JE INAFAA KUSWALI NYUMA YA IBADHI?

  Рет қаралды 2,322

OMAR KHAMIS MOHAMMED

OMAR KHAMIS MOHAMMED

6 жыл бұрын

ABUU HAATI حفظه الله

Пікірлер: 53
@salehsaif1414
@salehsaif1414 Жыл бұрын
Shaikh wetu inaonekana ilimu yako kuna fasi inarudiliya jiyaribu uwa sogeleye ma ibadh utakuta wako katika njiya ya sawa mbele ya kucyukuwa hatuwa haziko sawa.shukran.
@drraizkidume867
@drraizkidume867 5 жыл бұрын
Assalam Alleiqum , ALLAH Subhana Watallah atuifadhi na Sunnah ya Mtume wetu Muhammad Swalalau Alleim Wassalam, Amiiin
@mohamedmasanga9134
@mohamedmasanga9134 3 ай бұрын
Dini ni Mali ya Allah sio ya taasisi au dhehebu Fulani acheni ujinga
@truthspeaker2062
@truthspeaker2062 6 ай бұрын
Mm nadhan bora mufanye mdahalo na maibadhu kisha haki itajukikana kwa atakaetaka kuifuata
@abdallahmkwalia7454
@abdallahmkwalia7454 2 жыл бұрын
Fungamaneni katika kamba ya M/Mungu,bila kufarakana. Elimu zenye kutugawa ni za kiyahudi.
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 ай бұрын
AHLUSUNNAH WALJAMAA ni wale wasiowatukaba MASWABA,IBADHI wanamtusi SWAHABA Ali bin Abutwalib,wala hawakubali kuwaita watoto wao jina la Ali!!
@Mustafiid
@Mustafiid 2 жыл бұрын
Mbona asema uongo huyuuuuuuuuuuu usemea uongo ibadhi
@SaidMzee-mk4vw
@SaidMzee-mk4vw 3 ай бұрын
Allah Akbar some din yenu waislam
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 ай бұрын
Kweli ni haramu kuswali kwa ibadhi, Kwanza wanamtukana othman vibaya sanaa
@user-cy1od5xr8x
@user-cy1od5xr8x 7 ай бұрын
KWANI IBADH NA NYINYI MASALAFI NANI WAMEKUJA MWANZO DUNIANI HAPA WATU LAZIMA MJUE HISTORIA JAPO KIDOGO
@binfarouq733
@binfarouq733 5 жыл бұрын
Jengine ni kuwa hakuna kitu kinachoitwa kufunga swala na kufunga swala huko kukatafsiriwa kuinyanyua mikono na kuweka kifuani au eneo la juu au chini ya kitomvu ndio upo sahihi Mia kwa Mia,, kufunga swala ni kutoa salamu upande Wa kushotoni baada ya kitako cha mwisho cha attahiyatu, na kuinyanyua mikono ukaifumba kifuani au tumboni huko ni kufunga mikono swala inafunguliwa.
@AhmadaHassan-gy5uj
@AhmadaHassan-gy5uj 2 ай бұрын
😂😂😂 huyu sheikh ana chuki na maibaadh
@user-dn3jh6oz8s
@user-dn3jh6oz8s 3 ай бұрын
Kulla siwa LLAH MAKHLUUK chochote kisichokuwa Allah ni makhluuq
@z34-kp9qq
@z34-kp9qq 3 ай бұрын
Sio swahiyh maneno hyo.
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 4 ай бұрын
Unaweza ukajiona wewe mbele ya Allah ni bora kuliko wengine ikawa wewe ndie wa motoni kuliko huyoo unaemkufurishaa 😢
@moklashh
@moklashh 5 жыл бұрын
Ignorent guy that lies
@salumrashidabdullashmely2558
@salumrashidabdullashmely2558 Жыл бұрын
Wewe mbwa ndio una mambo ya ajabu sana, wewe pia sio mwislam wewe ni kama mbwa tu huna tofauti na mbwa.
@user-cy1od5xr8x
@user-cy1od5xr8x 29 күн бұрын
Wapi IBADH anakafirisha muislamu? Tibia yenu mnawasingizia wengine Huyu jamaa ya uongo anasema ya ukweli hasemi
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 ай бұрын
MAIBADH ni katika mapote ya opotevu ya KISHIA
@AhmadaHassan-gy5uj
@AhmadaHassan-gy5uj 2 ай бұрын
Upeo wako umeishia hapo.
@user-dn3jh6oz8s
@user-dn3jh6oz8s 3 ай бұрын
Maskin mtoa mada kama vile hujasoma yaani wewe sijui kama hukua unatafunwa
@user-cy1od5xr8x
@user-cy1od5xr8x 7 ай бұрын
