somo mm nakuelewa sana nasina elimu nahiji nipapate elimu kutokatoka kwako salim juma ali nipo zanzibar naomaba namba yako shekhe wngu allah akuweke tupate elimu
@wahidisalim6776 Жыл бұрын
Msabahah nakupenda kwaajili ya allah
@ibrahimnassorali3360 Жыл бұрын
Allah ajaalie kwako umri mref wenye manufaa kwako na uislam
@chonghoswe6255 Жыл бұрын
Pambana mungu akupe nguvu usipumzke had peponiiii
@dullah5733 Жыл бұрын
Masha Allah
@salummzee9739 Жыл бұрын
Hakika sheirkh msabah ukifundisha na kukwepa mabishano utaheshimika
@targhib_tv Жыл бұрын
Riyadh tv kuandika Surat Ankabut:33 imekuwa shida
@mohdkhamiskhamis1565 Жыл бұрын
Ahsant shehe
@feisal6592 Жыл бұрын
Jee bachuu kutoka Zanzibar badoakona ugomvi wao na ma shekh wenzake or akona hoiaa malumu
@kherimakame21211 ай бұрын
ndio kafuga kucha sie tulosoma kwake tunajua kucha anafug kwasababu gan na nywele anafuga kwasabab gan
@sababusiosababu9919 Жыл бұрын
huyu kichwani ana mambo mengi hafai kusomesha darsa ; hasa za watu wachanga kwani ana fikra nyingi kichwani mchanganyiko na bahati mbaya yeye mwenyewe hana uwezo wa kuchuja aliyo yabeba kichwani ,
@shahabdallah94074 ай бұрын
Kaa ww ufundishe
@chonghoswe6255 Жыл бұрын
Usichoke shekhe letu jembe tunakuombea afya siha
@zuhurashabani365 Жыл бұрын
Samahani nimeona kama shekh kafuga kucha?? Au macho yangu
@chonghoswe6255 Жыл бұрын
Urembo
@chonghoswe6255 Жыл бұрын
Ulikua upo ktk darsaaa! Au ndio ktk mapungfu yenu t
@zuhurashabani365 Жыл бұрын
Nimeuliza tu kwani huenda nikaelimishwa juu y nilicho kiona na nikaongeza elmu zaid
@zuhurashabani365 Жыл бұрын
Nisikwamba nilifata mapunguf no ingekua ivo bad hata nisinge hangaika kumsikiliza shekh wetu
@chonghoswe6255 Жыл бұрын
@@zuhurashabani365 usijal mwana darsa mwenztu tuendelee kutafta ilimu mpaka mwna ndani