SHEKH ALIYESHITAKIWA kwa KULAWITI WATOTO 22 ARUSHA ASHINDA KESI, AELEZA kwa UCHUNGU - "SITAWASAMEHE"

  Рет қаралды 67,992

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

SHEKH ALIYESHITAKIWA KULAWITI WATOTO 22 ARUSHA ASHINDA KESI, AELEZA KWA UCHUNGU - ''SITAWASAMEHE''
Mzee Jumanne Kingu mkazi wa Terati jijini Arusha ameitaka Seriakili kuwachukulia hatua watu waliosababisha yeye kuonekana ni mtuhumiwa wa kuwalawiti watoto wa Shule ya Msingi ya Mkonoo.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 824
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@umfahad2609
@umfahad2609 Жыл бұрын
Pole saana shehe. Mungu atakulipia baba. Ukarimu wako ndio umesababisha kujulikana ukweli. Naomb usichoke, endelea nazo hizo sadaka. Umelia ht mimi umeniliza sana ndugu yng. Mungu atakulipia. 😭😭😭💔
@jumannekingu68
@jumannekingu68 Жыл бұрын
UM FAHAD Aaamina
@johnkibaja2562
@johnkibaja2562 Жыл бұрын
Mungu atakulipa baba, siku zote shetani ataaibishwa na Mungu,ni wivu tu wa baadhi ya watu
@jumannekingu68
@jumannekingu68 Жыл бұрын
@@johnkibaja2562 Nashukuru ndugu yangu
@nourannouuran3514
@nourannouuran3514 Жыл бұрын
Umeniumiza sana mzee wangu mola akupe kheri za dunia na akhera,waja awana shukran ila wachache waliojaaliwa
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 Жыл бұрын
Pole sana Kingu. Ningekushauri umtafute Wakili uwafingulie kesi ya madai kwa kukudhalilisha
@oscarmasanja9657
@oscarmasanja9657 Жыл бұрын
Mwanadamu ni mwanadamu tu, ata umfanyiee nini atakulipa mabaya. Mzee wangu wasamehe hawajui watendalo. Mungu yupo pamoja na wewe, yote mema uloyafanya Mungu ameyaona. Ulindwe na mola siku zote
@alimahmoud358
@alimahmoud358 Жыл бұрын
Kuwa na subra sheikh m.mungu atakulipia,ataleta jibu lako inshaalla
@aishamtangi7272
@aishamtangi7272 Жыл бұрын
Watu ni wabaya dunia hiii mwenyezmung atashughulika nao baba yangu kipenziii
@LoveStory-ne2ee
@LoveStory-ne2ee Жыл бұрын
Tumpenimda jmni uyu mzee anamachungu sana atasamee tu lakini sio sasa inauma sana
@jumannekingu68
@jumannekingu68 Жыл бұрын
@@alimahmoud358 Nawashukuru wooote mliyo niombea Dua na kunipa ushauri Mungu awafanyie wepesi kwenye shughuli zenu
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
ALLAH AKULPE KHAYR KWA KUTOA UWANJA WA KUJENGA MSIKITI, NA AWAANGAMIZE MAADUI ZAKO.,MZEE JUMANNE WATU WANACHUKI MNO NA UISILAMU,LAKINI HAWATAWEZA KUIZIMA NURU YA ALLAH.,
@OnlyRuky
@OnlyRuky Жыл бұрын
Inalilahi Wainailahi Rajeehun AllahuAkabaar mzee wangu usiache endelea na Sadaka zako I'm sure hizo sadaka zimekusaidia kwa uwezo wa Allah ukiweza samehe au wahi kabla haijaisha muda uwafungulie kesi weka wakili mzuri iwe meisho ya Majajusi na mahasidi haki yako uipate na kuasaidia wengine
@ammarruwehy
@ammarruwehy Жыл бұрын
Kiukweli inaliza, inaumiza, Na sijajua kwann nami machozi yamenitoka, nimejitahidi kuvaa viatu vya huyu baba, Wallah havinitoshi hata kidogo. Allah akupe subra na akulipe kheri kwa mema uliyoyafanya.
@nasraabasi6521
@nasraabasi6521 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu amjalie Subra baba ,unamtengenezea mtu mazingira kama haya ni uuwaji inauma sana😭😭
@azizamvungi926
@azizamvungi926 Жыл бұрын
Jamani nimeumwa sana,Allah akusimamie nawe waburuze mahakani kwakukudhalilisha
@salma0000
@salma0000 Жыл бұрын
Wamemdhalilisha yeye na watoto just kwa chuki zao na roho zao mbaya, hao wahusika wafunguliwe kesi tu.
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Subuhanallah jamani kumbe walimsingizia😭😭😭😭😭polesana daa umeniliza baba yangu Allah atakulipa maana uwoni uzalilishaji mbaya na kumbuka walisema unawalawitiwatoto kwamiwa nasoda Subuhanallah pole Saaaana nimeumia Sana baba yangu Allah atakulipa mtihani ni sehem ya pepohiyo
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
Ndio maana M,mungu amekuangazia na utatajilika Sana Inshaalaaa
@Marjeby
@Marjeby Жыл бұрын
Pole sana mzee wangu hii ndio dunia wema ni wachache sana washenzi ni wengi zaidi mie nakuomba ili ujira wako uwe mkubwa kwa mungu na wewe uwe huru zaidi wasamehe tu mzee wangu!na umwachie mungu atatoa huku yake japo ni ngumu sana lakini jitahidi usamehe mzee wangu
@evanestharold5079
@evanestharold5079 Жыл бұрын
Swadaka zako zimekusaidia cku yataabu yako Amen
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe Жыл бұрын
Kabisaa@ Evanest Mungu hamuachi mja wake
@mollelemanuel4659
@mollelemanuel4659 Жыл бұрын
Pole sana Mzee Jumanne.. hakika inaumiza sana ila nashauri uwasamehe kwani juu ya kisasi ni Mwenyezi Mungu tu ndie ataweza kulipa.... Endelea na maisha yako na wala usikome kusaidia .... Kwani riziki zako zina tokana na hizo sadaka... Saidia ila jiepushe pia na watu wa karibu sana kwani chuku zimewajaa watu sana .... Saidia watu wa mbali nawe na majirani kwa akili sana ... Watu wako wa karibu wakati mwingine unaweza kuona meno yao ukizani kuwa wanakuonyesha roho nzuri kumbe wanatamani uangamie ... Mungu atujalie kheri kwenye maisha yetu. Amani amani iwe nasi sote... Amin
@leonardgervas7515
@leonardgervas7515 Жыл бұрын
Mungu atakulipa!! Shukuru kwa kila mtihani unao pewa mzee wetu
@salomengonyani7280
@salomengonyani7280 Жыл бұрын
Nimehisi kama baba yangu kafanyiwa hayo. Nimeumia na nimelia sana. Pole sana mzee wetu.
@fredykephacy5166
@fredykephacy5166 Жыл бұрын
Dada inauma sana nimelia
@fredykephacy5166
@fredykephacy5166 Жыл бұрын
Mzee kalia kwa uchungu
@catherinrutagatina6995
@catherinrutagatina6995 Жыл бұрын
pole sana kwayaliyokukuta,,,ila ninachokuomba babaangu naomba uwasamehe na uwakabidhi kwa M,mungu..mala bila kusamehe mungu atakusamehe.
@ngolwetv3523
@ngolwetv3523 Жыл бұрын
Daaaa Pole sanaaah!! Sheikh wangu, Mzeee wangu, Wajna wanguuuu Siku zote ukweli ukidhihiri batwili hujitenga, Mungu atakulipa na akuzidishie subra Inshaallah, 🤲🤲🤲🤲 Allaahuma Aameen
@ambrosethomas5922
@ambrosethomas5922 Жыл бұрын
Siku hizi nikuwalimbikizia kesi viongozi wa dini. Pole sana sheck Mungu amewadhihirishia.
@aminawaziri4855
@aminawaziri4855 Жыл бұрын
mtihani sana kuna watu wapo kuharibu sifa za watu wema wakidhani wanawakomoa lakini mbele za Mungu wanajikomoa iyo dhuluma waliyomfanyia uyo mzee Mwenyezi Mungu atawalipa kubwa zaidi...
@cosmasnape2702
@cosmasnape2702 Жыл бұрын
pole sana mzee siku zote mwanadamu ukimtendea wema anakulipa kwa ubaya mshukulu Mungu kwa yote.
@melkizedekiwiliam5533
@melkizedekiwiliam5533 Жыл бұрын
Pole! Yesu alisema jambo la kesi lithibitishwe na mashahidi wawili au watatu. Lkn watu wanahukumu kwa macho. Pole! Shekh
@mudymudy3132
@mudymudy3132 Жыл бұрын
Mshukuru M/Mungu kwa kila jambo kwani hawajui walitendalo hao kizazi hicho kipo tangia enzi za Nabii Issa,jua hiyo ni mitihani yke Allah na Allah ndie mwenye kukulinda na ataendelea kukulinda Isha Allah
@fahamimiraji2338
@fahamimiraji2338 Жыл бұрын
NAWAOMBEA SANA DUA MBAYA WARIOKUSINGIZIA MZEE WANGU JUMANNE ALLAH ATAWAADHIBU KIRAMTU ARIEHUSIKA NA KUKUSINGIZIA INSHAALLAH
@mwaibathania2148
@mwaibathania2148 Жыл бұрын
Baba yangu Sheikh wangu usiumie Mwenyezi Mungu amekulipia haki kwa ajili ya zaka ulizotoa . Ninashauri uwasamehe Mungu atawahukumu.
@sulyagp9907
@sulyagp9907 Жыл бұрын
Shehe Ally umeongea jambo zuri sana mzee Jumanne namuomba awasamehe hao Walimu mtu wa Mungu halipi Kisasi Mungu ndiye atajua cha kuwafanya na ukisema umewasamehe itoke Moyoni usiseme umesamehe usoni kumbe moyoni bado unakinyongo hii itakutesa. sana. Pole sana
@yakobomkristo872
@yakobomkristo872 Жыл бұрын
Pole Sana Babu Yangu, Bwana Yesu Anasema "Wapendeni Adui Zenu, Waombeeni Wote Wanaowaonea Ninyi, " Na Pia Yesu Anasema, " Njooni Nyote Enyi Msumbukao Na Kulemewa Na Mizigo Nami Nitawapumzisha " Yesu Anakuhitaji Mzee Wangu.
@moseslaizer538
@moseslaizer538 Жыл бұрын
Jamani mzee Jumanne ndo naona hapa kwenye KZbin ni jirani yangu Pole sana mzee
@abdulbarick5756
@abdulbarick5756 Жыл бұрын
Pole mzee Jumanne hakika Mwenyezi Mungu atasimama na wewe hao watu wasamehe Mungu atajua yy nini hukmu yao mbele yake
@yakoubaliy7559
@yakoubaliy7559 Жыл бұрын
Subhanallah Allah amlinde sheikh wetu na tuna muomba mama yetu mama Samia raisi asie na shidda amsaidie huyu Mzee apate haki yake
@rashidramadhan7708
@rashidramadhan7708 Жыл бұрын
Subhanallah 😭😭😭 mzee wangu muachie RABUKA
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Жыл бұрын
Pole sana mzee wangu pole sana sana. Mzee wangu dunia ina watu wabaya sana.. Mnamsingizia mzee wa watu kesi kubwa kiasi hiki na amekiri kwamba alikuwa anawasaidiaga.. Binadamu ni mtu hatari sana..
@shamimuabdallah8801
@shamimuabdallah8801 Жыл бұрын
Hao nimakafiri wasiopenda maendeleo ya kiislm mungu hachezewi walikua nanjama ya kupoteza nuru ya Waislam baba yangu endelea kupigania akhera yako ishaallah we samehe
@jamalkishangu
@jamalkishangu Жыл бұрын
Pole sana sheikh wangu hiyo ni mitihani ya duniani, Mungu atakupa kheri. Iwapo utawasamehe utaongeza daraja Yako mbele ya ALLAH.
