ITIKIA DUA HII KWA KUONDOA MARADHI UCHAWI MASHETANI NA MAUMIVU YA MUILI

  Рет қаралды 104,266

Sheikh Yusuf Diwan

Sheikh Yusuf Diwan

Күн бұрын

Пікірлер: 241
@AminaMkwinda
@AminaMkwinda Ай бұрын
Yaah allah nijalie mimi niondoshee maradhi yalio ndani yang
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 10 ай бұрын
Mungu nijalie niwe mwema pia nijalie nulu ktk watu wanao nizunguka ktk jamii mia niondolee na mahusuda ote🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@zainabsaad5955
@zainabsaad5955 11 ай бұрын
Amin yarb amin allh atufanyie wps n atukinge amn
@AminaAli-o2k
@AminaAli-o2k 3 ай бұрын
Nakuona Allah uniondolee majaribu mola wangu niondole na maradhi yarabi
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br Ай бұрын
Amiin🤲😭😭yarabi nipe Afya Mimi na mtoto wangu yarabi Toba😭😭🤲🙏Amiin yakudusu🙏
@mwanamisishaban4083
@mwanamisishaban4083 Жыл бұрын
Yaa Allah naomba niondolee nukisi kwa maisha yangu na pia nipe furaha na riziki niweze kulea wanangu waondolee magojwa wanangu Yaa Allah naomba walinde na husda zawalimwengu na machawi Amin Amin
@WaniMasha
@WaniMasha 5 ай бұрын
Allah nifanyie wepisi maradhi ya tumbo yaniondeke kabisa InshaaAllah
@JohsonNestory
@JohsonNestory Жыл бұрын
Naomba mwenyez mungu niondoshee maradh yanayo nisumbua na mitihan katika maisha yang Inshaallah Amin🙏🙏🙏🙏🙏
@SalumOmary-f6b
@SalumOmary-f6b 9 ай бұрын
Nakuomba yarabi uniondoshee maradhi yanayo nisibu katika mwili wangu amiin
@rahmasuleiman8688
@rahmasuleiman8688 Жыл бұрын
Duaa nzuri sana maashaallah tabaraka rahman Allahu bareek Alhamdulillah yarabi takabali duaa Amin Allahumma maamin
@sihabaismail4850
@sihabaismail4850 Жыл бұрын
😊😊v
@sihabaismail4850
@sihabaismail4850 Жыл бұрын
😊❤😂😂❤❤❤😊😂
@FatmaBakar-hl4ib
@FatmaBakar-hl4ib 6 ай бұрын
Allahummamiin
@fidelitekarigirwamuyangwa973
@fidelitekarigirwamuyangwa973 9 ай бұрын
Yarabi niondoree macawi nahusida niondoree kugomana kiramara nifungurie riziki yarabi waondore mitihani wanangu wape Kira wanaco hitaji Amina yarabi❤
@JoharySizya
@JoharySizya 6 ай бұрын
Yarby niondoshee machawi mailin mwangu. Naukailinde familia yangu kupitia dua iih,, Amyin jazakalauh kheri ❤❤
@nkurunzizaabdul-aziz7211
@nkurunzizaabdul-aziz7211 3 ай бұрын
Allahum amin ya Allah
@judithfred2366
@judithfred2366 3 ай бұрын
yarab naomba unisaidie na watoto wangu amina
@MariamShaban-l9w
@MariamShaban-l9w 16 сағат бұрын
Allah naomba uniondoshee nukis ktik maisha yangu nifunguliee rizik uniondoshee maradhi katik. Mwelwangu
@AthumaniJuma-xc8ve
@AthumaniJuma-xc8ve 5 ай бұрын
Naomba yaraibi niondoshee mitihani kwenye maisha yangu
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu Ай бұрын
Ya rabby kupitia, duwa hii niponye maradhi yote yanayonisumbua katika mwili wangu🤲futa alama iloandikwa katika tumbo langu🙏🙏🙏
