Zanzibar, eneo na mipaka yake kwa mtazamo wa kisheria na kihistoria-URITHI WETU (Episode 1):

  Рет қаралды 26,159

Zanzibar Kamili TV

Zanzibar Kamili TV

3 жыл бұрын

Tunaanza mfululizo wa vipindi vya URITHI WETU juu ya Zanzibar, ambapo Ahmed Omar atakuwa akizungumza na wataalamu wa fani mbalimbali visiwani Zanzibar. Katika kipindi hiki cha kwanza, mwanasheria Awadh Ali Said anazungumzia uhalali wa eneo na mipaka ya Zanzibar kisheria na kihistoria.

Пікірлер: 76
@websuperspy
@websuperspy 3 жыл бұрын
Asanteni sana. Nimefaidika sana. Nikupongezeni tu na kukuombeeni muendelee na vipindi vyengine.
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 жыл бұрын
Mungu awarejeshee Zanzibar Nchi yao. Ikiwa MUUNGANO wenyewe....... wa Kuwabana WaZanzibar. Wananchi wanapata tabu kwa ajili ya Tanganyika.
@husseynomar9523
@husseynomar9523 2 ай бұрын
Nimekufahamu vizur saana Sheikh Awadh Said Ali🎉🎉🎉
@sayidabdillah8505
@sayidabdillah8505 3 жыл бұрын
Binafsi naungana nanyi ambawo munaidhmisha na kupambana juu ya kuileta Zanzibar kamili Mungu Allah sw awatangulie kila hatua na awape nguvu Tutashinda inshaallah taala Amin amin yaarabilamin
@issaal-busaidi4479
@issaal-busaidi4479 3 жыл бұрын
mungu amrehem maalim, alituambia haya lengo la serekali moja kws7bu ya hao waasis alifanya nao kazi
@alifundi8971
@alifundi8971 3 жыл бұрын
Mim nashauri kwa mapenzi yoteee.katiba iliyokabiziwa mwaka 1963 itolewe na isambazwe kila kona ya zanzibar na ikibidi wataalam waitafsiri kwa lugha ya kiswahili inshaallah.
@ismailjuma3692
@ismailjuma3692 3 жыл бұрын
Ipo siku inshaallah
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 3 жыл бұрын
ZANZIBAR ,ZANZIBAR, ZANZIBAR REPUBLIC PEOPLE OF ZANZIBAR .......
@eddyboshizo5549
@eddyboshizo5549 3 жыл бұрын
Unatamani kulia kwa hasira ila Mungu mwema na ana huruma isiomipaka atatukomboa itafika siku sote tutasimama km wazanzibar na si wana chama wa chama chochote tuikomboe nchi yetu I PROUD OF MY COUNTRY ❤️ZNZ
@SaidimaulidiMaulidi-lf9de
@SaidimaulidiMaulidi-lf9de Жыл бұрын
Yaani nikifikiria muungano natamani kulia, yaaani natamani uvunjike leo hii hauna faida nasisi wanzibar kabisa
@abdulhakimjuma9112
@abdulhakimjuma9112 3 жыл бұрын
Mashallah ticha ahmed allah akufanyie wepesi zaidi katika majukumu yako yakupigania haki alaakuli hali
@salimngaiyai9664
@salimngaiyai9664 3 жыл бұрын
Huyu Jamaa amejaaliwa na Allah uwezo wa kufafanua mambo hususan suala la muungano wa tz na kasoro zake.
@salimngaiyai9664
@salimngaiyai9664 3 жыл бұрын
Huyu Jamaa amejaaliwa Allah uwezo wa
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 жыл бұрын
Daaaaa. Zanzibar haitoendelea ikiwa mambo yenyewe ndio HIVYO... CCM Zanzibar Amkeni...kama bado MMELALA KWENYE ASALI...
@hashirsalim9570
@hashirsalim9570 3 жыл бұрын
Tufunue vichwa tumiliki zanzibar yetu.
