Shukran Alfatah kwa misaada yenu kwa familia ya sk Nyundo ,lkini naomba musiishie hapo tu kwa pkt za mapembe na sukari bali muangalie mbele zaidi. Usimsaidie maskini samaki tu bali mpe mshipi na mtumbwi umfunze kuvua iliaondokane na umaskini. Iasaidieni familia ya sk Nyundo ipate mkaazi mazuri na muwapatie watoto wake msaada wa elimu ili waje wawe na uwezo huko mbele wa kujitegemea ili waepukane na ombaomba.
@nguvuyafikramedia12022 жыл бұрын
Naa'm Assalamu a'laykum warahmatullah wabarakatuh alfatah Allah atujaze kheri sote kwa pamoja ameen kutoka kagera Tanzania
@mariammohamed67627 ай бұрын
Allah awawezeshe muende tena kuuenzi shekh Nyundo
@safiaothman5175 Жыл бұрын
Allah Subhannahu Wata'ala amrahamu na kunweka mahali pema Peponi,Aamiin.
@mamafiiwaziri74404 жыл бұрын
Bismillah mashaALLAH mumefanya jambo lakhairaat lakini kwa maoni yangu kwa nini katika kulifanya hilo musingewa munarikodi mpaka muhusika munaewapa. Ukitoa kulia kushoto usijue. Inshaallah ALLAH atuwafikishe katika kheri.
@fdhjffdhjfsjdjfjfi94774 жыл бұрын
Mashaallah jambo zuri sana na jema wallah huko ndio kumuezi kwakumuendelezea mazuri kwaahli zake Mungu awajaze kheri Al-fatah TV online shukrani Mungu amrehemu huko kaburini na wote wema walotangulia inshaallah
@zurfasalimu93634 жыл бұрын
Walyikum salaam Allah awabariki Sana Al fatah tv hakika mnayo yafanya ni Allah awalipe kheri Amiin 🤲
@mozasaid38694 жыл бұрын
Inshaallah Allah atawalipa Alfatah
@ukhtyalpha13444 жыл бұрын
Subhanallah ama kweli ukiwaza mwengine anatenda Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar Mashaa Allah atubarik sote naam familia zake na wengine pia na naamini mtapata wa kukuungeni mkono
@bibasule72664 жыл бұрын
Mashallah jazakumullahi khairan
@camillas.edrees61554 жыл бұрын
Maasha'Allah Tabaarakallah,,,Mkono kwa mkono hadi peroni In sha Allah 😍
@AishaSabo-r6t7 ай бұрын
Allah akuifazi shekhe nyondo
@mohdsap4194 жыл бұрын
Mashallah mashallah Allah amjaalie kaburi lake liwe ni nyumba miongoni mwa nyumba za peponi . Na nyiny Allah akulipen kila la kher azidi kukupen nguvu ili muweze kupleka dini mbele
@shakilayusuf78022 жыл бұрын
Mashaa Allah,Allah awahifadhi.
@mariamramadan61544 жыл бұрын
MashaAllah basi muwatafutie waume jamani
@wahidashabaz59824 жыл бұрын
Mapenzi ya hali ya juu kwakweli Allah atawalipa.na Allah amrehem shekh nyundo😭😭
@halemakoke7274 жыл бұрын
Amiin
@saeedmassoud2563 жыл бұрын
Amin
@ahmedyramires69374 жыл бұрын
Mashaallah hakika huu ni upendo mkubwa sana
@safiaothman5175 Жыл бұрын
Maa Shaa Allaah, Jazakum Allahu Khairaan Kathiraan.
