Рет қаралды 26,659
Tunaanza mfululizo wa vipindi vya URITHI WETU juu ya Zanzibar, ambapo Ahmed Omar atakuwa akizungumza na wataalamu wa fani mbalimbali visiwani Zanzibar. Katika kipindi hiki cha kwanza, mwanasheria Awadh Ali Said anazungumzia uhalali wa eneo na mipaka ya Zanzibar kisheria na kihistoria.