@aishaallyaishaally3220
@aishaallyaishaally3220 11 ай бұрын
Naomba yarabii unitoe kila aina ya magonjwa inshallah
@fatmamwera6645
@fatmamwera6645 11 ай бұрын
Allah nipe wepesi na mimi maradhi yaniondoke mwilini mwangu😢
@salamavuai3903
@salamavuai3903 11 ай бұрын
Ya Allah tuongozee watoto wetu majirani ndugu zetu jamaa zetu na utuhifadhi sisi na majumba yetu yaraby
@FatihiaMussa
@FatihiaMussa 9 ай бұрын
Yarab naomba uniondoshee maradhi haya yanayonisumbua ktk mwili wangu ktk kizazi changu nikapate kuitwa mama tena na tena🤲
@evaboaz1311
@evaboaz1311 Жыл бұрын
Ya Rabi niondolee maradhi ya tumbo
@hafsasaidi3209
@hafsasaidi3209 Жыл бұрын
Yarabbi naomba nitoe magonjwa mwilini mwangu ya allah naomba msamaha wako mola wangu 😭😭😭😭😭
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 Жыл бұрын
Allah haongopi na hii dini na hiki kitabu ni mwisho WA matatizo yote. Mimi nilikuwa mkristo Ila sasa nimeslim . Hii Quran achana nayo kabisa
@Maryamzahor-t5i
@Maryamzahor-t5i Жыл бұрын
Shukrani shekhe nimefarijika na. Dua na Kutoa chozi jicho la kulia na Kuhisi tumbo kuwaka moto
@ZainabuOmary-h4d
@ZainabuOmary-h4d 10 ай бұрын
Yaallah naomba niondoshee maradhi ,,nuksi uchawi
@khadijakimana8809
@khadijakimana8809 Жыл бұрын
Ya Allah kwa huruma wako fungua milango ya shifaa kwa ajili ya binti yangu na umpe shifa ya Allah🤲
@ZawadAli-om7so
@ZawadAli-om7so 4 ай бұрын
Ya Allah naomba unirudishie nyota yngu na wepesi maishani
@zenashamte940
@zenashamte940 6 ай бұрын
Yaa Allah muondolee maradhi mwanangu Kama nikwa uwezo wako mfanyie shifaa kama ni binadamu wabaya Allah kupitia dua hii yamrudie mwenye
@mwanakombomwavadi9250
@mwanakombomwavadi9250 6 ай бұрын
Amiin thuma amiin yarabi niponye yarabi 😢😢😢😢😢
@MwamvuaAlfan
@MwamvuaAlfan 3 ай бұрын
Yaa allah muondolee maradhi mwanangu kama ni kwauwezo wako mfanyie shifaa kama ni binadamu wa baya Allah kupitia dua hii yawarudie wenyewe 🙏🙏🙏🙏🙏
@SantaCharo-y3l
@SantaCharo-y3l 2 ай бұрын
Amiin rabl Amiin nashkuru rabbi pia wajalie maustadh afwa njema'kusema tu ukweli nimefatilia sana hii dua leo ni siku ya 3 lkn hali hazikuwa nzuri leo nimefeel niko sawa kabisaa alhamdhullillah ya Allah tustiri waja wako
@amneally4135
@amneally4135 6 ай бұрын
Allahumma ameen tunaweza kupata kitabu ustadh
@nuriahabiba8641
@nuriahabiba8641 9 ай бұрын
Amiin ya rabi tufayie wepesi
@ZuuhRaniya
@ZuuhRaniya 11 ай бұрын
Eeeh mwenyezi mungu naomba uniondolee maladhi haya yanayo nisumbua
@HamisiHamisi-cm9yh
@HamisiHamisi-cm9yh 9 ай бұрын
Yaallah naombao niondoshee matatizo anayopitia binti yangu Kwa maradhi yanayomsibu, na family yote Kwa ujumla,,aamina
@MwajumaHamza-k3y
@MwajumaHamza-k3y 3 ай бұрын
