Mashaallah Shekhe Muhammad iddy umeongea Vzuri sanaa,Allah akubarik Sana uendelee Kutoa Elim Alla atakulipa... Nlitaka Mashekhe wote wanaokataa utofaut wa Muandamo wangekuja na Hoja Thabit za Kujibu kuhusu Mashekhe hao
@abuuammar49243 жыл бұрын
Sikujua kuwa Shekh Muhammad Ayoub alikuwa hakosei
@amrihamis54202 жыл бұрын
Wallhay mwenyezi mungu akusamehee na a kuingize peponi shekh ni mkweli sana amini
@rwechunguraissa13942 жыл бұрын
Hongera Sana Shekhe, Allah akuhifadhi. Tunapitia fitna kubwa katika Uislamu.
@rehemasalimini54665 жыл бұрын
Shukrani shekh uko sahihi haswa mwenye kuelewa na kaelewa asielewa basi ache afate tv sababu mwezi ni mmoja ila muandamo unatofautiana kwa masaa na mdio tunafuata muandamo wa mwezi nchi tulipo sio kufata ushabiki wa watu furani Shekh Allah akuhifadhi duniani na Akhera
Asante shekh hatamimi nimeliona hilo Leo nilipomskiliza shekh kilemile nanikatoa maoni yangu nikawaabia wakae watupe jibu moja kwamana wanakhitilifiana
@shosiabdalla68804 жыл бұрын
Swadakta parasu minazi jazakallahu khairan
@HamiduMtandika-lc2tp Жыл бұрын
It is not easy to keep somebody in the right track who willingly ignore the truth because of personal interest OR illiteracy.....IN FACTS MUHAMMAD IDDI IS LOGICALLY CORRECT FOR ANYONE WHO UNDERSTANDING LOGICAL STATEMENTS............OOOH ! ALLAH GUIDE US......... OOH ! ALLAH BLESS MUHAMMAD IDDI.......... .......JAZAKA ALLAH KHAIRA YA SHEIKH MUHAMMADI IDDI ; WAKO ONLINE STUDENTS HAMIDU MTANDIKA
@mzeewa69994 жыл бұрын
Mtume Muhammad s.a.w. anasema nyoweni mustachi na fugeni ndevu mtofautiane na mayahud
@AbdulkarimShosi8 ай бұрын
Hayo mambo ya ndevu na masharubu yaingia wapi hapa hali mjadala ni kuhusu saum ya arafa Wacha fitina zako hizo zako ni chuki kama una hojja jibu
@hatjjuma61502 жыл бұрын
Tunajua kuna baadhi ya mambo yanamapishano ila yasiweke tofauti baina ya sisi waisilam.Alhamdulilah tupo kwenye haki kwajili ya shahada zetu.
@kaifamstafa98713 жыл бұрын
ABUU MUHAMMAD IDD WEWE NI SUFI UMEPINDA! ALLAH AKUONGOZE KTK SUNNAH .... Wewe ndiye mpotoshaji huna hoja kwa Abul fadhil
@AbdulkarimShosi8 ай бұрын
Huo usufi waingiaje hapo kama una dalili Lete wewe ndio mpotoshaji na mungu akuongoze
@wakatikhamis82812 жыл бұрын
Mashallah sheikh uko juu kuwaliko wapinzani wko,,,wafunze waelewe
@salamakhamis72455 жыл бұрын
Ahsante Yaa Sheykh. naamini wako wanaobadilisha misimamo yao kupitia daawa zako. usichoke mzee wangu. Alla akuhifadhi
@muslihmohd36852 жыл бұрын
Huyu sheikh yupo kimakundi zaidi na sio kutoa elimu, Allah akuongoze uache usufi
@yuzaaseif30405 жыл бұрын
Wew umekubaliwa na Shekh tangu hujazaliwa mashaa Allah mung azidi kukupa elimu
@jumasaid87773 жыл бұрын
Mohamed iddy wewe ni mbishi , hauna elimu ya ikhtilafu .adabu ya ikhtilafu , unajifanya wewe jambo hilo unalijua zaidi kuliko maulamaa , kwa sababu hilo ni katika masaili mukhtalafu fihha ., usijifanye wewe ni msomi sana. Wakati ni ikhitlafu ya wanazuoni .
@jamalbahdela5245 жыл бұрын
Al allama sheikh Muhamad Idd uko sahihi kabisa na Allh amekujaalia ilmu na istiqama, Usichoke kuwarudisha ktk mstari wasemaji semaji, Allah baarik.
@kaulimakame94445 жыл бұрын
Hoja siyo kumpinga au kumjenga MTU au kudhalilishana. Toeni hoja za kielimu zisizoonyesha kasoro za elimu ya Jiografia. Hoja za kbezana na za uchonganishi hazitusaidii sisi waumini wenu. Ilindeni Dino msilinde maslahi yenu au kutafuta umaarufu.Allah tulinde na elimu iliyofunikwa na hawaa za nafsi.
