Huyu dada kweli aliamua kukomaa na Jiji mpaka Leo Mungu amzidishie mm nampenda Sana😍
@seifjuma73182 жыл бұрын
Kweli kabisa kila kitu nia tu M/Mungu anakufungulia
@balochfedty71025 жыл бұрын
nani bado anaikubali ??? 2019!!! amazing song!!!
@ashuraussein75825 жыл бұрын
Pamoja 🙄
@fatmafetty41175 жыл бұрын
Sana amazing song
@rahmajuma60974 жыл бұрын
@@fatmafetty4117 nice da shishi ngoma zako zote big up
@fatmafetty41174 жыл бұрын
@@rahmajuma6097 nzuri sana
@enjobw56822 ай бұрын
Like zenu kama bado unaikubali 2024 ?
@theresaelizabethelijah1174 ай бұрын
2024 Shishi alikua pisi bado anaweza kupungua akitaka❤❤❤
@asiahmariam39425 жыл бұрын
Kwenye nyimbo zote za shishi hii ilijua kuniweza adi sasa 2019 sibanduki hapa naipenda nyimbo hii hatari
@frankimushi40175 жыл бұрын
Ninzuri
@ellysonamani49035 жыл бұрын
Asiah Mariam nisalimie shilole
@mariabasily1155 жыл бұрын
Kweli kabisa❤🙏😘
@fanuelkengwa30375 жыл бұрын
Iko powa
@festostephano84394 жыл бұрын
Kabisa 0754381887
@shyfettymtunda46193 ай бұрын
Hapa alikuwa na kafiga bomba sana.🎉 Saiz ni kama watu wawili tofauti. Julai,2024
@saidishariff3834 жыл бұрын
Oyoooooooo tupo p1 gonga likeeee basi ikiwa bado umeikubali hili song Kionjo Nnamashetani mie nipishe wanasema nirudi zenji maisha yashanishinda na mm nasaka mavumba siwezi nakomaa na kisiwa cha pemba
@mwanaidimuhindi66715 жыл бұрын
Wale wanaokomaa na jiji tujuane💪
@richardjuma77084 жыл бұрын
Tupo tupooo
@zainabchatta60464 жыл бұрын
💪💪
@PascalPaul-nh3os5 ай бұрын
Dada yangu shi kama uzuri unao shepu ndo kiboko
@shadowboy63145 жыл бұрын
Daah nyimbo hii nilikuwa sibanduki kweny banda ra video Daah ngoma kali Sana forever Dada I like this song
@HfvJfv-zf2dt4 ай бұрын
Shilole ulikua na mwili mzuri sana
@zuhuramohd61955 жыл бұрын
Na umekomaaa kweli maana shishi food, shishi chills, balozi wa hq pedi , hongera bado kingeee tu kinakupa shida
@hamisiswaleh17415 жыл бұрын
Gonga like twende saw hii ndo nyimbo YAKE kali2 ktk nyimbo zote sichok kuisikiliza
@sunpanther96996 ай бұрын
Who is 2o24?
@petererintos87502 ай бұрын
Peoples who didn’t go to school
@HAWAMAULIDI-zl5xd2 ай бұрын
@@petererintos8750😂😂we acha tu
@rosepeter25773 жыл бұрын
Dadaangu ungeendelea hivi saizi ungekuwa mbali sana siijui ulifeli wap yani daaa!!