Yaa Allah nakuomba unijaalie uneondie kwenye husda mimi na mama yangu Mimi nirudiane na yule ni mpendae kwa dhati nakuomba muumba wangu 🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br Ай бұрын
Amiin thuma Amiin🤲mungu awahidhi kwa kila shari awpe afya awape afya Amiin🤲😭
@ummypeter
@ummypeter Жыл бұрын
mungu niponeshe maraldi yanayoni sibu mm🤲🤲 naumwa
@Idriss-cz3gf
@Idriss-cz3gf Жыл бұрын
Amin yarabih
@joshuaking5883
@joshuaking5883 Жыл бұрын
Yallah naomba uniponye maradhi nànijifunguwe salama
@sultanrubeya4994
@sultanrubeya4994 7 ай бұрын
Asalam aley kum naomba Jina ya hiki kitabu
@AminaVJ
@AminaVJ 4 ай бұрын
Amin
@mariamponera6386
@mariamponera6386 Жыл бұрын
Amiiin ,naomba maradhi yote yanitoke au nipone ,naomba nifunguliwe riziki yangu
@KasimuNgware
@KasimuNgware 3 ай бұрын
Allah tufanyie wepewi wangonjwa wa pande nne zote za dunia
@mkmwayama4534
@mkmwayama4534 Жыл бұрын
Amin yarabbil Allah miin
@RuthAndason-cj4gp
@RuthAndason-cj4gp 9 ай бұрын
Insha Allah
@husseinkazungu5101
@husseinkazungu5101 Жыл бұрын
Masha ALLAH shukran sheikh
@ZuuhRaniya
@ZuuhRaniya 11 ай бұрын
Yah Allah nifanyie wepesi
@AhamadShabaanmussaShaban-kv2zv
@AhamadShabaanmussaShaban-kv2zv Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu uzidi kutuelimisha ishaanlh
@ezironewilliam4900
@ezironewilliam4900 Жыл бұрын
Ya Allah utukubalie dua zetu inshallah
@JamiraAthuman
@JamiraAthuman 5 ай бұрын
Yaa Allah muondolee maradhi mwanangu amiin
@saidatowainda525
@saidatowainda525 Жыл бұрын
Allahuma AMina. Naiwekunu fayakunu Dua hii ikubaliwe.
@Nagmah-gf4lp
@Nagmah-gf4lp 23 күн бұрын
Amin inshallah yarabi
@ZuuhRaniya
@ZuuhRaniya 11 ай бұрын
Yah Allah nifanyie wepesi 🙏
@SjbwvXhbdddhdj-hw3kv
@SjbwvXhbdddhdj-hw3kv Жыл бұрын
Naomba yarabi unitoe magonjwa yanayo nisumbua katika maisha yangu inshallah
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk Жыл бұрын
Ya Allah niondolee maradh Yarabby
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 Жыл бұрын
Amesha waondolea Ila msichoke kusoma Duaa kila wakati insha'Allah 🙏
@AminaIbrahim-mn9wg
@AminaIbrahim-mn9wg 11 ай бұрын
In shaa Allah​@@kissamwamunyange1018
@QarishSanjeev
@QarishSanjeev 11 ай бұрын
Amin yarabi🤲🤲🤲🙏🙏
@ZuuhRaniya
@ZuuhRaniya 11 ай бұрын
Yalab naomba uniponye maladhi vitu vibaya viliopo ndani yangu inshallah 🙏
@gitu4me
@gitu4me Жыл бұрын
A Salaam aley khum mimi ni mkristo ila nimekuwa na Imani na dua hii imemponya Kaka yangu aliye sumbuliwa na vifungo vya KICHAWI zaidi ya miaka 5 tumeliwa pesa nyingi sana kwa waganga lakini Kupitia bando la 2000 tu ameponywa sasa hanywi pombe hali ugolo leo ni siku ya nne toka tumewekee dua hiii Nilichokifanya nikaweka sauti kubwa kwenye redio mahallah amepona
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk Жыл бұрын
Aliposikia hii Dua ilikaa skungaap Kisha akapona??
