Sheikh Mohammed iddi amjibu MPOTOSHAJI WA VETENARY (PART I)

  Рет қаралды 43,077

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Пікірлер: 642
@sportsentertainmentvideo6633
@sportsentertainmentvideo6633 5 жыл бұрын
Innalillah wa inna ilayhi rajiuun!! Yaa ALLAH Wape hidaya hawa wanao jiita Mashekh!!! Shekh unashindwa hata kujua misikiti yoooote ni ya ALLAH... Unamilikisha mtu!!! Kwa sabababu tuu! Anausimamia....!!!
@jamalbahdela524
@jamalbahdela524 5 жыл бұрын
Jazaakallah kheyr Al allama Sheikh Muhammad Iddi endelea kuwaweka sawa, na maashaallah kila siku wanaendelea kukana kauli zao zilizopita, linalowasumbua ni kutaka umaarufu tu, na umaarufu unapatikana kwny fani nyingi waende huko si kwny dini, Dini inataka ilmu , uadilifu na ucha Mungu.
@yussufismail2822
@yussufismail2822 5 жыл бұрын
Abuu Iddi Huyu kijana achana nae hoja zake zinakubalika.
@luqmanhamed9710
@luqmanhamed9710 5 жыл бұрын
DAH SHEIKH ELIMU HAINA MANUFAA KWAKO......UNAMWITA KISHKI MPOTASHAJI KUMBE UNA ROHOOO MBYA UNTAJA MAMBO ANAYOMILIKI.....RUDI KAMUOMBE MSAMAHAA.........na Umejuaje kma Sudeis hajiii pengine ni amechelewa tu.
@mkude
@mkude 5 жыл бұрын
Sheikh hili swala lina ikhtilaf ungeenda moja Kwa moja kwenye hoja,lakini namashaka unavyozungumza Mali Mali inaonekana kama unahusda vile, ALLAH AKUONGOZE WEWE NA SISI WOTE.
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 5 жыл бұрын
Kwa mtazamo wangu ABU IDDY vinavyokusumbuwa ni roho mbaya,choyo na husda vinakusumbuwa dhi ya mwenzako,hakuna lengne,ningetegemea ujibu au utoe hoja za kimsingi,m mungu akutoe kwenye ubaya wa mawazo hayo,na ole wao wanoijuwa dini ikisha wakaipotosha watakavyo wao
@almasonlinetv8672
@almasonlinetv8672 5 жыл бұрын
Shekh umesema kweli kabisa
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Ana element za kikafiri!!!
@abdulbastadam7985
@abdulbastadam7985 4 жыл бұрын
@@jumakapilima5674 alooo yan umepatia kbx yan husda ndo yake uyo mtu
@hamdincatalonia3272
@hamdincatalonia3272 5 жыл бұрын
nyinyi masheikh wanafiki hamuwasemei mashekh wako magerezan mmebaki marumbano kazi yenu majungu tu
@othmanhamad7887
@othmanhamad7887 2 ай бұрын
mm nakereka sn mashekh kupondana hasa mitandaoni cjui wamepata wapi hii, na cjui ndo tujifunze nn mana cku mashekhe wng hawakai wakarekebishana wnyw wankj mitandaoni tena ni masheikh wakbw tunaowategeme ktk elimu za dini INNAA LILLAAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIU'UUN.
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 5 жыл бұрын
UKIONA SHEKHE MWENYE TUMBO KUBWA NI BAKWATA HAWANA HATA HOSPITAL WALA NYUMBA ZA MAYATMA WALA MASHULE WALIYOJENGA KUJUA FITNA tuu
@habibuhabibuzahoromakamezahoro
@habibuhabibuzahoromakamezahoro 4 жыл бұрын
Tatizo ww ni sufiii na yule ni suniii ni tofauti sana Acha husda ww unajizalilisha shekh rurdin kishki yuko sawa kabisa
@nassorbinfundi1196
@nassorbinfundi1196 3 жыл бұрын
Sunni nani suhf nan, soma dini kwanza ndugu yangu.
@Mofaiz_11
@Mofaiz_11 5 ай бұрын
wamaanisha wewe ni sunni yule ni wahabi
@snkhannassoro2404
@snkhannassoro2404 5 жыл бұрын
Huu ni msiba Mashekhe mnadhalilishana mitandaoni,wallah hizi ni alama za kiama, Kwanini msikutane mahali pa heshima na mkafikia azimio la pamoja,kuliko kuushia kutukanwa mitandaoni na waumini,pamoja na kudharauliwa na wale waliokufuru?
@duniaileile5522
@duniaileile5522 5 жыл бұрын
Asante sheikh wapeeee wajieleweeee Hawa watiaji comments ni mawahabiiiji ama ummmmah mzima ushapata faida na maneno yako kupitia kwenye hoja sahihi zinazotegemewa Hata mashekh zao wanawakanusha Ni maajabu haya, lkn ndio kawaida ya miwahabi 😂😂😂😂kwao ni ubishi tuuuu
@shabanoman8955
@shabanoman8955 5 жыл бұрын
Wewe ujue nini maana ya wahabi? Wacha ushabiki
@khalidalmosty8087
@khalidalmosty8087 5 жыл бұрын
Sh Mohd idd umekosea sana kwa ulokifanya. Mas'ala hapa ni ikhtilaaf kuhusu siku ya Arafah ambalo lipo nchi kadha sio Tanzania tu. Busara ni mashekhe wetu kukaa na kuwafikiyana so kusosowana mitandaoni na kuwachanganya waumini na kuwapa faida maadui. Zaidi umeanza kwa huonyesha Husda juu ya mafanikio ya mwezio na Fitna kwa Mufti. Tuogope ghadhabu za ALLAH.
@zuhuramusa9296
@zuhuramusa9296 5 жыл бұрын
Masharubuuu ha ha haaa eti mashindano yao shule yao daa tumejua kinachomsumbua shee wetu ,ALLAH ATUIFADHI MASHEHE NA MICHAMBO WAPI NA WAPI?
@ommarymgeni1536
@ommarymgeni1536 5 жыл бұрын
asalam alykm ndungu zangu mashekh zangu kwastayle hii hatutofkaa ivi wasokuwa waislam wanaatuonajee napia nyinyi n mashekh n heshim zenu kaeni chini mjadili mamboo ya kidin inshaallaaah
@nasibumaiko3425
@nasibumaiko3425 5 жыл бұрын
we ndio mpotoshaji hujui dini anayejua dini haongei Kama wewe Huwa anafundisha dini unaonekana una wivu na majungu
@kondesaidi2040
@kondesaidi2040 5 жыл бұрын
Mwaka gani dunia ilifunga pamoja??? Anapotosha nini sasa!
@ahmedbadi5822
@ahmedbadi5822 Жыл бұрын
Kaa kitako ufunzwe Acha ujahili
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji 5 жыл бұрын
kama unataka kumkosoa mtu mfate, na sio kumtangazia, Uislam husemi hivyo. kiufupi mzee unataka sifa upo sawa na musiba. Halafu inaenekana unahusda kwani nani hauji kama kishki anamiliki skuli na vitu vyengine? Na kama unataka kuchukuliwa video si na wewe fanya tu, kuna tatizo lolote mtu kujirikodi ? Mzee unaboa sana Huo sio Uislam. Subhanallah
@nassorbinfundi1196
@nassorbinfundi1196 3 жыл бұрын
Uko sawa sana shekh, sasa san nidhama za kizazi chaleo adabu hakina
@nassoraliy1882
@nassoraliy1882 5 жыл бұрын
Sheikh wewe ni kaka yangu kwa umri lakini nakushauri kwa ajili ya Allah uje zanzibar usome,,kuna watoto wadogo sana watakupa elimu,,naamini utaridhika
@rajabmussa6913
@rajabmussa6913 5 жыл бұрын
ww ushasoma kwa hao watoto
@abdulbastadam7985
@abdulbastadam7985 4 жыл бұрын
Kbx
@presenterkabuma1646
@presenterkabuma1646 3 жыл бұрын
Acha upimbi boya wewe znzbr kuna masheikh? mi naon wamejaa mashoga tu huko.
