Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490 #AlfatahTvOnline #AlfatahCharitableAssociation #ZANZIBAR
Пікірлер: 328
@ummahmed33542 ай бұрын
Sio Zanzibar tu... Tanzania nzima inakupenda... Allah akuhifadhi sheikh wetu kipenzi...akuzidishie kila la kheri... Allahummah baarik
@SalmaSalum-qw8yo2 ай бұрын
Kwenye asilimia 100 ya elimu ya dini nilionayo basi 85 imetoka katika maneno ya othman maalim allah akuhifadhi na akupe qauli thabit inshaallah atupe mwisho mwena
@asilahassan99652 ай бұрын
Ammina ya rabbill allamin
@ahz69072 ай бұрын
Amyn
@tiemahajimuindi80172 ай бұрын
Mola akuhifadhi Sheikh Othman Maalim
@ramadhanyusuf2401Ай бұрын
Kama ipi nipe moja tuu
@zaliqueenatibcomatib6755Ай бұрын
Amiin Amiin yarabii
@nakundwamkubwe78232 ай бұрын
Mash Allah kipenzi changu Shekhe Osman Maalim ni moja wapo ya Mashekhe ninao wapenda . Allah akuhifadhi.
@AIFOSMUGOTV2 ай бұрын
Masha Allah Alfatah katika siku zote lakini leo nawapongeza saana kwa kumueka Sheikh Wang Othman Maalim,,kipenz chang,,huwa nafaidika saaana kupitia yeye Naitwa Ahmed kutoka Kenya Malindi....team yote Alfatah Allah awajaze...🙏🙏🙏
Tunakupenda kwa ajili ya Allah Shekh wetu kwa hakika usiondoke tena znz mpaka mwisho wa Maisha yako Allah akupe umre mrefu wenye manufaa
@KassimAlly-xp4dz2 ай бұрын
Allahuma Amin
@fatmasaid97652 ай бұрын
Mashaallah leo mimi nimefurahi sana kujua historia ya shekhe Othman Maalim nilikua natamani kusikia historia yake Allah akupeni kila la duniani na akhera
@SalmaSalum-qw8yo2 ай бұрын
Nilimjua sheikh kupitia redio zanzibar kwenye visa vyake alivyokua anatoa mwezi wa ramadhani visa vya mitume na qisa nilichokua nakupenda sana ni qisa cha nabii yussuf
@user-zt3nj5yj2j2 ай бұрын
Mashaallah hakika shekh Allah akupe mwisho mwema ww ndio mwalim wangu bila napokusikiliza uwa nakuelewa moja kwa moja nakupata utulivu wa nafsi nasijawai kuchoka kuludia elimu yako
@rahmahamidu93192 ай бұрын
Mashallah kipenz cha watu shekh wetu mungu amjaalie kila la kheri
@shamte9musicofficial126Ай бұрын
Allah umpe maisha marefu na umbashirie pepo ya darja ya juu Sana.
@hadijagere2 ай бұрын
Shekh wengi tume ipenda dini kwasababu umekuwa ukifundisha kwa hekma na busara yani mtu asipo kuelewa wewe basi tena Allah akupe umri mrefu wenye manufaa tuna hitaji watu kama nyinyi Allah akuongezee elimu na aiweke nuru aongeze ufaham kwenye kila lakheri akuwekee baraka ❤
@asilahassan99652 ай бұрын
Ammina ya rabbill allamin
@ahz69072 ай бұрын
Amyn
@mikidadibandu39982 ай бұрын
Tunakupenda Sana hata Huku kwetu bara
@slowclimbertothetop45722 ай бұрын
Maashallah walitoka watatu kuja TZ yaani Ali, Omar na Othman. Majina yote ya masahaba wa bwana mtume S.A.W
@abalkib28662 ай бұрын
Maasha-Allah sheikh Othman Allah akupe pepo kwa rehma zake insha-Allah.
@khalidahmed69002 ай бұрын
Allah amuhifadhi Sheikh wetu na amzidishie kheri na baraka katika Elimu yake.
@asilahassan99652 ай бұрын
Ammina ya rabbill allamin
@SakinaSakinat-qd9rsАй бұрын
Amiin Amiin Amiin
@AnwarAli-vs9mp2 ай бұрын
Mm natoka mombasa kenya hua kila siku mpka nisikilizee mawaidha yko allah akuifahdhi na akuzidihie ilmu uzidi kutuilimisha nimepata faida kubwa sana kwako natamani niwekaribu nawe sazote I WISH WAS IN ZANZIBAR❤❤❤❤❤
@samiaahmad61822 ай бұрын
Ma Shaa Allah ..Umejaaliwa Ilmu..busara..heshma..adabu..uskivu .mara nyingi au zote unajishusha chini kabisa kwa kumuogopa Mola wako mlezi....nahali yakuwa umejaaliwa neema ya ilmu na neema ya kueleweka na kuvutia unapotupatia ilmuu.. pasina na majigambo(majivuno) kwa kujiona mimi ndio mimi.. Nakuombea na kujiombe nafsi yangu na umma wa kiislam Mwenyezi Mungu atupe furaha ya Dunia na kesho Akhera yenye kumpendeza Mola wetu..ameen..ameen Allah humma ameen Allah Ibarik
@ummohammed83802 ай бұрын
Amiin yarab
@saidmwakinyezi13602 ай бұрын
Amin Yarabi
@asilahassan99652 ай бұрын
Ammina ya rabbill allamin allhuma amin
@FatimaFatima-bx8ez2 ай бұрын
Mashaallah shekhe othman maalim mungu akuzidishie umri mrefu wenye mafanikio kheri nyingi na Baraka 🙏 🙏 amin ishaallah. Natamani pia mimi mtoto wangu awe ka wewe ishaallah ❤❤❤asante kwa historia yako nzuri😊
@naimachiza39392 ай бұрын
Kipenzi cha Watanzania Nzima ❤❤❤Tunaomba Serekali ikupee Uraiya Kabisa Upate Passport ya Tanzania ❤❤❤
@allahisone6386Ай бұрын
HHHH
@sultanaswaleh78132 ай бұрын
Masha-Allah. Allah Akuzidishie Umri , Na Akujaze Kula la Kheir ! 🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪 Ni Sheikh ni nae mpenda sana ! .na masheikh wote vile vile na wapenda wote. Allah ! Atawalipa kula la kheir. 🙏🙏🙏
@chunanachu25292 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah nakupenda kwajili ya Allah Allah akuhifadhi...tunafaidika sana na mawaidha yako yanatubadilisha allah akulipe kheri
@hanifahnabakiibi69292 ай бұрын
JazaakAllahu khair sheikh Othman. We appreciate your teaching. Team Uganda 🇺🇬 😊
MaShaAllah, Allah Akuhifadhi Sheikh Wetu Tunajifunza Mengi kutoka kwako.
@khadijaali-gm4yw3 күн бұрын
Mashaallh Allah akupe kila la kheri sheikh wetu kipenzi
@bushraaljadidi77472 ай бұрын
ما شاء الله شيخنا نحن نحبك كثيرا 😍
@user-to3ys2gv1sАй бұрын
MashaAllah kaka Sheikh Othman maalimu Mola akupe umri
@SakinaSakinat-qd9rsАй бұрын
Maa shaa Allah tabaraka Allah sheikh Othman maalim ❤
@ashrafkhamis1051Ай бұрын
Masha Allah Sheikh Othman Maalim mola akuzidishie kheri
@ahmadimahmoud90142 ай бұрын
Shukran kwake mwalim wetu kwa yote unayo tufunza sisi ni wanafunzi wake kutoka Congo drc goma
@abdikanzu52612 ай бұрын
Allah akujaalie umri mrefu wenye siha na amali njema, ili uweze kutuelimisha na kuwafundisha tuliokuwa hatujui
@mutaladjasmini48152 ай бұрын
Masha Allah Masha Allah sheikh wetu Allah mpe umri mrefu wenye kheri na barka tele ili tuzidi ilimika
@artisthusnatalal30992 ай бұрын
*Allahumma baarik sheikh kwa mawaidha zote ulizotufundisha tumefaidika mno. Jazaa yako kwa Allah. Na daima matani yako / comedy ndiyo huzidisha ladha kwa mawaidha yako.😂😂😂 Shukran sana* 💞
@allahisone6386Ай бұрын
NDUGU HIZO LETTER ZAKO UMEZIANDIKAJE???? NIME PENDA ULIVY ANDIK
@artisthusnatalal3099Ай бұрын
@@allahisone6386 Shukran
@user-ck8ln8ed4zАй бұрын
Mashallah Allah atuekee sheikh wetu inshallah
@hatujuanisalum93542 ай бұрын
Mimi nashindwa nimepata kigugumizi kuona historia ya ya huyu baba,nampenda kwa ajili ya Allah simu yangu imejaa maneno yake yake sauti mawaidha mafunzo matamu murua ya visa vya mitume yote hayachoshi kuyasikiliza nimejua mengi kupitia mawaidha yake .nashindwa kuelezea Allah ampe umri mrefu azidi kutuelimisha azidi kuelimisha sisi na vizazi vyetu vijavyo. Mimi dada yako. Nakupenda kwa ajili ya Allah.
@user-qh9jj5xz3p7 күн бұрын
Masha Allah tabarakallah, mungu akuzidishie 🎉🎉🎉
@idrisjumadarusi30372 ай бұрын
Masha Allah Sheikh ama kwa hakika chema hujiuza...Allah atuzidishie na atujaalie Kila kheir yake ...Amin
@AliAlizo-hy8fpАй бұрын
Masha'allah sheikh othman maalim kumbuka kurudi kenya
@apexmombasa680925 күн бұрын
Ma sha Allah ya sheik Othman Malim
@muskhaj12302 ай бұрын
Mashallah SHEIKH RASHID KWA KUMLETA MWALIM WETU SHEIKH WETU HATA WW NI MWALIM WAKO. KUNA SIKU ULINISABABISHA NIJE MSIKITINI NILISIKIA SAUTI YA SHEIKH OTHMAN MAALIM KUMBE KUJA UPO WEWE SHEIKH RASHID SALIM MASHALLAH ALLAH AKULIPENI KHERI.
@OmanOman-gu1wy2 ай бұрын
Maasha allah shelhe wangu nataman sikumoj tukutan nitafurah zaid nampenda shekhe othuman najifunz mambo meng kupitia mawaidha yake allah akuhifadhi
@emmanuelahmedbyona23532 ай бұрын
Othmaan Maalim kwangu ni mwokozi😢 nilikua musharati, mwongo... nilikua kama umbwa mpaka nikaachwa na mke wangu. Sijui ilikuaje niskie mawaidha yake ya " Mali na Dunia" from that day nili badirika kua muisilamu, nikawa mtu sio umbwa tena. Na pia kila siku jua nakufwatilia kama umbwa yako Sheikh😢 hakuna kipindi kitanipitaka. Hekima na heshima naitosha kwako😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@abdullahamoody10022 ай бұрын
Alhamdullillah nimejifunza mengi kuhusu othman mwalim na uisikize mpaka mwisho utafaidika naomba masheikh wote wajitahidi kuheshimiane kupate kuwa adhabu nasisi tufaidike ameeeen yarabeel alameeeen
@user-ez4df7qg2f2 ай бұрын
Allah akujalie maisha mema duniani na akhera inshallah babuu uthman Maalim .Much love from wajukuu zako upande huu wa kwale
@user-sf3ym8pk6h2 ай бұрын
Tafadhali Sheikh, umetueleza juu ya wazazi wako na ndugu zako na tumefaidika sana but pia tueleze juu ya familia yako, yaani mke (au wake) na watoto wako
@katore19822 ай бұрын
TabarakaAllah fii nimyenyekevu kujibu maswali Allah azidi kukujaaliya Elmu utufunze dini yetu Islam
@user-xh7xf2ki3r2 ай бұрын
Maa Shaa Allah Sheikh Othman Allah azidi kukuhifadhi kwa ajili yangu na wengine Allahumma Aamiyn
@fatmasaid97652 ай бұрын
Katika masheli nawapendao Tanzania yy ndio namba moja Allah amuhifadhi na kila shari za watu wabaya
@user-qs7lj7kj1kАй бұрын
Mansha allah allah akuifadhi mimi napenda elimu yako
@ZubedaMgalla-tn1df2 ай бұрын
Maa shaaa ALLAH kazi nzuri walimu zetu...MOLA AWAHIFADHI KWA KAZI KUBWA MUNAYOIFANYA amin
@Athmanobo2 ай бұрын
Mashallah ustadh osman amenisomesha Islamic teachers training college mikindani mombasa Allah (sw) amuhifadhi.
