Shekhe maashaallah umetengeneza historia Yako vizuri.Allah azidi kukupa ujasiri kusema yasiyosemeka kwa baadhi ya watu maadam ni UKWELI.
@kingmrume2 жыл бұрын
Sheikh nimekuelewa vizuri sana tena sana,maashallah,mungu akupe umri mrefu na hekima uzidi kuwaelimisha na wenetu.
@sharifabdalla26102 жыл бұрын
Jazaka llaahu khayr shk muharram.tatizo la hao watu wanaogopa kuwaudhi mashekhe wao na wengine viongozi wao
@isarichard2 жыл бұрын
Maashallah tabarakallah sheikh Mziwanda unasitaili kuwa muft wallahi. I am ISSA MAZIMBA from Lusaka Zambia much love sheikh.
@subetizaid6515 Жыл бұрын
Sheh Asante sana mm ninakufatilia sana Yani ww uko vyema sana Allah akupe hairat hapa dunian zaid na ahera sheh tunakuomba zidi kuendelea kutueleweshe inshallah
@aishaabdullah41722 жыл бұрын
Masha ALLAAH huyu Sheikh ukimsikiliza unamfahamu mpaka unachanganyikiwa Mola amzidishe Elimu na Hekima 🥰😍🤩
@aminanzeyimana47805 ай бұрын
ALLAHUMA AMIIN
@aminanzeyimana47805 ай бұрын
Alhamdulillah kuzaliwa buyenzi Bujumbura Burundi mji wa suna
@sadiqabdullah12942 жыл бұрын
Habib sheick mcha mungu mwanafunzi wa rasululAh wa Kweli ❤️❤️
@majaliwahassan928 Жыл бұрын
Sheikh mashallah huo muelekeo wa sahihi masheikh wengi wangeutumia waislamu tungefuzu kwa wingi kuingia aljannah
@defocatrcsacco3472 жыл бұрын
Shukran sana kwa Sheikh Abu Baja Hussein kwa kutambua kua Sheikh anaetoa na kujibu hayo maswali ya kufunga YAWMU ARAFA hayajibu vizuri bali anaupotisha UMMA.
@ashurafatuma20402 жыл бұрын
MASHA ALLAH. ALLAH akuzidishiye ilmu ili nawe utuelimishe .amin amin yarabi amin.
@mbarouksalim15682 жыл бұрын
Sheghe mm huwa nakufuatilia. Na nakukubali Sana kwa kusema ukweli bila kujali MTU muombe mungu Sana usije ukazimwa ukakubali kuzimika utakuwa kama ni gari imetoka nje.ya Barabara Allah ibarik
@WazirJuma-gd5oo5 ай бұрын
Sheikhe allaah akuhifazi umesema kweli.bila kupepesa watu wanaichezea Sana dini ya Mwenyezi mungu, Yani wala hata hawaogopi kwamba watenda kukutana na mungu live nawataenda kulizwa. Juu ya Yale walokuwa wakiyatenda. Tumombe allaah atupe uongofu
@manixawadh7198 Жыл бұрын
Wallahy sheikh baraqallahu fiyq... Leo nnakusikiliza kwa makini sana kwa hekima ulizozitumia nimepata faida nyingi la kwanza nimejifunza kuwa unaongea la haki linalotakiwa sio hawaa za nafsi.
@sempaysensey64862 жыл бұрын
Asante mwalimu Leo nimejifunza kwako kikubwa sana
@mirajiferuzi25302 жыл бұрын
Lillahi taala shekh na mpenda kwa ajil ya Allah
@osmandunga7431 Жыл бұрын
Sheikh, tunakuelewa vyema! Allah akuzidishie ujuzi zaidi! Tunafaidika kwa maelezo haya!
