Shuhudia Mazishi ya Kijeshi ya Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi Hayati Kwandikwa nyumbani kwake Ushetu

  Рет қаралды 1,293,272

Ulinzi Channel

Ulinzi Channel

Күн бұрын

Пікірлер: 221
@barakajoseph-oj9ml
@barakajoseph-oj9ml Жыл бұрын
Poleni sana wanafamilia nawatanzania wote kwaujumla vita amevipiga hongera yake apumzike kwaamani . Eeeee Mungu umrehem alivokuwa shujaa hukuduniani nahuko mbinguni akawe shujaaa .By. Bravo
@joycesamweli1219
@joycesamweli1219 3 жыл бұрын
Mungu pigania taifa la Tanzania wewe ndio mlinzi number moja Pumzika salama Mh Kwandikwa kidonda Cha Moyo wangu kimetonesheka nimemkumbuka Sana Raisi Magufuli anaindoka na watu wengi Sana wenye Legacy Mungu tunakuomba tunza waliobaki
@kashindmohamedi7701
@kashindmohamedi7701 3 жыл бұрын
tumuombe sana muumba wetu atusamee makosa yetu
@erickngugi1086
@erickngugi1086 3 жыл бұрын
Mungu aiweke roho yake inakofaa zaidi
@kibasatv1524
@kibasatv1524 3 жыл бұрын
Asante kwandikwa kwa kuongoza vyombo vya ulinziiii Mungu akupunzishe salama asante
@amnesaid4302
@amnesaid4302 3 жыл бұрын
Amen
@georgelukumayi5276
@georgelukumayi5276 Жыл бұрын
Poleni sana kwamsiba huwo poleni sana familia sisi zote tume poteza kiongozi shupafu poleni sana wata nza nia wenzetu inauma laki kazi yamungu haina makoza
@MasoudNyoni-g8o
@MasoudNyoni-g8o Жыл бұрын
Ahsante sanaaa ulinzi Chanel Kwa taarifa.
@aminazongo1028
@aminazongo1028 11 ай бұрын
Apumzike kwa Amani waziri wetu mungu familia yake aipe faraja na subira na watanzania wote
@wellbrand3415
@wellbrand3415 3 жыл бұрын
Pole sana Tanzania, Wizara ya Ulinzi na JKT kwa kumpoteza Shujaa wetu Hayati Elias John Kwandikwa. Kumbukumbu ninayobaki nayo ni kwamba mwaka 2015 nilikuwa USHETU, Nilimpigia Kura yangu... R.I.P. Mh...
@sharifusakasaka7295
@sharifusakasaka7295 Жыл бұрын
Tunawapa. Pole nyingi sana familia ya hayati Elias John kwandikwa waziri wa ulinzi jkt polesana
@sharifusakasaka7295
@sharifusakasaka7295 Жыл бұрын
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amini SharePoint
@khamisali3891
@khamisali3891 Жыл бұрын
Ali.junio
@khamisali3891
@khamisali3891 Жыл бұрын
Aly.junio
@khamisali3891
@khamisali3891 Жыл бұрын
Kisukumma
@EshibuKaheba
@EshibuKaheba Жыл бұрын
Mungu amlaze mahal pema peponi
@CharlesMs25Daghaly
@CharlesMs25Daghaly 4 ай бұрын
Hao ndo wenye kaz hta mlio wa jiran wauthibiti kbs hta aunag bishoo lkn wao wanaweza kbs
@titussalawa5246
@titussalawa5246 3 жыл бұрын
Asante shujaa hakika umeumaliza mwendo pumzika kwa aman shujaa
@japhetisack6891
@japhetisack6891 3 жыл бұрын
Pole
@MarySamson-dx8ri
@MarySamson-dx8ri Жыл бұрын
Mungu amurehem
@ColethaFelcianCharles
@ColethaFelcianCharles Жыл бұрын
Mungu ailaze roho ya marehemu mahar pema pepon
@KariongishilaloMoranmolle
@KariongishilaloMoranmolle 11 ай бұрын
Pumzika Salam mungu akulinde salama peponi
@drkaserekanzanzu-tavughiri8277
@drkaserekanzanzu-tavughiri8277 Жыл бұрын
Ndugu zetu huko Tanzania ,Poleni sana kwa kumpoteza shuja,sisi wa DRCongo inji za inge twa wa gumbatia
@mwalimumwinjuma2059
@mwalimumwinjuma2059 9 ай бұрын
Salute kwa Makamanda...
