Sheikh Kassim Mafuta: Itikadi mbovu ya Ibadhi kwa Maswahaba رضي الله عنهم

  Рет қаралды 6,085

Shy Online Media

Shy Online Media

Күн бұрын

Пікірлер: 58
@BahatiJuma-y7v
@BahatiJuma-y7v 8 ай бұрын
Allahu akuhifadh yaa shaikhunaaa
@SalehLofy
@SalehLofy 2 ай бұрын
Waulize mashafi wenyewe kama Ibadh hawaswali nyuma yao yaani unasema mambo ambayo hayapo hasa muogope ALLAH
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr Ай бұрын
Huyuu Mzee ni mvuta bangii hajielewii ila ndio sifa zao mawahabii uwongoo mwingii hawana jengine😂
@salimmasoud1253
@salimmasoud1253 3 ай бұрын
Kasim mafuta namfananisha na mteja wa unga ata uyo mla unga ukimpa maneno haya ayaseme bs atasema hawezi
@ShyOnlineMedia
@ShyOnlineMedia 3 ай бұрын
Poule fanya uadilifu katika kuhukumundugu yangu
@AsasAllykwasalafivitavyamasaha
@AsasAllykwasalafivitavyamasaha 4 ай бұрын
Jambo la kuzingatia ni kuwa muislam halazimiki kufuata kila kitu cha maulamaa hata kama kajinasibisha na dhehebu lake.Hiyo ni amri ya Mungu.itkadi ya kiibadhi ni kuchukua jema kwa ulamaa yeyote na kuachana na baya la yeyote''.Hayo mengine ya kina Tiwani na wengine ni tafsiri yao na wana uhuru wa kuzngumza..KIMSINGI tafauti ni katika kuwawekea darja masahaba.HUWEZI kulazimisha kuwa Ibadhi lazima utukane baadhi ya masahaba.
@thuweinmassoud9062
@thuweinmassoud9062 4 ай бұрын
ikiwa msimamo wako ni kuwa maswahaba wote ni waadilifu je muawia amemfanyia haki na amefanya uadilifu kwa sayidna Aliy kumpokonya madaraka
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr Ай бұрын
Tena wala usitake kufananisha maibadhi na kundi la kisalafi fekii 😂 hamuna hoja nyinyi porojoo jingii hamuna jengine kama wewe kweli unapenda haki basii hizoo riwaya zenu za hadithi za kutungaa ziondosheni kwenye vitabu vyenu maana zinaenda kinyume na qur ani
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo 27 күн бұрын
Anaongea hakii....turia ubainishwe wazi mweupe yaheee....
@thuweinmassoud9062
@thuweinmassoud9062 6 ай бұрын
Fitna tupu km kweli omba mjadala km kweli ww n mwanaume
@AllyNassor-de6ck
@AllyNassor-de6ck 3 ай бұрын
Fitna za mawahabi
@SalehLofy
@SalehLofy 3 ай бұрын
Huko Tanga huyu ndio Mufti wao hii ni hatari njoo ZANZIBAR tukupime
@adamcity9441
@adamcity9441 8 ай бұрын
Ungelizungumzia itikadi ya kiwahabi ya mungu baro baro ana mikono na miguuu na vidole na mabega na matako amekalia kiti na kila kitu isipokuwa uchi tu . Tunamuomba Allah atuepushe na itikadi hii ya kiwahabi Mujasima.
@hamoudyahya7635
@hamoudyahya7635 6 ай бұрын
Muombe msamaha Allah kwa maneno yako. Hao mnaowaita Mawahabi hawajawahi kueleza kwa namna ulivyoeleza wewe kwa kuwakejeli mawahabi wakati unamtaja Allah. Wao hata ukisema wamekosea basi wameeleza hadithi na aya kama zilivyo elezea izo sifa na wala hawaleta Kayfiyya. Unavyotaja viungo kwamatashi yako ujue umefanya dhambi kubwa. Muombe radhi Allah
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 5 ай бұрын
Naam
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr Ай бұрын