@mussajangwa4878
@mussajangwa4878 3 жыл бұрын
Jaahil murakkab ww Hivi hujapata kujua mpaka hapo kwamba huyo ni sheikh?????? Et njoo Zanzibar???? Kwa lip wabaguzi wakubwa nyie
@kazuamkangara7619
@kazuamkangara7619 5 жыл бұрын
Mi naomba mashekhe waandae mdahalo wa mojakwamoja watu wabishane kwa hoja ili tujue wapi Kuna hoja zilizotimia
@solemba595
@solemba595 5 жыл бұрын
Abuu Iddy omba tawba kabla hujafa, huo sio Uslubu wa Daawa. Jaribu kuwa muungwana katika kulinganiwa. Punguza husda itakupeleka pabaya...
@princeshaq3181
@princeshaq3181 5 жыл бұрын
dataCom Kamanda mwambie sasa mambo ya shule yake na msikit wake na Mali zake vinamuhusu nn iyo husda hatauseme nn Sisi tutafuata Aarafa ya Saudia bac. Kauli ya upotoshaji sio nzur hata muhamed issa alikwambia lkn shekh wewe kibur wewe mbona huitwi mpotoshaj maimamu waliopita walihitlafiana mbona hawakuitana wapotoshaji. Mpotoshaji wakwanza niwewe unaetulazimisha tukufuate hatukufuti shekh ukula wachuya hiv hujisikii vibaya. huoni kama unawapatisha dhambi watu kukushambulia jambo lilishakwisha wewe umelifufua upya dhima hiyo omaba toba shekh kama utakua umetuka dhambi zitakujia mwenyewe
@namelessnameless4868
@namelessnameless4868 5 жыл бұрын
Asante sana Sheikh endelea kuwapa elimu uzuri wako unajikita kwenye hoja
@maryammct3967
@maryammct3967 4 жыл бұрын
Maskin shekh nurudini aallah akuhifa dhi nahusda amin
@rajabungowo3306
@rajabungowo3306 4 жыл бұрын
NINACHOKIONA HAPA SI KINGINE BALI NI JUHUDI ZA WAZI ZA KWAKO SH.MOHAMMED IDD ZA KUUGAWANYA UMMA..SIJUI KAMA UNALITAMBUA HILO..NASIKITIKA SANA HEKMA YAKO IMEKUA NDOGO SANA..TENA UMEJIONA BORA SANA NA MWENYE AKILI ZAIDI KULIKO SH.KISHKI NA MASHEKHE WENGINE..PIA UMEDHIHIRISHA CHUKI YA WAZI KWA SH.KISHKI KWA JAMBO LA KHILAFU....NATAMANI UJUMBE HUU UUPATE WEWE MWENYEWE...UNAONEKANA KUTAFUTA MASHABIKI ....KILA SHEIKH ANA UDHAIFU WAKE LAKINI WEWE UNAJIONA MBORA SANA NA MWENYE AKILI KUWAZIDI WENGINEE....
@abdulshakuurmwenda7519
@abdulshakuurmwenda7519 4 жыл бұрын
*💢انظرْ إلى الحق والنصوص ولا تنظرْ إلى الباطل والشخوص (1)💢* *💢ANGALIA KWENYE HAQQI NA DALILI NA USIANGALIE KWENYE BAATWIL NA WATU (1)💢* *قال الإمام ابن باز - رحمه الله تعالى - :* *🔶Amesema Imaamu Ibnu Baaz ALLAH Aliyejuu Amrehemu:* *《 عليك أن تأخذ بالحق وأن تتبع الحق إذا ظهر دليله ولو خالف فلاناً ، وعليك أن لا تتعصب وتقلد تقليداً أعمى 》.* *🔷Jilazimishe Kuchukua Haqqi na Kufuata Haqqi Wakati Itakapo Dhihiri Dalili Yake na Hata Akienda Kinyume (Na Haqqi) Fulani ,Na Jilazimishe Usiwe Na Taaswswubu (Kuwa Upande Wa Mtu Na Kumnusuru Mtu Na Kuwa Pamoja Na Mtu Hata Akiwa Ktk Makosa) na Unafuata Ufuataji Wa Kipofu (Kumfuata Mtu Ktk Jambo Fulani Moja Kwa Moja Bila Kujua Usahihi Wake,Pasina Kupunguza Wala Kuzidisha ktk Hilo Jambo).* *📓📔 مجموع الفتاوى ( 343/1 )* *📓📔Maj'mouul-Fataawaa (343/1).* *🔺NYONGEZA KUTOKA KWA ALIYETAFSIRI:* *🔸Hakika Kweli Kabisa Ulamaa Ni Warithi Wa Mitume Juu YAO Rahmah na Amani.* *🔹Wanafanya Kazi Waliyokuwa Wakifanya Mitume Ya Kuwaelekeza Watu Ktk Haqqi Na Mambo Ya Kheri Anayoyapenda ALLAH Na Kuyaridhia.* *🔸Sheikh Bin Baaz ALLAH Amrehemu, Anatoa Nasaha Muhimu Sana Kwa Waislamu Kuhusu Kufuata Haqqi Inapodhihiri Dalili na Haifai Muislamu Kuwa Pamoja na Mtu Na Kumshabikia Na Kumtetea Na Kumnusuru Hata Akiwa Ktk Baatwil na Kumfuata Mtu Kama Kipofu Hajui Anakoelekea Au Anakoelekezwa.* *👉🏾Jitahidi Uangalie na Ujue Haqqi Iliko Uifuate na Kuwa Na Watu Wa Haqqi Kwa Dalili na Usiangalie Wingi Wa Watu Ktk Baatwil.* *👉🏾Usimfuate Mtu Yeyote ktk Baatwil Hata Akiwa Ni Sheikh Wako na Jitahidi Kufuata Haqqi na Kufuata Qur'aan na Sunnah Kwa Ufahamu Wa Waja Wema Waliotangulia (Salaf Swaaleh).* *👉🏾Kuna Baadhi Ya Waislamu Wanawapenda Masheikh Zao,Mpaka Akiambiwa Sheikh Wako Amekosea Ktk Jambo Fulani, Anakasirika na Kuongea Maneno Mabaya Na Matusi Na Kuona Watu Wanamuhusudi Na Hawampendi Sheikh Wake Na Anadhani Watu Wanataka Sifa Na Ukubwa.* *🔹Tusiwe na Ushabiki Ktk Kufuata Dini Kama Ushabiki Wa Mpira Wa Miguu Au Siasa Za Urongo.Dini Yafuatwa Kwa Dalili.* *🔸Jitahidi Ewe MUISLAMU ,Upende Haqqi Zaidi Kuliko Kumpenda Mtu Yeyote Ktk Dini.* *👉🏾Ujinga Ktk Dini na Matamanio Mabaya ya nasfi Nimiongoni Mwa Sababu Kubwa Zinazopelekea MUISLAMU Kuipinga na Kuikataa Haqqi Inapodhihiri na Kufuata na Kuikubali Baatwil.* *🔴IKIWA KUNA MAKOSA,TAFADHALI USIBADILISHE CHOCHOTE NA KUWA MUELEWA NA MSIKIVU NA WASILIANA NA MUHUSIKA.* *👉🏾ALLAH NDIYE MKAMILIFU ZAIDI NA MJUZI ZAIDI.* *👀IMETAFSIRIWA NA:* *👉🏾ABUU ABDILBARRY ABDULSHAKUUR BIN JAMES BIN MWENDA ASSALAFIYY AL-HAMBALIYY (حفظه الله تعالى ورعاه وسدده).* *💢Mombasa,Kenya🇰🇪.* *🌹WhatsApp: +255713444054.* *🌹Call: +254724992753.* *📆27/Dhul-Hijjah (12)/1439 H.* *📆07/09/2018 M.*
@TheIslam1681_
@TheIslam1681_ 5 жыл бұрын
Wajibu wooote hao lkn huwezi kumjibu Sheikh kasim mafuta wala Abu Hashim, Ushauri wangu ni kua nyoa sharubu na uanze kufuga ndevu.
@hamadamaani2516
@hamadamaani2516 5 жыл бұрын
Kama wenye elimu wamejibiwa itakuwa wajinga hao kassim mafuta
@TheIslam1681_
@TheIslam1681_ 5 жыл бұрын
Mjinga nani?