@AidathRweyongeza
@AidathRweyongeza 3 ай бұрын
​@@AsdDsa-fi5qk Hizi dua yatakiwa kwanza uwe na imani ya kuwa anayepinyesha magonjwa na ALLAH utapona ila Kama ila Kama imani inaelea utachewa kupona japo utapona Iman ndo kila kitu
@Mohammedyasia
@Mohammedyasia 3 ай бұрын
Allahu akibar
@TausiRamadhan-ji1pb
@TausiRamadhan-ji1pb 9 ай бұрын
Amina inshallah 🤲
@rashidawangara1318
@rashidawangara1318 Жыл бұрын
MashaAllah, Allah barik.
@sumayyahally3199
@sumayyahally3199 11 ай бұрын
Allahuma amin yarab naamini umeniondoshea marazi yote yanayonitesa kwa mwili wangu amiini
@KHAMISIMOHAMMED-m1j
@KHAMISIMOHAMMED-m1j 4 ай бұрын
Yarab kiupitia dua his naomba umondoshee maumivu yote maradhi alokua nayo mume wangu na umjaalie wepesi apone inshaallah
@InnatyYussuf-qz7rk
@InnatyYussuf-qz7rk 10 ай бұрын
Amin😊
@Fadhillahabdallah-w5i
@Fadhillahabdallah-w5i 25 күн бұрын
Amin ya allah🙏
@lulufrancis-nk2sd
@lulufrancis-nk2sd 9 ай бұрын
Yarraab Allah SWT Name 🙏🏼🤲🏼🤲🏼
@maryamsalum4548
@maryamsalum4548 Ай бұрын
Yaa Alwah kupitia dua hii tuondoshee maradhi mimi, wazazi wangu, watoto wangu na mume wangu aaamin
@aminakilimba382
@aminakilimba382 Жыл бұрын
Aaamin🤲🤲🤲
@NewlyMe_Explorer
@NewlyMe_Explorer Жыл бұрын
Amiin Inshallah🙏
@ZuuhRaniya
@ZuuhRaniya 11 ай бұрын
Amin inshallah 🙏
@mwanamisishaban4083
@mwanamisishaban4083 Жыл бұрын
Yaa Allah ni ondolee matatizo na changamoti kazini kwangu na bos aniongeze mushahara inshallah naamini kupitia hii dua Allah utanipa shufaa kwakila matatizo yangu Amin
@FatmaKaloo
@FatmaKaloo 3 ай бұрын
Ya allah nakuomba uniodolee maradhi yote mwilini kwangu na wanangu
@ZuuhRaniya-v7v
@ZuuhRaniya-v7v 10 ай бұрын
Amin rabbi alamin
@SalimKhaziz
@SalimKhaziz Жыл бұрын
Mungu naomba unifanyiewepesi wamaishayangu
@monicahmumbiwahinya2263
@monicahmumbiwahinya2263 2 жыл бұрын
Ameen inshaallah 🙏
@RehemaMathias-n6h
@RehemaMathias-n6h Жыл бұрын
Naomba dua hii iniondolee maumivu yakiuno na miguu nimekunywa dawa sana ht siponi
@HabibaHassani-sp2vt
@HabibaHassani-sp2vt 11 ай бұрын
Eeh mwenzi mungu naomba huondoe kila gonjwa linalonisumbua ndani ya mwili wangu
@janetmutua4275
@janetmutua4275 6 ай бұрын
Amen 🙏 Amen
@JokhaNassor-n4o
@JokhaNassor-n4o 5 ай бұрын
Amina yaarabi
@siasampululu6043
@siasampululu6043 Жыл бұрын
Amiin yaa Rabbil Aalamiin!