SASA KILA MTU ANASEMA ANAENDA PEPONI KWA MUJIBU WA DHEHEBU LAKE NDIO MAANA YUPO KATKA DHEHEBU HILO LAKN NYINYI MNAWAKAFIRISHA WATU KILA SEHEMU NJE NDANI NA MNATANGAZA CHUKI WAISLAM KWA WAISLAM MIAKA YOTE MAIBADH WAPO NA MADHEHEBU NYENGINE HAIJAWAHI KUTOKEA WAKAGOMBANA
@user-cy1od5xr8x
@user-cy1od5xr8x 29 күн бұрын
Eti Fatwa za Ulamaa wa kiislam kwaio maibadhi sio waislam KUSEMA tu QURAN imeumbwa kama haijaumbwa imejiumba? Tatizo pia nyie Quran mnaitafsiri neno Kwa neno na ndio maana mnasema Allah amefanana na nabiiAdam Utaona hasa kuwa Hawa ni wasanii na nyie mnakaribiyana na Mayahudi Kwa mambo mengi
@saidsuleiman2218
@saidsuleiman2218 8 ай бұрын
Kaeni meza moja usijitutumuwe pekee yako tu dini si hivyo nasaha upole unyenyekevu muhim
@aboudsaidaboud7667
@aboudsaidaboud7667 5 жыл бұрын
sawa kabisa sheikh.
@khalfansharji9790
@khalfansharji9790 5 жыл бұрын
Omar khamis kensa nyingine katika uisilamu wewe unawakufurisha waibadhi umetumwa na nani wewe wahabi wewe usiswali nyuma ya ibadhi kaswali nyuma ya yahudi mwenzako usituletee Fitna za kiyahudi katika dini haya unayosema yote uongo mtupu na yawma lkiyama utayatolea ushahidi mbele ya ALLAH Tabaraka wataala.
@salimhabib2177
@salimhabib2177 5 жыл бұрын
Khalfan Sharji usimtukane mtu sivyo tulivyo fundishwa usikatae kitu bila yakutafuta uchumbuzi
@khalfansharji9790
@khalfansharji9790 5 жыл бұрын
@@salimhabib2177 kutukana kupi !!! Uzushi sifa ya yahudi na huyu jamaa ilmu yake ya ya kukarishwa na mawahabi tu.Anaongelea upungufu wa ibadhi ktk sala lakini inaonekana hajui Faradhi za sala wala sunna zake.Yeye anajuwa kuswali ni Ameen kufunga mikono tena kwa kukaba mashingo na kutoa salamu mbili tena huyu muwahabi yeye naona hayani nguzo za ziada katika swala yake baada ya nguzo alizofundisha mtume s.a.w (17).Haya neno Ameen yeye mbona Bismilah anaiwacha!!!na hajaambiwa haya hicho kidole anachosema cha shahada yeye ana kichezesha watu wamemwacha kwakuwa ni akida!!! Haya nawe salim habib kama nawe mshirika wa omar khamis uchunguzi upi mtu afanye ?Hili jamaa linaonge nakuskika sasa!!!
@binfarouq733
@binfarouq733 5 жыл бұрын
Kwanza tukazidishe kutafuta elimu na sio kukaa tu kutoa elimu hali ya kua tunamapungufu makubwa ya elimu.
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 6 ай бұрын
Je inafaa kuswali nyuma ya asiekuwa ibadhi ? Jawabu ndio inafaaa kuswali nyuma ya asiekuwa ibadhi kwa sababu sisi waislamu sote ni ndugu
@abdulhalim5950
@abdulhalim5950 4 ай бұрын
Mjinga www pia swali kwa shia bas na yy ni muislm anajiita
@mbarakrashid9818
@mbarakrashid9818 7 ай бұрын
Acha uongo wa kuwazulia maibadhi Hayo unayoyasema kuhusu maibadhi na wewe msimamo wako ni huo huo asiye kuwa salafi ni mubtadiu ni ghurafi si muislamu safi Motoni!! Tafauti iko wapi? Kila mmoja anaona yeye ndio yuko sawa peponi moja kwa moja Na asiyekuwa yeye ni motoni Mwenye kazi ya kuingiza peponi na motoni ni الله peke yake
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 6 ай бұрын
Kwenye huu ulimwengu kuna vitu viwili tu hakuna cha tatu ! Ambayo ni mungu na viumbe kwahiyo kila asiekuwa Allah ni kiumbe cha Allah kwa hiyo je qur ani ni Allah? Jawabu qur ani sio Allah basi kama sio Allah basi ni kiumbe ambacho kakiumba mwenyezimungu ! Kwani kusema kiumbe dhambi ? Au ndio kumtukuza Allah s.w ? Yaani nyinyi mawahabi munahoja za kipumbavu kabisaaa 😂😂