@kanyasicongo79185 жыл бұрын
Hebu jifikirieni sana mufti waoma kazaliwa Zanzibar na akaja kuwa mfuti waoman hiyo nidalili yaelimuyake kubwa mimi naona allah kampakipaji kikubwa sana chakufahamu mambo allah amuhifadhi amin.
@ahmadmadaai13573 жыл бұрын
Upo vzr sn Allah akupe umri mrefu mashaa Allah
@allisekondo49515 жыл бұрын
Allah akulipe kila la Kheri kwa kazi kubwa,unayo ifanya.
@jumamnyage53955 жыл бұрын
Abuu idi shekhe uliopoteza manhaji ndevu zako umezizika wapi ?
@محمدعبدالله-غ1ق8ظ5 жыл бұрын
wallahi mm namkubali huyu sheikhi coz huku saudia hata iDD inaswaliwa sakumi na mbili na kwetu africa hua ni sambili mda haupo sawa kwahio sheikh apo sawa
@kingwabaonlinetv79145 жыл бұрын
Sheik mi binafsi nakupenda maana unajua kufafanua na unatumia vitabu lkn wengine hawatuoneshi wanatumia vitabu gani endelea ivo ivo waislamu tunakufahamu vizur sana
@yusuphkwaya78435 жыл бұрын
Ali Ali nikweli
@kassimmgwami5 жыл бұрын
Hao akina Kilemile ni masheikh wa kimagharib /wakizungu.
@salumalabry96275 жыл бұрын
Allah akuhifadhi inshaallah. Unaeleweka vizur tu
@jumamnyage53955 жыл бұрын
Yan ungejua nikikutana na mtu amenyoa ndevu ameweka sharubu naona kama nimekutana na mmajusi na nikumuona mtu ameacha ndevu ameondoa sharubu naona kama nimekutana na swahaba wa mtume .
@duniaileile55225 жыл бұрын
MAASHALLAH MAASHALLAH SHEIKH WAWEKE SAWA !!!!!!!! WATAKUELEWA TU ONE DAY!!! Yaani kwa ubishi wao wanataka ulimwengu mzima wafunge pindi watu wako arafa 😇😇 Wanawaambieje wale amabao kwao inakua ni usiku pindi watu wako arafa???? Ni masuala ambayo wanabaki kutumbua macho 😬😬😬😂😂 Iko siku watarudi tu kwenye haki..
@mbossowcb19154 жыл бұрын
Shekhe Muhammad ayub Allah amlipe khery
@al-bsaidykhalef68975 жыл бұрын
Sheikh Muhammad upo sawa hao mashekhe wanatafuta umaarufu hawana Hekma
@safinabakari91405 жыл бұрын
Shaikh Muhammad Eid najua utapitia comment zetu. mimi nina maoni yangu kwako kwa maslahi mapana ya dini yetu..... kosa halirekebishwi kwa kosa, wale unaowaona katika mashaikh tunaowahishimu kuwa wamekosea andaeni meza moja ya sulhu haya mambo muyaoongee indoor n sio humu mitandaoni, italeta fitna kubwa. pili nakushauri tena mwalimu wangu, mkubwa hakosei,kama unakiri kuwa shaikh ni kaka yako basi yeye ni mkubwa kwako jishushe msishindane, nachelea zaidi fitna ambayo itaondosha mapenzi baina yenu. Tatu waliokujibu sio hao tu, nimesikia clip z mombasa kutoka kwa salafiy na nyingine ya qasim mafuta markaz pongwe, nae ametoa hoja nzito tu kama ukipata muda zisikilize na kama unaona kuna majibu dhidi ya hoja zake kwa maslahi ya umma basi unaweza kutoa darsa za kuzijibu ili watu wajue mbivu na mbichi. mwisho kabisa mnaweza mkaratibu mdaharo baina yenu na jopo la mashaikh wa msimamo huu na jopo la mashaikh wa msimamo ule na mufti akiwepo na ikiwezekana mwalikeni na mufti wa suudia aje aamue mtafaruku wetu ili tujenge umoja wetu na si kubomoa. Naomba kuwasilisha na Tawfiq inatoka kwa Allah.
@sabraham53085 жыл бұрын
Jazakallahu lheir umezungumza kwa busara na hekima,tatizo elimu ndogo,mdahalo utaleta muongozo,lakini kuna wengine wanatengeneza umaarufu.