@aishandayishimiye51274 жыл бұрын
Allah awabariki amin
@sprettysalim46594 жыл бұрын
Ameen yarrab Allah akurahamu tunakukumbuka DAIMA Sheikh NYUNDO
@arifsaid80804 жыл бұрын
Allah awarehem maiti zetu wa kiume na kike. Wakubwa na wadogo
@JUBRANBULAYHl-yb4ke4 ай бұрын
Mama yangu, ukweli haujakamilika, basi naapa kwa aliyekula kiapo kukupa haki yako iliyokamilika na isiyo na upungufu ndani yake Wajibu kwangu kukufikishieni mpaka nikutane na Mola wangu Mlezi nikiwa nimelala. sema.☝☝🤲🏼🤲🏼☝☝
@abdul-faysalal-hassany59494 жыл бұрын
Masha Allah... Al Fatah Allah Awajaaliye kheir
@ismaelmarucha30004 жыл бұрын
Marshall ah Allah ana kirimu wallah
@awadhmohamed76684 жыл бұрын
Allah awalipe ujira mkubwa yarrab awajaalie awape utajir wa duniani na wa kesho akhera inshaallah ameen 🙏
@husnahamees91414 жыл бұрын
allah kulipe kheri ishallah
@umikulthumhamisi83114 жыл бұрын
Walaikum msalam warhamatulahi wabaratu, maa Ashallaah mungu awape moyo uwo uwo AMIN 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@safiyaalrawahi75264 жыл бұрын
ni channel nzr sana inawakumbusha ndugu zetu ktk imani kuwa pamoja n wenzetu katika kuweza kujua hali n maisha yao. shkrn sana Al Fatah
@oparetionmaalum90304 жыл бұрын
Inahuzuniasha kwakweli Allah yaallah warehem nduguzetu walio tanguli na walipe heri pia alfatah
@khalifa_wayy19794 жыл бұрын
Mashallah Allah akuzidishieni imani
@samsungjsevenprime57174 жыл бұрын
Allah awazidishie Imani muzidi kuwafariji familia ya sheikhe nyundo kwani ametuachia pengo kubwa sheikhe wetu nyundo Allah amjaalie awe mja mwema huko aliko sheikhe wetu nyundo Allah amjaalie kaburi lake liwe miongoni mwa Bustani la peponi Ameen 🤲
@daathuma78434 жыл бұрын
MashaAllah Allah awazidishie Upendo daima
@supumoto68194 жыл бұрын
اللهم اغفر له وارحمه وأسكنه فى الجنة
@salummkubwa4 жыл бұрын
Allah awabarik zaidi Alfatah muzidi mafanikio kwa mfano wenu. Amin.
@suleimanislam77774 жыл бұрын
Barakallahu feekum
@lkshmykomar54724 жыл бұрын
Mashallahu M / MUNGU AWAZDSHIYE KPATO MUTOWE DAIMA YARAB MLAZE MAHALA PEMA KTK PEPOZAKO TUKUFU ISHALLA TUNAUMIYA SANA WAUMIN WAKIISLAMU HAKIKA TUMEONDOKEWA 😭😭😭😭
@fatmafmly4 жыл бұрын
Ya mashallah kazi nzuri sheikh pia . Mzuri mtafute wajane wengine na mayatima.msaidie hivio allah atawalipa zaidi ya hio shukran allah
@feimohach4 жыл бұрын
Allah akulipe fi dunya wal aakhira
@mohdzotv26764 жыл бұрын
Allah Hummah amiin Na Isha Allah Awalipe.Kila.Lenye Kheli Viongozi Na Wafanyakaz Wa al Fatah
Masha Allah Allah awalipe kheir Insha Allah kwa kila jema mnalo fanya na awazidishie imani na awazidishie rizki
@fatmaaly30564 жыл бұрын
Mashaallah tabarak allah tupe husnul hatma na tuepushe na adhabu
@noraevers88684 жыл бұрын
ManshaAllah Allah awajaze kheri 🤲🙏
@asiansky47864 жыл бұрын
Mashallah alfatah mnajitahidi sana
@wahabimalaki23304 жыл бұрын
mwenyezi awajaze kheri
@aishasaid57024 жыл бұрын
Maa shaa Allah Mungu awalipe kila la kheri
@arshiaissa91974 жыл бұрын
Allah amsamehe makosa yke aendelee kuwapa subra wafiwa
@emilyibraimo50324 жыл бұрын
Mashallah Allah azidi kumpa makazi mema uko alipo nasi tupo nyuma yake
@husnamohamed92454 жыл бұрын
Mmungu awape kheri amina
@muhammadahmedaliyyu38544 жыл бұрын
Ameena YA Rabii thumma Ameena YA RabilAallameena Allah Mtukufu ajalie duwa iwe Makbul 😢🤲 🙏
@jabilishekusa22024 жыл бұрын
Ameen inshallaah mwenyezimungu atamlipa mema
@khadijaangore44084 жыл бұрын
Waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Masha Allah . Allah awazidishie Al fataha tv na timu wenu insha Allah
@hamidahamida14734 жыл бұрын
Mashalha
@katibatanzania30894 жыл бұрын
Amiina yarbla alamina
@setiseti5281 Жыл бұрын
Amina yaaraab
@yahyasabil9214 жыл бұрын
Allah arham sheikh nyundo
@asinatjuma80884 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah jadha ka Allah kheir
@خميسبنعبدلله4 жыл бұрын
Maashaallah baarakallahu fiyq
@saadahemedsaid32664 жыл бұрын
Unaambiwa ukitoa mkono wa kulia wa kushoto usijue leo mnajionesha mpaka kwenye maTV subhanallah YAA ALLAH TUONGOZE WAJA WAKO.
@alf81774 жыл бұрын
(إِن تُبۡدُوا۟ ٱلصَّدَقَـٰتِ فَنِعِمَّا هِیَۖ وَإِن تُخۡفُوهَا وَتُؤۡتُوهَا ٱلۡفُقَرَاۤءَ فَهُوَ خَیۡرࣱ لَّكُمۡۚ وَیُكَفِّرُ عَنكُم مِّن سَیِّـَٔاتِكُمۡۗ وَٱللَّهُ بِمَا تَعۡمَلُونَ خَبِیرࣱ) [Surat Al-Baqarah 271] Mkizidhihirisha sadaka ni vizuri; na mkizificha mkawapa mafakiri kwa siri basi hivyo ni kheri kwenu, na yatakuondoleeni baadhi ya maovu yenu. Na Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayo yatenda.
@alf81774 жыл бұрын
Ukitoa kwa Nia ya kuhamasisha wengine basi ni Bora utoe watu wakuone. Ukizingatia watu wengi wanatoa michango yao watahamasika wakiona michango yao inafanyiwa kazi.Soma dini yako vizuri ndugu yangu Allah akubarik
@saadahemedsaid32664 жыл бұрын
Sijisifu ila mm nnaijua dini yangu kiasi alivyonijaalia Allah sio kama watu walivyosoma lakini kwa hili hii ni riyaa.Kwa njia nyengine mngetowa bila ya kuonesha vitu wala kutaja vitu au pesa kiasi fulani hizi hapa ingekua vizuri.lakini aa huku ni kujionesha.Na Allah alivyosema kuwa tudhihirishe sadaka sio kwa njia hii.
@saadahemedsaid32664 жыл бұрын
@@alf8177 tusibishane ndugu yangu au kaka yangu.
@ZainabZainab-tv9ir4 жыл бұрын
Mashaallah allaah awalipekilalakhery🇧🇮
@hadyakhaleed94274 жыл бұрын
Mungu awazidishie InshaAllah
@asiateacher2 жыл бұрын
Maashallah, Allah audumishe upendo huu tukawe nae Tena peponi
@alsaarh2394 жыл бұрын
Mungu awajaze kheri jamani
@oparetionmaalum90304 жыл бұрын
Allah atailinda familia yake pia nayeye Allah ampemafikio mema kaburini amin
@rasykizanjbari49964 жыл бұрын
Amiin
@fatumahamis92064 жыл бұрын
masha alah no yenu iwekeni Kwa kila anaeguswa atume ali chojaaliwa
@aligedi28694 жыл бұрын
Allah amweke pema
@saadahemedsaid32664 жыл бұрын
Hii ni riyaaa mungu hapendi hamupati chochote.
