Innalillah wainaillah rajuun yaarab tupe mwisho mwema
@Marimumwenjiti10 сағат бұрын
Allah type mwisho mwema mungu awapumzishe Salama ndugu zetu dah ila inauma mno
@hawaelymaricca760215 сағат бұрын
Duuuh poleni sana ,Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
@BeaSHAYANAHunterson10 сағат бұрын
😢😢😢😢😢 jamani jamani poleni sanaa ..RIP ndugu zetu
@noot-oe2mw17 сағат бұрын
Inalilah wainalilah rajuuni
@AsiaBakari-rb2ok16 сағат бұрын
Poleni sana ndugu zetu wa mailikumi
@Haji-yr9db16 сағат бұрын
😢😢😢😢😢😢 mungu wangu jaman jaman umeenda kuokoa wenzako kumbe unaenda kufa inauma sana
@ochu_lizzyo16 сағат бұрын
Poleni ndg zetu
@ashrona988411 сағат бұрын
Sisi wote niwa allah na kwake tutarejea
@AsiaBakari-rb2ok16 сағат бұрын
😢😢😢😢
@gervaslukaya163712 сағат бұрын
Loly limekosa bleki baada ya kugonga watu au lilipotoka lilikuwa halina bleki
@latenitepiano11 сағат бұрын
Dual carriage way and wider road expansion is the solution to all of those nonsense accidents in Tanzania! Vibarabara vyembamba kama “MTAA WA KONGO” ni hovyo sana, haswa kwa nchi kubwa yenye ardhi kubwa Kama Tanzania, kuwa na vibarabara vyembamba kama penseli ni aibu na fedheha mbovu sana 🤓! Ajali mbaya karibia kila siku bwana 😡!