@hamadamaani2516
@hamadamaani2516 5 жыл бұрын
@@TheIslam1681_ kassim mafuta sio mjinga kwa mana Hana akili LA mjinga kwa maana Hana elimu
@TheIslam1681_
@TheIslam1681_ 5 жыл бұрын
Ndio mafundisho yenu hayo mashia na masufi kutukana wanazuoni. Allah akuineshe haki.
@hamadamaani2516
@hamadamaani2516 5 жыл бұрын
@@TheIslam1681_ wallah Si kweli kassim mafuta ni mwana Wa chuoni Wapi? Kwa insaaf tuende pole pole nimetanaazal
@mussajangwa4878
@mussajangwa4878 3 жыл бұрын
Sheikh Muhammad iddy mtu mwingine kukuelewa ni ngumu sana Lkn kwa hakika unayo yasema ni sahihi sana Unajua binadamu wengi tumezigawa dhambi kwa rangi zetu, Nurdin kishk hana ilmu ya kutosha na sisahh ktk mengi anayo yawasilisha yanataka ufafanuzi wa kiilmu Weng wanachoangalia ni rangi na UKABILA Sheikh Mohammed Usiogope kumradd mtu yyte anayo thubutu kuzungumza jambo la dini kwa matamaniyo yake!!!!
@abrahmanifarouckissa5662
@abrahmanifarouckissa5662 Жыл бұрын
Ah wee sheh Mungu anakuona allah atuongoze
@nurasalimu2403
@nurasalimu2403 Жыл бұрын
Nampenda nurudini kishiki Allah amhifadhi shekhe wetu mumuache
@nohatredbutlove5786
@nohatredbutlove5786 4 жыл бұрын
Sheikh mimi nimeskiliza hoja za pande zote mbili na nimejikinaisha kuwa Arafa inafungwa kwa mujibu wa mwandamo wa mwezi wa sehemu uliyo. Hoja za msingi niliziskia kwa Alhabib Mbarak Awesi na zikaingia akilini mwangu. But ukweli umekosea sana tena sana kwa hili ulilofanya. Huwezi kumwita Sheikh mkubwa kama Nurdin Kishki eti mpotoshaji. Allah akusamehe na ikibidi kamuombe radhi.
@khaulatmohammed3765
@khaulatmohammed3765 3 жыл бұрын
Nurse for life ahsant sana umeonaeee
@nohatredbutlove5786
@nohatredbutlove5786 3 жыл бұрын
@@khaulatmohammed3765 naam, kwa uhakika
@nassoraliy1882
@nassoraliy1882 5 жыл бұрын
Assalaamu alaykum,,jamani lakini nimechunguza kua hata masheikh wana hasad
@salminisekiondo7951
@salminisekiondo7951 5 жыл бұрын
mzee ingia kwenye mada kwaiyo we ulitakataje kwani wivu wako tu kama wataka kumlekebisha mfuate acha husda na maisha ya mtu wislam gani uwo
@blacknature7637
@blacknature7637 5 жыл бұрын
Umemuona mpaka anatetemeka kwa husda ulivyo mjaa eti naye shk
@abdulbastadam7985
@abdulbastadam7985 4 жыл бұрын
Hasidi hana sababu ile zeee hasidi yan kinachomuumiza ni mafanikio tu jitu mwenyew lina mtizamo wa kiyahudi ilo masharubu mama mlokole
@mohamedmzeeassuufiyy1334
@mohamedmzeeassuufiyy1334 3 жыл бұрын
Ngoja akosolewe public .. Yani aharibu public kisha akosolewe private .. We VP ?
@salehabadsalehpur796
@salehabadsalehpur796 5 жыл бұрын
Simkubali Sheikh Mohamed Iddi katika mambo mengi ila katika hili kuhusu kauli za viongozi wa dini wa Saudi Arabia yupo sawa, Masalafi na Maanswar Sunna lazima mkubali tatizo lipo kwa Viongozi wa dini wa Saudi Arabia kwanini hili hamtaki kukubali?Bakwata siwakubali ila katika hili wapo sawa kwasababu wana nukuu kauli za Viongozi wa dini wa Saudi Arabia ambao wanataka watu wafuate viongozi wao wa dini katika nchi zao, hawaoni umuhimu wa Umoja katika Waislamu. Ila swali langu kwa Sheikh Mohamed Iddi na Bakwata hizo nchi zaidi ya 100 zinazofuata Saudi Arabia hawasomi hivyo Vitabu unavyonukuu? Kwanini bado wanafuata muandamo wa Saudi Arabia? Tena wengine wamepishana nao masaa wakati sisi na Saudi Arabia wakati mmoja bali hata wakati wa kuzamaa kwa jua. Kwa kifupi: 1, Kwanza tukubali tatizo lipo Saudi Arabia na Viongozi wa dini Saudi Arabia kwa sababu hawataki na hawaoni umuhimu wa Waislamu kuwa na Eid mmoja. 2, Bakwata nao Wanatumia mapungufu ya viongozi wa dini ya Saudi Arabia kwa sababu zao binafsi na hasa Umimi wa Uswahili kuliko Umoja wa Kiislamu.
@tamimusaidi1326
@tamimusaidi1326 5 жыл бұрын
Salehabad Salehpur shukran
@khamisissa252
@khamisissa252 5 жыл бұрын
Kwanza nyoa masharubu na ufuge ndevu ndio sunna
@alimaalimahmad837
@alimaalimahmad837 5 жыл бұрын
Asante Sheikh kwa kuweka sawa mambo
@mariamuhadi8958
@mariamuhadi8958 5 жыл бұрын
As.alaykum ndugu zangu waislaam mie naona tuckilize hoja kote na tucmtukane shk iddy wala kishq na wenzake maana cc tunajifunza kwao
@humudmarhoon8044
@humudmarhoon8044 5 жыл бұрын
Huyu shee kweli.ana husda sasa mali za mwenzie zinamuuma nini ..
@bekas2739
@bekas2739 5 жыл бұрын
Maajab Wallah
@nurumohamedi9972
@nurumohamedi9972 5 жыл бұрын
Michango niloiona miingi ni ya mashabiki hakuna wajuzi ktk elimu ya arafa na mwezi utadhani siasa wachangiaji walivyo hata adabu wengine hawana.
@abuuabuu4831
@abuuabuu4831 5 жыл бұрын
Alhamdulillah wengi waliokusikiliza wamejua unafiki wako
@ibrahimomar1073
@ibrahimomar1073 4 жыл бұрын
Nakunasihi Shk Abuu Iddi tambua Shk kishki yuwatoka kwenye kabila mtume swallahu Alaihi wasallam huenda ukajitafutia balaa.
@ibrahimismael1933
@ibrahimismael1933 4 жыл бұрын
Urongo kishki sio wa kenya na sio sharifu
@athumanmohammad5052
@athumanmohammad5052 5 жыл бұрын
Kwa kuwa baadhi ya watu wanaogopa kufuata gharafa ikiwa suudia baci zigawanywe moja iwe suudia na nyingine iwe Vatican ili wale wanao ichukia suudia waende Vatican na mizozo ita isha kwa mfumo huu
@othmanhamad7887
@othmanhamad7887 2 ай бұрын
Mm nakereka sn mashekh kupondana hasa mitandaoni cjui wamepata wapi hii, na cjui ndo tujifunze nn mana cku izi mashekhe wengi hawakai wakarekebishana wnyw wankj mitandaoni na wakiitana watataka lazima warushwe mitandaoni na hawafikii sulhu kwa iyo cc tunaona live mashekh wanavotupiana maneno tena ni masheikh wakbw tunaowategemea ktk elimu za dini INNAA LILLAAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIU'UUN
@masoudidadi7369
@masoudidadi7369 5 жыл бұрын
Kauli uliyoitumia sio mzuri (mpotoshaji) usijitakase kaeni pamoja muyajadili Uislamu Wawapi huwo?
@abdulazizmohamed3715
@abdulazizmohamed3715 5 жыл бұрын
Sina elimu ya usheikh lakini tujikite na kuijenga uislam sio kubomoa Hakuna mkamilifu Allahu aalam.