@FarajaMathayo-u8j
@FarajaMathayo-u8j 11 ай бұрын
Mungu amlaze baba yetu mahali pema peponi
@EmanuelFaustini-y2p
@EmanuelFaustini-y2p 2 ай бұрын
Mungu akutangue umaimaliza safe y'all mwanaume
@avithkimario2101
@avithkimario2101 3 жыл бұрын
Raha ya milele umpe ee Bwana, Apumzike kwa Amani. Amina.
@davisonsasii4208
@davisonsasii4208 3 жыл бұрын
Mungu ailaze loho yampedwa wetu Amen
@RehemaMgongwe-di3yf
@RehemaMgongwe-di3yf Жыл бұрын
Mungu ametwaa na anampenda sana
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 3 жыл бұрын
Niacheni mie niimbe Amelala yooooooo😭😭😭📣📣
@rubenkategere3348
@rubenkategere3348 3 жыл бұрын
😭😭😭😭Alale pema peponi 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@christophermasese1086
@christophermasese1086 3 жыл бұрын
Duuh jmn tutende mema vyeo duniani lkn mwisho utafukiwa tu ee mungu baba mlaze mahara pema peponi
@samihasan1883
@samihasan1883 3 жыл бұрын
Mungu hampokee mjawake
@rubenkategere3348
@rubenkategere3348 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akulaze pema peponi kipenzi waziri wetu kipenzi mh. Hayati Kwandikwa tumeuzunika kukupoteza 😢😢😢😢😢😢🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@japhetisack6891
@japhetisack6891 3 жыл бұрын
Pple
@adamrama-c6t
@adamrama-c6t Жыл бұрын
Alah mpumzishe salama
@John-o5f6p
@John-o5f6p Жыл бұрын
Mwenyez mungu amtangulie
@MoreenAdisa-kb1nz
@MoreenAdisa-kb1nz 11 ай бұрын
Waiting Tanzania kube nanyi mko sawa
@AbrahamBaariu-sz8fs
@AbrahamBaariu-sz8fs Жыл бұрын
God bless you and your family and friends is my dr nana nnakupeda
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 3 жыл бұрын
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa Amani, njia bora ya kumhenzi marehemu nikukubali kuwa mwenyezi Mungu amechukuwa mjawake hizo nyingine nisawa na ramli chonganishi au uelewa mdogo au Imani finyu, ee mwenyezi Mungu tuepushe na hizi ramli chonganishi iliuliokoe Taifa lako la Tanzania.
@husseinjustin1955
@husseinjustin1955 3 жыл бұрын
Ileze roho yk pema pepon Amin
@Zubaiba
@Zubaiba 11 ай бұрын
Innalillahi wainnalillah rajiun mungu ampe kauli dhabit
@AgnesKibuga-d3j
@AgnesKibuga-d3j Жыл бұрын
😢mungu amlaze mahal pema peponi amina bwana ametwaa bwana ametoa jinala bwana lihimidiwe ameen
@dd-yc1mw
@dd-yc1mw 3 жыл бұрын
Umevipiga vita vilivyo vizuri vya imani na mwendo umeumaliza. Polen wanafamila,ndugu na watanzania wenzangu nyote
@khamisshaban7492
@khamisshaban7492 3 жыл бұрын
Pole sana Tanzania
@mohammednyemaga4793
@mohammednyemaga4793 Жыл бұрын
Ndugu mtangazaji kanuni na taratibu zetu za keep Tanzania usikiapo mwimbo wa taifa sitasha kazi zote na kutoa heshima kwa maombi,SASA WEWE WIMBO WA TAIFA UNAIMBWA UNAENDELEA KUONGEA.UNAZIDIWA HADI NA SCOUT ,ALIE TOA HESHIMA KWA NA KUWAHAMURU WANAFUNZI WALIO KAA KUSIMAMA.
@joelnicas3133
@joelnicas3133 3 жыл бұрын
Hata kama ufanyiwe ibada ya namna gani,tengeneza maisha yako ungali hai,hata ukizikwa bila watu maarufu
@masetomuhafiwa4546
@masetomuhafiwa4546 3 жыл бұрын
We umetengeneza
@BenjaminKilungeme
@BenjaminKilungeme Жыл бұрын
Iyo ni nomaaaa
@JumaHasan-om5xd
@JumaHasan-om5xd Жыл бұрын
Furanko tp ok jaz
@thobiasshikome1480
@thobiasshikome1480 3 жыл бұрын
Waaminifu kwa magu wanapotea mungu awalinde
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 3 жыл бұрын
Hivi akichaguliwa anaapa kuwa muaminifu au kwa Rais au katiba naombeni ufafanuzi jamani
@jacklinetujengane4475
@jacklinetujengane4475 3 жыл бұрын
Apumzike kwa amani amina
@MastoMasto-iy4nl
@MastoMasto-iy4nl 11 ай бұрын
Poleni wafiwa
@BoscoSambuli
@BoscoSambuli Жыл бұрын
Mungu anawesa yote
@zainurkiluasha2127
@zainurkiluasha2127 11 ай бұрын
Innalillah wainnaillah rajiun
@devidkajiro9039
@devidkajiro9039 3 жыл бұрын
Mungu wangu.
@mlekwadaud2530
@mlekwadaud2530 3 жыл бұрын
Huu ndio mwisho wetu Watu na viumbe vyote. Basi tulibaki Mwenyezi Mungu Mtukufu atujaalie Khatma njema. Santee.
@japhetisack6891
@japhetisack6891 3 жыл бұрын
Du ndivyo tunavyo pungua ,maandiko yanaenda yanatimia
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Kama kweli Hawa watu waliuliwa kama ambavyo watu wanasema mitaani, basi huyo anayefanya hivyo hatapata amani milele
@jumbemtyama779
@jumbemtyama779 Жыл бұрын
Pumzika kwa aman sana
@hamisilaini6866
@hamisilaini6866 Жыл бұрын
Tuna waheshim sana jeshi letu
@SchollahNyamweita
@SchollahNyamweita Жыл бұрын
So cute
@agnessmaro5636
@agnessmaro5636 Жыл бұрын
Jamani poleni kwa msiba huo
@dodwiedwin3944
@dodwiedwin3944 2 жыл бұрын
Mzoga team imefyeka watu muhimu sasa wamebaki wamekalia viti wanafurahi na familia zao.
@mfalmejoker
@mfalmejoker Жыл бұрын
Salute
@hekimaandindilile4000
@hekimaandindilile4000 Жыл бұрын
namuwaza magifuli tenaaaaa
@AgnesSeveline-tl8ry
@AgnesSeveline-tl8ry 11 ай бұрын
Bwana alitoa naBwana ametwaa,jina lake lihimidiwe,milele!
@MailesiMasumbuko-uj4kb
@MailesiMasumbuko-uj4kb Жыл бұрын
Mziki,mpyawanei
@pice-marcntigahera2621
@pice-marcntigahera2621 Жыл бұрын
Rip.
@tatubadi9010
@tatubadi9010 3 жыл бұрын
Pumzika kwa aman
@LerwenceokuloMolle
@LerwenceokuloMolle 11 ай бұрын
Lala salama baba wetu tena akufanye malaika
@AloisAlois-xs5dh
@AloisAlois-xs5dh Жыл бұрын
Poleni sana😂
@amonamiri4487
@amonamiri4487 3 жыл бұрын
Sehemu nyeti ya serikali ni ulinzi hivyo wakiona kuwa hatari kubwa ni kuondoa legacy ya mzee baba kwanza kwenye ulinzi mengine uku ni easy sana
@columbus15
@columbus15 3 жыл бұрын
Kwa nini unawaza vibaya? Hakuna kabisa hicho uwazacho! Amelala salama kazi ya Mungu. Siasa haiingiliani na jeshi ndg. Huo mdude upo hivyo na utabaki hivyo,,,, generals ndio wenye effect jeshini sio politicians
@JK-uq1tv
@JK-uq1tv 3 жыл бұрын
Waziri hana chochote anacho weza kuamua jeshini kila kitu kinapangwa na jeshi hata ndio maana mkuu wa majeshi anawasiliana mkuu wa Nchi muda wowote ndio maana hakuna waziri Alisha wahi kuwa kwenye wizara hii akatumbuliwa maana hamna siasa za kijinga.
@TamuzaKale
@TamuzaKale 3 жыл бұрын
@@columbus15 Umelipatia kweli. Mawazo MFU bado yapo kwa baadhi ya watu. Basi Mkapa, Kijazi, Agostino Ramadhani, Maige waliuliwa na aliyetutoka mwaka huu! Ni upuuzi mtupu!
@peterchilongani4553
@peterchilongani4553 3 жыл бұрын
Fara wewe
@peterchilongani4553
@peterchilongani4553 3 жыл бұрын
Utasema mengu juu ya Hawa watu walio tangulia mbere za haki na wewe siku yako yaja Ila hujuwa wanavyo Lia Hawa ndivyo mama yako na ndugu zako watakuja Julia usisahau hilo
@ashajuma9900
@ashajuma9900 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭 eeeh mungu utuokoe ss waja wako
@AthumanMgongolwa-zv9wq
@AthumanMgongolwa-zv9wq Жыл бұрын
Poleni San
@avithkimario2101
@avithkimario2101 3 жыл бұрын
Amemalza safari yake hapa duniani. Tumwombee kwa Mungu.
@rubenkategere3348
@rubenkategere3348 3 жыл бұрын
Amina 🙏🏼🙏🏼
@JosephatSila-cj1np
@JosephatSila-cj1np 11 ай бұрын
Rip wasiri,
@samihasan1883
@samihasan1883 3 жыл бұрын
Yani watu wabaya sana wanawamaliza sana viongozi wetu wazuri. Yani ii hawamu 6 nihatari sana tusipo angaria watanzania ndio inadidimia yani viongoz wanauliwa kilakukicha dah,,
@kishingokishingo1840
@kishingokishingo1840 3 жыл бұрын
Akili zako zimeungana na mshipa wa. Mavi
@piusngoma2612
@piusngoma2612 3 жыл бұрын
Or
@ip_header
@ip_header 3 жыл бұрын
Tatizo la kukariri, jaribu kutafakari acha ushabiki vitu usivyokua na uhakika, ukiambiwa utoe ushahidi utatoa?
@TamuzaKale
@TamuzaKale 3 жыл бұрын
@@kishingokishingo1840 hahahaahaha
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 3 жыл бұрын
Duh akili imeingana na mr kimba hatari watu hawa ..!
@FrenkMzumbwe-it3lx
@FrenkMzumbwe-it3lx Жыл бұрын
Audio singel ngwear
@joel-ws5un
@joel-ws5un Жыл бұрын
Hakika tutakukumbka lala salama baba
@dennismalima5365
@dennismalima5365 3 жыл бұрын
Mungu ampokee mahala pema Mh. Elias John Kwandikwa
@sospeterbukindu5521
@sospeterbukindu5521 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani shujaa wetu.
@yohanapaulo5150
@yohanapaulo5150 3 жыл бұрын
Mipango ya mungu
@shabanileonaonard3319
@shabanileonaonard3319 3 жыл бұрын
Kazi ya mungu Haina makosa pum unzika kwa Aman iko sku sku 2takutana kwa baba mbingun kwenye kiti Cha enzi
@stephanominja8927
@stephanominja8927 3 жыл бұрын
Mi sijaona wakati wanafunika kaburi
@AbuuNufaiydah
@AbuuNufaiydah Жыл бұрын
Safiiiii
@AlphaMosses-vy4ed
@AlphaMosses-vy4ed Жыл бұрын
Man never die move other place
@MusaRashid-wx1sj
@MusaRashid-wx1sj Жыл бұрын
Musa
@maxmilliankwangu5920
@maxmilliankwangu5920 3 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani Mhe. Elias John Kwandikwa.
@PenninaYohanaZabron
@PenninaYohanaZabron 11 ай бұрын
Alazwe mahali patakatifu ili nguvu ya mungu imlinde shupavu wetu
@LaisMasai-ft4ql
@LaisMasai-ft4ql Жыл бұрын
Amen
@yasiniselemani2412
@yasiniselemani2412 3 жыл бұрын
HIVI VIFO VITUPE MAZINGATIO TULIO HAI KAMA HUBADILISH TABIA YAKO (mbaya) .SUBIL UFE
@MjingaComedy
@MjingaComedy 11 ай бұрын
Makiwa kwa familia ya waziri mkuu na wakaazi WA Tanzania
@MaximilianDonald
@MaximilianDonald Жыл бұрын
Apumzike kwa aman
@ShadyaRashid
@ShadyaRashid Жыл бұрын
Mungu amlaze mahali pema peponi
@SOLOMONCHEBOIT-od5zu
@SOLOMONCHEBOIT-od5zu Жыл бұрын
So painful
@AthumanAbdallah-ep9xn
@AthumanAbdallah-ep9xn Жыл бұрын
Yanya a
@BenjaminKilungeme
@BenjaminKilungeme Жыл бұрын
R. I. P
@annahockson1427
@annahockson1427 3 жыл бұрын
R.i p mzee wetu
@julianamasanja8301
@julianamasanja8301 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani Elias Kwandikwa 😭😭😭😭😭
@MidredTheonest-jk8so
@MidredTheonest-jk8so Жыл бұрын
Sayuni kiranda
@mwagachikibila1729
@mwagachikibila1729 2 жыл бұрын
Poreni sana
@NgobheMwampigu-rt7kv
@NgobheMwampigu-rt7kv Жыл бұрын
Hii
@MboneaGadielnimejifunzaa-th7iy
@MboneaGadielnimejifunzaa-th7iy Жыл бұрын
Dah
@BrendaNamukose-kb8ud
@BrendaNamukose-kb8ud Жыл бұрын
Rest in peace my dear
@ashamapozi9685
@ashamapozi9685 3 жыл бұрын
Rip
@FaustineCletus-sr5on
@FaustineCletus-sr5on Жыл бұрын
Ulale pema peponi 😭
@fabyfaustini6748
@fabyfaustini6748 3 жыл бұрын
Mung kwann Tanzania tu
@JohnOkon-sx8jx
@JohnOkon-sx8jx Жыл бұрын
😀😀
@JUMAATHANAS-ot4cq
@JUMAATHANAS-ot4cq Жыл бұрын
Kisimangolo
@emmanuelikelenge7425
@emmanuelikelenge7425 Жыл бұрын
R.I.P Elias kwandikwa
@dingadinga6674
@dingadinga6674 2 жыл бұрын
R.i.p mkuu
@PetterSoteli
@PetterSoteli Жыл бұрын
Nakbl sn VT kam iv
@ip_header
@ip_header 3 жыл бұрын
Maisha ya duniani ni maputo, inasikitisha sana
@AgnesBogo-ck6xu
@AgnesBogo-ck6xu Жыл бұрын
Martha mwaipaja
@JamesMuuna-cx5ke
@JamesMuuna-cx5ke Жыл бұрын
Npoa ii
@LinusShukuru-bc2de
@LinusShukuru-bc2de 10 ай бұрын
Uende salama mahali pema peponi tuandalie makao raisi wety
@YonnaKulwa-eh8kh
@YonnaKulwa-eh8kh Жыл бұрын
Matukio
@BAKARIMatengele-gl5ys
@BAKARIMatengele-gl5ys Жыл бұрын
R.ip
@erickkagose4690
@erickkagose4690 3 жыл бұрын
gomazaasiri
@HalidiYuwayuwa-ru3kq
@HalidiYuwayuwa-ru3kq Жыл бұрын
Chuvinyingi
@anitonykiarii1467
@anitonykiarii1467 10 ай бұрын
Anitonykiarii
Their Boat Engine Fell Off
0:13
Newsflare
Рет қаралды 15 МЛН
Vita Vya Kagera 1977 1978 Sehemu Ya Pili
31:05
SIMU. Tv
Рет қаралды 2,1 МЛН
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
RAIS SAMIA ASHUHUDIA MAKOMANDO WAKIPIGANA MMOJA ABURUZWA NA GARI
10:00
LIVE : RAIS DKT. JOHN P. MAGUFULI AKIWA NJIANI KURUDI DAR ES SALAAM
48:48
Their Boat Engine Fell Off
0:13
Newsflare
Рет қаралды 15 МЛН