@user-fb9xl8dz4wАй бұрын
Mashaallah Allah akulipe Kila La kheri
@nzabahabwanimanaaisha99232 ай бұрын
A A W W Othuman Maalim sauti yoko ukisoma Qor an roho yangu inapata uturivu nakupenda kwa ajiri ya Allah.Aisha kutoka Rwanda ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ummohammed83802 ай бұрын
Asallam aleikum ndugu yangu usiifupishe hii Usiandike kwa kifupi Kwenye salam kuna jina la Mungu haifai kukatishwa
@rwandannoble49902 ай бұрын
@@ummohammed8380 Allah atusaheme makosa tunayofanya bila kujuwa ao kwa kusahau. Allahuma Amin.
@yussuphndame9473Ай бұрын
Hakika hii ni neema kwetu Allah amjalie kheri na ujira mwema inshhaallah.
@user-md5od3xm2g2 ай бұрын
Mashallah Allah akuhifadhi shekhe wetu
@DON_CARE2 ай бұрын
Nakupenda sana sheikh othmaan maalim kutoka moyoni 🤝😊
@habibiddy80962 ай бұрын
MashaAllah hii ni miongoni mwa KZbin channel ambayo hujutii kuitazama Allah akujaalie heri na aikuze zaidi na zaidi ifike mbali
@user-me6gv6tm8h2 ай бұрын
Mashaallah mashaallah tabarakallahu may❤Allah bless him and happiness umuri tawilli.Allahu ma amini thuma amini
@bentybenty23432 ай бұрын
Masha ALLAH Tabarakallah ❤ ♥❤.ALLAH akuhifadh sheikh wetu kipenz 4rm Kenya 🇰🇪
@kimarumarwa34642 ай бұрын
Zanzibar ni Makka ndogo tangu zamani,
@aishakinia49572 ай бұрын
Amiin Yaraab nimeenukia na mawaidha ya sheikh othman maalim Allah ampe umri mrefu
@allahisone6386Ай бұрын
😅AL-KAABA IPO? 😅
@SakinaSakinat-qd9rsАй бұрын
@@aishakinia4957.. Amiin Amiin Amiin my dada
@mikidadibandu39982 ай бұрын
Nikimwacha dr sule hakika othuman maalimu ana hekima sana hata wakristo upenda kumsikiliza mungu ampe afya njema amina
@stevewanga9572 ай бұрын
MashaAllah mm hua najua katokea sehemu ya mjini kumbe katoka Digo ....Mola akuhifadhi sheikh wetu
@awatifalghanim11062 ай бұрын
Alhamdulilah. Watu wa Unguja na Pemba wamekuvuliya kofiya na ushakuwa mtu wa hapo Unguja mpaka ucheshi wako na lafdhi ya lugha yako tunaipenda. Mashaallah
Asalaam aleikum Mungu amjaze kheri sheikh langu othman maalim. Nakumbuka siku nilipokutana na sheikh Othman maalim Mombasa kenya.nikamuuliza sheikh anipe nasaha mm kama kijana basi nasaha alonipa ni same haya maneno asemayo hapa. Masha Allah 😊 Mungu akujaze kheri
@hawamhanga2951Ай бұрын