@calvinceodhimbo6628
@calvinceodhimbo6628 5 жыл бұрын
babdeo kama unatafuta views sio kwa kutumia ikhtilaf baina ya masheikh....subhanaAllah
@BABDEOMILADU
@BABDEOMILADU 5 жыл бұрын
We una wazimu? Kwani hao nimewafata au wameniita kuwa na adabu views zinanisaidia nn mm
@neemajaylani9068
@neemajaylani9068 3 жыл бұрын
@@BABDEOMILADU hahaha
@abdulkadirbakhawar8896
@abdulkadirbakhawar8896 5 жыл бұрын
DAh shekhe nilikuheshimu sana kumbe unachoyo kiasi hiko dah sijakutegemea kabisa umechanganya arafa na shule dahh umechanganya arafa na taasis duhh unachoyo sana nimeamini kuwa wewe maslahi.. Hebu simama toa au eleza shule zako au taasisi yako..maendeleo yako juu ya waislam umefanya nini unakumbuka uliwahi kuiandama redio imaan kuhusu hili la mwEZI DUHH SHEKHE OMBA RADHI KAKA UNAONA VIBAYA JUU YA MWENZIO ANASHULE MHH YENU KINONDONI MMEIFANYA NINI PUNGUZA CHOYO.HATA TAASISI KAMA YAKE NAWE JENGA YAKO ACHA MANENO
@athumanj.buyogela9295
@athumanj.buyogela9295 5 жыл бұрын
JAWABU LENYE KUTOSHELEZA KWA MUHAMMAD IDI No🅰️-Sheikh Kassim Mafuta Kassim حفظه الله ورعاه kzbin.info/www/bejne/n5-thqaMhLxsh8U
@yussufhaji3335
@yussufhaji3335 3 жыл бұрын
Nawashangaa kwanini nyinyi MASHEKH ambao tunawaamini mnapiga vita na vijembe kweli dunia imeisha nawaomben msituchanganye nyinyi wasomi wakileo acheni tabia mbaya hiyo mungu haridhiki na mfumo huo
@issamohd9955
@issamohd9955 5 жыл бұрын
Shekhe mm naona ww ushapagawa nanjaa inakusumbua natena unapupa yahicho unacho ahidiwa kwahao wanao kutuma nimekukubali kwenye suala la funga yasiku ya arafa lkn kwahaya mengine sasa tunakuachia mwenyeo mpaka mashindano ya Qur-an yashawauma subhanallah hio ni husda ya waziwazi jirekebishe maisha mafupi akhera ndo yenye kubakia she kishki tunakupenda natutazidi kukupenda usivunjike moyo upo katika njia yahakki ww hivi nivibakwata tu vinanjaa wao niunafki na husda Allah atustiri nao waumbuke wao
@azizamkindi1784
@azizamkindi1784 5 жыл бұрын
Asalym alykum dalili ya sku za mwisho usiweke mjala kwenye mtandao pia unafiki unazungumzia kwenye mitandao ungemfata sio vizur huo ni unafiki AllAH hapend madhila husda ungemfes usifaidishe watu ni unafki AllAH hapend shehe iddy pia sio vizur pia kosa likowap kwake wote waislam
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 жыл бұрын
Hakuna kufatana unaweza ukakatwa mapanga nikujibishana kwambali mbali tu
@abdulshakuurmwenda7519
@abdulshakuurmwenda7519 4 жыл бұрын
*💢طُـرُق مَعْـرِفَـة دُخُـولِ شـَهـْرِ رَمَـضـَانَ💢* *💢NJIA ZA KUJUA (KUFAHAMU) KUINGIA KWA MWEZI WA RAMADHANI💢* ✍🏽 *قَـالَ العَلّامَـة صَـالِح الفَـوْزَان -حَـفِظَهُ الله تعالى-:* *🔶Amesema Mwanawachuoni Mkubwa Swaaleh Al-Fawzaan ALLAH Aliyejuu Mtukufu Amuhifadhi:* *❍ ويبدأ وجوب صوم شهر رمضان إذا علم دخوله.* *🔹Na Unaanza Ulazima Wa Kufunga Mwezi Wa Ramadhani Wakati Utakapo Fahamika Kuingia Kwa Mwezi Wa Ramadhani.* *وللعـلم بدخـوله ثـلاث طـرق :* *🔸 Na Kujua Kuingia Mwezi Wa Ramadhani (Kuna) Njia Tatu:* *(❶) الطـريقة الأولـى: رؤيــة هلالــه،* *قـال تعـالى: ﴿ فَمَنْ شَهِدَ مِنْكُمُ الشَّهْر فَلْيَصُمْهُ ﴾* *🔷Njia Ya Kwanza: Kuonekana Kwake Mwezi Muandamo, Amesema ALLAH Aliyejuu Mtukufu: ...Basi Atakayekuwa Mjini Ktk Mwezi Huu Naafunge...* *وقـال النـبي **-ﷺ-** : (( صـومـوا لـرؤيـته ))،* *🔹Na Amesema MTUME SWALLALLAAHU ALAYHI WASALLAM: Fungune Kwa Kuonekana Mwezi,* *فمن رأى الهلال بنفسه؛ وجب عليه الصوم.* *🔸Basi Mtu Yeyote Ambaye Atauona Mwezi Kwanafsi Yake (Yeye Mwenyewe); Nilazima Juu Yake Kufunga.* *(❷) الطريقة الثانية: الشهادة على الرؤية، أو الإخبار عنها؛ فيصام برؤية عدل مكلف إخباره بذلك؛* *🔷Njia Ya Pili: Ushuhuda (Uthibitisho Wa Khabari Yakinifu) Kwa Kuonekana (Mwezi), Au (Kupatikana) Khabari Ya Kuonekana Mwezi; Basi Hufungwa Mwezi Wa Ramadhani Kwa Kuonekana (Mwezi) Na Mtu Muadilifu Mwenye Kukalifishwa Na Sheria (Aliyebaalegh) Kwa Kutolea Khabari Kwa Jambo Hilo (Kuonekana Mwezi).* *لقـوله ابـن عمـر: "تراءى الناس الهلال، فأخبرت رسول الله **-ﷺ-** أني رأيته، فصام، وأمر الناس بصيامه"،* *🔶Kwaqauli Yake Ibnu Umar: Waliutazama (Waliutafuta Na Kujaribu Kuuangalia) Watu Mwezi, Basi Nilimwambia MTUME SWALLALLAAHU ALAYHI WASALLAM Hakika Mimi Nilimeuona Mwezi, Basi Alifunga (MTUME SWALLALLAAHU ALAYHI WASALLAM) Na Aliwaamrisha Watu Kufunga Mwezi Wa Ramadhani.* 📚 *رواه أبو داود وغيره، وصححه ابن حبان والحاكم.* *📚Ameipokea Hadithi Imaamu Abuu Dawuuda Na Wengineo, Na Ameisahihisha Hadithi Imaamu Ibnu Hibbaanu Na Haakimu.* *(❸) والطريقة الثالثة: إكمال عدة شهر شعبان ثلاثين يوما، وذلك حينما لا يرى الهلال ليله الثلاثين من شعبان مع وجود ما يمنع الرؤية من غيم أو قتر أو مع وجود شيء من ذلك،* *🔷Na Njia Ya Tatu: Kukamilisha Hesabu Ya Mwezi Wa Sha'abaan Siku Thalathini, Na Itakuwa Hivyo Wakati Haukuonekana Mwezi Usiku Wake Wa Tarehe Thalathini Ktk Mwezi Wa Sha'abaan Pamoja Na Kuwepo (Kupatikana) Kitu Ambacho Kinazuiya Kuonekana (Mwezi) Ktk Mawingi Au Thiki Ya Moshi, Au Pamoja Na Kuwepo Kitu Chochote Kutokamana Na Hivyo,* *لـقولـه **-ﷺ-** : ((إنما الشـهر تسعة وعشرون يوما؛ فلا تصوموا حتى تروا الهلال، ولا تفطروا حتى (تروه، فإن غم عليكم؛ فاقدروا له ))،* *🔶Kwaqauli Yake MTUME SWALLALLAAHU ALAYHI WASALLAM: Hakika Sivinginevyo, Mwezi Nisiku Ishirini Na Tisa; Basi Msifunge Mpaka Muuone Mwezi, Nawala Msifungulie Mpaka Muuone Mwezi Basi Pakifunikwa Juu Yenu; Basi Qadirieni (Kisieni) Kuonekana Kwa Mwezi (Mwezi Utakuwa Haukuonekana),* *☜ ومعنى "اقدروا له"؛ أي: أتموا شهر شعبان ثلاثين يوما؛ لما ثبت في حديث أبي هريرة: "فإن غم عليكم؛ فعدوا ثلاثين".