@ashahassan1877 Жыл бұрын
MashaAllah umesema kweli asielewa aukupigie
@aminaally31162 жыл бұрын
Mashaallah Allah akupe hekma na ilimu zaid yaani shekh umeongea kitu sahihi kabisa yaani kwenye funga iyi kuna baadhi ya mashekh wana uelewa mdogo
@gooleserviceyoutubescandar3450 Жыл бұрын
Masha Allah Amiiin Sheikh Alhamdulillah.
@halimaauthman9324 Жыл бұрын
Ahsanteeeee sana shekh wangu
@sempaysensey64862 жыл бұрын
Hawa ndo walimu wanaoishi naukweli hawajali ubakwata wanajali Mtume kafundisha nini hawa ndowatakao tutoa ujinga Allah akuzidishie mwalimu kwanza unaelimu na Allah kakujalia ufaham
@sammoses7479 Жыл бұрын
Shukrani Allah atuifadhi
@hashimiddi47892 жыл бұрын
Mashallah umesema kweli Allah akuhifadhi
@MohamedyAlly-v5r Жыл бұрын
Shekh Yoko sawa sisi uwelewawetu mdogo Kama we utaki kufata saudia Basi geuza Qibla chako ufate
@ramadhankibiriti68942 жыл бұрын
Umefikisha Shekh Allah akulipe kheri nyingi maana hiikazi ningumu Sana yakufikisha imewashinda wengi kwatamanio yanafsi zao
@AshrafAKhan-ql1tb Жыл бұрын
Assalamu alaykum Sheikh Mziwanda anaipokeaje Qauli ya Sheikh Aalim Ibn Uthaymiin kwenye kitabu chake Majmoo' al-fatawa 19 & 20?
@samiamohammed59572 жыл бұрын
Mashalla,baraka llah fiyka,niwaombe wanachuoni na wanasheria pamoja na wenye mamlaka husika mukae muondoe hitilafu ,tutende haki.
@mussamlewa21782 жыл бұрын
Shukrani shekhe umelifikisha siye Qadiria tupo sawa sawa pia oman kesho tunaswali
@husseinkoja49862 жыл бұрын
Kwanini utumie neno sisi qadiria na omani
@Mwarain Жыл бұрын
Ahsante shekh
@ummatchannel43002 жыл бұрын
MĀ-SHĀ-A-LLAH, Sheikh. Asieelewa hapo tena anahitaji maombi.😄
@eshasalim54962 жыл бұрын
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH. Baaraka Allahu Fiikum
@jumamohammed97652 жыл бұрын
فيك
@HamoudQasim Жыл бұрын
جزيت خيرا
@abdallahhamad68122 жыл бұрын
بارك الله فيك. وفقنا الله علي الحق. جواب شافيا وكافيا.
@maisaaalawy80642 жыл бұрын
Subhana Allah MashaAllah
@jkifutu79362 жыл бұрын
Jazzka allh amen sheikh wangu nimekuelewa sana
@safiyahabib12302 жыл бұрын
Allah akbar Shaikh inauma sana kuona wasomi na madaiya kunyoosheana vidole yeye anajua huyu hajui na kushushuana kwenye mitandao wamejisahaulisha kuwa mbora wa viumbe Mtumi S.A.W hakutufundisha hivo Inaumiza moyo na kupeana majina yasio faa.
@mzeerajab91542 жыл бұрын
Elimu tosha.Maasha Allwah.
@fulgencearsene9829 Жыл бұрын
Allahuakbar! Asiye sikiya na kuwelewa. YaRabbi shuhudiya program hiyi amesherhesha Sheik huyu hadith ya mtume wako.
@malikikibarua93062 жыл бұрын
JAZAKA LLAAH KHAYRA
@NafisaAhmed-g9k5 ай бұрын
Swadakta
@khalfanrajabu16482 жыл бұрын
جزاك الله
@yahayamnyimwa6936 Жыл бұрын
Shekh umemaliza nimeelewa kisomi nakihoja ALLAHU AKBAR
@kugotwa004 Жыл бұрын
Hapa ni mwanzo mziwanda ila sai sheikh mziwanda mziwanda kweli anafwata muandamo
@husseinshaibu31832 жыл бұрын
Masha Allah
@shimbo01462 жыл бұрын
Mashallah
@shimbo01462 жыл бұрын
Safi.sana.kaka
@hatibukazembe40552 жыл бұрын
Maashaallah.
