Hata babu yangu kuna muda akitaka kukupa BARAKA huwa anazungumza maneno Fulani kwa lugha ya kisukuma , hata kama mmefanya ibaada ya kuwaombea ndugu yeye baadae anafanya tena kwa lugha ya kinyumbani , LAZIMA anifundishe
@simonmwandu22142 күн бұрын
Mtangazaj hujuwi kuhoji muache unae muhoji aeleze watu waelewe Kaz unachekacheka tu. Kingine cha pili mtu aja maliza kujibu swali ulilomuuliza unalikia swali jingine na kuchek a cheka kwingi