@yahayaathumani15885 жыл бұрын
Hawa masheikh wanatumia hii mitandao kwa maslahi binafsi, wanasubiri likes na subscribers wachukue mshiko KZbin, wangekuwa na busara wangeitana na kumalizana wenyewe halafu wangetujuza nini sisi tufanye
@swahilitherapytv38465 жыл бұрын
IMAMU AHMAD ALLAH AMRAHAM HAKULAUMIWA KWENDA KINYUME NA KAULI ZA IMAMU SHAFII ALLAH AMRAHAM IWAJE WEWE UWALAZIMISHE MASHEIKH WALAZIMIANE NA KAULI YA SHEIKH WAO.!! KAMA SIO KUKOSA MISINGI YA ELIMU SAHIHI..!! RUDI UKASOME BWANA
@الزغويالزغوي-ض3ن5 жыл бұрын
MWENYEZI MUNGU AKUHIFADHI WANAKUELEWA SANA BALI KUKUBALI HAWATO KUBALI KWA KUTETEA HADHI
@MohamedAli-ip4iq5 жыл бұрын
Acha upotofu lete dalili ya kuh arafa ni mwez 9
@الزغويالزغوي-ض3ن5 жыл бұрын
@@MohamedAli-ip4iq LETA KWANZA DALILI YA KUWA SIKU YA ARAFA NI SIKU WANAYO SIMAMA MAHUJAJI KWA MUJIBU WA HADITHI ZA MTUME
@yusuphkwaya78435 жыл бұрын
الزغوي الزغوي namu malimu
@rizikisalum96785 жыл бұрын
Umesema kweli kabisa
@AbdulkarimShosi8 ай бұрын
@@MohamedAli-ip4iqfungua vitabu vyote vya fiqhi utaona vinasema siku ya arafa ni mwezi tisa wa dhulhijja wala hakuna kitabu chochote Cha fiqhi kinacho sema siku ya arafa ni siku ambayo mahujaji wamesimama kwenye viwanja vya arafa
@mohamadally57325 жыл бұрын
Sheikh nimekuelewa sana na asiekuelewa hatukuelewa mpka roho yake inatoka
@electronicstechnician9395 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jajGe2lqqqp7sM0
@athumanmohammad50525 жыл бұрын
Usisahau kuhitimisha hoja zako kwa kutathimin kuwa wafuasi wako wanazidi au wanapungua
@hafidhsaleh78785 жыл бұрын
Athuman Mohammad hoja cio kuzid au kupungua kw watu, hoja ni kufuata haki tu
@bokerarahaa65335 жыл бұрын
Mi niliongezeka inshaallah
@jumakapilima56745 жыл бұрын
Ukweli ni kuwa wafuasi wake wanapungua!!!!
@uwesusinde99765 жыл бұрын
Yaani we Mohammed Iddy utaendelea kuwa mjinga kabisa pamoja na wingi wa vitabu vya madhehebi ya kishaafia kutoa maelezo kuwa wazi lakini bado wazidi kubisha na kupotosha watanzania na kua mkaidi tu.
@hafidhsaleh78785 жыл бұрын
Uwesu Sinde kw upande wangu mm cjaona upotoshaj wake hapo! Just kasimamia mcmamo wake kw kujenga hoja na cio vyengnevyo! Ktk masheikh wote nliockilza hoja zao wamekubal kua haya mambo yana khilafu tangu zaman lkn jambo nililoligundua na la kushangaza ni kua upande 1 unajiona bora na upo sahihi kulko upande mwengne!
@uwesusinde99765 жыл бұрын
@@hafidhsaleh7878 c kazi yetu kumfanye mtu aongoke ni kazi ya Allah hiyo sisi kazi yetu ni kuwabainishia watu haki.
@maherhassan82354 жыл бұрын
Shekhe. Sindano imewakaa mashekh wapotoshaji wana tapatapatu hawana lakukujibu Allah akuweke miaka mingi uzidi kuwakata Vimeo wapotoshaji
@fahadomar61772 жыл бұрын
Alafu hoja nyengine Sheikh Muhammad iddi kuhusu awo wanaopinga mwezi mwandamo mm nawauliza jee, dini haikukamilika adi ilipokuja utandawazi maana hapo Zamani watu walikuwa wakihitalifiana kwasababu kulikuwa hakuna mawasiliano ya kujua kama Maka wamesimama arafa?, 2.) Hoja ya pili wao wakisema kama tufunge mwandamo wa kimataifa Sasa Ramadhani inaingia siku Moja na wakati mmoja jee, swali ikiwa unataka kufungua si unaangalia wakati ikiwa jua limepinduka yaani limezana basi kwa kurudia kuangalia wakati Sasa ikiwa adhuhuri imeingia Tanzania, 🇹🇿, Oman, Kenya, Sasa huyu marekani, ambae yupo nyuma kwa masaa 13, na Canada wapi nyuma kwa masaa 8 na china wapo mbele kwa masaa 7 jee wataswali vp adhuhuri mbna ktk swala tunahitilafiana Sasa wao wanashangaa kuhitilafiana kwenye mwandamo wa mwezi
@ibrahimmkoko58505 жыл бұрын
Tatizo lao huwa wanakusikiliza kwaajili ya kukujibu, badala ya kusikiliza kwaajili ya kuelewa. Shukran sana Sheikh, Allah akulipe.