​@@hamoudyahya7635nyinyi munawatukana waislamu wenzenu munawaita Kila majina mabaya 😢halafu nyinyi mukiitwa mawahabii na wakati wahabi ni jina sheikh wenu munachukia ? Nyinyi ni wanafik tu na kama hamujatubia Kwa munayoyatenda basi moto unakusubirini
@SoudSanawari
@SoudSanawari 8 ай бұрын
Tupe faida upande Wa KIWAHABI
@SalehLofy
@SalehLofy 2 ай бұрын
Huyu akiwa na watu wake anasema anachotaka kama wewe mkweli kwa unayosema Basi Omba mjadala na sheikh khalfan tiwany, au Juma Mazrui
@111dudi
@111dudi 5 ай бұрын
Kama huji masunni wote ni makhawarij, waliopigana na sayyidna Ali.
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 5 ай бұрын
Kama hauna ufahamu usicomment upuuzi!!
@111dudi
@111dudi 5 ай бұрын
@@ibrahimjumaa538 kasome kwanza, ndipo ujie kujibu.usimtegemee Mafuta, ana agenda yake
@NasibuJuma-e6u
@NasibuJuma-e6u 9 ай бұрын
Ni kweli hata APA bujumbura kuna misikiti ya kisuni na ibadhi kama mabehewa
@adamcity9441
@adamcity9441 8 ай бұрын
Mafuta kama wewe ni mwanamme omba mjadala na Shaikh Juma Al Mazrui kuhusu Masahaba halafu tuone nani alietukana Masahaba baina ya Mawahabi na Ibadhi.
@saidhassansaid5140
@saidhassansaid5140 7 ай бұрын
Hakuna dini inaitwa wahabi😂😂 ila ibadhi misikit yao imeandikwa kabisa neno ibadhi huwez misikit y Sunna wameandika ujuha Kam huo
@HadiyaAwad
@HadiyaAwad 6 ай бұрын
Sheikh Kassim Ni mwannamme Na Zaidi. Mjadala inafanya Na watu watakaokubali haki vyengine Ni kupoteza mda tu Na sheikh Kassim Hana mda Wa kupoteza
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 5 ай бұрын
Mjadala Wa nn sasa.Yeye si Ajibu Haya yaliyosemwa Na yeye tumsikilize . Hiyo mijadala ya nn Kwanza haizingatii Utulivu Na hawa Maibadhwi ni Makhawaarij wanapenda sana Vurugu. Hatutaki Ajibu tu nukta hadi nukta.
@SalehLofy
@SalehLofy 2 ай бұрын
Duh yaani huyu jamaa mambo waliyokuwa nayo ndio anawaambia maibadhi
@suleimanahmad2483
@suleimanahmad2483 8 ай бұрын
Mafuta mbona unakuwa mfitinishaji mkubwa kiasi hichi?
@abumuhammadmbwana3964
@abumuhammadmbwana3964 8 ай бұрын
Anatakiwa ajibiwe kwa hoja
@111dudi
@111dudi 5 ай бұрын
Yeye na Bahrayani yamekaa kufitinisha waislam
@111dudi
@111dudi 5 ай бұрын
Ni fabi yake kufitinisha.Jahannam inamsubiri
@SoudSanawari
@SoudSanawari 8 ай бұрын
Tupe maana ya walaa na baraa Kwa mujibu Wa KIWAHABI
@adamcity9441
@adamcity9441 8 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/kKnRp6KVg9mkgtEsi=dw2kS05R456uIruS Mawahabi wanavyowatukana Masahaba
@AbuuSumaiya-mj8om
@AbuuSumaiya-mj8om 8 ай бұрын
Nyinyi watu munao comments wengi wanu munaelekea ni washabiki tu kwakuwa huyu shekh wetu mbora anatoa hoja za wazi kabisa kila anaetaka kuelewa anaelewa Lakini Cha kushangaza nyinyi munacommente mipasho na uhuni tu munanini lakini kwanini musimuombe ALLAH" awape afya na salama ktk maisha yenu Hivi hamujui kuwa aliechaguliwa na ALLAH" amechaguliwa na hukuna wa kumnyang'anya kama niwakweli nyie yapingeni anayo yasema sio munongone tu
@OmaryLiku
@OmaryLiku 7 ай бұрын
Umekosea ulivyo nukuu kuusu maneno ya wahabi
@aljahuur
@aljahuur 7 ай бұрын
Allah aache watu wachamungu achague washenzi wa kiyahudi
