SHEIKH MKUU AWAONYA WAISLAM ''JIEPUSHENI NA MAMBO YASIYOWAHUSU, MSIFUATE MKUMBO"

  Рет қаралды 2,221

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 69
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo Ай бұрын
Ahsante sana kwa mawaidha yako, sheikh endelea kufurahia "amani" nasi wafuata mkumbo tuendelee kukumbana na madhira ya kuitafuta amani
@uwezomayonko5101
@uwezomayonko5101 Ай бұрын
Huyu mzee hajaanza kutumika leo! amekuwa akitumika na watawala kwa mda mrefu! hana tofauti na askofu malasusa wa kkkt! wote hawa wanatumika ktj nchii kufifisha haki na utawala bora ktk nchi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Mungu tupendane Waislamu na Wakristu mbona tunazaliana utengano wa nini Mwalimu Nyerere alituunganisha Vizuri swala la udini tuliweke pembeni tupendane
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg Ай бұрын
Kwa utekaji ndio Amani
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule Ай бұрын
Aisee
@barnaba3037
@barnaba3037 Ай бұрын
Shekhe Ponda ndo angekuwa Mufti ni muwazi na anamsimamo mkali
@DAVDChalse-db6tz
@DAVDChalse-db6tz Ай бұрын
Ukisikia masheikhe wa Mchongo ndia hawa Sasa
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Ай бұрын
How about TEC WAZEE WA MASLAHI 😢😢😢😢😢
@DAVDChalse-db6tz
@DAVDChalse-db6tz Ай бұрын
@@OmmyJames-xn7ji Acha kukurupuka unapotaka kujibu kitu jibu kulingana na maada iliyopo Usiwe na mihemko ya kidini Simaanishi kwamba Waislam wote hawafai mbona kuna Masheikhe ambao wanajielewa kabsa wanatoa darasa zenye kueleweka Vile vile Wachungaji wa mchongo wapo Kibao
@harunamtiko117
@harunamtiko117 Ай бұрын
We mfuti ni boya kupindukia, hata kukemea mauwaji unashndwa, hufai kutuongoza waislam.
@VitusNdaruhekeye
@VitusNdaruhekeye Ай бұрын
Mmezoea kuwapozaWatz kwa vitisho vya kupotea amani hata kwa vitu halali kama maandamano, watz wa sasa siyo wa juzi. Subiri taeehe 23 ndipo utaelewa.
@FestoMassani
@FestoMassani Ай бұрын
Shekhe soma comments utajielewa labda
@BenedictoTegezya-se8lc
@BenedictoTegezya-se8lc Ай бұрын
Maandamo ni haki ya wananchi na siyo uhalifu,kuweni na maarifa kwenye mabox yenu matupu
@KisakaMvungi
@KisakaMvungi Ай бұрын
Huyu ana ruzuku ya 10000000 per mounth
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter Ай бұрын
Acha kierere
@louisnyoni4139
@louisnyoni4139 Ай бұрын
Maandamano yameruhusiwa kikatiba sasa hizi tafsili za hawa wakubwa zinatoka wapi? au hatuishi katiba yetu? Ni sawa kusema kuruani imetutaka kufanya jambo alafu tuna tafsili tofauti na kitabu hicho kitakatifu.
@LeoKinango
@LeoKinango Ай бұрын
Yaani watu wateke watu wa waue bila sababu halafu wewe unamuweka MUNGU kwenye ujinga, kwanza sura yako imekaa kama unagonga nyagi
@mangashajunior242
@mangashajunior242 Ай бұрын
Majanga 2024...
@denisdamian1190
@denisdamian1190 Ай бұрын
Mda mwingine viongoz wa din wanakosa kbisa akili ya kujua namnaa ya kuendesha dinii zao huyu angekua na msingi mzurii juu ya Iman ya kislam asingetamka haya anayozumzaa Kaz yake n kutua mawaidha yanayolemisha jamii na kutunza aman na sio uogaa na kubeza mambo yanayotunusuru taifa ktk yanayoendelea
@BenedictoTegezya-se8lc
@BenedictoTegezya-se8lc Ай бұрын
Unawahiza watu kuvumilia ujinga wa waendelee kuuwawa hebu jitafakari huoni ata aibu
@kombomohamed-yx4wt
@kombomohamed-yx4wt Ай бұрын
Kwa ujinga huu pepo wataingia wavuta bangi
@BakaryOmally
@BakaryOmally Ай бұрын
Omba msamaha kwa mola wako au unacoment nawe uonekane umecoment ni bora kua kimya
@kombomohamed-yx4wt
@kombomohamed-yx4wt Ай бұрын
Maneno ya mtu mpuuzi mchumia tumbi haya yapuuzwe hawa mashenke wa hivyo waislam wanatekwa wanapotezwa kwa kisingizio cha itikadi kali ilhali hawajafanya jinai zozoto na mashenke wetu wapo kimya ila kwenye maslahi yao ua tumbo ndio hulopokwa tu
@hashimsalum7025
@hashimsalum7025 Ай бұрын
Hapo hamna kitu hapo shekh, acha kutumia dini vibaya.