@hamadfaki2503
@hamadfaki2503 3 жыл бұрын
Good story
@ibugharib389
@ibugharib389 3 жыл бұрын
SHUKRAN kwa kutuelimisha mambo yote umeyaweka wazi lakini kuna WAZANZIBAR wenye MASLAHI na DUBWANA HILI na ukilisema Ndio unapelekwa TANGANYIKA UKANYEE KWENYE NDOO ( seif iddi).
@alijuma7204
@alijuma7204 3 жыл бұрын
Lazma elimu hii itolewe kila kona kunasiku wataiachia tu
@saidshaal4814
@saidshaal4814 3 жыл бұрын
Somo zuri sn hilo
@malikmasoud4222
@malikmasoud4222 Жыл бұрын
Wazanzibari tuamkeni,hii inauma kweli mpk leo bado tunaendelea kutawaliwa TU na watanganyik
@fahadfahadmaabadmzee7437
@fahadfahadmaabadmzee7437 3 жыл бұрын
Basi sisi tumekuwa vibaraka watanganyika kwanilivo fahamu Mimi😭😭😭
@patrickevra2934
@patrickevra2934 Жыл бұрын
Inshaallah tutafika lengo ipo siku@@@@
@maisarirajab4846
@maisarirajab4846 3 жыл бұрын
Yafichue yote yaliofichwa ili tuijue zaid nchi yetu
@kanaanrajab1102
@kanaanrajab1102 3 жыл бұрын
Bora ujirani mwema KULIKO muongano wa dhulma then kesho wanafanya uchaguzi wa Tff
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 жыл бұрын
👍 Bora ujirani mwema kuliko MUUNGANO WA DHULMA...
@fakifaki5246
@fakifaki5246 Жыл бұрын
Ukweli Zanzibar ni koloni la Tanganyika na haitokomboka mpaka Upinzani Utawale kule Tanganyika ,kitu ambacho ni kigumu mno.
@feiz3180
@feiz3180 3 жыл бұрын
ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Tanzania sio nchi ilio kukubalika ila ni shindikizo la Nyerere. Tanzania haijakubalika Zanzibar ila viongozi wahafidhina tulionao hawana ubavu wa kuisimamia Zanzibar.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 жыл бұрын
Tutampata wapi Kiongozi huyo kwa sababu hili ni suala la kisheria na hata huyu Makamo wa Kwanza wa Rais aliwahi pia kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Zanzibar.
@a.856
@a.856 3 жыл бұрын
👏👏👏
@abdulazizharthy5627
@abdulazizharthy5627 3 жыл бұрын
Na pia sababu kubwa ni kuwa Zanzibar ilikuwa ina waislamu percentage kubwa ndio chuki zote hizo za British na tanganyika kuimeza Zanzibar
@moa4122
@moa4122 2 жыл бұрын
Sadakta
@johnkawogo4472
@johnkawogo4472 2 жыл бұрын
ameeleza kishelia uko vizuri tuma namba
@alimassoud4926
@alimassoud4926 3 жыл бұрын
Sante kwa kutufunua vichwa
@gangmore9091
@gangmore9091 3 жыл бұрын
Solution mamlaka kamili zanzibar nakuwaondoa madalali wa tanganyika hushanga mazezeta wanaunga mkono ccm
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 жыл бұрын
CCM hawajuwi wako wapi... Bara hakwendeki Zanzibar hakukaliki...
@gangmore9091
@gangmore9091 3 жыл бұрын
@@awatifalghanim1106 really ndio mana wanatumia police. Jeshi kuwalinda 😃
@kanaanrajab1102
@kanaanrajab1102 3 жыл бұрын
Just ni dhulma tu
@jumamohd4465
@jumamohd4465 3 жыл бұрын
mm naona ilikua ni muungano unyang'anyi na kuifanya zanzibar iwe maskini
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 жыл бұрын
Kweli....
@SulemanKhan-lr1mu
@SulemanKhan-lr1mu 2 жыл бұрын
I find it odd that the reason for Tanganyika and Zanzibar unity was given as a first step of Africa having one government.Yet when Biafra tried to leave the Nigerian state,JKN at the time President of the country recognised the breakaway state. Contradiction galore.
