelbusaid9888 kwenye uislam mbora ni mcha Mungu wali si utaifa wala kabila la mtu kwahiyo akili kichwani
@iddihamisiharuna8261
@iddihamisiharuna8261 11 ай бұрын
Masheikh wa bidaa wanakula hela za watu,
@abuufarsyalsalmaan7730
@abuufarsyalsalmaan7730 11 ай бұрын
Mwanachuoni gani huyoo aliesema..توضيح الواضحات من المشكلات...😂😂😂😂😂😂
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 11 ай бұрын
Weye sio darja zako hizo. Ndio maana hujui
@HUSSEINALLY-b7f
@HUSSEINALLY-b7f 7 ай бұрын
أنت جاهل مركب😂
@banihashim5347
@banihashim5347 11 ай бұрын
JAMANI HII NDIO MAULIDI INAYOPINGWA KILA SIKU
@thabitjumbe6527
@thabitjumbe6527 11 ай бұрын
Na ndiyo Maulidi inayoungwa Mkono Kila siku.
@banihashim5347
@banihashim5347 11 ай бұрын
@@thabitjumbe6527 Video hii ni dalili tosha yakua MAULIDI si DINI Bali ni DILI
@allyelbusaid9888
@allyelbusaid9888 11 ай бұрын
Wakati we unapinga wenziowanaunga mkono.. Kasome 😊
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 11 ай бұрын
Huyu Mzee Jasusi SanAa ha
@Al.habeebAl.habaaib
@Al.habeebAl.habaaib 7 ай бұрын
Pana maulidi hapo? Au ni commedi tu😅
@EnthusiasticAtv-gn6pb
@EnthusiasticAtv-gn6pb 7 ай бұрын
Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe siku zote. Tangu mwaka 1979 Iran imekuwa kwenye vikwazo kwa vile tu iliwafukuza na kufuta Ubalozi wa Marekani na Israeli. Kitendo cha ujasiri sana
@RamadhanHabibuAmour
@RamadhanHabibuAmour 11 ай бұрын
Wapo kidunia Zaidi naona na bidaa kwenda mbele tu
@allyelbusaid9888
@allyelbusaid9888 11 ай бұрын
😅😅 Mnaumia mkiwa wapi.!?
@awadhally1052
@awadhally1052 7 ай бұрын
Kwel kabisa bidaaa tupu hapo
@twalijiismail2881
@twalijiismail2881 11 ай бұрын
ACHA wachukue hizo pesa KWANI zako? au roho mbaya tu inakusumbua.
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 11 ай бұрын
Watu wa bidaa wanajua kuchukua pesa za watu
@jaulamedia9517
@jaulamedia9517 11 ай бұрын
Na WA Sunna huchukua pesa za saudia
@allyelbusaid9888
@allyelbusaid9888 11 ай бұрын
Na nyie wahabi kuchukua za mwana mfalme Bin Salman kukufurisha watu
@RamadhanSuleymani-yw3dq
@RamadhanSuleymani-yw3dq 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂kweliii​@@jaulamedia9517
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
BACHU ARIPULIWA NA KITOTO CHA SHEIKH KUSOMA APIGWA ZA USO REJEA UKASOME VIZURI
29:14