@waziribakari64262 жыл бұрын
Mwenyekutaka kuelewa Allah atamwezeaha kuelewa watu wanazidi kuelewa ambao wanafuata mashekhe wao tuwaache hivyo hivyo ila tuwaombee kuelewa na laiti kama bakwata na mashia wangeruhusiwa basi wangeenda HIJA na tarehe ya mwezi wao Utadhani dunia inazunguukwa na miezi zaidi ya mmoja
@ahmedhamisi83352 жыл бұрын
Shukuran sana shekh wetu kwani umeongea ukweli mtupu
@majaliwahassan928 Жыл бұрын
Jaza Llahu Sheikh Muharram❤❤❤❤❤❤❤
@issaahmad12642 жыл бұрын
Zamani sana shekhe mziwanda, alikua anapinga mawlid, sikuhizi anafanya hata hii arafa atakuja ataelewa tu!!!
@omarsakawa20702 жыл бұрын
Mimi pia nasoma maulidi lakini nafunga siku ya kusimama arafa,fuata haki wacha ushabiki.msikilize kwa makini usimuangalie sura.
@issaahmad12642 жыл бұрын
Nawewe ni kama yeye tu siku ukielewa utajua namna ya kufunga
@rashidissa5794 Жыл бұрын
Shukran, ingawa interview hii ni ya zamani ila imeelimisha vyema
@dullysavage59392 жыл бұрын
🤲🤲 shehe Mziwanda Mungu akulipe kheri ktk dunia yako na ahera.
@neemafatu4712 жыл бұрын
Naamini Allah kauotesha mtende katika shamba la shubili.hakika wewe ni mtende .naamini utasema UKWELI kwa mengi zaidi biidhinillah
@PPLPPL-ld3vu Жыл бұрын
Alla akupe kheri ilashekhe tufafanulie arafa ni kiwanja au nisiku ? Na arafa inamaanagani?
@gumbohemed7114 Жыл бұрын
Shekhe mziwanda mi nikusaidie arafa yamwezitisa ni araga ya nabii ibrahimu kujua kua njoozi alioota inatoka kwa mwenyezimungu
@yussuphsultan1400 Жыл бұрын
Hoja zimechanganyika, kila siku nakuelewa lakini sio leo!!!!
@yussuphsultan1400 Жыл бұрын
Kwani ni Jumatatu na Jumapili au tarehe ya mwezi mwandamo mwezi tisa???? We umenchanganya kabisaaaa!!! Nafuu hata hao wengine!! wanatoa hoja zenye khilafu baina yao lakini yako ni mpya na ngumu kunasa, labda umekuwa " too academic"
@AliSaid-fk3be Жыл бұрын
Sawa shekhe Kuna idhwafa mbili lakini izo idhwafa zinazungumzia kwenye tarehe ngapi?
@defocatrcsacco3472 жыл бұрын
Samahani Sheikh wangu,kunatamko la Arafa na Arafat. Arafa ni IBADA na ARAFAT ni sehemu.na Ibada ya Swaumu ya Arafa ni mwezi tisa ya Dul Hijah.
@hajikatanje59615 ай бұрын
Wewe kijana nyamaza huna unalolijuwa yani Arafat na arafa wewe huoni kama umechanganya maandishi ya kiswahi na kiarabu Arafat no kiarabu arafa ni kiswahili صوم يوم عرف(ة) umeiyona iyo iliopo kwenye parandesi ndio hiyo Arafat yako
@malcomx27742 жыл бұрын
Anajichanga sheikh mziwanda mungu amuongoze
@abdulazizmwipi92952 жыл бұрын
Umeona eh hpa ni fikra za mtu Co nukuu za wanazuon
@omarsakawa20702 жыл бұрын
Sija kulewa amejivhanganya vipi?