@modestaulambale606
@modestaulambale606 Жыл бұрын
Poleee baba lilikuwa jaribu lako pole mshukuru Mungu umeshinda
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Жыл бұрын
Pole Baba Allah atakulipia juu ya maumivu yako nimelia Sana😭😭
@haikaelibrahimu6377
@haikaelibrahimu6377 Жыл бұрын
Mwenyenz mungu atusaidie, pole sana mzee wangu
@veronicatweve8908
@veronicatweve8908 Жыл бұрын
Pole baba na Mungu awalaani hao mashwetani wote waliokudhuria huo uongo 🙏
@kassimhashi49
@kassimhashi49 Жыл бұрын
Moka akuoe nguvu mzee sheikh.tupo Kenya. Nimesikitika vibaya.nimelia mwenyewe vibaya sana.kuona nchi ya anani kama tz unambadika mzee mzim lawama mbaya.usijali tunakuombea mungu .sana akupe Afya uzidi kungaaa.wala usiogope Alllah yupo nawe.kenya tunakupenda
@khadijakimana8809
@khadijakimana8809 Жыл бұрын
Pole mzee! Mwenyenzi Mungu atakulipia hapa hapa dunia! Mwenyenzi Mungu akuhifadhi, azidi kukulinda na ma hasidi hao!
@bakarimohammed2796
@bakarimohammed2796 Жыл бұрын
Allah akuzidishie Imani hio hio ya kuwasaidia jamii....
@esthercharles5945
@esthercharles5945 Жыл бұрын
Pole Sana baba angu siku zote ukiwa mwema lazima ulipwe ubaya, hata yesu alikuwa mwema kasalitiwa na kuteswa kwahiyo usife moyo mwachiee mungu songa mbele achilia moyo wako Mana vinyongo na kutosamehe sio vizuri kwa afya yako na hata mbele za mungu
@shafithedon9701
@shafithedon9701 Жыл бұрын
Asalam alleyqum! Mungu akuzidishie maisha marefu kwa kuwa samehe, samahan mim Kwa kuto kufika hapo babu n mim shafi mtoto wa Farida juma..
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Жыл бұрын
Wallahi machozi yangu namuomba yasiende bure Allah atakulipia sheikh
@hamispazia9
@hamispazia9 Жыл бұрын
Asante sheikh kwa nasaha zako kwa mzee wetu,yeye awasamehe tu kwani yupo Mungu anayelipa kwa haki
@masoudfundiumeme8892
@masoudfundiumeme8892 Жыл бұрын
Hayajakukuta
@zakiamohamed7611
@zakiamohamed7611 Жыл бұрын
Kamuweka kwenye maisha yake vizuri alla atazidi kumlinda kwa hizo sadaka zake naendelea nazo na samehe kila mtu fimbo yao ipo kwa mungu
@jacksonhaggai6771
@jacksonhaggai6771 Жыл бұрын
Polesanaa baba angu munguu ana waonaa
@fatmataufiq2373
@fatmataufiq2373 Жыл бұрын
Pole mzee,usiwasamehe usiwasamehe usiwasamehe na mungu atahukumu hpa hpa duniani akhera hesabu tu,Pole sana allah atakufanyia wepesi
@jumannekingu68
@jumannekingu68 Жыл бұрын
Nashukuru kwa Dua zenu
@danielhaule155
@danielhaule155 Жыл бұрын
Samehe sheikh! Mungu tunamkosea sana tena vile Vitu ambavyo amevikataza katika amri zake! Lakini tunamuomba toba na hutusamehe
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Pole sana pole sana, Wema unaponza
@jokhaali5893
@jokhaali5893 Жыл бұрын
Pole sana sheikh. M. Mungu akulinde na akuepushe na kila balaa. Sheikh unajuwa kuwa huwezi ondoka duniani ila kila uliloandikiwa likufike. Ukiona maadui wako wamezidi basi tizama mafanikio yako. Pole sana kaka yangu. Tumia dua ya SALAT IBRAHIMIYA sana. Tumia حسبي الله ونعم الوكيل على كل من ظلمني
@monalisaally4387
@monalisaally4387 Жыл бұрын
Mzee mshukuru mungu kwa kila jambo kikubwa umetoka gerezani maan Mwenyezi Mungu ndio bingwa wa kupindua hila za watu wabaya
@swama9820
@swama9820 Жыл бұрын
Mungu yupo nawe Mzee atakulipa kwa kila dhulma uliyofanyiwa, wala usiache kuendelea kuwafanyia wema...