@abedamohamed23364 жыл бұрын
Mashallah Allha awabariki
@fatmaabdallah77092 жыл бұрын
Mwaka huu 2022 mmewakumbuka?
@abubakarzuberabubakar39984 жыл бұрын
Mashallah hichi ndicho chakufanya
@hamsouledi174 жыл бұрын
Ma Shaa Allah
@umma66544 жыл бұрын
Maaaaashallaaaah Allaahumma baarik feekum
@asiateacher2 жыл бұрын
Maashallah, Allah atujaalie Kila la kheri,cc na wote walotangulia
@asiateacher2 жыл бұрын
Allah amrehem huko aliko
@rilkabuya65194 жыл бұрын
Mashaallah tabarak allah
@shakilamasoud29834 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awazidishie palipo na upungufu insha allah
@salmasalim60554 жыл бұрын
Mashallah mashallah mashallah 😭
@maryamahmedkhamis17134 жыл бұрын
Mashaallah sheikh
@khadijaiddi48874 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@khalidbalala77534 жыл бұрын
Mtume Mohammed (S.A.W) zama zake alikuwa haswa akiwaeka maswahaba kushindana kutowa kwa ajili ya Allah ki2 kinacho2 fuata ni niya ya mwenyekutowa na ukiangalia Qur'an tukufu Allah ashasema wa2 washindane kwa mambo ya khery
@nihifadhiabdul52114 жыл бұрын
Amiina yarrabi
@maryammct39674 жыл бұрын
Amin
@mwanaishahussein26354 жыл бұрын
AMIIN THUMAN AMIIN🇰🇪
@oparetionmaalum90304 жыл бұрын
Amini 🤲
@abdulyrashid2554 жыл бұрын
Masha alh
@ayunramadhan31044 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah
@saidkhamis1194 жыл бұрын
Mashaallah hakika ni jambo kubwa sana
@abdallahamad16154 жыл бұрын
allah amsaeh .....jaman iv kawambia kawambia nana kuhusu kua anfrahi mbona tuna vuka mipaka?
@khalidkassim39864 жыл бұрын
Mnaposaidia ni jambo jema tena Allah awajalia kwa hilo lakin imenihuzunisha sana kwa kutoa sadaka hyo kwakua piga picha walengwa co vizuri kabisa hyo ni ryaaa Allah hapendi jambo hilo..
@itzanzibar95364 жыл бұрын
Nakuunga mkono si vyema kupeleka kitu uonekane kwa ma TV riyaa
@ahmedsalim62644 жыл бұрын
Kila mtu analipwa kwa nia , hyo ni njia moja yakufikisha daawa
@khalidkassim39864 жыл бұрын
Hilo ni kosa kubali usibishane Allah hapendi kabisa kwan hamuwezi kumsaidia mpaka mmchukue video hyo njia ni kumdhalilisha mhusika...
@ashakassim43514 жыл бұрын
Hii ni charity organization sio individuals charity watu wanatoa misaada kutoka sehem mbali mbali dunian kuonesha ktk mtandao ni njia moja kuonesha kile watu wanachokitoa kinawafikia walengwa hayo ni maoni yng
@khalidkassim39864 жыл бұрын
@@ashakassim4351 ingekua ni wewe unapewa msaada na kuchukuliwa na video ungejisikiaje hamna sadaka ya aina hyo mwenyezi mungu mtukufu amekataza kutoa kwa kupitia njia hyo na wala maneno ya Allah hayapitwi na wakati..