@othmanmaalim9658
@othmanmaalim9658 Жыл бұрын
Yyh
@fakihhaji-fc1pi
@fakihhaji-fc1pi 9 ай бұрын
Mimi kama ni mzanzibari sitaki muungano kabisa
@fakihhaji-fc1pi
@fakihhaji-fc1pi 9 ай бұрын
Hawa watanganyika ni wachawi tu lengo ni kuhakikiksha wazanzibari tunakua dhalili ila hawatafanikiwa
@fakihhaji-fc1pi
@fakihhaji-fc1pi 9 ай бұрын
Na hawa wanaojifanya ndio viongozi wetu wa zanzibar Allah awalani maana wanaididimiza nchi ambayo na wao vizazi vyao pia ndio vinaathirika hata sijui ni viongozi wa aina gani
@maisarirajab4846
@maisarirajab4846 3 жыл бұрын
Ilo somo liendelee
@issakhamis6474
@issakhamis6474 2 жыл бұрын
YARABI TUNAKUOMBA utuunguwe namuungan amin
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 3 жыл бұрын
ZANZIBAR MMETAWALIWA NA TANGANYIKA , KITU NI MUHIU NI KUJITOA KATIKA MUUNGANO, ZANZIBAR IPO KABLA YA 1964.
@rafaelmarquez9396
@rafaelmarquez9396 3 жыл бұрын
Zanzibar imeekewa vibaraka wawatawale wazanzibar kuna rais lakini hana raia ana wakaazi
@fakihhaji-fc1pi
@fakihhaji-fc1pi 9 ай бұрын
Hii nchi sio ya viongozi wala sio ya chama cha siasa hii ni nchi ya wazanzibari wote tunachotaka ni wazanzibari tupige kura ya maoni kuhusu huu umuungano
@lakalhamdu4477
@lakalhamdu4477 3 жыл бұрын
إن طريق طوبل والله، لا تقنطوااااااااا...........
@fakihhaji-fc1pi
@fakihhaji-fc1pi 9 ай бұрын
A'aleykum jamani kwanini mnakua na kigugumizi na hili jambo liko wazi kua watanganyika lengo lao ni kuitawala zanzibar na hawa wanaoitwa ni viongozi wa zanzibar ndio wamekua wanahakikisha wazanzibari wanapoteza nchi yao
@alibakar6918
@alibakar6918 3 жыл бұрын
Ccm yote hayo ndo hamuelewi?
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Suali je wazanzibari wanakubali hayo kwa nini hawafanyi uchaguzi NA kusikia wazanzibari wanaitaka hiyo muungano usisahau ilitoka mauwaji ya elfu ishirini NA baadaye ikafanywa kwa nguvu mpaka leo wazanzibari kutaka mamlaka kamili kama wazanzibari hawataki msiwalazimishe
@ammyblacklees1108
@ammyblacklees1108 3 жыл бұрын
Tumefanywa Kama tambara LA dek haikubaliki
@alhabsi6430
@alhabsi6430 Жыл бұрын
😂😂😂
@jumamohd4465
@jumamohd4465 3 жыл бұрын
mm
@fakisharif6504
@fakisharif6504 3 жыл бұрын
Hi
@zengandoto7088
@zengandoto7088 3 жыл бұрын
Amezungumza kupewa uhuru na wazungu 1963 wakoloni. Mbona huzungumzi wao wazungu wameichukuwa zenji kutoka kwa Africa na walikuwa wanatoka sehemu tofauti Africa. Sultan aliweka na alikuwa analitwa na waengereza. Jiuli hao waengereza walizaliwa znz au wao ndio Mungu wawe watu uhuru na mipaka. Waafrica tusiwe na akili za kiutumwa. Huyu anaamini sana wazungu wakati ni madui wetu na Maadui kwa Mungu subirini kiama Muone kama Wazungu ndio maadui wa dunia nzima. Let Africa unity na Zanzibar intaungana na tanzania forever. Like bob marley said Africa Unity. Pole Sana Awazi kwa siasa zako za upotevu
@rashidhamad6782
@rashidhamad6782 3 жыл бұрын
ukiangalia cometza wazanzibari tuunazijua,hutuumishi kichwa, akisha hapo kuna siasa gani aliyozungumzia, mtu akizungumzia ukweli mnaumia, ilakwa kifupi hasidi na adui wa zanzibar ni tanganyika.