@hamidamaswali8013
@hamidamaswali8013 Жыл бұрын
Pole sana mzee wangu usikatishwe tamaa na watu wabaya, Mwenyezi Mungu atakulipa na atawadhalilisha walio kusingizia.
@wilsonmagige6995
@wilsonmagige6995 Жыл бұрын
Kujitoa kwake diwani alihisi kwamba huyu ustadhi anataka kumpindua kweny kiti Cha udiwani
@jafarimalenga1266
@jafarimalenga1266 Жыл бұрын
Mzee mungu ndiyo.muweza.hii dini ina zushiwa Mambo mengi tatizo kua mwislam kwauwezo wa mungu wanazidi kuumbuka
@mudiomari3007
@mudiomari3007 Жыл бұрын
Hayo ndo malimwengu shekh wangu Allah Atosha Peke Yake Kuwahukumu hao
@zuhurabakari9025
@zuhurabakari9025 Жыл бұрын
M/Mungu toa majibu mapema watu washuhudie ushindi na uwezo wako isaidie binadamu kujua uwepo wa mungu kwa machozi yangu
@demicratia4071
@demicratia4071 Жыл бұрын
Ali Shaban Mtoro umejieleza vizuri sana Hata katika Bibilia inavyosema 1 Peter 5:7 .. Matatizo Yote muachie Mungu
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
Pole sana mzee M/Mungu atakulipa mudasiyo mrefu
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 Жыл бұрын
Inaumiza sana sana Pole sana Mzee wangu MUNGU akupe ujasiri na uvumilivu mkuu kweli inatia hasira sana ni kweli hao walimu ni wa hovyo sana wamekuharibu wew na hao watoto saikolojia yenu hao walimu wachukuliwe hatua kali sana za kisheria ila watu wazuri hua wanapigwa vita sana,mtegemee MUNGU Mzee wangu na Endelea kuomba Dua
@munaahmed8499
@munaahmed8499 Жыл бұрын
Subhannallah Binadamu tukiambiwa mungu analipa hapa hapa duniani hawaamin leo baba yang umeshinda baada ya kuchafuliwa jina lako innallillah wainnaillahi rajiun mtihan huu tunaofanyiana wanadam
@abuukhorboshy3308
@abuukhorboshy3308 Жыл бұрын
Allwah akupe subra ustaz mungu ameahidi kuwapa mtihani wenye kumcha yy ili kuwajaribu watashukuru au watakufu
@abhaaly
@abhaaly Жыл бұрын
Allahu Akbar, Allahu Akbar, Allahu Akbar!!! Hasbunaa Allah Waneemal Wakeel!!! Alhamdulillaah, Pole Sana Baba na Hongera Sana Kwa Ukarimu, Imani na Dini Yako. Sadaka Yako Ipo Pale Pale na Itazidi Kukufungua na Kukuokoa Na Mabaya Ya Walimwengu. WEMA Ndio WAPINGWAO, USICHOKE! Lengo Lao Ni Msikiti na Madrasa Zisiwepo Hapo Lkn Allah Yupo Macho Zaidi! Atawalipa Kwa Kila Jambo. Maa Shaa Allah Kheir Kwako! Shukran Kwa Ibada YAKO! 🤲🏽
@aliujendo
@aliujendo Жыл бұрын
Wasamehe mzee hiyo ni dalili wewe ni mwema zidisha ibada in sha Allah wala usife moyo kusaidiya kama vile ulivo kua ukitoa kwa ajili ya Allah in sha Allah
@rajabuhamisi2432
@rajabuhamisi2432 Жыл бұрын
Alaah akibaru polesana ishaalah mwenyezimungu atakulipia na atawahukumu inshaalaah
@user-xx1yw7jw2p
@user-xx1yw7jw2p Жыл бұрын
Mungu atakulipia kwa waliokudhulumu
@seneu.2128
@seneu.2128 Жыл бұрын
Pole sana Mzee wangu Mungu atakulipia.
@thuriyabarwani5111
@thuriyabarwani5111 Жыл бұрын
Powa sana mzee Allah atakulipiya yote haya na akuhifadhi .Nafikiri hapa kuna watu wenye kufanya vitendo hivyo na kujaribu kuficha makucha yao.Maisha Allah hasomami na madhalimu Iko siku ubaya wao utajitokeza. na malipo yao waovu hao watalipwa hapa hapa Duniani. Ameen ! Inaskitisha sana .