@AishayoutubeMoosa-zn1co
@AishayoutubeMoosa-zn1co 10 ай бұрын
Yaa Allah naomba uniponyee maradhi yangu pamoja naama anguuu
@LeylaLyanga
@LeylaLyanga 2 ай бұрын
Yalab naomba un🙏ihepushe namalaz nandoa yang🙏
@AnnoyedCoffee-xo9xx
@AnnoyedCoffee-xo9xx 11 ай бұрын
Mashllh naomba yarabi unitoe magonjwa yanayo nisubua matatizo yoyote mimi na family yangu inshallh
@rehemaasman7465
@rehemaasman7465 Жыл бұрын
Ameen inshaallah yarabi
@AishaSaoud-m4i
@AishaSaoud-m4i Жыл бұрын
Aamiin yaarabbi
@ZuhuraTego
@ZuhuraTego Жыл бұрын
Amina yalabi lalamina
@aishahamis1248
@aishahamis1248 Жыл бұрын
Amina
@ZuberyRashid
@ZuberyRashid Жыл бұрын
🙏🙏🙏 amin mashallah
@AminaVJ
@AminaVJ 4 ай бұрын
Kupitia duwa hii Allah niondoshee Marathi yote namuamin allah
@RehemaDole
@RehemaDole 5 ай бұрын
yarbi naomba niondshee marazi katika mwili wangu yanayo nisumbua nafamilia yangueyote
@bilalikinyozi8935
@bilalikinyozi8935 Жыл бұрын
Ameen inshaallah
@asiahmaoro2525
@asiahmaoro2525 Жыл бұрын
Yaaa Allah twaomba utupe shufaa sisi waja wamko Inshaallah 🤲🤲🤲
@MaymoonerShali
@MaymoonerShali Жыл бұрын
Ya Allah nakuomba uniondolee mazito nilionao nimeteseka sana kupitia jinn linatesa sina amani sijui limetumwa ya rabbi nipe shifaa ya rabbi ameen😢
@fatmamwera6645
@fatmamwera6645 11 ай бұрын
Nalia kila siku Allah anifanyie wepesi na mimi
@hajiramrisho5003
@hajiramrisho5003 11 ай бұрын
Naomba nisaidie namba yako mpendwa
@Rukia-e1o
@Rukia-e1o 2 ай бұрын
Yaalla naomba uniondolee maumivu kwenye tumbo langu
@TumaLema
@TumaLema Жыл бұрын
Inshalaa
@ashtube1333
@ashtube1333 3 ай бұрын
Ya Allah Ya Allah
@mwajumaabdallah5435
@mwajumaabdallah5435 2 ай бұрын
Yarabi naomba uwaondoshe maradhi watoto wangu yanayo wasibu
@Hamida-n2f9k
@Hamida-n2f9k Жыл бұрын
Nakuwombo mola wangu niwondoleye marazi yanayo nisumbuwa
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br Ай бұрын
Shukran🙏
@DusmanIbrahim
@DusmanIbrahim 10 ай бұрын
Ameen ya Mujib
Ruqyah ya kutibu hasad, uchawi na kutoa mashetani (Isikilize kila siku mpaka mpone, In Sha Allah)
30:03
Tafsiri ya Quran Tukufu Kwa Kiswahili
Рет қаралды 845 М.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
Islamic Ruqyah for Healing and Peace | Play While Sleeping
1:59:06
Everyday Ruqya كل يوم رقية
Рет қаралды 12 МЛН
سورة البقرة كاملة لطرد الشياطين من منزلك وجلب البركه باذن الله surat albaqra
3:59:10
KISOMO MAALUM KWA MTU ANAYEFUATILIWA NA WATU WABAYA
31:01
NNC TV- new nuru cinema
Рет қаралды 54 М.
THE MOST POWERFUL RUQYAH REMOVES Djinn IN THE HUMAN BODY AND BLOODSTREAM
1:40:25
kisomo cha kuangamiza majini na uchawi (yaasin mubiyn)
19:08
AN-NAJM TV
Рет қаралды 1,1 МЛН
KISOMO CHA KUMVUNJA SHETANI NA UCHAWI CLIP 1  (sikiliza siku 7)
24:02
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН