Рет қаралды 78,906
Shuhudia namna msafara wa Rais Samia Suluhu Hassan ulivyoingia Ikulu ya Chamwino tayari kwa ufunguzi wa jengo jipya, ambapo rasmi ndio itakuwa Ikulu kubwa iliyopo Makao Makuu ya nchi, Dodoma.
TUKO LIVE #UTV108 na mitandao yetu ya kijamii.
#UzinduziIkuluChamwino #IkuluChamwino #Dodoma #IkuluDodoma #IkuluTanzania