@abdukadiliissa80764 жыл бұрын
Unaacha mustachi Duh huyu kwelii mjinga wa ilmu ya Dini
Kilemile ana laana ya Shekh Muhammad ayoub ndoman saiv haeleweki
@dullysavage59392 жыл бұрын
Unganisha waislamu tuwepamoja usitutenganishe na tumche mola duniani tunapita .
@machanochum19692 жыл бұрын
Inasikitisha sana kuona leo masheikh wetu wanasimamia misingi ya kutokupingana lakini wanazidi kudidimiza na kuleta taharuki na sitofahamu kwenye dini ya allah
@hashimfarsy18285 жыл бұрын
Usiifiche haki ukaidhikhirisha baatil ila jitambue hiii dunia tu usione unapta nofu ukaonaa ohook kuna mauti
@jumamnyage53955 жыл бұрын
Huna sifa ya kusikilizwa yan ndevu zako umeweka wapi unaboa wewe yan hakuelewi ila mtu bariidu katika watu
@brotherissesu5 жыл бұрын
Mm hoja yangu kwa shekh eid naona uislamu ni dini pana sana sasa tunatakiwa tumfuate Allah na mtume. Mashekh wanaweza kukosea na mwamedi Ayoub ni binadamu pia anaweza kukosea. Mkishindana kwajambo lolote rudini kwa Allah na Mtume.
@hamidharunsaid16665 жыл бұрын
Hehee me naunga mkono maneno yako kaka. Lakini hii dini twasomeshwa na kupata ufahamu wa dini kutoka kwa mashekhe hakuna malaika aliyetumwa kwako au mtume kukufundisha. Mashekhe wanachukua nafasi katika dini kaka
@jumasukari80825 жыл бұрын
@@hamidharunsaid1666 Shukrani kwa Mwongozo wako unaolinda heshima ya Masheikh.
@rajabujuma49765 жыл бұрын
Upo sawa lkn dini yetu tukufu, mafundisho yake yapo kwa lugha ya kiarabu na watu wengi, tunamatatizo ya kuijua lugha hii ya kiarabu kwa ufasaha wake na upana wake bali tunachukua tu tafsiri za juu juu na ndo maana hua tunakua wabishi na hatunufaiki kabisa na elimu yetu tukufu
@rajabujuma49765 жыл бұрын
Na hatuwezi kumfuata Allaah na Mtume bila kupitia kwa Mashaykh walosoma vizuri nafasi yao ni kubwa sana ktk hii dini na tukifuata tu kama tutakavyo, ndo utaona tunavyo pingana kwakuto elewa kama sasa
@salumkomba76825 жыл бұрын
ALLAH AKUZIDISHIE SHEIKH... USIKATE TAMAA SISI WAISLAAM TUNAKUELEWA SANA
@feisalfaraj442 жыл бұрын
jirekebishe
@abduliddy96205 жыл бұрын
sheikh wangu abuidd uko vizur sana nimefurai ukwausaili wavitabu nimependa.sana
@jumamnyage53955 жыл бұрын
Shekhe ndevu mtoto wa kiume wewe umezinyoa umeweka wapi unalinga apo kidevuni umenyoa ndio pambo gani ilo uwoni haya shekhe wangu ?
@bxgdhydydh65055 жыл бұрын
Shekhe msengenyaji
@hilalalhabsi20475 жыл бұрын
Kusengenya ni kusema akiwa mwenyewe hajui. Hem kasome clazma useme
@hassanmohd75412 жыл бұрын
Mimi nitasema mashaalah
@ahmadsaid2989 ай бұрын
Nonsence projo tupu hakuna kitu umeongea hapo😢
@salamakhamis72455 жыл бұрын
Allah akubarik. wewe na Shekh wako
@barakasinna8443 жыл бұрын
Dunia inaweza kuwa ndan ya siku Moja Ila tutakua katika vipande tofauti vya siku wengine watakua usiku wengine watakua mchana
@yusufwewe86005 жыл бұрын
👍
@manenohassan95375 жыл бұрын
Jazakallaahu Khayr, Sheikh Abuu 'Iddi Mohammed.
@jumamnyage53955 жыл бұрын
Hivi angekuja mtu apo yupo uchi atoa fatwa mungemsikiliza ? jawabu la sababu mwajua kakhalifu utaratibu . pia nataka mufaham kukaa kwake apo akiwa anenyoa ndevu katuwekea visharubu vyake hafai kusikilizwa kwanza akaondoe sharubu zake
@shariffhabshy67705 жыл бұрын
Sheikh Abu ldd usijupaue moyo kuna watu ni summun bukmun ummyun na wengi wengine siwasomi wao wamjibu Sh. Swaleh Al Utheimin.