@ramadhanmsangwa9752 жыл бұрын
Maashallah allah akulipe kher
@sharifakhalfan2475 Жыл бұрын
Zamani hapakuwa na mawacliano cm zimeanza karibuni na Dunia ni kiganja tuliambiwa PASHANEN HABAR je Kuna Nchi tunapishana CK nzima (Tanzania tarehe 06/06/23 Dubai tarehe 07/06/23) ndo iwe sababu ya tofaut ya CK nzima?
@saifbrashdy60955 ай бұрын
Na suala, Hizo kale za zamani vipi watu Wakiitambua siku ya Arafa??
@tanzaniaonmzamiloon8627 Жыл бұрын
Lakini arafa siimeisha
@wangnjamealawy33872 жыл бұрын
Shekhe Muharram nakukubali sana, ila leo kidogo umeniacha, binafsi kwa kweli sijakuelewa kabsa, licha ya kuwa umeongea sana lakini hujajikita ktk kuelimisha umeishia kwenye IDHAFA TUUU sie wengne hatujui hzo grama, ulitakiwa utupe hadithi inayothibitisha kuwa SIKU YA ARAFA NDIO SIKU AMBAYO MAHUJAJI WANASIMAMA KTK VIWANJA VYA ARAFA, kwa sababu mzizi wa tatzo upo hapo, JE HII SIKU YA ARAFA NI SIKU GANI???
@omaryabduli73282 жыл бұрын
wewe mbona kakutaja tayar” unajibu lako mfukoni”
@softsoftbby8013 Жыл бұрын
Ukweli umeanza kuonekana sasa sheikh je umefunga lini?
@mybabyarchive21042 жыл бұрын
Hii ya miaka mingi jamani mi nlidhani ni cheche kweli kumbe ya zamani mwandishi kichwa cha habari chako ni cha kuwavuta watu
@IshakaShauri7 ай бұрын
Haki inazihiri
@athmanyusufkea34052 жыл бұрын
Twayyib yah Sheikh Mashaa Allah
@gumbohemed7114 Жыл бұрын
Nawala sio kisimamo
@hassanal-husseiny9144 Жыл бұрын
Huyu Sheikh bora akasome
@masudiathumani9716 Жыл бұрын
Mbona hujamuuliza kukhusu maulidi
@husseinomary44662 жыл бұрын
Asie elewa hapa abishe tu kwa kutaka kwake lakini shekh umemaliza
@abdallabanafe93622 жыл бұрын
Funga ya arafa hai ambatani kabisa na watu walioko katika uguf ya arafa, hai sija kukubali kabisa,
@asriyaaljabry272 жыл бұрын
Muandamo muhim dunia inatofauti muandamo haiwezekani kua siku moja
@saidissa82732 жыл бұрын
MNAJICHANHANYA TU.MWISHO WA SIKU MTAKUBALI KUWA DUNIA NZIMA MWEZI NI MMOJA SIKU NI MOJA TOFAUTI NI MSSAA TU
@zanlec73572 жыл бұрын
Hakika kbisa AL akhy
@bashiruhamza77782 жыл бұрын
Mashallah shekhe asie kuelewa sio muelewa
@OmarAli-zi2jg2 жыл бұрын
Kwani sheikh unatoa fatwa wakati hujatwambia taaluma yako...! Unajibu almradi ujibu tu hujui ukifanyacho...suala hilo ni lakihistoria...wabongo bwanaaa!!!!
