Allah akupe malipoa makubwa shekh hapa duniani na kesho akhera Aaamiin
@MariamHaroon-pu3lx4 күн бұрын
🤲🤲🤲🤲ameen
@FasidaShaban2 күн бұрын
Allah tujarie mwisho mwema na umpe umri mrefu shekhe wetu.
@khadijahabibu5144Күн бұрын
Amin
@ZuwenaSalumu-e5i2 күн бұрын
Yaan Rabbi mwenyeezi Mungu mtukufu 😢kama sheikh alivomtaja kwa mfano Binti Nifa katika nyumba ya Allah basi nakuomba umpe Hidaya huyu Binti na umbarikie....muondoshee wabaya wake wawe wazur wake nasisi sote utuongoze ...Amin
@MahamudNyuha-h6nКүн бұрын
Alha awape uvumilivu wenzetu Salio fikwa namaafa
@Salsabiil124 күн бұрын
Maashaallaah umeongea pwet kubwa san ndo nashaangaaa kila cku watu wanawafukuza wamachinga hali ya kuwa. Kariako ni solo la kimataifa cjuuw watak kuwapeleka wapi nawao walikuwa namb moj kusaidia wahanga jaman waonee hurum wamachinga jaman tupat kusalimik n adhabu za Allah
@mbwanangare32333 күн бұрын
Mashallah. Shehe kishk mungu. AkujLie. Hatma. Njema umautiwako. Utokee. Katika sijida. Tunakupenda. Sana unaongea. Ukweli. Kutoka. Moyon
@mengishabani50262 сағат бұрын
Allah akulipe shekh
@MwanaHamis-y4e3 күн бұрын
Mashaallah Allah azidi kukuifadhi na akujalie afya njema tupate kujifunza zaidi
@RahimaMct-ik8mr4 күн бұрын
😢😢Hakika nifunzo kubwa Amen sheh kishik allah akuhifadhi
@VORTEXAF4 күн бұрын
Ulaya wanajali kwaza watoto halafu wanawake halafu mbwa ndio mwanamke ndio wanamme lakin badomwanamme anapewa haki zake
@Ayuminchasi4 күн бұрын
@@VORTEXAF kwa hiyo hata mwanaume akiwa yupo karibu hawamchukui
@NaswiratHussein3 күн бұрын
Shekhe umetukubushamengi allaamdulli llah ❤❤❤❤
@HamisiBarakusa3 күн бұрын
Kweli kabisa shekhe hapo tumejifunza mengi sana
@NaswiratHussein3 күн бұрын
Hakika nifunzo kubwa kwetu sote m/mngu atuhifadhi inshallah
@HawaYahya-h8t4 күн бұрын
😢😢😢😢huko Palestina ndo usiseme maisha yao km hivi na kumezidi yaraaaaby .......Allah hummaa nsuruu ikhuwana fii Palestina
@jofujumaa20464 күн бұрын
Mzee wa nondo shekh wang Allah akujarie afya njema na uhai mlef inshallah
Allah akupe tamyizi zaidi na akujaalie afya njema shekhe nurudini kishki tuweze kujifunza mengi zaidi kutoka kwako
@husseinmussa89822 күн бұрын
Nakupenda kwa ajili ya Allah Allah akulinde shekhe kishk
@MohamedMeja5 күн бұрын
Masha allah mungu akupea afya uwezea kutuilimishaa
@HamisiBarakusa3 күн бұрын
Mashaallaah mashaallaah allah akupe umri mrefu uendelee kutuelemisha kila ck ya mungu
@rahmahty70265 күн бұрын
Kabisa umesema sheikh. Amiin Yaa Rabbal a'laamin. Allahu akbar
@selesjandwa4124 күн бұрын
Mungu akupe maisha marefu shekh kishk
@allymbarouk53625 күн бұрын
Allah awalinde ndugu zetu Palestine Amiin Amiin
@fabssaleh72734 күн бұрын
AMEEN YAA RABB
@HanifaOman-oo4pl5 күн бұрын