@abuualban125 жыл бұрын
Wanachuon wanamuheshimu sheikh swaleh al utheimin lakin, amekosea katika hilo Na zipo qauli sambaba na sheikh Alban na ibn baaz wakielezea juu ya kufunga siku ambayo mahujaji wanasimama siku ya 'arafa.
@abuualban125 жыл бұрын
firqatunnajia.com
@jumamnyage53955 жыл бұрын
Abu idi kwanza ndevu zako umeweka wapi msizame kwenye arafa kua kidevu kama .....alafu sharubu umeacha ni mafunzo ya nani ?
@ahmadazubeir51125 жыл бұрын
Tatizo ni kwamba weengi tunaocpment hapa hatuna elimu ya dini/sheria bali tunaubishani. Lakini huyu Sheikh yuko sahihi Wallahi kwa haya anayoyazungumza. Mimi binafsi nimemuelewa sana na namkubali sanaa.
@princeshurem95755 жыл бұрын
Allah ni mmoja dini ni moja mtume mmoja jua ni moja mwezi mmoja mwezi ulionekanwa saudia ndo mwezi huoo huoo tuliouona huku tofaut yake ni ukubwa tu..... Na siku ya kuona je kma hatujaon kwetu kutokana na mawingi inabd tusifunge
@bongatv31574 жыл бұрын
Wapo watu wa astronomy Tanzania lazma utaonekana kwa vyombo hatakue na mawingu vp, tatizo ni tarehe za muandamo wa mwez kila eneo ndio tofaut ya arafa inaanza apo.
@feisalfaraj442 жыл бұрын
aslmu alyk d shekh ilikuwa ukisema arafaa hauposahihii jirekevishe usipotoshe umaa
@madinkeymadinkeymcn16813 жыл бұрын
Sheikh uko sawa
@sheikhsheikh12915 жыл бұрын
Sheikh Muhammed Iddi ni mwalimu 'ulamaa mzuri tuu ila ananishangaza ninapomuona anapuuza sunna ya kufuga ndevu na kuacha sharubu pekee...kuna siku moja nikaribia kugombana na rafiki yangu aliponitania kwa kuniambia "wewe unamkubali sana sheikh wako Muhamed Iddi ila nadhani hujui kuwa is a man of system kwa kivuli cha dini" yani nilikuwa mkali na tulikaribia wiki hatusemeshani kwa kumsema vibaya sheikh wangu huyu.
@hashimnjaid95115 жыл бұрын
Umeshasema sunna
@whonshineargay25435 жыл бұрын
Ahsant ya Sheikh Saddaqta.Hao si makosa yao illa ni Uchache wa Elimu...Na waki Elimishwa hawataki Hao watu Hatari Sana.
@HamisiAli-uy3sg2 жыл бұрын
Haki ndo hio lakin Njaa na tumbo linadai Enakuwaje umesomweshwa ukiwa Mtoto Hadi umekuwa..mtu mzima..lakin unakubali vipi na kutojiamini Kujidharau na kumfharau Mwalimu wako wa zamani... Kumkubali haya ya kugeuzwa kwa maslahi Basi pia kubali mlioyaabudu mda huyo pia hayakuwa sawa...anzeni kufanya hoja mlipe mlichokikosea siku zile..
@salamakhamis72455 жыл бұрын
Allahumma baarik yaa sheykh
@mirajiissa46035 жыл бұрын
Asalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh... Alhamdulillah nimefuatilia hii mada toka kwa masheikh zangu. Kama sote yaani makundi yote mawili wanaofuata Arafa kwa kufuata Saudia na wale ambao wanaona funga kwa kufuata tarehe za muandamo toka nchini mwao. Kama sote tunalikuabali hili na tunakiri kuwa kuna ikhitilafu za wanazuoni kwa nini basi masheikh zetu , wanazuoni wetu tunaowategemea kwa nini ninyi kwanza kwa elim mlizojaaliwa msilikubali hilo kwa vitendo? Kwa nini msiwaige wanazuoni wwliotangulia pindi walipokhitilafiana walishikamana vip ili kutokuuvunja ummah huu? Pia Sheikh Muhammed suala la kumpinga sheikh wako si dhambi mradi tu waamini kuwa hii njia ndo sahihi kwa sababu hata maimam wetu wakubwa , imam Shafii na imam Hambari walikhitilifiana , ila hawakuchafuana na kuona huyu yuko sawa ila hata nawe sheikh wangu unaposema hawa masheikh hawa niwapotoshaji mithali unakiri kuwa ni jambo lenye ikhitilafu bado nawe unakosema kwa sababu nao wanadalili wanazoziamini toka kwa wanazuoni wakubwa. Binafsi ninatamani kama masheikh wetu muwe na kauri zenye umoja kauri ambazo ktk jambo lenye ikhitilafu hazitofanya kujiona mimi ndo niko sawa na flani hayuko sawa kwani nyote ni wasomi , msirushiane maneno. Hakika mnadhima mbele ya mwenyez mungu kuhakikisha hamuugawi ummah allah atuongoze ummat Muhammad ikhitilafu hizi kama wanazuoni kama masheikh zetu msirushiane maneno kwenye vyombo vya habari kaeni shura mjadili kisha rudini kwa waumini mkiwa na jibu moja.
