Allah azidi kukuhifadhi sheikh wetu, kila nikifata darsa zako huwa na farijika. Allah akuzidishiye ilmu na maisha mema apa duniani na kesho akhera Aamiin 🤲🏽🤲🏽🤲🏽
@shabanimkavu3404 Жыл бұрын
Mashaallah shekhe Allah akurehemu ishaallah 🙏
@almasihamisi Жыл бұрын
Ma shaa Allah sheikh letu Allah akujaze kheri na akuzidishie elimu tele kwa tele ❤❤
@baytumuqqaddas Жыл бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤
@MusaRamadhani-wj2dw5 ай бұрын
Tukiwacha ujinga upuuzi ujuaji sawa ndungu zangu...UKWELI NIKWAMBA SHEHK YUSUFU KIDAGO ANAELIMU KUBWA SANA SANA KWA HAPA TZ UTATAFUTA SANA KUMPATA MWENYE ELIMU KUBWA KAMA KIDAGO MUNGU AMLINDE
@ismailmsangule1380 Жыл бұрын
Huyu ni mwamba wa twariqa kwelikweli
@MusaRamadhani-wj2dw5 ай бұрын
Ikiwa umemfuatilia sana kwenye mawaidha yake utajua KIDAGO ninani KIDAGO amejaa elimu tupu
@MusaRamadhani-wj2dw5 ай бұрын
Ndio maana hata hawa mashehk uchwala hawawezi kumradi kwakua Kule anako pita wao hawaja fika huko na hata hawajui waanzie wapi