* *🔷Maana Yake Qadirieni (Kisieni) Kuonekana Kwa Mwezi: Maana Yake: Kamilisheni Mwezi Wa Sha'abaan Siku Thalathini; Kwa Yale Maneno Yaliyothibiti Ktk Hadithi Ya Abiy Hurayrah: Basi Pakifunikwa Juu Yenu, Basi Hesabuni (Mwezi Wa Sha'abaan) Siku Thalathini.* *📚 [ "الـمـلـخــص الــفـقـهــي" (٣٧٤/١-٣٧٥) ]* *📚 [“Al-Mulakhkhaswul-Fiq'hiyuu ” (1/374-375) ].* *🔺NYONGEZA KUTOKA KWA ALIYETAFSIRI:* *🔸Ewe Ndugu Yangu Muislamu Mtukufu, Mwezi Muandamo Unaandama Mwanzo Wa Mwezi Na Unapita Ktk Vituo Vyake Na Kupotea Na Kuandama Tena Na Ndiyo Tunapata Kujua Hesabu.* *✍🏽قَالَ اللَّهُ تَعَالَى:* *( وَالْقَمَرَ قَدَّرْنَاهُ مَنَازِلَ حَتَّىٰ عَادَ كَالْعُرْجُونِ الْقَدِيمِ )* *( لَا الشَّمْسُ يَنبَغِي لَهَا أَن تُدْرِكَ الْقَمَرَ وَلَا اللَّيْلُ سَابِقُ النَّهَارِ ۚ وَكُلٌّ فِي فَلَكٍ يَسْبَحُونَ )* *👉🏾Amesema ALLAH Aliyejuu Mtukufu:* *Na mwezi tumeupimia vituo, mpaka unakuwa kama karara kongwe.* *Haliwi jua kuufikia mwezi, wala usiku kuupita mchana. Na vyote vinaogelea katika njia zao.* *✍🏽قَالَ اللَّهُ تَعَالَى:* *( الشَّمْسُ وَالْقَمَرُ بِحُسْبَانٍ )* *👉🏾Amesema ALLAH Aliyejuu Mtukufu:* *Jua na mwezi huenda kwa hisabu.* *Sura Ya 55 Aya Ya 5.* *✍🏽قَالَ اللَّهُ تَعَالَى:* *( وَهُوَ الَّذِي خَلَقَ اللَّيْلَ وَالنَّهَارَ وَالشَّمْسَ وَالْقَمَرَ ۖ كُلٌّ فِي فَلَكٍ يَسْبَحُونَ )* *👉🏾Amesema ALLAH Aliyejuu Mtukufu:* *Na Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea.* *Sura Ya 21 Aya Ya 33.* *👉🏾Kunathibiti Kufunga Na Kufungua Ktk Mwezi Wa Ramadhani Kwa Njia Tatu:* *1-Njia Ya Kwanza: Kuuona Mwezi Muandamo Wewe Mwenyewe.* *2-Njia Ya Pili: Kupata Taarifa Iliyothibiti Ya Kuonekana Kwa Mwezi Kutoka Kwa Mtu Au Watu Waadilifu.* *3-Kukamilisha Siku Thalathini Ktk Mwezi Wa Sha'abaan.* *🔹Ewe Ndugu Yangu Muislamu Mtukufu, Zingatia Kwamba, Dunia Imekuwa Kama Kijiji.Maana Yake: Kuna Wepesi Wa Kupata Taarifa Ktk Mambo Yote Muhimu Ktk Wakati Huu Tulionao Wa Teknolojia Na Jambo Halikuwa Likiwezekana Wakati Uliopita Ktk Zama Za MTUME SWALLALLAAHU ALAYHI WASALLAM Na Zama Zilizofuatia Kabla Ya ALLAH Kujaalia Teknolojia Ulimwenguni.* *👉🏾Yawezekana Waislamu Kufunga Siku Moja Dunia Nzima Au Sehemu Kubwa Ya Nchi Na Mataifa Duniani -Khasakhasa Kwa Nchi Na Mataifa Ambayo Yanakaribiana Hali Ya Kuzama Kwa Jua Na Kushomoza Kwa Jua - Ikiwa Tutazingatia Mafundisho Ya Dini Yetu Ya Uislamu Na Kuwa Na Ikh'laaswi Ktk Kuyaendea Mambo Ya Dini Yetu.* *👉🏾Hivi Inaingia Akilini, Eti Dar es Salaam Na Unguja Na Tanga Na Pemba Na Morogoro Na Dodoma Na Mombasa Na Malindi Na Lamu Wawe Na Muandamo Wao Wa Mwezi Na Haiwezekani Kufunga Pamoja!!.* *🌟Tanbiih: Waislamu Hawafungi Kwa Mwezi Wa Saudi Arabia Na Saudi Arabia Hawana Mwezi Wao Na Mwezi Nikiumbe Cha ALLAH Na Waislamu Wanafunga Kwa Kuonekana Mwezi Wakati Utakapoonekana Au Taarifa Ya Kuonekana Kwa Mwezi Au Kukamilisha Siku Thalathini Ktk Mwezi Wa Sha'abaan.* *🔊NB: Haiwezekani Watu Wote Tuuone Mwezi Kwa Pamoja Hata Tukiwa Mkoa Mmoja.Watauona Mwezi Baadhi Yetu Na Baadhi Yetu Tutapewa Taarifa Mfano.* *👉🏾Tujitahidi Ndugu Yangu Muislamu Mtukufu, tusiwafuate Watu Ktk Makosa Wakati Inapotudhihirikia Haqqi.* *🔴IKIWA KUNA MAKOSA KTK MAKALA HII, TAFADHALI USIBADILISHE CHOCHOTE NA WASILIANA NA MUHUSIKA NA NITABADILISHA YATAKAPOTHIBITI IN SHAA ALLAH.* *👉🏾ALLAH NDIYE MKAMILIFU NA MJUZI ZAIDI.* *👀IMETAFSIRIWA NA* *👉🏾ABUU ABDILBARRY ABDULSHAKUUR BIN JAMES BIN MWENDA ASSALAFIYY AL-HAMBALIYY.(حفظه الله تعالى ورعاه)* *💢Dar es Salaam, Tanzania🇹🇿* *🌹WhatsApp: +255713444054.* *🌹Call: +254724992753.* *📆08/Sha'abaan (08)/1440 H.* *📆14/04/2019 M.*
@TheAmadoni
@TheAmadoni 5 жыл бұрын
Sheikh una Elmu lakini Elimu yako yakupeleka kwa KIBRI. Majina unayo waita Masheikh wenzako Ni makosa. Yawezekana pia wewe ndio ukawa Mpotoshaji... stop names calling, Toa darsa muelemushane ki Hikma sio hivi.. AIBUUU
@nuranzubail1240
@nuranzubail1240 5 жыл бұрын
Kabisa sio vizuri kabisa .
@jumaakhalfan485
@jumaakhalfan485 5 жыл бұрын
kwan hao mawahabi ni baba zako mbona unaumia
@hutisaleh2320
@hutisaleh2320 4 жыл бұрын
Ahsante sana kiboko wa wapotoshaj wabishi wasojua ilimu
@seifhassan8418
@seifhassan8418 5 жыл бұрын
Abou Iddi una wivu na mwenzio uislam haui hivyo baba acha tabia hiyo mbaya
@athumanj.buyogela9295
@athumanj.buyogela9295 5 жыл бұрын
JAWABU LENYE KUTOSHELEZA KWA MUHAMMAD IDI NO🅱️- Sheikh Kassim Mafuta Kassim حفظه الل kzbin.info/www/bejne/j5mZf4GwZZ2Wd8U
@khudhaifabaalawy9757
@khudhaifabaalawy9757 5 жыл бұрын
Huyu awezi kumjibu sheikh kassim
@allyramadhani2632
@allyramadhani2632 5 жыл бұрын
We shekh mbona una majungu, hayo ya mali zak yanatokea wap
@ngwalimahingika4873
@ngwalimahingika4873 5 жыл бұрын
Hahaha hahaha huyu si shekh bali ni shehe Amejawa na husda chuki na roho mbaya kwa maendeleo ya wenzake
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Tena mjinga sana huyu!!