@hamidharunsaid16665 жыл бұрын
Yani hii ndio kauli iliyoenda shule kabisa. Upo sawa
@abrahmanally26655 жыл бұрын
Huyu sheikh idi hatakuswali haswali mtihani kweli Allah amwongoze
@hafidhsaleh78785 жыл бұрын
Abrahman Ally " unaweza kuthibisha hayo maneno yako mbele ya Allah!!?? Au unaongea kwa sabab za ushabik tu kw kua hoja zake zina mashiko!
@abrahmanally26655 жыл бұрын
@@hafidhsaleh7878 naam naweza
@nyarukamoramadhani98555 жыл бұрын
Abrahman Ally chukua tahadhari
@mhrmahir37564 жыл бұрын
Abrahman Ally afwan akhy kweli huyu jamaa haswali
@captain_kharus47845 жыл бұрын
Masha Allah sheikh Mohd unajitaahid na huo ndio uadilifu unatoa hoja na dalili na umesimama kwa ushahidi wa masheikh na wanazuoni wakubwa
@bakiryusuph99715 жыл бұрын
Izondevu zako tuzinaonesha namna unavyo fata Mila zakiyaudi kwaiyo wasio nafikira ndio utaendelea kuwapoteza
@bakiryusuph99715 жыл бұрын
Ndgu yetu we apo umewekwa kwaaajili yawatu sio dini
@aishamalaki1165 жыл бұрын
ALHAMDULILLAH ALLAH akujaalie kila lenye kher na wewe tumekuelewa na wanakuelewa na watakuelewa! Wasione haya kurudi kundini
@abdullatwifujuma37453 жыл бұрын
Sawa we Sufi unaongeaje HIV , umemwagiwa. Maji ya moto au , lipotoshaji likubwa hilo
@swalehejuma66115 жыл бұрын
Jaman Saudia na Tanzania wanatarehe tofauti?!
@omarmnyeto66085 жыл бұрын
Nop. Mimi niko Saudia saahii ni saa nne na 23
@mariamfaki11665 жыл бұрын
Yaani jamani hata hao wanaopishina masaa pia wanafata saudia siku ya arafa ni moja tunapishana wakati wa kula tu lakini siku ni hiyo hiyo siku haipiti
@swalehejuma66115 жыл бұрын
@@mariamfaki1166 kuna shida kubwa sana juu ya hawa masheikh, yaan watu wanaona sifa kutofautiana na wala hawaoni haja ya kuwa wamoja. Dini moja, ardhi moja, kitabu kimoja lkn watu wanatofautiana na kulazimisha kwamba hiyo ndo sawa.
@jumamnyage53955 жыл бұрын
Uwelewa wako ni kuelewa mambo kinyume nyume umeondoa ndevu umeacha sharubu. mtume kasema ondoeni sharubu acheni ndevu
@ibrahimcharlesswaleh5 жыл бұрын
Hatutofautiani muda.
@mahmoodyahaya60582 жыл бұрын
Shekh jikite kuwalingania watu waingie ktk Dini na waislam waache madhambi kuliko kuleta ushindani ktk Dini. Unazingua sana
@jumajafari72063 жыл бұрын
elimu hunna acha bidaa zako ww huna hoja za msing nakushaur Taft kitabu Cha fiqh us Sunnah upte SoMo kwanz pia naona huelew kuhusu dini pia ptia vzur fatwa inb uthayeemen uelewe vzur we co shekhe we ni jahiri ebu uache porojo prove your words with correct words as akhar Sunnah waljamaa do asalaf Saleh cjw tukuite jna gan we kwanz ndev unenyoa na tumekatazwa kuwasikilza nyiny watu wa bidaaaaa dah subhanallah
@mroojnr.27565 жыл бұрын
Hana chochote cha kujibu zaidi ya yeye kupotosha umma, ye analinda tu tumbo lake.
@omarymussa48155 жыл бұрын
Miongoni mwa masheikh wa hovyo tena mwenye chuki na answar ni huyu anaona bora mashia kwasababu jalala shia wa kigogo wamesoma kwa sheikh mmoja bin Ayub rh
@AbdulkarimShosi8 ай бұрын
Ansar ya upotoshaji
@jumamagoma17436 ай бұрын
Mufti.sio.mpango.wa .mungu.mpango.wa.ccma
@luciogonzalez29715 жыл бұрын
No entnder idioma
@harunankusa17055 жыл бұрын
Muhammad idi hadithi ulizo tajiwa na qauli za ulamaa bado hajaelewa tu rudia hadhi hizo na uzitafakari uzuri alivyo taja mtume saumu ya arafa hakusema saumu ya tisa angalia mudhwafu na mudwafu ilayhi angalia haqi na uifuate
@AbuuHaneef5 жыл бұрын
La kunyoa ndevu na kufuga sharubu mbona lenyewe liko wazi zaidi, inakuwa vipi hujalielewa? Unaweza kutunukulia fatwaa ya Ibn Uthaymin kuhusu kunyoa ndevu pia, au unahitaji fatwaa yake unapotaka kufitinisha?
