SHEIKH KUSOMA DHIKRI ILIPIGWA MBELE YA AL KAABA NA MTUME AKIWEPO

  Рет қаралды 4,116

Daarul arqam Online Tv

Daarul arqam Online Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 41
@SuleimanShaban-gf1dy
@SuleimanShaban-gf1dy 17 сағат бұрын
Ahsant shekh Allah akulipe kher
@herimsham3459
@herimsham3459 Күн бұрын
SubhaAllah. Hakika mtazameni kwa jicho la mbali sana shekhe kusoma, kuna daraja anayo tuifanyie kazi
@mahamudisharifu7023
@mahamudisharifu7023 2 күн бұрын
Masha allah ya shekh kusoma barakalahu fika
@abasitwahiru8898
@abasitwahiru8898 3 сағат бұрын
Maktaba inayo tembea❤
@ramadhanihamisi3977
@ramadhanihamisi3977 2 күн бұрын
Shekh acha kutumia aya za allah na kuzitafsiri kwa ufaham mbaya Kuna kesho ambayo itakuwa ktk milki ya allah itaq llah shekh kusoma
@darajanida
@darajanida 2 күн бұрын
sasa hapo si ananukuu tafsir za wanazuoni au ndio akili yako ishambukizwa kirusi cha kiwahabi
@AdamChogo
@AdamChogo 2 күн бұрын
Tafcr c yake ananukuu waliotafsiri qur an acha wivu
@RamadhaniHuseni-k4t
@RamadhaniHuseni-k4t Күн бұрын
​@@darajanida wanatabu hawa ataukitoa aya ataona kama umeongea tuu
@MohamedKibwana-mc5wu
@MohamedKibwana-mc5wu 2 күн бұрын
Maashallah 😍❤
@athumanikhamisi3377
@athumanikhamisi3377 2 күн бұрын
Maasha allah
@IBRAHIMUMABULASALEHE
@IBRAHIMUMABULASALEHE 2 күн бұрын
Kuzua katka dini nijambo baya zaid Inshallah utayapata malipo Yako siku ya qiama labda utubu na ulejee Kwa ALLAH soma luquman Aya ya 6
@AdamChogo
@AdamChogo 2 күн бұрын
Kazua nn
@saidimurisa4600
@saidimurisa4600 Күн бұрын
Usiwajibu mawahabi hawana akili wala elimu
@shariffali7780
@shariffali7780 Күн бұрын
Sadaqta ya Sheikh Kusoma, kuna haja sana za hizi dalili kuekwa wazi kufunga midomo za mawahabbi na kuaelimisha vijana wetu wajue tariqa ni ilm ya asli kabisa yenye mapokezi (sanad)!
@MohamedMgwami-nw6bl
@MohamedMgwami-nw6bl Күн бұрын
Ramadhan hamis wewe ndio Huna unachokijua sheikh muhammad kusoma anatoa ushahidi ulichotakiwa na wewe toa ushahidi wenye kuyapinga haya anayoyasema sheikh mohammed kusoma,Acha msimamo wako wa kiwahabi angalia ukweli na ushahidi unaotolewa,
@ZainamavooMavoo
@ZainamavooMavoo 2 күн бұрын
Mawahabi hmjielew tukanen mutakavo ila hamtuwez kiliimu
@AdamChogo
@AdamChogo 2 күн бұрын
Kuna watu wana wivu kwa huyu shkh yan anawapa mpaka ukurasa lkn hawakubaliani nae wanadai anazusha
@daarularqammkaku153
@daarularqammkaku153 Күн бұрын
@@AdamChogo 😂😂😂
@AdamChogo
@AdamChogo Күн бұрын
@daarularqammkaku153 eeeeh ndio walee lete dalili haya dalili na ushahidi huo ila bado kiburi
@HappyBlackKitten-nt2lp
@HappyBlackKitten-nt2lp Күн бұрын
ٱتق الله ياأخي!!!! سوف تسأل!!!!!!!!!¡!!!!¡
@ZainamavooMavoo
@ZainamavooMavoo 2 күн бұрын
Mwamba mawahabi wakatwalii
@yahfatmudswiddiq2271
@yahfatmudswiddiq2271 Күн бұрын
lijamaa lizushi liongo hata halina aibu