Jazakrllah.khaillah shehewetu kipenzi
@halimashaban8113 күн бұрын
Sheikh kishki ALLÁH Akuhifadhi Innsha'Allah
@MuhsinWazir-o9i5 күн бұрын
Maa shaa Allah, Allah akulipe zaidi
@MasterOil-qm6vw4 күн бұрын
Allaah akubaariki sheikh hawawezi kuona kwamba wanakosea kusema mwanaume na mwanamke ni sawa kwa sababu wao lengo lao ni kutangaza ukafiri na sio watu wa haki za binaadamu bali wanatetea haki za shetani
@TunauzaSimu-fn2ff4 күн бұрын
Allahubariq. Cc wanawake tunajua MWAMME hawi sawa na mwanamke mwanamme ni mwanamme 2. Kariakoo hakukua na afande mwanamke hata mmoja! Allah akubariq sheikh wetu. Wengi tunakupenda kwa ajili ya ALLAH
@Sofi99-u6o5 күн бұрын
Nakupenda kwa ajir ya Àllah....WALLAH UMEONGEA KWELI KABISA
@GdFf-ik2eo3 күн бұрын
NI kweli sheikh umesema kweli Usimdhatau MTU ktk maisha haya hujui Nani atakayejusaidia Sheikh Allah akubariki na akuhifadhi shukran kwa ukumbusho
@KulsumTwalib4 күн бұрын
Kweli kabisa usimdharau usiemjua hakika ni funzo kubwa kabisa 😢😢hili lililotokea kariakoo 😢😢
@TawakalKasim4 күн бұрын
Allah awape umri mref na afya njema mashekhe wet tunawapenda Sana Allah awalind na maadui Ammin
@BigboyBigboy-oy3lj23 сағат бұрын
Masha allah
@DARK-mo5vi4 күн бұрын
Shekh mungu akupe kheri na baraka
@KadirMamito5 күн бұрын
Jazakallahu Khair sheikh
@AishaMuhammad-w8v3 күн бұрын
Hakika sheikh Allah akupe kher ktk duñia na akhera.
@MkubwaMkubwa-o2l3 күн бұрын
Allah akubarik sheh kishki
@OthmanMzube4 күн бұрын
This is my favorite sheikh
@TatuAlly-ie9nr3 күн бұрын
Allah karimu katika hili
@Fatima-v9k6f3 күн бұрын
From 🇧🇮 mashaallah
@SophiaAlly-ih2ss4 күн бұрын
Nikweli tanzania wame shilikiana sana wanaumoja na upendo sana kwakweli wanaume wamefanyakazi sana
@HamisiBarakusa3 күн бұрын
Aminaaah yarabillal minah
@frankmakanya-jm4lu3 күн бұрын
amina shekhh we2 wape chuma
@MariamHaroon-pu3lx4 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤mashaaallah 🌹 mashaaallah 🌹 ♥️ ❤️ 😍
@noot-oe2mw5 күн бұрын
Mashaallah Mashaallah 🙏🙏
@AsmasaidiTitu4 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤kwajili yako shkh
@ShamilaJuma-sm3rg4 күн бұрын
Mashallah,ALLAH,akulipe kheri
@selesjandwa4124 күн бұрын
Ameen mungu awalipe kher
@halimashaban8113 күн бұрын
Subhan'Allah 😓😭 Hakika
@NoraKedir5 күн бұрын
Allah akbar
@DottoRajab4 күн бұрын
Allah wajaliye wapalestina
@mussayusuph65684 күн бұрын
SHEKH NAOMBA UFAFANUZI KUHUSU WENZETU AMBAO WAMEKUFA UKU WAKIAMINI YESU NDO KIMBILIO LAO NA UKU TUNAAMBIWA WAMEKUFA MASHAAHID APA NIIPI HEKMA YA MUNGU
@Al.habeebAl.habaaib4 күн бұрын
FWATILIA VIZURI KHUTBA YOTE YA SHEIKH KISHKI KWANI HAYO YOTE KASHAYASEMA KATIKA KHUTBA YAKE YA JANA. MIMI NILIKWEPO
@Iddadnan4 күн бұрын
Wamekufa wakiwa waislam?