@AliSaid-fk3be Жыл бұрын
Funga imekhusishwa na siku ya arafa je siku us arafa ni mwez mgap kisheria kua making shekhe hii ni dini
@yahyamaulana77912 жыл бұрын
Mziwanda nlikua nakuona msomi kumbe bure tu. Hii sheria ya kuangalia kisimamo ilianza mwaka gani na kabla ya mtandao ilikua sheria hii hakuna ama. Na kama ilianza kwa kuanza mtandao basi tukubaliane kua dini haikukamilishwa NA MTUMI MUHAMMAD SWALLAAHU ALAYHI WASALLAMA. bali imekamilishwa na mtandao.
@defocatrcsacco3472 жыл бұрын
Hakuna IKHITILAFU kuhusu kufunga YAUMU SHAQA.Kufunga YAWMU SHAQ ni Haramu kwa Hadithi ya Mtume(SAW).Ikisihi Hadithi kua kufunga siku ya Shaka ni Haramu hayo mengine ni upotofu.
@samiamohammed59572 жыл бұрын
Atoe namba za simu tuwapeleke watoto kwake wakapate elimu kidogo.
@defocatrcsacco3472 жыл бұрын
Funga ya Arafa haina IKHTILAFU ila wewe ndie unae weka IKHTILAFU.Mtume(SAW)amesema kua YAWMU ARAFA ni Tarekhe Tisa ya Mwezi.na mwezi kila enjoy lina Matilai yao.
@tanzaniaonmzamiloon8627 Жыл бұрын
Wew ndo unatumika vibaya sasa hebu jiuliza mwenyew kabla ya technology waislam wa tz walikuwa wanafunga Kwa mwandamo Gani je walikuwa wanaangalia kwenye tv saudia wamesimama arafa mbona hapo unaenda rongo nenda darasani tene katwali kwenye hili samahani lakini
@AliSalim-yu4mo5 ай бұрын
Sidhani kama Masufi wataridhika na hili,na huenda wakasema tayari keshak7wa Wahabi Jambo ambako huu uwahabi wanaufadiri wajuavyo wao Kwa faida yao
@husseinkakanga2699 Жыл бұрын
Shekhe mi nataka kuuliza unasema jambo hili mtume s.a.w katana siku na arafa lakini toka miaka mingi inazungumzwa maswala ya hija ni mfungo tatu mwezi tisa . Je huoni hiyo mwezi tisa ni tarehe?
@hajikatanje59615 ай бұрын
Ingelikuwa mtume anafunga mwezi tisa basi mtume asingesema صوم يوم عرف ة maana yake ni funga siku ya arafa sasa wewe pingana na mtume alio sema ivyo na uchukue iyo mwezi tisa sijui kaisema na nani na mtume yupi kasema صوم يوم أثنين
@abdulrazaqmwandika84212 жыл бұрын
Atakayedhihirishiwa haki kisha akaikanusha, atalipizwa kwa kufisidika moyo wake, akili yake na rai zake. 👆Amesema Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)
@nurdinmfamau3493 Жыл бұрын
Ndio Kuna Walikuwa Nani Waislamu Nabaadae Wakatubia Nakuachana Naunafiki. Jiulize Dogo Hivi kunasiku Isiyokuwa Natarekh. Kwaakili Naelimu Namtazamo Wako Wakiinternet Simu Television Siku Vikigoma Utaendesha Vipi Ibada Yako. Naukiacha Miaka Yahivi Karibuni Yangu Kwa Haya Mawasiliano Miaka Yanyuma Kidogo Tu Masheikh Nawazee Wetu Waliotutangulia Ibada Zao Hizi Walizifanya Kwa Utaratibu Upi. Hakuna Maendeleo Yoyote Yaliyokuja Kuvunja Utaratibu Nasheria Zakiislamu. Bali Baadhiyenu Mnavunja Sheria Za Kiislamu Kwasababu Yamaendeleo.
@salumasaa79332 жыл бұрын
Zaman kulikua hakuna mawasiliano je watu walikua wajua vp Kama ni arafa tayar jaman naomba jibu nataka kujua
@ibrahimcharlesswaleh Жыл бұрын
Wenye akili timamu kamwe hawaburuzwi. Wanafanya mambo yao kwa kufuata kitabu na sunna.