@gastordominic410
@gastordominic410 Ай бұрын
Mbona yy anafanya kila jambo jaman
@gastordominic410
@gastordominic410 Ай бұрын
Kumbe ndugu zetu hawatekwi eeeh
@SirajiIssa-c7o
@SirajiIssa-c7o Ай бұрын
Huyu jamaa anatumikia shetani mda mrefu sana
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv Ай бұрын
duh duh duh duh
@AlexMlaba
@AlexMlaba Ай бұрын
Miaka minne iliyopita wamarekani waliandamana sababu ya kuuwawa mtu mmoja na mwaka mmoja uliopita wafaransa waliuwawa kwasababu ya kuuwawa mtu mmoja lakini Tanzania mamia ya watu wameuwawa na kutekwa
@VitusNdaruhekeye
@VitusNdaruhekeye Ай бұрын
Amani gani anazungumzia? Watu wanatekwa na kuuawa, hiyo ndiyo amani? Acha kujidhalilisha kiongozi.
@BenedictoTegezya-se8lc
@BenedictoTegezya-se8lc Ай бұрын
Watunze amani gani isiyokuwepo,mtu anauliwa unasema kuna amani,siku yakifika nyumbani kwako utaelewa
@abdulmajidmageja6562
@abdulmajidmageja6562 Ай бұрын
Ww sio shee ni chawa tuu soma katiba Kisha uje uongee kwanza shee gani anachaguliwa bungeni
@ShehaHassan-ev7st
@ShehaHassan-ev7st Ай бұрын
Huyu ni chawa tu km machawa wengine Tanzania tena hafai kua kiongozi wadini
@brownmashine
@brownmashine Ай бұрын
Waislam wa ccm sio wamuhammad
@LoiteyoAmakoMako
@LoiteyoAmakoMako Ай бұрын
Umelipwa ngapi
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 Ай бұрын
Shekh ukimaliza naomba usome comment za watanzania uelewe
@fauzseif7344
@fauzseif7344 Ай бұрын
We mwakasege mila zako hazina dini huna mungi
@MohammedHimba
@MohammedHimba Ай бұрын
Sasa nyinyi wapumbavu mnamlaulu nini mufti jambo lake ni la wote
@RizwanAbdallah
@RizwanAbdallah Ай бұрын
Machawa
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Ай бұрын
TEC VS BAKWATA PATAMU HAPO 😢😢😢😢😢
@SaidiPala
@SaidiPala Ай бұрын
Hivi hapo hakuna hata wakumjibu
@d.m.t4932
@d.m.t4932 Ай бұрын
Wewe ni mnufaika wa serikali kwaiyo huwezi kuwakemea wakifanya upuuzi Endelwa kutetea tumbo lako ila kiama kama kama kipo kweli utajibu
@seneu.2128
@seneu.2128 Ай бұрын
😂😂😂 🙌
@HemedmusoTz
@HemedmusoTz Ай бұрын
Wewe shekhe wa selekali sio shekhe wa uislam mashekhe waadilifu wanajulikana sijui umezungumza nn
@josephmpemba8004
@josephmpemba8004 Ай бұрын
NAWAHURUMIA WANAOKUSIKILIZA!! POLENI SANA. UNAUDHI MUFTI. MASLAHI TU HAPO!!
@molexevelist813
@molexevelist813 Ай бұрын
Kemea mauaji sio kupinga br kuongelea mada chawa ww
@AlouiseNgenDanDumwe
@AlouiseNgenDanDumwe Ай бұрын
Huna lolote kwanini hujaonya magaidi
@MohamedKitenge-o9j
@MohamedKitenge-o9j Ай бұрын
Kwanini mashekh wa baklava wakitoa hutuba mbona huwa haina mashiko kaya maaskofu?