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 5 жыл бұрын
Usifunge mjadala sheikh ikitokea kujibu basi jibu ss tunosikiliza hoja za pande zote mbili tunapata faida sana
@hamadamaani2516
@hamadamaani2516 5 жыл бұрын
Hapa kidogo mtihani umeanza kumpata abu idd kwa ushauri tu haya mambo achana nayo
@hemediramadhani8871
@hemediramadhani8871 5 жыл бұрын
Shekh anang'ang'ania ulaji tu huyuu.... Hupewiii chochoteee.. Mzeee huna effect kwendaaa
@kondesaidi2040
@kondesaidi2040 5 жыл бұрын
Sawa ila tufuate QRN na muandamo wa mwezi,,, nasio SAUDIA,,,,, ujumbe uo.
@rachelevarist70
@rachelevarist70 4 жыл бұрын
sheh iddi watakuchanganya mwisho wake umkosee mungu ww achananao wenye kuelewa wataelewa hayo madhehebu niyakigeni
@sheikhibrahimabdullahikeny1509
@sheikhibrahimabdullahikeny1509 5 жыл бұрын
Assalam aleykum Ingetumika lugha nzuri, sio neno mpotoshaji - Kisha mas'ala haya ni ya ikhtilaf.... Na kama shekhe ataka mjadala bora, aseme kisha amjadili sheikh Qasim mafuta wa pongwe - atoe video hasa
@omardamka9708
@omardamka9708 5 жыл бұрын
Huyu mohamed Iddi hana jipya ni ujanja wa kusema tu elimu yake ni ndogo anachotaka ni kutafuta asikike aeleze kila mara anapokwenda hapo kituo cha elimu cha Iran anafuata nini
@seifhassan8418
@seifhassan8418 5 жыл бұрын
Sheikh Kishki kuwa mvumilivi na usimjibu kitu sheikh hiyu Abou Iddi naona hajielewi mana anamaneno kama kwamba ana kitu chake ndana ya nafsi yake.
@akthammuhammad7844
@akthammuhammad7844 5 жыл бұрын
Sikiza vizuri wacha chuki kishikii anadhihirisha Unafiki kidogo kidogo
@yuzaaseif3040
@yuzaaseif3040 5 жыл бұрын
Wew na kishki wako ndo hamujielewi
@akthammuhammad7844
@akthammuhammad7844 5 жыл бұрын
Kishki ni mnafiki tuuuu
@sikandarsuleimanTV
@sikandarsuleimanTV 5 жыл бұрын
Si mpaka Kishki awe analo LA kujibu hata amjibu Sheikh Abuu Iddi !
@alitesco4943
@alitesco4943 5 жыл бұрын
Bakwata wezi wakubwa wewe ulisema msikiti wa vetinary ni msala unadhani tumesahau wivu tuu huna elimu
@blacknature7637
@blacknature7637 5 жыл бұрын
Hakuna mpotoshaji zaidi yako povu la wivu linakutoka we baba huoni huzuni mtu mzima hapo ulipo fundisha dini sio kupiga Vita wenzio ki choyo
@rashidbusanya7166
@rashidbusanya7166 5 жыл бұрын
Huna kazi ya kufanya mpaka uanze kuongea masheikh wakubwa mitandaon
@husseinmtima6106
@husseinmtima6106 5 жыл бұрын
mtu anatoa elimu ww unasema hana kazi
@abdulbastadam7985
@abdulbastadam7985 4 жыл бұрын
@@husseinmtima6106 elimu gani anayoitoa mjinga tuu uyo yan ata haoni aibu kukaa mitandaon akataka mtu fulan aonekanwe mbaya
@khadjahakamali-njufsk-7827
@khadjahakamali-njufsk-7827 5 жыл бұрын
SubhanaAllah hiyo ni fitna, chuki, wivu, na haifai katika dini yetu tukufu, kama umeona vitu vyote hivyo, ni bara ungezungumza naje badala ya kuzungumzia kwa social media, muogope Allah.
@Pedeshee01
@Pedeshee01 5 жыл бұрын
ukhty khadija huu ni mtihani sana kwetu
@MohamedAhmed-yi1yf
@MohamedAhmed-yi1yf 5 жыл бұрын
Bwana huyo muislam mwenzio kama kakosea msamehe usitoe faults zake hadharani wewe ndio unajidhalilisha
@saidalghafri3111
@saidalghafri3111 5 жыл бұрын
Shekhs you are role models why do you have to expose each others weaknesses instead of correcting one another in private...style up
@yassinrashid1192
@yassinrashid1192 5 жыл бұрын
and how are we going to know those corrections
@princeshaq3181
@princeshaq3181 5 жыл бұрын
Wewe ndio mpotoshaj mkubwa hatukuelewagi hata kidogo umewajibu wote mbona kasimu mafuta humgusi
@princeshaq3181
@princeshaq3181 5 жыл бұрын
Tumekuchoka Muhamedi Iddy
@aishaabaad5297
@aishaabaad5297 5 жыл бұрын
Nyie nyote mulio comment kumpinga huyo shekhe inaonekana hamna elimu ya kutosha or mumelipwa
@nasibumaiko3425
@nasibumaiko3425 5 жыл бұрын
Aisha Abaad we ndio huna elimu
@kalelaonlinetv
@kalelaonlinetv 5 жыл бұрын
Umemsifu saana sheikh kishki mashaa Allah kumbe kishiki jembe
@fetysukafetysuka8811
@fetysukafetysuka8811 5 жыл бұрын
jembe naam shekhe wa kimataifa allah amulipe mema
@saidshamuhuna9237
@saidshamuhuna9237 5 жыл бұрын
Sheikh Idd Abuu Idd nakukubali sana, Kishki ni muongo sana tena sana, anapenda kujisifia sana wakati elimu yake kidini ni yakawaida
@selemanadam8642
@selemanadam8642 4 жыл бұрын
@@saidshamuhuna9237 mawahabi yote hayana akili wala Hamna elimu ya ddiin toeni fatua sio akilizenu nendeni mkasome SHEKHE atoa dalili ninyi mnashindwa nn kutoa dalili,wore mko kwa ajili ya kupotosha watu hiyo ni aibu ya mawahabi looooo aibu hamna
@selemanadam8642
@selemanadam8642 4 жыл бұрын
Sio jembe Bali ni mpini town fatua mbona vitabu vipo shida iko wapi we hapo ulipo huna elimu et amsifu kishki
@hamadshein8272
@hamadshein8272 5 жыл бұрын
Masheikhe wengi hawana elimu ya kuraan.wanaelimu ya madhehebu.na ndo maana mnaleta vurugu mechi za maneno.achen kucma madhehebu.
@salehalnahdi8613
@salehalnahdi8613 5 жыл бұрын
Sheikh Nurdin ana mapungufu yake kama binadamu yoyote, ila wewe humfikii unyayo wa maendeleo waliyofanya taasisi yake kwa muda mfupi na ndicho muhimu kwetu Waislamu, bali wewe ni Hasdi na Wivu tu ndio unaokufanya useme maneno yote haya. Sheikh wetu Mkuu najua una hekima na busara Nurdin ni kijana wako kama amekosea mwite msihi na umshauri lakini usawasikilize masheikh mashavu wenye kuangalia maslahi yao na sio ya maslahi ya Waislamu.