@SuleimanShaban-gf1dy
@SuleimanShaban-gf1dy 17 сағат бұрын
We mkweli weka ukweli wako
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 19 сағат бұрын
Bwege wewe unakulaga hela za baadhi ya wenye hela zao zakishirikina wajinga na mkoa unaekuja kwa huyo katajiri mjinga tunamjuwa na huo mkoa sisi tunaishi anakukodishiaga guest yote peke yako angalia israfu unaemfanyie huyo mjina tajiri wakishirikina na mikopo ya bank
@hijahamadi5793
@hijahamadi5793 Күн бұрын
Kuna watu wajua namna ya kuwaburuza wajinga mpaka batwili yaonekana haki na haki kuonekana batwili mfano wa watu hao ni huyu mzee kusoma , huwanukuu wanachuoni neno moja akaongeza ya kwake mia moja ili aufanye uongo wake uonekane ukweli.
@HanafiChitindivilo
@HanafiChitindivilo Күн бұрын
اتق يا أخي 'ما يلفظ من قول إلا لديه رقيب عتيد"
@HanafiChitindivilo
@HanafiChitindivilo Күн бұрын
وإن كان ما قلت حق فاظهل لي بهتانه إن كنت من الصادقين
@Omanzikra-ft5cr
@Omanzikra-ft5cr 2 күн бұрын
Ww sheikh achakuwadanganya hao mnakatazwa kilasiku kua mnatoa tafsiri za uongo ili kujihalalishia kile mnachokitaka ndio maana leo sisi waislam tunafeli kwa sababu yenu
@AdamChogo
@AdamChogo 2 күн бұрын
We ndio muongo hapo shekh anakupa hadi kitabu acha uvivu kasome pimbi ww
@islamseyffden7723
@islamseyffden7723 Күн бұрын
Km sio sufi haikuhusu mbon shobo😢😅😅
@amadeomarsaide5023
@amadeomarsaide5023 2 күн бұрын
Watie ujinga Masufi wenzio wasio jielewa kama wewe. Kwani unasema ndio mwenye baraka,kisha unasema akamuombea baraka. Sasa kama ndio mwenye baraka sasa alikua akamuombea tena kwanani? Bila Shaka alimuombea baraka kutoka kwa Allah
@darajanida
@darajanida 2 күн бұрын
wewe.wahabi tulia mashekh zako wakikutana na masufi kwenye mijadala wajikojolea je.wewe kifarang
@AdamChogo
@AdamChogo 2 күн бұрын
​@@darajanidamchane hana adabu
@HanafiChitindivilo
@HanafiChitindivilo Күн бұрын
Ama we mpotovu yaani hata kufahamu huna😊😊😊
@AdamuChenchere
@AdamuChenchere 2 күн бұрын
MashaAlah
@amadeomarsaide5023
@amadeomarsaide5023 2 күн бұрын
Watie ujinga Masufi wenzio wasio jielewa kama wewe. Kwani unasema ndio mwenye baraka,kisha unasema akamuombea baraka. Sasa kama ndio mwenye baraka sasa alikua akamuombea tena kwanani? Bila Shaka alimuombea baraka kutoka kwa Allah
@salumkatula4824
@salumkatula4824 2 күн бұрын
Kila siku kwenye Mijadala juu ya hili anawashinda Je Huwa mnashindwa na mjinga na nyinyi werevu vipi. Acheni Ujanjaujanja
@jumafaki2891
@jumafaki2891 2 күн бұрын
kashakwambi vidole vya mtume vilitoa maji je maji si baraka basi fahamu kule kumshika kichwa ndio baraka
OTHMAN MAALIM.....VISA VYA VITA YA BADRI
3:01:33
ADE LINK HABARI
Рет қаралды 154 М.
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
Mufti Aitaka Serekali
23:12
Ahmad Badawy Tv
Рет қаралды 955
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН