Thanks for this parades really I remember my Father Gentleman Kamgwele (sok)
@georgedamas7097 Жыл бұрын
Hongereni sana Makamanda kwa kumaliza ungwe yenu.
@henrymakukulu-jk3jn Жыл бұрын
Nimeipenda hiyo namimi nataka kupiga gwaride one day yess
@user-nx2tn9zc2p Жыл бұрын
PAMOJA sana one day yes
@melkizedekanthony1834 Жыл бұрын
Nchi yetu iko salama..Hongera amiri jeshi mkuu na majeshi yetu. Tanzania ni kichwa milele
@cvanoedward3093 Жыл бұрын
Vijana wameiva kwa kulitumikia Taifa Tanzania Hongereni sana
@rukwaonlinetv Жыл бұрын
Nakubali sana kwanza mko updated hongera sana kwa watendaji wa hii channel mko poa
@issashekh943711 ай бұрын
Asante sana kwa ukakamavu wenu Tudumishe ulinzi wa taifa letu
@MusaVedastusАй бұрын
Respect to you❤
@AzizyAlly2 ай бұрын
Very nice solids
@raphaelmwamakimbula9642 Жыл бұрын
Nzuri hiyo makamanda wangu!♥️
@phillipenos6663 Жыл бұрын
Hongereni kwa uvumilivu
@user-nx2tn9zc2p Жыл бұрын
Nakupenda sanaa TANZANIA MY NATIONAL 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@user-zq5ld5px6uАй бұрын
Mmi ni mwihitim wa kdato cha nne 2022,, ama kwa majina naitwa Joseph Alex nmemaliza Kizuka High School... nina vgezo vyote,,, nawezaje kujiunga na Chama cha Jeshi
@arafathussein7910Ай бұрын
Jeshi sio chama,kama unataka kujiunga na chama vipo kama CCM,CHADEMA,CUF,ACT N.K..karibu tena kijana.
@geraldadolf4928 Жыл бұрын
Kutokana na uharibifu wa mazingira unaosababisha ukosefu wa maji ningependekeza vyanzo vya mito na mabwawa yote viwe chini ya jwtz na jamii ili visiharibiwe tena mfano wa chanjo cha maji cha olmotony Arusha kiko chini ya jeshi mpaka leo kiko vizuri kimehifadhiwa vizuri
@yusufmohamed8874 Жыл бұрын
Kama na wewe unapenda utembeaji wa CDF gonga like
@welluwilliam79869 ай бұрын
Imekaa sawa
@adh-harmussa8861 Жыл бұрын
Respect one day yes
@faukawa7832 Жыл бұрын
Hongereni kwa mazoezi
@ernestgomba784010 ай бұрын
Tanzania daima
@IgnasKiyanga-im3cv Жыл бұрын
Mwendo Wa pole safi sana
@elizabetty-rt7py3 ай бұрын
Hingeleni mashujaa wetu👋👋👋
@user-eb9ek4fr3h5 ай бұрын
good
@user-nx2tn9zc2p Жыл бұрын
Naomba mkuu wa majeshi atoe nafasi ya kujitolea na co kwa mjibu wa sheria kama form six nataman sana niwe mzalendo
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Mama yetu mpendwa Samia tunahitaji jeshi la mariasiri likawajeshi kubwa nakambi zake kwenye mapori yote Tanzania. ili tuwe na majeshi mengi zaid
@marysona9999 Жыл бұрын
MWENYEZI MUNGU AWATUNZE KATIKA HATARI ZOTE ZA ROHO NA ZA MWILI.
@philimonrenatus6431 Жыл бұрын
Me naona ni muda sasa kubadili mfumo wa jeshi letu kwa mfano vipimo vya mwili kwa askari wetu wakisimama kwenye paredi wote waendani miili yao yaan katika karne hii unakuta askari mwingine mrefu zaidi mwingine mfupi na mwingine ana kitambi😎 nadhan tuwe serious kidogo naomba kuwasilisha
@damianmstambi848 Жыл бұрын
Umeongea point ,ila siku hizi hayo wanayapuuzia kimo ni mhimu sana ,
@jacksonmisana4098 Жыл бұрын
aposawa makomandoo ispekti💪💪💪
@erishachacha9159 Жыл бұрын
Respect
@danielpallangyo380 Жыл бұрын
MUNGU awalinde sana
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Ningeomba tuweze kuwa na majeshi mengi imara tujenge kambi za kutosha za jeshi la msituni Hilo jeshi la mariasiri likawajeshi kubwa nakambi zake kwenye mapori yote Tanzania harafu kuwe na special force wa kikosi cha msitun
@emmanuelhaule7635 Жыл бұрын
Hongera maafande wetu. Haikuwa raisi
@georgenorasco1705 Жыл бұрын
Km Arusha hv
@deonicemollel4205 Жыл бұрын
Jamaa wamekomaa lakini hapo ni miezi mitatu tu vitambi