@kapondamsita476
@kapondamsita476 Жыл бұрын
Allah akupe subra shekhe wangu
@scolashija474
@scolashija474 Жыл бұрын
Pole sana shehe malipo n hapa hapa duniani.wala ata usijali.shehe ala akupe subla.
@juliusdaniel3705
@juliusdaniel3705 Жыл бұрын
Shekh uko vizuri kumtaka mzee jumanne kusamehe.,Ubarikiwe.
@neemamasudi7988
@neemamasudi7988 Жыл бұрын
Baba mzazi ni meliya sana kusikiya jinsi unaongee baba Mimi ni mkristo ila nimeliya sana pole sana baba mzazi . Mwanadamu haliziki . Wamekuoneya wivu baba yangu. Pole sana mungu atakulipa .
@salmanassor8732
@salmanassor8732 Жыл бұрын
Pole sanaa baba angu Allah bado yupo pamoja na ww 😢
@sadasaid7212
@sadasaid7212 Жыл бұрын
MAA shaa Allah alhamdulillah! Samehe babaangu! Muachie yeye Allah mtibua vitimbi vya wale wanaopanga vitimbi vya uovu! Allah anaonyeha ukuu wake kwako! Atakuinua ukae juu zaidi..
@yassinimshale3841
@yassinimshale3841 Жыл бұрын
Pole sana mzee Mungu ajitoe nguvu uendelee na maisha nikajua vijana ndo tuasingiziwa2 kumbe ad wazee dunia hii Mungu simama nasi adi mwisho
@neemamacha8806
@neemamacha8806 Жыл бұрын
Mungu wetu ni mwaminifu baba na husimama katika haki. Mwachie yeye kila kitu.Pole sana kwa tuhuma za uongo.
@kombomtalika1244
@kombomtalika1244 Жыл бұрын
Mwenyezimungu awazaririshe wote walioshiriki kumfanyia uovu mzee wetu,wazaririshwe hapa duniani na akhera,mungu tusaidie
@amoursalum7486
@amoursalum7486 Жыл бұрын
Pole sana mzee wangu, Allah akujaalie subra uweze kushinda majaribu haya na mengineyo Inshallah
@mohamedally1594
@mohamedally1594 Жыл бұрын
Pole mzee wangu . Wanadamu walitafsiri vibaya msaada wako. Wameona una vigezo vya uongozi. Wakaogopa. Endelea na moyo wa kutoa,vikwazo vilikuwepo, vipo na vitakuwepo.
@fatmabhai2812
@fatmabhai2812 Жыл бұрын
Inshaallah mungu akufanyie wepec na subra baba ang... Mungu akulinde na maovu akuepushe na haya na mengine kua na subra baba ang usije ukafanya kt chcht kibaya kwa wale waliokufanyia ubaya wooote huo. Malipo yako kwa Allah Wala usiwe na papara mzee wng. Iyo itawasuta hao wanafiq na wataliowa na mungu kwa walichokifanya . Inshallah kheri .
@lusajomwakalinga5813
@lusajomwakalinga5813 Жыл бұрын
Pole Sana mzee Mungu yupo don't cry father imeniuma .
@khalidjuma5901
@khalidjuma5901 Жыл бұрын
Kumbuka vitu 2 Allah na mauti na sahau vitu 2 wema wàko kwa watu na ubaya wao kwako
@mammukaratu2084
@mammukaratu2084 Жыл бұрын
Allah anasema, Hata walioamini tutawajaribu ili kuwapima imaan !! Mzee wetu pole sana !! HUO ni mtihan Wala usivunjike moyo simama ktk iman
@halimasalim5477
@halimasalim5477 Жыл бұрын
Pole babangu Allah atakulipa.mtihani baba kutoka kwa Allah..
@mohammedMbwana
@mohammedMbwana Жыл бұрын
Daah. Pole sana Mzee wangu. Machozi ya mtu mzima na dua ya aliedhulumiwa hairudi patupu.