@Ayuminchasi4 күн бұрын
Hapo chacha wamekufa wanasema yesu mungu wangu
@mussayusuph65683 күн бұрын
@@Iddadnan apana wakiwa wakristo
@Iddadnan3 күн бұрын
@@mussayusuph6568 hawajafa shahid
@HasaniJuma-ew2kw4 күн бұрын
Nakubaliana nawe sheikh
@mussayusuph65684 күн бұрын
SWADAQTA SHEKH TENA WALE WANAO PITA WATU KM MAGOGO WAKOME
@Ayuminchasi4 күн бұрын
Kuhusu salam hukulazimishwa lazima lazima usalimiwe acha kulazimisha
😂😂😂😅 eti mmakonde daaah nimecheka kama mazuri 😅😅😅@@SophiaMbonde-m7g
@KHAMIS_SHILINGI4 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@MohammedyKhadija3 күн бұрын
@@SophiaMbonde-m7g wamakonde tumefanyaje sasa dada
@StarOman-d7q3 күн бұрын
Aaaamin
@Jamillahs12 күн бұрын
Shaikh mzuri ila unavyotoa hutba kama ugomvi ongea kwa utaratibu
@TatuAlly-ie9nr3 күн бұрын
🎉amina
@KhalifaHassani5 күн бұрын
SWADAKTA,,,, SWADAKTA,,, SWADAKTA.
@AdamuMdoe4 күн бұрын
Amin YAARABBI
@SalhaSaid-c4l4 күн бұрын
Allaah akbar
@suleimansoud27833 күн бұрын
Swadacta
@VyamuBwoy4 күн бұрын
Mashara
@TatuMkeso4 күн бұрын
Amiin
@SuolFat5 күн бұрын
Ulisema walio kufa wamekufa masahahidi je na wale makafiri pia wamekufa masahahidi kwa mujibu wa kauli zako
@Ayuminchasi4 күн бұрын
Hapo sasa
@SuolFat4 күн бұрын
@Ayuminchasi ndio atufafanulie je kafiri anakufa shahidi nae
@Ayuminchasi4 күн бұрын
@SuolFat hawezi kufa hivyo maana mpka umati unamfika anasema yesu mungu wake badala ya shahada mtihan tu na wakifa msalaba juu hapo hakuna Shahid
@zuweinaalhabsya87734 күн бұрын
Swali zuri Sana. Naomba Sheikh atujibu
@VORTEXAF4 күн бұрын
Ukiangukiwa na ukuta na ukiwa unasali ndio unaenda peponi ndio alivosema kwenye hutba yake
@allymbarouk53625 күн бұрын
Mwanamke anawezaje kuwa sawa na mwanamme? Hao wanaopiga kelele hizo wanatafuta tonge tu mkono uende kinywani.
@Ayuminchasi4 күн бұрын
Hata ww kuna vity mwanamke anafanya ww pia huwezi mpka kiama kila mtu wapewe anachoweza kukifanya so msiwasakame wanawake hali ya kuwa hata nyie hamuwezi kubeba mimba na kuzaa na kunyonyesha
@NunuKupela4 күн бұрын
@@Ayuminchasi Mimi ni muislam natamka na kukir kuwa Quran tukufu ni kitakatifu na muongozo wa maisha ya binadamu na akhera na mambo yooooooote ya uislamu vipo humo ,mwanamke na uislamu umemuelezea na namna anavyopaswa kuishi uislamu n I tamu kwanza usafi upendo heshima nidhamu ukweli kusaidia kuhurumiana kuelimishana karibu kwenye uislam