#LivenaGee

  Рет қаралды 1,895

madinidotcom

madinidotcom

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@davidgwamaka6396
@davidgwamaka6396 5 күн бұрын
Mungu awabariki
@paschalcharles3617
@paschalcharles3617 9 күн бұрын
Nakubali sana madinidotcom 🙌
@rasmbegu
@rasmbegu 6 күн бұрын
Mchungaji Mtangazaji nawakubali nimependa mnachofanya hongereni sana
@LabanSimwinga-o7p
@LabanSimwinga-o7p 6 күн бұрын
MUNGU akubariki mimi nakuelewa
@malaremurilo8046
@malaremurilo8046 Күн бұрын
Watu wengi hawaelewi , kwa sababu ni mada ngumu kueleweka , baba askofu yuko vizuri na uwezo wake kufafanua maandiko ni extraodinary Lakini ukweli ni kwamba teknolojia ya Ai itamshinda binadamu na inamshinda hadi hivi sasa kwa sababu inaweza kujifunza katika namna ile ile ambayo binadamu anajifunza (learning by experience) na kutoa maamuzi kutegemea na matukio ya nyuma ,hivi ndivyo binadamu anavyojifunza Jambo la pili ni knowledge base binadamu ana ukomo wa anachoweza kuelewa kutokana na mazingira alokulia lakini imagine Ai inalishwa data za dunia na ulimwengu kwa ujumla Ni dhahiri shahiri Ai iko mbele yetu sisi wanadamu japo sisi ndo tuloitengeneza
@agustinomagessa510
@agustinomagessa510 3 күн бұрын
Mtangazaji anauliza ya mtoto mchanga
@stanleyandrea5153
@stanleyandrea5153 6 күн бұрын
Duh uyo asikofu kiboko
@richardhosea8827
@richardhosea8827 3 күн бұрын
Huyu mpaka kumkutanisha na wachokonozi ndo tutachambua mbivu na mbichi
@IsayaJoseph-v3s
@IsayaJoseph-v3s 6 күн бұрын
Unazijua sana historia za kina herode ba Ibrahim ila historia ya babu yako mzaa babu hauijui
@moseskaiza4448
@moseskaiza4448 4 күн бұрын
Umeongea point sana. Though ni mfanyabiashara Huyo,Yuko serious na kaziyake.😂😂😂
@blodinfx4670
@blodinfx4670 8 күн бұрын
kila aliye fanikiwa kwenye hii dunia anamungu wake anae mwabudu yaan kuna kitu cha kiroho lazima kihusike asikudanganye mtu
@athanaskipeto572
@athanaskipeto572 6 сағат бұрын
Nime kuelewa vizuri sana ila nimechanganywa hapo ulipo sema mbinguni hakupo ila watu wata nyakiliwa kwenda mwawingini je watakuwa wana elea mawinguni milele?
@SimonKalinga-h5g
@SimonKalinga-h5g 6 күн бұрын
Nafsi ya MUNGU ndiyo zoe
@blodinfx4670
@blodinfx4670 8 күн бұрын
unaongea kama mtu mwenye maarifa kweli kama ni kusoma basi umesoma vitabu vya kukupumbaza umejipoteza
@schigangermayala7706
@schigangermayala7706 8 күн бұрын
Kwakweli
@paschalcharles3617
@paschalcharles3617 8 күн бұрын
Anasema ukweli
@Drepsama
@Drepsama 5 күн бұрын
True
@schigangermayala7706
@schigangermayala7706 8 күн бұрын
Ww mtangazaji watafute na wachokonozi.
@Samweli331
@Samweli331 9 күн бұрын
Nina maswali mengi sana kwa huyu Mchungaji naomba mawasiliano yake.
@Kashushu_IT_Services
@Kashushu_IT_Services 9 күн бұрын
KARIBU KANISA LA WASABATO - KIBAHA Misugusugu (Mtaa wa Vitendo) Yupo Mwonaji anayeongea na MBINGU. Utapaja majibu ya maswali yako yote.
@Samweli331
@Samweli331 8 күн бұрын
@Kashushu_IT_Services mimi sipo Dar kaka.
@schigangermayala7706
@schigangermayala7706 8 күн бұрын
Nyie ni wez mnataka pesa zetu​@@Kashushu_IT_Services
@schigangermayala7706
@schigangermayala7706 8 күн бұрын
Mbona wayahud wanasema hawamjui yesu
@officialjeazy1458
@officialjeazy1458 8 күн бұрын
Wayahudi wepi hao? Waislamu tu wanamjua Yesu sembuse wayahudi?
@schigangermayala7706
@schigangermayala7706 7 күн бұрын
@officialjeazy1458 yesu yupi wa tongoran kenya
@wewa7329
@wewa7329 8 күн бұрын
Sasa ndugu yangu wayahudi wao wamekataa hawajawai tawaliwa katika wakati wowote ule
@officialjeazy1458
@officialjeazy1458 8 күн бұрын
😂😂😂 wawapi hao?
@blodinfx4670
@blodinfx4670 8 күн бұрын
sijui mnatoaga wapi nguvu ya kuongea namna hii wewe amini unacho amini ila Mungu yupo mbingu ipo ngoja ipo siku itakukuta kitu utakuja kuongea tena note this
@SimonKalinga-h5g
@SimonKalinga-h5g 6 күн бұрын
Nafsi ya MUNGU ndiyo zoe
SIASA | MKATABA WA LEMERA KUUZA CONGO | IMANI ZA MIZIMU
25:30
madinidotcom
Рет қаралды 889
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
MCHUNGAJI  PETER MSIGWA AZIWEKA WAZI SIRI ZA MBOWE PAMOJA NA CHADEMA
9:09
Sanduku la Habari
Рет қаралды 2,7 М.
HAKUNA MAFANIKIO BILA KAFARA
16:17
WACHOKONOZI
Рет қаралды 21 М.
#LiveNaGee YESU ALIKUWA NI MYAHUDIN 100% ,  WAKRISTO WALITOKA WAPI ?
8:45
MUNGU NA SHETANI NI CHARACTER WA KUTENGENEZA
28:20
WACHOKONOZI
Рет қаралды 9 М.
#PichaLinaanza: HISTORIA YA  WAARABU , DINI NA SIASA ZAO (PART 1)
15:06