@wardaabasi6558
@wardaabasi6558 5 жыл бұрын
Huyu sheikh sijui ana matatizo gani na kishk? Maana analolifanya basi tayari anaanza kumpaka matope mwenziwe. Hii ni hasad na ndio mbaya. Lakini sishangai sana kwa sababu hizi ndio zama za mwisho na tuloambiwa kutakuwa na hasad kwa wingi, hasa kwa wanazuoni wenye elmu kuoneana hasad baina yao wenyewe. Allah amgeuzie huyu sheikh na amsamehe kwa anayoyatenda maana hamna mkamilifu na wala aliyekuwa kakabidhiwa funguo za peponi.
@mahmudumuhammed8174
@mahmudumuhammed8174 5 жыл бұрын
Unataka kurekebisha ikhtilaf kwa kumkashfu mwenzie akielezea tocauti ya Arafa.mche allah shekh
@frankanold9803
@frankanold9803 5 жыл бұрын
unasema waislamu wafuate idd inayotambuliwa na serikali/mufti, inakuaje waislamu wafuate maagizo ya serikali ya kikafiri katika masuala ya kidini?
@sabraabdalla4985
@sabraabdalla4985 5 жыл бұрын
Abuu idi vipi wewe huoti ndevu au Nakuona una Masharubu kama MANASARA.
@blacknature7637
@blacknature7637 5 жыл бұрын
😀😀😀 umeniuwa kabisaaa
@rajabungatanda3749
@rajabungatanda3749 5 жыл бұрын
Mashekhe munapotoka nyote Kuanzia wewe Abuu iddi "Kilemile " kishki" n.k Nawachukia kwakua munatia aibu uislamu wangu Kwanini mubishane mitandaoni Wakati kitabu chenu kimoja Dini yenu moja Tena ninauhakika kitabu cha mola wangu kimetimia Kama tulivyoambiwa ktk Qur'an ذالك لكتاب لاريب فيه) Maanayake> hiki ni kitabu kisicho shaka ndani yake " Alafu pia tumefundishwa اليوم اكملت لكم دينكم واتممت عليكم نعمتي ورضيت لكم لاسلام دينا Maanayake> Leo nimekamilisha dini yenu na nimetimiza neema yangu kwenu na nimeridhia uislam dini yenu" Sasa nyinyi mashekhe ndowenye upungufu Wa fikra Tafadhali acheni upuuzi Wa mitandaoni kaeni chini bila utashi wala ushabiki muelewane
@abdalahmtula3639
@abdalahmtula3639 5 жыл бұрын
Shekh abuu idd we jembe mawahabi wao wenyewe hawana adabu ktk kauli zao kwa wengine hili linabainika kupitia comments zao humu wamekutukana mno badala ya kujibu na kutafakar hoja zako nzito nzito! Hoja zako shekh zimewadidimiza wameshindwa kujibu wanabak kutapatapa tu! Hovyooo!
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Watu wa bidaa nyie!!!
@hamadrashid5140
@hamadrashid5140 3 жыл бұрын
Sheikh umemtaja hata mufti wa oman. Nikupe taarifa hata oman wapo wanaofuata wa kimataifa na wanaswali au wanafunga tofauti na kauli za mufti. Ila hawana jeuri ya kujibiana na mufti. Kwa kauli ya kishki aliyoongea ni sahihi na wala si kosa yeye kusali kabla au kufunga.
@saidikobossa7489
@saidikobossa7489 5 жыл бұрын
Assalaam Alaykum, anachofanya Sheikh ni tofauti na Kusengenya? Naomba kuelimishwa.
@khamisalbimany3721
@khamisalbimany3721 5 жыл бұрын
Hongera sheikh abuu...kwa kumjibu sheikh kishk...salam zimefika..lakini huu wa kwako ni upuuzi.. sana...uliojaa choyo na husdaa!! Hivi kuna tatizo kwa mtu kumiliki kitu..huo ni uchoyo..jifundishe japo kufuga ndefu..huna jipya..
@ginyarisaid1483
@ginyarisaid1483 5 жыл бұрын
Wengi wanao koment hapo chini nao vichwa vibovu, tatizo waislamu waleo kusoma na kufanya bahthi hatutaki na tunafika mahali hatujui kitu. watoa koment wote wanavutiwa na sauti na lafdhi nzuri za masheikh, mashairi ya mitaani na vionjo vya sauti, hiyo sio kujua dini. bado Kishki mtoto mdogo na nimwanafunzi wa """ibtidaia""" kwani hana dalili hata moja ya kitabu ajitupa tuu, hata akitoa aya haiendani na mada husika Nashangaa kasoma wapi au kaenda kutafta gamba na kaja spidi ambayo hajitambui na anaowaongoza pia wamezidoi kuwa vipofu. jamani sheikh gani huyu? Kusoma sote ni vigumu lakini ipo haja yakujipanga nakutafta elimu. Bahthi, ivi kweli unamjua Abu Hanifa? Imam Malik? Imam Shafi na Imam Ahmad bin Hanbal. Watu wakasome kupitia vitabu vyao ni nini wanasema badae nenda kasome vitabu vya maimamu wengine utajua wao ni nani na walifanya nini, Hafuatwi kwake wala maskani yake, hapa ni mwendo wakumjibu nakumfundisha hadharani kwani yeye anaongea wapi, hadharani. anapotosha hadharani.
@yuzaaseif3040
@yuzaaseif3040 5 жыл бұрын
Yes upo vizuri
@shabanoman8955
@shabanoman8955 5 жыл бұрын
Sasa pamoja na kama hakusoma je sheria yakiisilamu imeruhusu kokosoana hazarani? Kama hivi nakuitana maneno yasio eleweka mpotoshaji .kiupandea wangu sijawahi kumsikia huyo munae muambia mpotoshaji akamsema Shekhe mwenzake hazarani na hii ndo adabu ya dini yetu .na kwa alipo anzia Shekhe iddi anaonekana hakua na nia nzur kwanza yaonekana anabifu na mwenzake mana sija msikia Leo tu akimkosoa mwenzake hazarani. Na pia kua na Mali na mashindano ya Qur'an mashule msikit yakuhusu na nini kama si husda .kiukweli tuache ushabiki dini yetu haina mapungufu iko Sawa . kama kweli muko kwaajili ya kujenga mtafutane mkae mjadili kielimu sio yule sio Shekhe .muku mbuke hakuna mkamilifu ispokua Allah .
@musapazi7806
@musapazi7806 5 жыл бұрын
Subhaana allah unaweza ukasoma na usielimike,ashraadwu ssaa
@ibrahimatadi9416
@ibrahimatadi9416 5 жыл бұрын
NAAM SHEIKH LETU WASOMI WANAKUELEWA UPO SAHIHI. ISIPOKUWA UKWELI UNAUMIZA !!!
@idrissaomba8803
@idrissaomba8803 3 жыл бұрын
ila mimi kama sijakwelewa sheikh wetu, ULIANZA KUTAMKA KUA UNAKOSOWA SHEIKH MWENAKO KUHUSU ARAFAT ila mbona unafika kati unaongelea tena kufunga FUNGA YA RAMADAN NA FUNGUA YAKE?
@nassoraliy1882
@nassoraliy1882 5 жыл бұрын
Juzi masuali kama yako mwenzako kajibiwa kanyamaza kimya,,,kipenzi changu unasema haiwezekani dunia nzima kuona mwezi mmoja,,ivi ni mara ngapi tushafunga na kufungua pamoja?
@salmagulam6619
@salmagulam6619 5 жыл бұрын
Na saa sisi pamoja na maka ni mda mmj sijui nani halimdangnya km dunian kuna sik 2
@يحيىاحمد-ت9ض
@يحيىاحمد-ت9ض 3 жыл бұрын
Sawa je, hizo mara ni ngapi? Au ni mara zote? Nakama si mara zote hizo mara nyingine huoni kama Kuna ikhtilafu?
@muhidinally3753
@muhidinally3753 5 жыл бұрын
Watu wangu watanyoa sharubu na kuhifadhi nuevo ili wawe tofauti na mayahudi na manasara. Wewe unafuga sharubu. Huoni kama kuhalifu amri ya Mtume SAW?
@matumbistanmikau2895
@matumbistanmikau2895 5 жыл бұрын
Kijicho ni ugonjwa
@kanyasicongo7918
@kanyasicongo7918 5 жыл бұрын
Shekh usikosee kumuita mpotoshaji mutlaqa muite mpotoshaji kwa jambo la aarafa.