Mashallah nakupenda kwa ajiil ya Allah
@user-ey9vf2xo6l2 ай бұрын
Maa shaa Allah baraaka Allah fika masheikh wetu Allah awalipe kila lenye kher nanyi
@safiasuliman5136Ай бұрын
Masha Allah mtu na mwanafunz wke nawapenda sna
@user-fc4vl8zi4r2 ай бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah sheikhe wetu nakupenda sana sana kwa ajili ya Allah Allah akuhifadhi akujaliye umri wenye afya akuzidishie elimu zaidi akujaliye uwe miongoni wa waja wake walioridhiwa
@FabianTebeka2 ай бұрын
ALLAH akupe maisha na atupe kauli thabiti
@hamisisaid-zz2ye2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu amuhifadhi sheikh wetu Othman maalim kwa kazi kubwa anayoifanya tunaomba pia aje sehemu za Tanariver county Kenya
@mahershadhil2493Ай бұрын
Salafy wanaumia san kukuona sheikh upo katik ubora na kazi ya kushajihisha watu waendelea kukazania kusoma san sira za mtume SAW nakupenda sana
@AlifChingande27 күн бұрын
Maa shaa Allah
@bwengyeashraf50812 ай бұрын
Huyu ni sheikh wangu حفظه الله
@user-or8xv5bp1b2 ай бұрын
ALLAH (S.w)akuweke sheikh wetu akupe afya njema na nguvu na sifa tunajifunza mengi tunaelimika na mengi kupitia vipindi vyako,mawaidha yako na Elimu yako
@user-jb3uq6jg5f2 ай бұрын
Mimi nampeda sheikh othman nikimsikiliza namuelewa sana na najifunza mengi pia kupitia yeye mungu amlipe heri na anasaidia kunibadilisha sana katika mapito yangu na uelewa juu ya dini amii yarabi
@AbuuBakar-jo5spАй бұрын
Mungu akuzindishey elimu
@saidabdurahman96312 ай бұрын
MaashaAllah shekh amepambana sana Allah amuhifadh aendelee kutufundisha visa vya waja wema
@aishakinia49572 ай бұрын
Mashaallah masjid konzi Jamiii inakufahamu Sana sheikh othman maalim Allah akupe umri mrefu. Cha ajabu sijawahii kusikia ukiongea kwa ukali upole na ukarimu ndio miongoni mwa sifa zako. Twakupenda kwa ajili ya ALLAH
@ahz69072 ай бұрын
Naaam...Amerithi kutoka kwa babake!
@allahisone6386Ай бұрын
💯%🤝
@zenarajab51042 ай бұрын
Maa sha Allah tabaaraka llahu, shekhe unanipa faraja sana kwa darsa zako najifunza mengi awali sikuyajuwa Alhamdulillah mungu akujaalie maisha marefu yenye mwisho mwema ❤
@AllyHusseinHingiАй бұрын
Allah akujalie maisha marefu,tuzidi kunufaika na elimu na hekima za mwanazuoni huyu.