@alishariffshariff90835 жыл бұрын
Abū Hanīf Utheymin is one the moat notorious sheikh our time calling Muslims to the gates of hellfire
@9119-r4t5 жыл бұрын
Yes umemjibu
@zakirkatabwa45014 жыл бұрын
Kwanza nyoa sharubu zako
@hilalalhabsi20475 жыл бұрын
Shekhe umezungumza wallahi Mwenyezi Mungu akulipe. Hatuna raha majumbani wallahi hatusikilizani kwa ushenzi wa hawa wahuni kwanini Mufti hawawachukulii hatua. Ndoa zipo utatani kwa kula mwezi haujandama ckukuu. Yaani ramadhani ndio shida afadhali hio arafa ni sunna wala hainipigi kichwa
@mrangi44545 жыл бұрын
Asalaam Aleykum warahmatulahu wabarakaki shekh kwanza hakuna takhala katika Asalaam
@elikambembela3063 жыл бұрын
Tuludi katika quran na sunna shekh allah atatuongoza
@athumanikaroyo59995 жыл бұрын
Kumbe mnadini yenu ya shekh Mohamed ayubu
@yusuphkwaya78435 жыл бұрын
Athumani Karoyo nyinyi nyinyi mnavineno Sana
@abdulkareemseif6675 жыл бұрын
ALLAH akusamehe
@saadiawarfa34803 жыл бұрын
Unaelumu ya fiqi lakini hunaelimu ya jiografia. Watumieni wataalam wa jiografia. Unawapotoaha waislamu na kuwafanya wafunge siku ya Idi. Mtabeba dhambi zao. Hakuna tarekhe 2 dunia nzima ni tarwkhe moja ila saa tofauti
@kassimmohammed49495 жыл бұрын
Wewe Ndio mpotoshaji
@Suleimansalum5 жыл бұрын
amepotosha nini?
@jumakapilima56744 жыл бұрын
@@Suleimansalum kasome!!
@Suleimansalum4 жыл бұрын
@@jumakapilima5674 ivi hadi hii leo mnaenda kufukua hizi video kwa lengo gani, ivi nimimi au weee nani ambae anayetakiwa akasome hapa?
@abilahihaule12515 жыл бұрын
Hivi nyinyi amuoni munatuharibia funga zetu hadi tunashindwa kufunga kwasababu ya elimu zenu? USHAURI 1.ufanyike utafiti wa kisayansi dhidi ya mwezi na maeneo yote duniani kisha litolewe jibu sahihi. Kwa sababu tukisema tuwasome na kuwafuata mashekhe kila shekh anaupande wake alioutolea fatuha, hii haitoi jibu sahihi zaidi ya maneno ya vitisho. 2.Turudi ktk Quran na hadithi wakati wa kufanya utafiti huo. 3.Tumwogope Allah tuache kuiharibu dini yake. Inshaallah.
@hafidhsaleh78785 жыл бұрын
Abilahi Haule saf sana, umetoa hoja nzuri coz wakituambia tukasome bac hili jambo halitokaa saw mpka wao masheikh waunde jopo LA wasomi wa pande zote 2 walitafutie ufumbuzi hili jambo. Lkn maswali ya kujiuliza ni!! 1) Mbna Oman hawafuat Saudia tangu zaman!? Na hujawahi kuwaskia Oman wakilumbana na saudia kuhsu hayo mambo ilihali wao ndio wana elimu kubwa za dini kulko cc Tanzanian 2) Mbona masheikh wa Makka wanaokuja Tanzania wakiulzwa kuhsu haya masuala ya khitilafu hawasemi kua Tanzania lazma mufuate saudia!?? Na badala yake hua wanasema watu wamfate mufti wao ktk eneo husika!
@abilahihaule12515 жыл бұрын
@@hafidhsaleh7878 Amani ya Allah na rahama zake ziwe juu yako. Hata hayo maswali yako yanaonesha kuwa utafiti wa kisayansi unaitajika ili kuliondoa hili.
@selemaniibrahim2885 жыл бұрын
mjinga sana wewe mungu atakuazibu hapa duniani naakhela
@abdulhafidhkilimbi39393 жыл бұрын
Muhammad iddi keshaelewa somo ila anamuogopa kiumbe ambae ni shekhe weke
@jumahussein75795 жыл бұрын
Shekh hakki unaijuwa ktka nafs yako bali njaa 2 na kujipendkeza kwa mayahudi
@officialkamdudu5 жыл бұрын
kina Kishki ndio wa njaa kwa kujipendekeza kwa mfalme Sudi wala hawana lolote ...