@wakwetu2444
@wakwetu2444 8 ай бұрын
Ni kijuti kwa hizo fitina zako.
@jailaniramadhan1788
@jailaniramadhan1788 8 ай бұрын
dini ya kiwahab hauwezi kwenda bila kuzungumzia watu!
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 8 ай бұрын
😂😂😂😂 kwanza kabla hujakosoaa itiqadi ya kiibadhi kwanza kosoaa itiqadi zenu za kisalafi kama wewe kweli unapenda haki ,yaani nyinyi mawahabi munaitiqadi za kiyahudi hasaaa ambazo hazina kichwa Wala miguu😂😂 kabla hujakosoa ya wenzako anzaa ukosoe yako mwenyewe huo ndio uislamu
@pilabiliani9394
@pilabiliani9394 8 ай бұрын
Sasa wee kinachokuchekesha hapa ni Nini?
@OmaryTambi
@OmaryTambi 8 ай бұрын
Idhajaa
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 8 ай бұрын
@@pilabiliani9394 nacheka jinsi mlivyo kuwa munafatilia mambo ya sio kuhusuni na munakosoaa watu kichukiii ndio maana nacheka! Kama kweli munapenda haki basi kwanza rekebisheni akida zenu za kiyahudi mulizonazo ambazo hazina kichwa Wala miguuu kufuru tupuu
@aljahuur
@aljahuur 7 ай бұрын
Hawa ni mujjassima nipote la kiyahudi pembe ya shetani ya najid
@HadiyaAwad
@HadiyaAwad 6 ай бұрын
Nenda kasome kisalaf Kwanza utajuta Na hio comment yako.
@salimmasoud1253
@salimmasoud1253 3 ай бұрын
Huyu dogo mafuta ana akili ajui kuishi na watu ata ao mateja na wala unga wenzake sasa hao mmaibadhi anawaambia hivyo atakua na macho gn Kwa Tanzania hii atakapopita
@wakwetu2444
@wakwetu2444 8 ай бұрын
Ewe sheikh kama Huna kazi usilete Futuna kwa waislam.
@AbdillahiMkondo-t6p
@AbdillahiMkondo-t6p 8 ай бұрын
Yan hua mkibanwa mnakimbilia kwenye kuleta fitna tulieni sisi tuwafahamu vzur Shekhe endelea kutuweka wazi usisikilize maneno yao tunapata faida
@masudbasra566
@masudbasra566 6 ай бұрын
Kassimu mafuta huna elimu yoyote wewe ufai hata kisomesha watoto wadogo chuwoni
@ShyOnlineMedia
@ShyOnlineMedia 6 ай бұрын
Hizo ni kelele za chura tu!
@thuweinmassoud9062
@thuweinmassoud9062 4 ай бұрын
​@@ShyOnlineMedia tulieni nyie vijitu . kama kweli kabisa nyinyi muko katika haqi njooni tujadiliane huku
@111dudi
@111dudi 5 ай бұрын
Wewe Mafuta hujakoma tuu, sheikh Nasor wa Dar alikujibu ukajosa la kuongeza. Alikushikisha adabu.Hebu wakome maibadhi wewe.
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 5 ай бұрын
🤣unaumia kutokea wapi?
@SalehLofy
@SalehLofy 5 ай бұрын
Mawahabi ni waongo kuliko Iblisi
@IbrahimuHusein
@IbrahimuHusein 5 ай бұрын
Umewasoma hao mawahabi au wazungumz kwa kusikia maneno ya watu
@abdillahsaid710
@abdillahsaid710 5 ай бұрын
Piga hao maibadhi hamna kitu
UNAZITOLEA MACHO MALI ZA WATU UNAJUA WAMEZIPATA VIPI?// SHEIKH NYUNDO
32:53
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,1 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4,1 МЛН
HISTORIA YA SHEIKH KASSIM MAFUTA -ALLAH AMUHIFADHI
30:04
Elimu sahihi
Рет қаралды 65 М.
HIZI NI ZAMA ZA MWISHO //SHEIKH KIPOZEO
18:11
arkas online tv
Рет қаралды 8 М.
JE INAFAA KUSWALI NYUMA YA IBADHI?
9:03
OMAR KHAMIS MOHAMMED
Рет қаралды 2,8 М.
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,1 МЛН