@brownmashine
@brownmashine Ай бұрын
Et muilam awe na aya nying kichwani ha ha ha shenzi kqbisa
@abelabba7809
@abelabba7809 Ай бұрын
Kweli utamuani huyu mtu ni mcha mungu. Bora mimi mpagani.Huyu ni kibaka kibaka anajali tumbo lake. Uisilamu una jali uhai wa binadamu.watu mzee kimbao ameuliwa kinyama kabisa ulitakiwa ulaani hilo tendo. Nonsense
@RizwanAbdallah
@RizwanAbdallah Ай бұрын
Kwanza huyu sijawai kumueleza
@wilsonandlea8614
@wilsonandlea8614 Ай бұрын
Uyu anamugao wake
@RizwanAbdallah
@RizwanAbdallah Ай бұрын
Huyu shehe nichawa uisilamu hauwi hivyo jihadi
@samsonogunde4508
@samsonogunde4508 Ай бұрын
Kumbe Watu kutekwa ni Sina Au
@kombomohamed-yx4wt
@kombomohamed-yx4wt Ай бұрын
😛😛😛😛😛😛😛
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter Ай бұрын
Acha kutumia platform ya dini kimichongo fala ww Alli kibao ni Muslim
@twahakabajemi9716
@twahakabajemi9716 Ай бұрын
Mufti wambie waislam wajitenge na mandamano ya chadema ni wakristo wana mzoza Rais Mwislam. Ukitaka kujua rais akiwa mkristo hata angefanya vituko vingi hautasikia waraka wala makongamano Makanisana
@Williamstozzo
@Williamstozzo Ай бұрын
Sawa Ali kibao si mkristo
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Ай бұрын
@@WilliamstozzoWAGALATIA MMEJULIKANA KWA KUBWEKA NA MASHOGA WENU WA TEC😢😢😢😢😢
@VitusNdaruhekeye
@VitusNdaruhekeye Ай бұрын
Acheni udini hautawasaidia
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Ай бұрын
@@VitusNdaruhekeye PALOKO MSIMALIZE ALBINO KAMA VYUMA VIMEKAZAA SUBIRINI MIUJIZA 🤧🤧🤧🤧🤧
@beinafuu6219
@beinafuu6219 Ай бұрын
Sasa hawa ndo wanapinga mauwaj.wewe unasema wajiepushe na musilam.ndo.kachukuliwa kwenye gari.duh hawa watu wana nguvu gan wauwaj mpaka shehee nae yupo upane wa kuwatetea mandamano nikupinga mauwaj shehee hatak wapinge je anatakaje? Kuendelea watu kutekwa?
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv Ай бұрын
brother dini ya ukweli ni upendo..jewanao potea ni drama ? mzee wa Tanga aliye shushwa kwenye garina kuuliwa ni haki...?aliye shiba hakumbuki aliye lala njaa..acha kuegemea kwenye dini kufumbaza ask liza watu
@HappyBooks-dj6oy
@HappyBooks-dj6oy Ай бұрын
Hauna Story wewe chawaa
@OmaryAlly-x1j
@OmaryAlly-x1j Ай бұрын
Shehe peleka ujinga huko, mbona husemi watu wanatekwa na kuuliwa wengine hawajulikani walipo,achana na mambo ya siasa ongea yanayo kuhusu
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq Ай бұрын
Weye ndio mjinga mfu kabisa
@DAVDChalse-db6tz
@DAVDChalse-db6tz Ай бұрын
Masheikhe Uchwara hawa
@mpendamema3694
@mpendamema3694 Ай бұрын
Uyo shekhe tapeli wa haki za watu​@@BilalMuhammad-jt6sq
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Ай бұрын
@@DAVDChalse-db6tzINGEKUWA ASKOFU WA TEC WAGALATIA UNGESIKIA UBARIKIWE MTU WA MUNGU HATA KAMA WANAPOTOSHWA 😢😢😢😢😢😢😢😢😢🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🤧🤧🤧🤧🤧🙏🏾
amazing#devil #lilith #funny #shorts
00:15
Devil Lilith
Рет қаралды 18 МЛН
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 190 МЛН
🅻🅸🆅🅴 BONIFACE JACOB (BONI YAI) ANANGURUMA MUDA HUU
1:21:15
DR.SULLE AWACHARUKIA WAISLAM WANAO HARAMISHA KILA KITU/WACHOYO
17:31
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 7 М.