@zengandoto7088
@zengandoto7088 3 жыл бұрын
@@rashidhamad6782 kwakweli kaka hujuwi ukweli wala historia. Wewe angalia ati mzungu ni mgeni znz akesha akupe uhuru 1963 ekesha akupe mpaka. Sisi hatutaki hata msaada kutoka kwao hawa devil wale hatutaki watujuwe katika umoja wao wa kimataifa. Tanganyika ni kaka zetu. Wako karibu na Mungu utaona ukifa nani adui kaka. Mungu alete kiama Mapema. Tuone ukweli. Kwakeli watuwengi znz hawajuwi ukweli wanapelekwa na vyama tu. ACt, CCM na Cufu. Hawa wote wanataka madaraka. Mzungu akitaka kuwa ACt dakika 2 CCM omekwisha ujuwe polisi jeshi lake na yeye ndie anae wapa silaha. Na Sultan wao ndio waliomtowa makusudi ili walete huo ukofi tuliokuwa nao sahivi. Wewe ACt mimi CCm wao wanafaidia sisi tunauwana. Kwali Africa sote tuuungane kabla hajashuka Nabii Issa kuunganisha waafrica na kupigana na wazungu.
@dhanunisaidi7356
@dhanunisaidi7356 2 жыл бұрын
Mm nakuliza Tanzania ni wapi na Zanzibar ni ipi
@zengandoto7088
@zengandoto7088 2 жыл бұрын
Tanzania ni Zanzibar. Na tutaungana waafrika wote mwisho. Kama Allah anavyotaka. Nyinyi mnataka Zanzibar ijitenge mnafanta mwenendo wa shetani. Yaani shetani anafanya kila njia kutenga watu na familia zao ndio maana matatizo yanakuja. Umoja wa Africa forever. Kama hupendi gonja ufe ukiende kwa Mungu utajuwa ukweli kama umoja wa binaadamu ndio kitu chema
@malikmasoud4222
@malikmasoud4222 Жыл бұрын
Ww si mzanzibari nahisi umetumwa Ila utashindwa kwa uwezo wa mung
@scotlandyard2595
@scotlandyard2595 3 жыл бұрын
You could be British But You can not be Englush Kwaiyo unawezakua Mzanzibar lakin usiwe msawahili
@mrok284
@mrok284 3 жыл бұрын
🙄
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 жыл бұрын
Kwa kweli Muungano wa Tanzania hauitendei HAKI Zanzibar na vizazi vya Tanganyika vinazidi kudhani Zanzibar ni koloni lao. LAKINI changamoto kubwa ipo Zanzibar yenyewe upo UTATA mzito kuwa Pemba na Latham sio Zanzibar. Zanzibar ni Unguja. Huku Latham ndio wapi, mbona hawapigi kura kuwachaguwa viongozi wa Zanzibar? JMT haihusiani na Pemba wala Latham ipo haja kudai Pemba yetu kutoka Zanzibar.
@mwgaadam7261
@mwgaadam7261 3 жыл бұрын
Latham nikisiwa kisicho kaa watu pia nani atakae piga kura? Pia hakuna tarehe ya muungano baina ya pemba na unguja tokea asili ni Zanzibar tu hivyo kusema unguja ndo Zanzibar huko ni kupotosha,kuigawa ZANZIBAR na wazanzibar kwamitazamo finyu na chuki za ndani kwa ndani acha husda
@sharifjuma1220
@sharifjuma1220 3 жыл бұрын
Utata Mkubwa Latham island na Pemba sio Zanzibar. Wapemba tunamsemo wetu. *babu Haji Huna ela Goya. *
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 жыл бұрын
@@mwgaadam7261 Ni mtazamo wangu wala sina husda na yoyote mtoa mada ametuonesha Ibara ya 136 ya Katiba ya 1963 inasema Jamhuri ya Zanzibar ni Zanzibar (Unguja), Pemba na Latham na visiwa vidogo vidogo vilivyomo humo. Mbona Tanganyika haisemwi ni Arusha, Mwanza, Kigoma nk?. Isitoshe hata Waziri Mkuu Mhe. Mohd Shamte chama chake kiliitwa ZPPP Zanzibar (Unguja) and Pemba People's Party? Kama Uhuru wa Jamhuri ya Zanzibar ni 1963 Pemba na Latham SIO Zanzibar. Kilicholeta Zanzibar kuwa ni Unguja na Pemba ni Mapinduzi ya 1964. Hivyo ukiamini Uhuru wa Zanzibar ni 1963 ukubali pia kuwa Pemba na Latham SIO Zanzibar. Tarehe ya Muungano wa Zanzibar (Unguja), Pemba na Latham ni hiyo siku ya uhuru wa Katiba ya 1963.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 жыл бұрын
@@sharifjuma1220 Kwa nini Tanganyika ikitajwa hatuambiwi maana yake ni Arusha, Mwanza, Kigoma nk tunafahamu uwepo wao moja kwa moja lakini Jamhuri ya Zanzibar tuanbiwe maana yake ni Zanzibar, Pemba na Latham? Ndio nadhani wanaosema Pemba sio Zanzibar wako sawa. Pemba ni Zanzibar kwa Uhuru wa 1964 (Mapinduzi) kwa Uhuru wa 1963 Pemba na Latham SIO Zanzibar na Waziri Mkuu alikuwa Kiongozi wa chama cha ZPPP. Zanzibar and Pemba People's Party kwa nini kama Pemba ni Zanzibar kisiitwe tu Zanzibar Party (ZP) au People's Party of Zanzibar (PPZ). Tusiopenda Muungano, mimi siupendi lakini mpizani wangu (rafiki yangu) ananambia Mimi ni Mpemba Muungano ni Zanzibar na Tanganyika. Wapemba hautuhusu tudai kisiwa chetu.
@mangofish9079
@mangofish9079 3 жыл бұрын
Wapuuzi sana nyie badala ya kujikita ktk hoja zenye mashiko ktk yale yaliozungumzwa munatafuta yale yasiokuwa na umuhimu. Kutumika zanzibar badala ya unguja ni suala la utambuzi tu. The capital ni zanzibar town ambayo ipo unguja hence ukisema zanzibar kwa sehem kubwa unazungumzia administrative and commercial city ambayo ipo unguja iko hivyo tokea enzi na enzi mpaka hii leo. Hivi kwani hao waliokuwepo siku hizo walikua hawajui huyo Mohd Shamte alikuwa ni msomi kutoka Makerere. Hii hoja imekuwa ikitumika kisiasa zaidi kuleta hisia za unguja na upemba lkn wapi sikiliza vizuri maandiko ya hio hio katiba ya 63 kisha njoo utuambie kama Zanzibar na pemba ni different entities au laa.
@projestusluyobya5093
@projestusluyobya5093 3 жыл бұрын
Zanziba ilipoteza mipaka yake baada ya kubadirisha Jina kutoka Tanzania Zanziba visiwani na kuitwa Tnzania Zanziba kwa mujibu wa profesa mmoja. Na Jina sahii ni Jamuhuli ya muungano ya Tanzania sio wa Tanzania
JE NI MAPINDUZI, MAUWAJI AU MAVAMIZI YA ZANZIBAR?
14:33
Mohamed Said
Рет қаралды 1,7 М.
One moment can change your life ✨🔄
00:32
A4
Рет қаралды 35 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 40 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 61 МЛН
MWANDISHI WA HABARI WA MZEE KARUME AILILIA ZANZIBAR
36:02
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 26 М.
13. Mapinduzi Zanzibar
13:04
MzeeBarwani
Рет қаралды 39 М.
TUFUNUWE KITABU (SILSILA 8): Babu: I Saw the Future and It Works
1:08:38
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 9 М.
8. Kuundwa Afro Shirazi Party, Zanzibar
14:24
MzeeBarwani
Рет қаралды 20 М.
JE! ULIDANGANYWA HISTORIA YA ZANZIBAR- MANGAPWANI?
19:50
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 73 М.
Simulizi ya Historia ya Zanzibar - Episode 1
10:26
Iddi Mtumweni
Рет қаралды 2,2 М.
One moment can change your life ✨🔄
00:32
A4
Рет қаралды 35 МЛН