@jumahussein75795 жыл бұрын
@@officialkamdudu umemuona kishk m2 wa sunnah yule ibadh
@officialkamdudu5 жыл бұрын
Juma Hussein wamjibu Sheikh kwa hoja sisi wasikilizaji tutachambua ila kama wako kimya wanabakia kwenye hoja ya Arafa ni moja dunia nzima bila kujibu hoja tayar sisi tunakua na maswali juu yao
@rizikisalum96785 жыл бұрын
Juma Hussein oa vibaraka wa Saudia. Wanaujuwa ukweli maslahi tu yanawaponza wanapotosha wati
@mohamedmnjeja705 жыл бұрын
Tarehe yetu na makka ni moja shekh
@yahayasalum29433 жыл бұрын
uwezo na elimu ya Abuu Iddi ni mdogo saaana
@ibrahimracho42035 жыл бұрын
Mwanzo we mwenyewe umekhalifu hadithi ya mtumeﷺ aliposema khaliful yahuda wa nasara.sasa we we umenyoa ndevu ukaacha masharubu itakuaje sasa.nani mpotoshaji
@AthumanJuma-hg2cl Жыл бұрын
ACHA uwongo
@mooking79135 жыл бұрын
Umoja wa waislam Tz ulikufa baada ya kuanzishwa bakwata sheikh sema ukweli na muogope mungu wako.
@hajimgwami52245 жыл бұрын
Video ya Ward Imam wa Magomeni kichangani kweli ilikatwakatwa, na nia ilikua kupotosha mimi ni Editor na nakubaliana na Ward....
@saidimiraji19035 жыл бұрын
Haji Mgwami ndugu yangu hawa jamaa lazma wakate kwakua wanahitaji kiki
@zaidumohamed81185 жыл бұрын
HAKUNA SABABU WEWE SHEKH MOHAMED KUMUOMBA RADHI KILEMILE NI MPOTOSHAJI TU NA NI MKOSA RADHI WA SHEKH WAKE MOH AYUUB SALAMA YAKE AJIREKEBISHE
@abdichamshama94605 жыл бұрын
Kwa hiyo sheikh hakosei!?amekuwa malaika!!?
@jumakapilima56744 жыл бұрын
Al marhumu sheikh kilemile alikuwa mwanachuoni mkubwa, huwezi mfananisha na huyu mhuni abuu idd
@mariamfaki11665 жыл бұрын
Mimi ninachoshangaa wanaposema masaa yanpishina wanataka America kwani nyie tz mmepishana masaa mangapi na saudia?huko American na ulaya yote siku ya arafa ni moja waote wanafata saudia ni nyie huko Africa ndio wenye mashindano kila shekhe yupo juu subhanallah
@abdukadiliissa80764 жыл бұрын
Sikukuu ya Mufti
@ibrasaid92565 жыл бұрын
Hili Sufy kwa wasojielew wataon lazungumz HAQQ kumbe kapotea yy na wanaomswadiqi anawapoteza
@hafidhsaleh78785 жыл бұрын
Ibra Said kivp!?? Yye kasimamia mcmamo wake kw hoja na ushahid wa wazi!! Ssa ww tuambie icho alichokipotosha apo!!
@ibrasaid92565 жыл бұрын
@@hafidhsaleh7878 watu wa bid'a hat mpew dalili ngap Muda wa kua mnatengenez misimamo kabl ya kufaham bhas amuwez elew kwa kukusaidia... Tafut khutba ya Markaz Pongwe ya juz alotoa Shaykh Abul fadhwl... Kadhaalik Kenya Ustadh Abu Haashim utaelew upotoshaj wake ni upi... Ukihitaj weka nmb ya wasap nkutumie
@hafidhsaleh78785 жыл бұрын
Ibra Said " mm hyo ya pongwe nnavyo voice yake yote na nmeisikilza vzr tu, but still nahc hoja zao hawa abuu idd ni nzito ukilinganisha na nyengne! istoshe maswal ya kujiuliza ni,,! 1) Mbna Oman hawafuati saudia na husikii wakilumbana ili hali wao ndio wamebobea kwenye elim ya dini y kislam kuliko cc kuhu Tanzania!! kwnn cc tuwe tunalumbana kiasi hichi!? 2) Mbona masheikh wa Makka wanaokuja Tanzania wakiulzwa kuhsu swala yenye khitilafu ikiwemo arafa hawalazimishi kua watu wafuate saudia kma wanavyotaka upande 1 kua watu lazma wafuate saudia coz ndio kwenye arafa!!? Au wao hawalijui hilo!? Na mbona mwsho hua wanasema kua watu wafuate mufti wao ktk eneo husika.!!