@allymsonga6915
@allymsonga6915 Жыл бұрын
Pole Sana,mungu akuepushe nashali zao,hao madhalimu, Amina
@asmaally9316
@asmaally9316 Жыл бұрын
Hasad tu ndio inayowahangaisha binadam M/Mungu akulinde mzee wangu
@salmawais2778
@salmawais2778 Жыл бұрын
Subhanallah kumchafua muumin ALLAH atamlipia,,pole my brother
@hannanommy302
@hannanommy302 Жыл бұрын
Pole Baba yangu Hakuna zito kwa Allah, hao walokusingizia Allah atawalipa Usilie hiyo ilikuwa ni Sadaka yako usijali msukumievRabby,
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
Da Allah akulipe hapa hapa dukani na kesho akhera,amiin amiin
@alisonimpaji615
@alisonimpaji615 Жыл бұрын
Pole sana Mzee wangu kutenda wema kuna ghalama kubwa na ghalama zake ndio izo ila mshukulu mungu Kwa icho ulicho nacho lakini pia ata kua huru nikeasababu ya icho ulicho nacho mshukulu mungu Kwa kukupa funzo ata apo ulipo simama Bado kuna adui zako ila endelea kufanya kwani ni mungu ndie Alie kupa
@mohamedjakaya5355
@mohamedjakaya5355 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akulipe.
@Naw89
@Naw89 Жыл бұрын
Subhaanallah Allah akuhifadhwi mzee wetu Allah atakupandisha daraja kwa imani yako wala usijiskie unyonge
@nahimanaaisha4284
@nahimanaaisha4284 Жыл бұрын
Ninakukumbusha babaangu umeongea neno nzito ila usisemi et keshi qiyama hapo lipuuzia kikubwa uyasemehe nakikubwa soote wakosefu tutubiye natusameh ndio muhim.mwenyeezimungu atusamehe
@adammoursad529
@adammoursad529 Жыл бұрын
ALLAH akuhifadh Mzee wetu na akujaalie moyo zaid wa kutoa swadaka!!.. hayo ni baadhi tu ya madhila ambayo waislam wengi wanakutana nayo, Sasa mimi nakusihi Wasamehe mzee wang muachie ALLAH atawahukum, pia nakukumbusha ya kuwa "HAWATOKUA RADHI NA NYINYI MPAKA MFUATE MILA ZAO"
@makenebartazary2236
@makenebartazary2236 Жыл бұрын
Mzee wangu pole Sanaa ndio Dunia ilivyo... tunaomba wa Tanzania tumsaidie huyu mzee 😥😥
@seifmtambo3210
@seifmtambo3210 Жыл бұрын
Pole kwayote mungu Atakulipa nawao Atawazibu kwa fitina na uongho zindiyako
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 Жыл бұрын
الله يحفظك يا الشيخ 😪
@masoudmsomal8774
@masoudmsomal8774 Жыл бұрын
إنا لله وإنا إليه راجعون
@joachimnangale9214
@joachimnangale9214 Жыл бұрын
Pole saana Mzee Jumanne.Yote mkabidhi Mungu
@hgfivcj1832
@hgfivcj1832 Жыл бұрын
Pole sana baba walimwengu wa sasa nishida. Nawote waloshiriki kwakuunga mkono habari zauongo ina bidi waombe msamaa hapa kwenye Comment.
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 Жыл бұрын
Mimi toka mwanzo nilikua sijahamini, Mungu atakusimamia baba, Mungu atawaibisha mchana na bado.
@saimonijonas1471
@saimonijonas1471 Жыл бұрын
Mpaka hapo adui wamesha aibika.
@robertmoshi2113
@robertmoshi2113 Жыл бұрын
Mh Baba pole sana hii niuzalishaji pole sana pole sana Mungu amesha wahaibisha pole sana
@fatumamerere3697
@fatumamerere3697 Жыл бұрын
Pole sana babaangu we wasamehe Bure mwachie Allah ashugulike nao
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,7 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 4,4 МЛН
WATCH: Trump speaks at Turning Point USA event summit | LiveNOW from FOX
58:18
LiveNOW from FOX
Рет қаралды 1,2 МЛН
Middle Class FOOLED Once Again? | Budget 2024 | Dhruv Rathee
20:09
Dhruv Rathee
Рет қаралды 12 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,7 МЛН