SHUHUDIA JINSI BILIONEA SUBHASH PATEL AKIZIKWA KWA KUCHOMWA MOTO

  Рет қаралды 18,765

Ngome Tv

Ngome Tv

Күн бұрын

Ni mila na Desturi za baadhi ya madhehebu ya Wahindi kuzikana kwa kuchoma mwili wa marehemu moto. kwa hivyo Aliyekua Bilionea ambaye alimiliki Viwanda vya Nondo ( MMI STEEL ) Mabati ya Chapa Kiboko, Sayona, pamoja na Hotel za White Sands na Sea Cliff za jijini Dsm Ndugu Subhash Patel naye baada ya kufariki imelazimika Mila ifuatwe kwa mwili wake kuchomwa moto.

Пікірлер: 17
@omaryally5110
@omaryally5110 3 жыл бұрын
Daaah Hizi Mila Nyingine Jamni ...Yaani Mtu umekufa na Kuchomwa Juu Tena
@jackilinram1083
@jackilinram1083 3 жыл бұрын
Wamenichanganya do
@AliAli-rx6wu
@AliAli-rx6wu 5 ай бұрын
Kumamae dini za wapumbavu kabisaaaa!!!
@FabianKariko-m2n
@FabianKariko-m2n Ай бұрын
Mbn wanawake wapo
@ALIKHAMIS-un4fv
@ALIKHAMIS-un4fv 3 ай бұрын
Dunia unapata moto na Akherah unakusubiri moto wa jahannam Allhamdulillah Alaa niymatil Islam wasunnah
@salummzee9739
@salummzee9739 Жыл бұрын
Mitihan moto dunia na akhera uka chomwe ,adhabu juu ya Adhabu,allah tufishe hali ya kuwa waislamu
@AliAli-rx6wu
@AliAli-rx6wu 5 ай бұрын
Wapi pesa za wizi alizopewa na mzee mwinyi???
@AliAli-rx6wu
@AliAli-rx6wu 5 ай бұрын
Alikuwa kibaraka tu hakuwa na uwezo wowote!!! Pesa zetu watanzania alizoiba mzee mwinyi, mabiashara yoote ya kharamu!!! Kuuza pombe Sea cliff Hotel na White sand Hotel!!!
@thamratysuleiman3053
@thamratysuleiman3053 2 ай бұрын
ivi hii ni kweli ama
@AminaKhamis-y3j
@AminaKhamis-y3j 10 ай бұрын
Dunia simama jaman nilikuwa nasimzia usingiz imeisha wenyewe
@AminaKhamis-y3j
@AminaKhamis-y3j 10 ай бұрын
Waswahili mmekaa pemben naona apo unakaa mwenye roho ngumu
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
MMMMMH Ni heri Yao wamutafutao MUNGU KWA Sasa MAANA kila kitu tunaacha hapa duniani
@AllyjohnMalack
@AllyjohnMalack 28 күн бұрын
Hakuka Islam ni dini sahihi na yenye ustaalab dunian
@ALIKHAMIS-un4fv
@ALIKHAMIS-un4fv 3 ай бұрын
Allhamdulillah Alaa niymatil Islam wasunnah
@alimau7939
@alimau7939 3 ай бұрын
Katika watu waliokosa akili na mabaniani nao wamo
@reaganlyimo6259
@reaganlyimo6259 3 жыл бұрын
Duh
@selemanijafari9225
@selemanijafari9225 8 ай бұрын
Baniani kufa mungu pata nini uo usemi unaukweli
MTANZANIA ANAELIPWA KWA KUCHOMA MAITI ZA WACHINA TANZANIA
15:04
Millard Ayo
Рет қаралды 296 М.
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 15 МЛН
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,8 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 120 МЛН
ANGALIA MSIBA WA BILIONEA KENYA MOMBASA MMILIKI WA MOMBASA CEMENT ULIVYOTIKISA
5:24
HATUA : SUBHASH PATEL Umuhimu wa Kununua Bidhaa za Kwetu
29:08
Channel ten
Рет қаралды 28 М.
MWANZO MWISHO MWILI WA BILIONEA PATEL UKICHIMWA MOTO
7:40
TANZANIA ONE
Рет қаралды 3,4 М.
Mazishi ya Bilionea Subhash Patel yafanyika Dar, mwili wake wachomwa
4:07
MAJUTO NI MZIMA, WATANZANIA HAMJUI : WATOTO WA MZEE MAJUTO
37:27
Wasafi Media
Рет қаралды 85 М.
Maishs ya ugaibuni nakingo sehemu ya 24
48:50
BAB SEIF
Рет қаралды 1,8 М.