@masoudwaziri.nimeipenda1462
@masoudwaziri.nimeipenda1462 4 жыл бұрын
Duniani tunapita 2
@mbwanarajabhussein7141
@mbwanarajabhussein7141 5 жыл бұрын
SHEIKH..HAYA USINGEWEZA KUMFUATA MKAELEWESHANA MPK UMWITE MPOTOSHAJI? YAAN MNAACHA MAARISHO YA DINI NA MNAWEKA UTENGANO NA UADUI, HASA KWA MANENO UNAYOYATUMIA...JE NA YEYE AKAKWITA NENO USILO LIPENDA? MNATUFUNDISHA TUSIWAITE WATU MAJINA YA KUWAUDHI JE WEWE UNAFANYAJE?
@hemedharouna4013
@hemedharouna4013 5 жыл бұрын
maashallah !! cku zote abu id akieleza jambo hueleza kielimu
@ashaally7593
@ashaally7593 5 жыл бұрын
Kweli kabisa
@nasibumaiko3425
@nasibumaiko3425 5 жыл бұрын
hemed harouna unamkubali sababu huna elimu
@hemedharouna4013
@hemedharouna4013 5 жыл бұрын
@@nasibumaiko3425 Sasa Ww hapo ulipo Una Elimu gani mbwa koko Ww
@nasibumaiko3425
@nasibumaiko3425 5 жыл бұрын
hemed harouna hata sura yako inaonyesha we mtumwa wa mganga
@nasibumaiko3425
@nasibumaiko3425 5 жыл бұрын
hemed harouna mvunja Nazi njia panda wewe kafiri mkubwa
@shamsismail7115
@shamsismail7115 5 жыл бұрын
Ungejibu tatizo la huo upotoshaji sio mambo ya personal.Nyie na pia mnashida kuendekez mambo ya kizamani ndio maana dini haikui kwa sababu mnataka kukandamiza baada ya kujibu hoja.
@dinocastico8495
@dinocastico8495 4 жыл бұрын
Asalam alykom. Kutaneni mruhusu quran na hadithi ziseme ili msishangaze umma wa kiislam. Ikiwa mtaishia katika mitandao naamini mtazidi kuugawanya umma wa kiislam. Hivi sasa tukutazameni kwa jicho gani? Kutaneni muda bado mnao, fanyeni kumlaani sheitwan. 😢😢😢😢
@sabraabdalla4985
@sabraabdalla4985 5 жыл бұрын
Abuu idi kiongozi mkuu wa waislam huwa kachaguliwa na waislam karbu ya wore Je huyu mufti kachanguliwa kivipi
@jumashukan1173
@jumashukan1173 5 жыл бұрын
Shida yenu Nini mbona mwaazirika , wacheni ujinga uwo, ndiyo maana mm nampenda Sana shehk Athuman maalim ,Ana tym yakujibishana na mtu yy utupa dhahawa ,
@luuabbdalla1631
@luuabbdalla1631 4 жыл бұрын
Kishki Yuko vizuri
@idrisamasumula1122
@idrisamasumula1122 5 жыл бұрын
Sheikh IDD una dadavua vizuri niujeuri wao tuu mbona miaka ya nyuma walikuwa wanajificha
@jumaashabani9484
@jumaashabani9484 5 жыл бұрын
Assalamualaikum respected Babdeo miladu, na wewe unachangia katika hili, hapana haja kupublish fitna hizi!, Unaenda kwa sheikh huyu unachukua clip Kisha unaenda kupingana na huyu, si sawa maalim wangu Babdeo watafute wote wakutane wenyewe ce tushapata elimu alhamdoulillah, Sasa nikuulize sheikh Babdeo haya ya taasisi yake, mashindano yake huoni km unaleta fitna katika mujtamaa???, Allaah akulipe kwa Kila kheri unayotupa.
@jumaashabani9484
@jumaashabani9484 5 жыл бұрын
Nayeye sheikh wa vetenar akijibu kwakuanza yeye Hana ndevu, kwanini anafuga sharubu, tutajikuta tunaingia katika Vita maina yao kitu ambacho co sawa, na Allaah ndo mjuzi zaid
@zainabuabduly7905
@zainabuabduly7905 4 жыл бұрын
Yani mimi ndio sinaga mpango wa kusumbuka madhehebu yote kwangu sawa ili murad anaeabudiwa ni Allah nawote mtume wao Muhammad s.a w.kwishaa hayo mengine matajijuwa wenyewe km mnatupotosha au nini🏃🏃🏃
@khadijashabaniiddy4137
@khadijashabaniiddy4137 5 жыл бұрын
Allah akuhifadhi yaa Abuu Iddy umaarufu wa kamera kama msanni tu, wapo masheikh wenye ikhlaas kama akina Uthmaan maalim hawanaga mbwembwe kama za huyu msanii, Sheikh Maalim na masheikh wengine ni maarufu kwa elim zao ila huyu yeye ni maarufu kwa ujanja ujanja wake tu. maana elim siamini kama anayo kiasi hicho, alikalishwa kimya na Sheikh wa Mombasa kwenye swala la Maulid, sasa kwasasa ameangukia mikono ya Sheikh muhtaram Abuu Iddy Muhammad Iddy. 🐅🐅🐅🐅🐅🐅🐅🐅
@salumngoma8710
@salumngoma8710 5 жыл бұрын
khadija shabani iddy soma ujue dini yako
@saidijumahoza2456
@saidijumahoza2456 10 ай бұрын
Naam
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 5 жыл бұрын
KAULI ZA DAWA UNAZOTUMIA NI CHAFU TUBIYA KWA MOLA WAKO..!! HUWEZI KUWAITA WATU WA ELIMU WAPOTOSHAJI UKIZINGATIA MAMBO HAYA NI KHILAFU
@hamadamaani2516
@hamadamaani2516 5 жыл бұрын
Hapa abuu idd Ana makosa Sana kuingilia katika shakhsiyat za mtu ila kielimu yuko juu
@msafiriduwiya7765
@msafiriduwiya7765 5 жыл бұрын
MWENYE elimu hayuko hivyo
@abdurazaqhamisi4576
@abdurazaqhamisi4576 5 жыл бұрын
Umesema kweli
@hamadamaani2516
@hamadamaani2516 5 жыл бұрын
@@msafiriduwiya7765 laa sio hvyo kuwa na elimu haimaanishi ndo ucha Mungu elimu ni kusoma tu
@duidala3228
@duidala3228 5 жыл бұрын
Wewe Ni shekhe HASIDI Wamuoneya wivu sababu ya CD na video zake
@abdullathabithemed9377
@abdullathabithemed9377 5 жыл бұрын
Nakukubali sheikh Mueleweshe Maneno yako yanaingilika akilini Ieleze dunia ukweli Uongo utakimbia tu Hawawezi kukujibu chochote sababu hawana marejeo hao
@blacknature7637
@blacknature7637 5 жыл бұрын
Pole kama ndo shk wako huyo
Sheikh Mohammed iddi amjibu MPOTOSHAJI WA VETENARY (PART II)
31:57
BABDEO MILADU
Рет қаралды 61 М.
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 12 МЛН
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 14 МЛН
The Power of Ayatul Kursi: Verse of the Throne
4:39
Novemberev
Рет қаралды 5
SEHEMU YA 5: MFULULIZO WA KUWAJIBU MAWAHABI - SHEIKH MUHAMMAD IDDI
43:13
Sheikh Mohamed Idd
35:09
Hatibu Nkonga chanel
Рет қаралды 3,5 М.
SHEIKH MUHAMMAD IS'HAKA AWARIPUA WATU WA TWARIQA
1:24:46
AL MUBAJJAL TV
Рет қаралды 24 М.
Mmoja asilimu daawah inaendelea
1:19:52
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 5 М.
SHEIKH MUHAMMAD IDDI AWAJIBU TENA WAPOTOSHAJI KUHUSU ARAFA.
34:03
BABDEO MILADU
Рет қаралды 86 М.
NGUZO TANO ZA NDOA  ZIKIFAFANULIWA VIZURI NA SHEIKH IDDI MOHAMED IDDI
37:51
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18