TAJA JINA LA MPENZI WAKO UPEWE GARI

  Рет қаралды 36,157

Mr Uky

Mr Uky

Күн бұрын

Пікірлер: 70
@GodfreyBujiku
@GodfreyBujiku 2 ай бұрын
Chezeni na code alietoa gari mume wa mtu so sio salama kutajwa😂😂😂
@MademaUsevya
@MademaUsevya 3 ай бұрын
wa kwanza leo🤣🤣naombeni like moja too
@user-xy8kl9wd2i
@user-xy8kl9wd2i 3 ай бұрын
Huyu pengine kajizawadia wenyewe 😂😂
@khareemnyoka1239
@khareemnyoka1239 3 ай бұрын
Na itakua ndo ivo ivo
@asiakapee5421
@asiakapee5421 2 ай бұрын
Kajipa mwnyw hilo gari kataka umaarufu tumuone tu hata tusokuwa na akil tumeelewa mchezo
@NewNew-ep5dq
@NewNew-ep5dq 3 ай бұрын
Ingependeza hamtaje,, hila kwavile wapo wengi,, lazima hangekosa kumtaja
@BarakaCharles-c3r
@BarakaCharles-c3r Ай бұрын
Ilitakiwa ataje mpenz bhana😅😅
@charlesfundisha6376
@charlesfundisha6376 3 ай бұрын
Papa izi zina mambo unakuta uyu alietoa gari mama ake kijijini amechoka sana na anandugu zake wana shida sana Dunia simama
@Benny318m
@Benny318m 3 ай бұрын
Kwahiyo asimzawadie mpenzi wake
@NaftalMungure
@NaftalMungure 3 ай бұрын
Kila mtu ana nafasi yake Bob. Mpenz ni Mpenz
@leahnjinge7136
@leahnjinge7136 3 ай бұрын
We nae utamaliza umaskin wa ukoo wako,kila mtu ana nafasi yake
@Gertrudemussa
@Gertrudemussa 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂​@@leahnjinge7136
@JosephKingwere
@JosephKingwere 3 ай бұрын
Kwa wengiwao ambao wanajitoelea kwa watu baki ila kwa walio zaliwa tumbo moja hasaidi ila nenda bak uwi wanatoa mpka basi yani Mungu atusaidie sana
@LilianiMeena
@LilianiMeena 3 ай бұрын
Huu ni uongo coz ungechukua hela kweli hii clipu sehem ya ww kuchukua hela ungeedit ili mshikaji asikumaind so ww kaz zako now nizauongo uongo sana
@Msanuaj
@Msanuaj 2 ай бұрын
Dem wa kibaa😂
@UchiraPhone
@UchiraPhone 2 күн бұрын
Akuna mapenz apo jamani
@PendosimonDenis
@PendosimonDenis 3 ай бұрын
Nimewai Leo like zang jamn
@BeatriceKweka-r4o
@BeatriceKweka-r4o 3 ай бұрын
Mshaanza kuzingua vitu vya uongo😢😢😢
@hafsamansoor3977
@hafsamansoor3977 2 ай бұрын
Walioanga kujionyesha.haiwezekani asimtaje atoe hela
@OfficialA83640
@OfficialA83640 3 ай бұрын
Ndy maana Kiba yupo Zanzibar aah kweli penzi limerudi upya King Kiba anajua kuwachezea anajua tena bila yakusema huyo dd mwenyewe anajipostisha kule na mziki wa Kiba code nyepesi tu wala asituzuge 😂😂😂😂😂
@Bongo.255
@Bongo.255 3 ай бұрын
Huyu jamaa content zake unajua za kupanga kabisa😂😂😂
@Younomane
@Younomane 3 ай бұрын
Nai ryuwa hio mapicha picha mnatufanyia haryashindwa kutarya ariye mnunuria nawara hakuna arie mnunuria michezo hio
@AbdulwahidCantara
@AbdulwahidCantara 3 ай бұрын
Kumanina zenu mwanaume usimtaje alafu akupe gari uyo mwanamke malaya tu
@JulesDior-zl6rq
@JulesDior-zl6rq 3 ай бұрын
Ana jizawadia izo pesa nizenye akulipa bro 😂😂 . Content gani hizi sasa
@LightDaniel-v1l
@LightDaniel-v1l 3 ай бұрын
Wanawatoaga wapi😢.halafu hawatuliiiii
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k 3 ай бұрын
Wala usijali ❤ mambo ya muda tu
@JameschegeNjeri
@JameschegeNjeri 2 ай бұрын
Done
@KidoBanks
@KidoBanks 3 ай бұрын
Huu uwongo huuu
@ZuhuraKingu
@ZuhuraKingu 3 ай бұрын
Maan alitakiwa ampigie simu amshukuru
@Mwanahamisally-kg8ym
@Mwanahamisally-kg8ym 3 ай бұрын
Si kweli
@saidmkamila2329