@midagirlbasalim6146 жыл бұрын
Katika nyimbo zako zote hii ndio kiboko kwenye kila kitu mpaka mavazi
@ghazalo77855 жыл бұрын
Nzuli sana
@mariyaal53665 жыл бұрын
Kweli kabisa
@mtamomtamo5445 жыл бұрын
Midagirl Basalim
@tatukamli33775 жыл бұрын
Bonge la wimbo lipo konk sana
@ShakiraMremboКүн бұрын
Nakupenda Sana wee dada mungu akupe maisha marefu🙏🤲👍🥰💋🌹💞🌷
@beautychannel70926 жыл бұрын
hii ndo nyimbo sio ile ninii😁 mbaya sana asee ile nyimbo
@festomahenge64165 жыл бұрын
Vee Money's channel sana
@tanaphamayunga99243 жыл бұрын
P maisha yanabdlika kweliiii shsh wa enz izoooo alikuwaga na kamwil kazuriiii xanaaaa
@leopoldsamwel52152 жыл бұрын
Ukisikia kuwa maisha hayana shortcut ndiyo hii from zero to hero 🤝💪 Good bless you always
@Hassanimanginja8 ай бұрын
aludi kweli maana xio kwa miuno hiyo
@mariamkassim53454 жыл бұрын
Kama unaangalia hii nyimbo ukiwa quarantine2020 gonga like
@husseinjuma77654 жыл бұрын
Gonga mwenyewe
@raphaelmkane76764 жыл бұрын
viP
@aishamfanga80273 жыл бұрын
@@husseinjuma7765 00
@isabelastanley11563 жыл бұрын
Ulikuwa mrembo
@leylahbillah48764 жыл бұрын
Hainiishi hamu kusikiliza hii nyimboo
@goodluckcharles37486 жыл бұрын
mbona umechelewa kuiweka hii ngoma.....ila sio mbaya.....Duuh duniani hakuna mtu mwembamba😎😂
@جميلهخميس-ط5ث6 жыл бұрын
Goodluck Charles Kweli Aiseee mwenyewe nashangaa kwa bonge la Mama
@tradamus41584 ай бұрын
Asaivi kavimba vimba kawa kama chura
@sakinaomar23124 жыл бұрын
Who still watching this song 2020
@aryanally62912 жыл бұрын
2022
@lucianagodson4378 ай бұрын
Bado tupoo 2024❤
@maliethnyoni28475 жыл бұрын
Hii nyimbo nakumbuka nilipigwa kaka yangu kisa kwenda kucheza aya maisha shishi shikamoo 2019
@mwajumamohamedi35344 жыл бұрын
Shishi ulikuwa mzuli asaivi umenenpa umekuwa mmbaya
@totmohammed64303 жыл бұрын
Shishi ulikuwa mzur dadaangu bora urudishe huuu mwili wako wallah
@janeeunicewownionakazamani4343 Жыл бұрын
Please rudiya mwili WA zamani
@veeibra101510 ай бұрын
Tulio rudia 2023 like hapa
@awardandrew9735 жыл бұрын
Inabid umtafute aliyekutungia huu wimbo,mtafute producer mpk stylist cz huu wimbo ni mzr asee,unakwama wap siku iz?
@fadhilijumanne17144 жыл бұрын
Shilole uko powa kabis ngoma nimeikubali .Igunga kwetu
@ahmedseif43214 жыл бұрын
shishi engeza kasi nyimbo zako zinzkumbusha mbali sasa
@goodluckkipingu42474 жыл бұрын
Wangapi wamekuja huku baada ya kusikia kapata kipigo kutoka kwa uchebe ndoa jaman daaaah
@aishavogelmann50214 жыл бұрын
Nakumbali mpaka kesho huu wimbo......pumzi nimbure 🔥🔥🔥
@minahsamiry44594 жыл бұрын
Twenty 20twenty 20 ...watching
@EliudiMsalale5 ай бұрын
Ila zuena mzur
@kokububelwa Жыл бұрын
Sister ka mwili aka karikua poa wa kwetu
@eviepretty90065 жыл бұрын
daaaah nimemiss huu mwilii jmn fany mazoezi shilole mwili wako urud jman sahv uzur unaharibiwa na unene ulionao sahv seen 24/5/2019😢😢😢😢
@jutoomaachurauklourownandy91753 жыл бұрын
Dah leo noma shishi umenikumbusha mbali sana uakika
@Nailaty5644 ай бұрын
Alikuwaga na mwili mzuri sasa hivi kawa ASHA boko
@liliansento94105 жыл бұрын
Daaah kumbe ni nyama ameongeza jamani Fanya tizi
@dailysparktvke35403 жыл бұрын
Shishi baibe🔥🔥🔥kali sana mtoto mzuri
@tabumsumi55246 жыл бұрын
Duuh shishi fanya mpango ulud kwenye mwili guy!!!!!!!!
@khadijaomar32996 жыл бұрын
Shishi mwili huu uko mwaaah😘
@habibasawasawa75213 жыл бұрын
Bora shishi urud kwenye huu mwili adi raha yani
@manasemwakilasa59314 жыл бұрын
Ungelud igunga ungepoteana
@EliudiMsalale7 ай бұрын
Hapa mungu aliumba mungu anilindie
@helenshagembe84724 жыл бұрын
Ulafi kitu kibaya sanaaaaaa!! Huu mwil kurud labda ukakatwe utumbo