@zaliqueenatibcomatib6755Ай бұрын
MashaAllah ❤
@AndulHida-hs5py2 ай бұрын
Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri shekhe
@husseynomar95232 ай бұрын
Jazzakllah kheir
@bintsalimalbimany2872 ай бұрын
Mashallah mashallah Mashallah Ama leo mmenifurahisha jaman Nampenda Sheikh Othman Maalim Sana sana Allah ampe umr mrefu wenye kher na yeye Amuepushe na Shari Kwa hakika mim Tangia nimdogo Nimekulia kuskia saut yake bas Ramadhan kila ikifika saa 8 Kuna visa vya mitum mama angu atega sikio Kumsikiliza bas kama mama Amwnirisisha yaan na Mamb haya ya mitandao Mashallah Allah ametupe neema Sasa tunamuona Live🥺Mashallah Wallah katika Masheikh walojaaliwa Vipaj bas mmoja ni yeye huyu Sheikh ninampenda Mpaka bas Halaf Sheikh Rashid ni kwel Saut yako Ukizungumza utasema ni shwilh Othman Maalim Na Nlijua tu utakuwa ni mwanafunz wake Mashallah Jazakumullah kher Allah akupen Umr mref wenye kher Akuhifadhin Dunian na kesh akhera😭🤲🥺😍🌹Ramadhan رمضان مبارك علينا وعليكم🌙🌹☺️❤️😍
@saumujumanne88662 ай бұрын
MashaAllah, Sheikh Othman Maalim, my best sheikh, Mwenyezi Mungu akujaalie umri mrefu, afya njema, baraka na mafanikio tele ili tuendelee kufaidika na ilmu yako
@rayaali755124 күн бұрын
BISMILAAAH MAASHA ALLAAAH. WALLAAHI SHEKH. MIMI NNAKUPENDA SANA TWAKUPENDA KWA AJILI YA ALLAAH. WALLAAHI. NAKUSIKILIZA DARSA ZAKO. KIILA SIKU. USIKU. SILALI WALLAAH USINGIZI WANGU UNAKUJA NINAPO KUSIKILIZA DARSA ZAKO WALLAAHI. YAARABY AKUZIDISHIE ELIM ZAIDI NA HEKIMA NA BUSARA. KWAKWELI MWENYE EZIMUNGU AMEKUJAALIA KIPAJI CHA KUTOWA MA DARSA MAASHA ALLAAAH
@SaidNassor-xj6yp2 ай бұрын
Mashallah allah Al Fatah kwa history nzr ya sheikh Othman maalim.
Ni Sheikh mzuri na Mwalimu aliyetimia.Amejaaliwa mvuto wa kusikilizwa na kutochosha masikio ya wasikilizaji wake.Hakika ni mjuzi aliyejaaliwa karama njema ya kufikisha.Allah amhifadhi na kumpanua zaidi ili Ummah uendelee kumfaidi na yeye anufaike pia,Biidhnillah.
Mashallah Mashallah yaani nimefurahi sana kujua historia ya sheikh othman Maalim Allah azidi kumpa umri mrefu mwenye furaha na imani kubwa na ampe afya azidi kuweza kutuelimisha na ampe pepo ❤❤❤❤😊😊
@jichokodoabdullatifabdi39952 ай бұрын
Masha Allahukana Laahawulla qoywat illa billah jazakallahu kheir'na sheikh Othman na Mwenyezi Mungu atujalie sote kheir ya dunia na ya kesho akhera.
@user-cz1pb6zn3h2 ай бұрын
Alhamdulillah.. Mashaallah.. umetupa Muangaza Mkubwa kwa kweli... Allah akulipe JANNAH.
@teascapeafricachai2 ай бұрын
Sheikh wangu wa nguvu Allah akujaze. Nafurahi kujua wewe ni wetu umetoka kwetu Kenya. Naomba Mungu anikutanishe na wewe sheikh wangu.
@mohamedswaleh8002 ай бұрын
mashallah Allah akuhifadhi sheikh
@mosesfakii74222 ай бұрын
mfikishie ujumbe wangu shekh mwambie nampenda....shekh wang pendwa mda wote...napenda hejka zake....daawa zake...allah atujalie mwisho mwema kw pamoja \
@omaromondi7112Ай бұрын
Mashaa allah jazaakallah Mungu akujaliye maisha marefu inshaa allah 🌹❤❤
@user-fe9jc5di9f2 ай бұрын
Tamaa zangu zote shekhe wangu najua nimzaliwa wa Zanzibar nakupenda sana kwa ajili ya Allah mungu akupe umri mrefu wenye kheri na barka lkn pia Allah akulipe janna pamoja namtume inshallah
@safinajuma73102 ай бұрын
Mashalla barakallahu fii kum wallah nakupenda shekh kwa ajili ya Allah nafurahi sana unapotaja markit shukran sana jazakallah kheyr Allah akupe umri mrefu wa ibada