@hazardmjeshi52002 жыл бұрын
Sikupingi shekh leoo ume zungumza ukweli mtupu arafa ni makka tu wanapo simama kule sisi tuna takiwa tufunge nasiku ya pili tuchinje
@shabanijuma20852 жыл бұрын
Sheikh wewe unaleta Raha Sana .Leo nakupa jina Fundi . Allah akulipe badala.
@salumharuna58722 жыл бұрын
Hivi kuna mtu bado haelewi hapo? Mashaallah sheikh kwa elim kubwa...
@AbdulPesambili5 ай бұрын
Wagawe uwatawale hiyo ndiyo Agenda.tuache ujinga
@asiakheir86842 жыл бұрын
Kisimamo cha arafa hakihitaji hata elimu ya chuo kikuu,yaani iko wazi,wanaofunga kesho ni ushindanituu
@saidihaji37392 жыл бұрын
Aisha kheri Ni kweli kisimamo cha arafa hakihitaji elimu ya chuo kikuu . Lakin mtume hakusema " Funga ya kisimamo cha arafa . Bali amesema " Funga ya siku ya arafa . Na kuna tofauti baina ya (Kisimamo cha arafa na Siku ya arafa .) Na siku ya arafa ipo na ilikuwepo kabla ya lbada ya hijja . Na ilikuwa inaitwa siku ya arafa .. nayo ni ile siku ya kujua Nabii lbrahim kuwa ndoto wake inatoka kwa Allah . Imeitwa siku hio ni siku ya arafah . Nayo ni siku ya tisa ktk mfunguo tatu.
@aishamamii29422 жыл бұрын
Mashaallah allah akubariki umesema ukweli ambao wengi hawausemi kuhofoia kua ataonekana ni answari au salafiya nawengine wanajua ukweli kabisa ila na hataki kuusema kwakua tu yeye kachaguliwa sijui kua shekhe wa mkoa au wamsikiti fulani nawatu wake wanafata madhehebu fulani kwahio wanaongopa kusema haki kwakuhofia watatengwa na maamuma wao
@hamadfaki25032 жыл бұрын
@@saidihaji3739 So kweli kwamba eti arafa ilikuwepo kabla ya hija,so kweli kabisa. Alojenga alkaaba na kuanza kuhiji ni nabii Ibrahim we unasemaje arafa ilikuwepo kabla ya hijja, hijja haikuanza na mtume Muhammad swalallahu alayhi wasalam kwanza unatakiwa kujua hilo
@saidihaji37392 жыл бұрын
@@hamadfaki2503 Siku ya arafa ilikuepo kabla ya kufaradhishwa ibada ya hijja . Ibada ya hijja imefaradhishwa mwaka wa sita wa hijiria. Na siku ya arafa ilikuwepo na mtume alikuwa akila Eid siku ya kumi ya mfunguo tatu . Ni ipi siku ya arafa ? 1} Ni ile siku ya kujua nabii Ibrahiim kuwa ndoto yake imetoka kwa Allah . 2} Ni ile siku ya kujuana nabii Adam na mama Hawaa baada ya kuteremshwa duniani . Siku zote hizi mbili zilikuwepo kabla mtume kupewa utume na kabla lbada ya hijja kufaradhishwa . Na kama sio kweli twambie ! Walipoonana na kujuana Nabii Adam na mama Hawaa kulikuwa na hijja ?? Zote hizo zinaitwa yaumu arafa . Na ilikuwa ni siku ya tisa mfunguo tatu . Sasa twambie : jee ipi imekuja mwanzo kati ya lbada ya hijja na siku ya arafa ?