@saidmkamila2329 3 ай бұрын
Women 🙌🙌🙌🙌
@sulleRuth
@sulleRuth 3 ай бұрын
Kajizawadia awu
@RoseKimath
@RoseKimath 3 ай бұрын
Mtego uo haya sasa ebu nipeni basi hiyo Harrier anaitwaaa Mahiii wangu
@alicemazurues769
@alicemazurues769 3 ай бұрын
Kiredio atabaki number one, izo drama hafanyagi, kuwa care ful, utakuja kuharibu content zako juu ya ujinga wako, ebu nambiye na wewe Mwanaume gani atakubali kutowa gari lake kwa demu halafu asitajwe jina , upewe rushwa ya pesa utowemzigo? kweli ? unaona inakuja kwenye akili yako, vingereza vingi kumbe uko stupid
@KidoBanks
@KidoBanks 3 ай бұрын
😂😂😂 nmechk t
@aggreynsemwa
@aggreynsemwa 3 ай бұрын
Content ya ajabu na haifai
@FloridaNicholaus
@FloridaNicholaus 3 ай бұрын
makubwa ina mana ana wengi au
@NewNew-ep5dq
@NewNew-ep5dq 3 ай бұрын
Ww huliona wapi mwanamke wa dar akawa na mwanaume mmoja hapo haelewi hataje nani
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 3 ай бұрын
Mbona hajataja jina
@ZulfaMjege
@ZulfaMjege 3 ай бұрын
Siwengne tulikuj duniani kufany nn 😅
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 3 ай бұрын
Tembea uondoke
@eliahmwakibolwa4516
@eliahmwakibolwa4516 3 ай бұрын
Usiseme hivyo Zulfa
@ZulfaMjege
@ZulfaMjege 3 ай бұрын
@@SabihaibrahimRajabu hata hvy napita tu so mkaaji
@ZulfaMjege
@ZulfaMjege 3 ай бұрын
@@eliahmwakibolwa4516 ni utani tu kdg bc
@Neemamtey
@Neemamtey 3 ай бұрын
Kuzurura😂😂
@LatifaCharles
@LatifaCharles 3 ай бұрын
Mje mniulize mm uku
@frorenceetoile3016
@frorenceetoile3016 3 ай бұрын
Anawo wengi tu hamna kitu hapo
@MonicaMacha-q7y
@MonicaMacha-q7y 3 ай бұрын
Mbwa fashions kama hiz na yatima wanateseka
@AyishaOman-cw4xs
@AyishaOman-cw4xs 3 ай бұрын
❤🎉😂
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 3 ай бұрын
Sasa huu ndio mchezo wa kuigiza alitaka tuone tuu
@NursamiaKiligaliga
@NursamiaKiligaliga 3 ай бұрын
Ira uyu demu maraya mbona akusema jina
@leokadiakasambala1865
@leokadiakasambala1865 3 ай бұрын
Hapana kutaja watu wanaiba wakiona hivi
@deamber775
@deamber775 3 ай бұрын
Wanaume wanaohonga gari mnawatoa wapi jaman
@AlicyMathias
@AlicyMathias 3 ай бұрын
Mm mweyewe najiuliza
@joellivinus3580
@joellivinus3580 3 ай бұрын
Uyu gari kajipa ingekua mtu katoa kweli lazima jina lingetajwaa
@OfficialA83640
@OfficialA83640 3 ай бұрын
KIBA HUYO NA YUPO HUKO HUKO ZANZIBAR
@aishaomary4498
@aishaomary4498 3 ай бұрын
Kabisaaa
@tolyaulyanov
@tolyaulyanov 3 ай бұрын
Thomas George Miller Ruth Robinson Shirley
@JoyceSteven-tu2fi
@JoyceSteven-tu2fi 3 ай бұрын
Mr uky English yake inaboa jmn
@SanjerSaimon
@SanjerSaimon 3 ай бұрын
Gari umepata ila uache umalaya
MAPENZI YAKWELI YAPO JAMANI
19:41
Mr Uky
Рет қаралды 154 М.
Хаги Ваги говорит разными голосами
0:22
Фани Хани
Рет қаралды 2,2 МЛН
MUMAMA ALETA BARA
9:56
Mr Uky
Рет қаралды 185 М.
Unajua wewe ni mzuri naomba unitongoze Basi Pranks 😂
3:06
MAPENZI YA WAGOMBANISHA SIKU YA BITHDAY
8:02
Mr Uky
Рет қаралды 77 М.
ZAWADI YA DUKA SINZA IME GEUKA ULINGO WA NGUMI
12:52
Mr Uky
Рет қаралды 193 М.
LEMA AMKAANGA MBOWE "USITAMBE KUWA UMETUJENGA BANA"
15:57
JAMBO TV
Рет қаралды 16 М.
KACHUKUA MPENZI WA MWENZAKE
8:31
Mr Uky
Рет қаралды 94 М.
MKE AZAWADIWA GARI NA MUME BAADA YA KUJIFUNGUA MAPACHA
17:46