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 6 ай бұрын
Sw maibadhi wanasema qur ani ni kiumbe ! Na nyie mawahabi munaempachika mungu viungoo sasa kati ya maibadhi na nyinyi mawahabi nani waovuu?
@abdulhalim5950
@abdulhalim5950 4 ай бұрын
Mungu akuongoze kaka
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 4 ай бұрын
Na wewe pia mungu akuongoze au tayari munajiona ushaongokaa ?? Hebu ni thibitishie kama wewe kweli ni mja wa peponi ? Unauhakika gani kama wewe wa peponi ? Huenda yule unaembashiria moto akawa wapeponi na wewe unaejiona mtakatifu ukaenda motoni 😢acheni siasa izoo za chukii mambo yamefanyika na makosaa yamefanyika kipindi Cha maswahaba nyinyi munataka kuyafufua acheni fitnaa izoo muogopeni Allah s.w acheni unafik
@SULEIMANMussin
@SULEIMANMussin Ай бұрын
Nyie sasa mnawagua waislam na mnauvuruga uislam sya gang iliyo zungumza madhehebu msitukane watu mbona wakristo hawabauni kama nyiee
@user-cu8xc5yl9x
@user-cu8xc5yl9x 9 ай бұрын
😂😂😂hao ni majahil usiwasifu kama wanaelimu Kwa sababu fatwa zao za kubaguwa waislamu 😂😂😂
@MohamedAhmed-yi1yf
@MohamedAhmed-yi1yf 5 жыл бұрын
Nyie maibadhi kama hamjui quran vizuri kwanini mwajiita waislam?
@saidalhabsi6485
@saidalhabsi6485 10 ай бұрын
Wewe shekh au shekhena maneno yako yote yauongo hakuna chochote maibadhi hawana matatizo na mtu yoyote masunni wanasala nyuma ya ibadhi wewe ni fitna imekujaa na njaa inakusumbua
@feisalsaid7729
@feisalsaid7729 2 жыл бұрын
Hakuna lolote mpumbavu mkubwa huyu anaejiita ahlu sunna .wewe ndii una mambo ya ajabu kwa hiyo wewe . Kama kufunga sala mbona hata madhehebu ya malki hawafungi sala. Khanith waheed
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 6 ай бұрын
😂😂kwani huyo ibnu qayyim wako yeye ni nani ? Yeye ni mtume au? Hata atakachosema ni sahihi? Acheni kuwatukuza watu wapuuzi nyie kwenye huu ulimwengu anaestahiki kusikilizwa ni mwenyezimungu na mtume wake tu hakuna mwengine
@abalqasim
@abalqasim Жыл бұрын
Maibazi niwajinga hawana lolote
@saidalkiyumi9270
@saidalkiyumi9270 Жыл бұрын
Mjinga wewe kwanza
@user-hz4bk8bn4e
@user-hz4bk8bn4e 6 ай бұрын
Yahudiii huyu
@MohamedAhmed-yi1yf
@MohamedAhmed-yi1yf 5 жыл бұрын
Maibadhi na mashia wakipewa ukweli kuhusu upotofu wao wanalaumu alhly sunna kwa kisingizio cha uwahabi
@MohamedAhmed-yi1yf
@MohamedAhmed-yi1yf 5 жыл бұрын
Maibadhi na mashia nia yao ni kuharibu sunna sahihi ilioachwa na mtume Muhammad (saw)
@salumrashidabdullashmely2558
@salumrashidabdullashmely2558 Жыл бұрын
Kuma yako ya nyuma mbwa wewe
@osmaniidrisa6290
@osmaniidrisa6290 Жыл бұрын
Lisa ni nini
@MohamedAhmed-yi1yf
@MohamedAhmed-yi1yf 5 жыл бұрын
Kuswali nyuma ya ibadhi haifai kabisa
@MohamedAhmed-yi1yf
@MohamedAhmed-yi1yf 5 жыл бұрын
Ibadhi hao makhawariji
Sheikh Abdi John 🇧🇮 : Adabu za Ikhtilafu
18:25
Ar Risâlat Tv
Рет қаралды 3 М.
Kuna IBADHI gani mwenye jina la Uthman Radhwiyallahu A'nhu?
5:00
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 70 МЛН
0025-JE INASIHI KUSALI NYUMA YA IMAMU ANAENYANYUA NA KUFUNGA MIKONO?
2:17
Sheikh Munir Al masruri
Рет қаралды 1 М.
je inafaa kuswali nyuma ya masalafi ? | Sheikh Salim Barahiyan
4:19
Sheikh Salim Barahiyan
Рет қаралды 32 М.
KUOMBA DUA BAADA YA SWALA INAFAA AU HAIFAI......? JIBU HILI HAPA
6:41
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32