@hamadfaki25032 жыл бұрын
@@saidihaji3739 Ikiwa huyo Sheikh alivozungumza na kutoa dalili hukutaka kumuelewa unadhani utanielewa mm kwa sms? We funga hiyo siku unayotaka mwenyewe basi hesabu siku ya Qiama
@bakarimkolo58242 жыл бұрын
Wenzetu wanaongeza maospital nashule Sisi kubishana waisilam tutabakinyuma milele
@aminanzeyimana47805 ай бұрын
Tanzanie baazi yenu mmekwama wapi
@shaabansalum3974 Жыл бұрын
Jee kama kunamachafuko na ikawa hakuna kisimamo Cha arafa watu hawatafunga hio Sunna ya mwezi Tisa. ?
@bagalucha5 ай бұрын
Wacha kubabaisha,Abubakar,na wacha ushabiki ,hilo la kutizama kila mmoja mwezi wake ni ujuha,kwa wakati huu teknolojia inaamanisha wazi,kisimamo kinatokezea au kilitokezea au kitatokezea,tuchukulie hivyo mnavyotaka kuutizama mwezi katika wakati huu kinchi/kisiasa ibahatike kutokea hivi: Je tanzania tarehe 9 jumamosi ,na saudia tarehe 9 jumapili,je nynyi tz mtafunga jmosi,wakati kule bado hawajasimama Arafa,mpaka siku ya pili yake,si vichekesho hivyo??
@ommarallyhamad7435 Жыл бұрын
Kilio na shaka yangu ni uwepo na ufuatwaji wa hii kalenda inayoitwa ya "HIJRIA" Naomba tizungumze hii kwanza 1. Aliyeitunga ni Nani 2. Jee, sio bid' a ? 3. Jee, haipingani na hadithi mnayo twambia ni swahihi "FUNGENI kwa kuuona mwezi na FUNGU ENI kwa kuuona mwezi" ? 4. Jee, hamuoni kwamba hitilafu zoote za siku za ibada zinazohu husiana na terehe zinasababi shwa na uwepo wa hii kalend a ? 5. Kalenda hii ni endelevu yenye kuonesha siku zoote za miaka yoote hadi miaka 20 mbele . (ijayo) tayari imeshatupangia ni lini ramadhani zitaanza/kumal iza, idi zao, ni lini siku za Arafa na idi zao. Jee, hapo hadithi hiy o hapo juu, inao haja (nafasi) ya kutumika? 6. Hivi , huyu Mtume (SAW) , hakup ata ilham ya kwamba kutakuwek o na maendeleo ya sayansi na te knolojia ambayo itawafanya akhi iri zamani(ulimwengu wa mwiish o) ,wataweza kujiandalia kitu kit akachoitwa "kalenda?" , ili hadith i iweze kuwa na "alternative " ? 7. Jee, hatuoni kwamba hao walioa ndaa kalenda hii ni kwa ajili ya matumizi ya shughuli na harakati zao kiutawala za kila siku ndani ya kila mwaka , na sio kwamba ifatwe ulimwengu mzimaaa??? Waislaam tumekosea hapa, laiti tungelikuwa tunatafuta mwezi na kuufata kusingekuwepo na mkanganyiko wa lini ibada zetu hizi za kufunga zifanyike USHAURI NA MAJIBU ZAIDI YANAHITAJIKA
@HalimaMariri-c8k Жыл бұрын
MashaAllah, nami najiuliza swali namba tano na sita kwann kalenda ya sikukuu za kiislam zimeshapangwa katika tarehe za kimiladia na kihijiria pasipo mwezi kuonekana, kwann tusingojee tuone mwezi ama mwezi uonekane tujuzwe ila ikhtilafu za wale waliosoma bado zinatupotosha na kutupoteza lau tungesimama kidete na hali moja tu iwe n kwaajil ya Allah pekee rungekuwa wamoja ila tunaona twatafautiana😢
@ramadhanirajabu87742 жыл бұрын
Watu waache makundi kwenye kufuata haki ,maana ikizungumzwa haki ni kwa waislam wote kwahiyo anaekataa haki ni kibri hilo liko wazi