SIFA ZA MWANAUME SAHIHI KWAKO.

  Рет қаралды 7,384

Mbeki TV

Mbeki TV

Күн бұрын

Je Upo na mwanaume sahihi?
Usiache ku Subscribe ili uendelee kupokea masomo yangu kila nitakapo post hapa, Asante sana.

Пікірлер: 99
@selina-tm7hv
@selina-tm7hv 15 күн бұрын
ASANTE kwa ushauri mzur Mr GOD bless you AMEN
@mbekitv693
@mbekitv693 14 күн бұрын
@@selina-tm7hv amina mpendwa😊🙏
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
JE HII VIDEO IMEKUSAIDIA?
@DativaMbowe
@DativaMbowe 2 ай бұрын
Mnoo
@aishajuma1739
@aishajuma1739 2 ай бұрын
Imenisaidia sana shukuran ❤
@omankafa1555
@omankafa1555 2 ай бұрын
Vp kuhusu mwanaume ambae lakifi ake Alikutongoza ukamwambia ukweli kua wew ni mpenzi wa rafiki ake ila huyo rafiki ake alipoenda kumuuriza kua yule Dada ni mpenzi wako uyo mpenzi wako akakukana mbele za watu kua wew si mpenzi wake kisha badae akakupigia sm na kusema nakupenda sana ila nilikukana sababu jamaa aliniuriza mbele za watu wengi ivi ipoje brother
@DativaMbowe
@DativaMbowe 2 ай бұрын
@@omankafa1555 unauliza nini ndugu yangu wakati jibu lipo wazi akutaki
@JohaynaKhamis-sv3yg
@JohaynaKhamis-sv3yg 2 ай бұрын
Ndiyoo san asant kwa ujumbe mzuri
@DiannaJumanne-de1kk
@DiannaJumanne-de1kk Ай бұрын
Me mwanaume wangu ana sifa hizi sana t sema ana shida moja anapenda sana kununa kitu kidogo t kazira
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@DiannaJumanne-de1kk kuna matatizo mengine yanakuwa kama maumbile, kwamaana ndio wamekuwa katika tabia hiyo tangia wakiwa wadogo.
@IreneSantu-fd7kb
@IreneSantu-fd7kb Ай бұрын
Asante Kaka Mbeki,mmh nimemuacha mwanaume wangu hanisapoti kwa lolote na pesa zangu anachukua za kwake sizijui kabisa😭
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@IreneSantu-fd7kb pole sn😓
@IreneSantu-fd7kb
@IreneSantu-fd7kb 2 ай бұрын
Asante Kaka Mbeki,wewe ni mwalimu mzuri sana,nabarikiwa na vipindi vyako
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@IreneSantu-fd7kb asante sn mpendwa. Usiache ku subscribe🤝😊
@user-sy1rr1sg7i
@user-sy1rr1sg7i 3 ай бұрын
Shukuran Kwa ujumbe huu
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@user-sy1rr1sg7i karibu sn sana😊🙏
@TilferMtiga
@TilferMtiga Ай бұрын
Ahsante sana brouh nimejifunza
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@TilferMtiga good😊💪
@GraceSteven-qq5hn
@GraceSteven-qq5hn 3 ай бұрын
Ndio imenisaidia asant
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@GraceSteven-qq5hn good😀👏
@user-sy1rr1sg7i
@user-sy1rr1sg7i 3 ай бұрын
M Wangu mpk awe Na shida zake ndo akupigie cm Na kuhusu uaminifu no no no muongo kupitiliza Na hata umuambie hili kosa hakubali wee Bora ukaushe au useme Kisha uombe musamaha tu😅😅😅😅
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@user-sy1rr1sg7i mmmh hii sio nzuri
@delinevamwakapasa6948
@delinevamwakapasa6948 3 ай бұрын
Aminaaa ubarikiwe sana
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@delinevamwakapasa6948 asante sana mpendwa 😊🙏
@priscerjohn5788
@priscerjohn5788 14 күн бұрын
Hamna mtu muleeeee.hakuna
@mbekitv693
@mbekitv693 13 күн бұрын
@@priscerjohn5788 kuna nini tena😀
@AnjelNgongo
@AnjelNgongo 14 күн бұрын
Mtu anekuoa lakini hakushilikishi kitu chake chochote na haongelei kitu cha maisha yenu anakupa hela ya kula 2 ila anakuona kama hujitambui
@mbekitv693
@mbekitv693 13 күн бұрын
@@AnjelNgongo basi jitathmini..
@fatumakale7004
@fatumakale7004 3 ай бұрын
Sana tu brother 👌💯
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@fatumakale7004 safı👏😊
@user-te9do2ie6l
@user-te9do2ie6l 17 күн бұрын
𝑵𝒂𝒑𝒂𝒕𝒂 𝒘𝒂𝒑𝒊 𝒏𝒂𝒎𝒃𝒂 𝒛𝒂𝒌𝒐🙏🙏
@mbekitv693
@mbekitv693 16 күн бұрын
@@user-te9do2ie6l 0659152333
@fatumakale7004
@fatumakale7004 3 ай бұрын
Twafaidika sana mungu akulind
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@fatumakale7004 amina amina mpendwa😊🙏
@LightnessMnyanga-uj4yx
@LightnessMnyanga-uj4yx 2 ай бұрын
Nilikua na mwanaume, jamani mimi ndo wakumpa zawadi, mimi ndo wakumpigia simu , nikimuhitaji mpaka nimbembeleze kaaah , niliamua kuachana nae,
@joycehaule9717
@joycehaule9717 2 ай бұрын
Me too
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@LightnessMnyanga-uj4yx mmh
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@joycehaule9717 eeh
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 20 күн бұрын
Dada Poleee
@joycehaule9717
@joycehaule9717 20 күн бұрын
@@mbekitv693 yeye ananipigia cm ila sijajua anamashaka ya nn tukionana haongei chochote ananihudhi tutaonana tutaongea hata sio vya maana then tunaagana anaondoka au kama mm ndio nilienda naondoka Kunasaa nikawaza au hana hela anahofia nikawa nawaza nimpe ila sasa naogopa kumpa sasa mbona haongelei mambo ya mahusiano yetu ye anajichekesha tu mmmh so nawaza naweza muacha kumbe akawa mtu powa sana....
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 3 ай бұрын
Asante kwa somo 🎉
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@fathiyahmuzney7367 karibu saaana 😀🙏
@neemajumbe5802
@neemajumbe5802 3 ай бұрын
❤❤❤
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@neemajumbe5802 ❤️❤️❤️❤️
@user-jt9to1el5l
@user-jt9to1el5l 3 ай бұрын
Shukran sana unafahamisha vizuri . Kweli uliposema wanaume wengine unapohitaji kuamua jambo flani kujifundishe yeye anakuvunja moyo inauma sana maana apo maneno tele utaambiwa hujui , huwezi , utashindwa
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@user-jt9to1el5l yaaani ni changamoto kwakweli
@EvePatrick-u7m
@EvePatrick-u7m 20 күн бұрын
Je mwanaume Ambye anakuambia wenzako wanajtaftia mavaz wenyewe na apo una kichnga hauwz ktafta n boraa
@mbekitv693
@mbekitv693 20 күн бұрын
@@EvePatrick-u7m sijakuelewa
@nurugeogri
@nurugeogri 3 ай бұрын
Samahani kaka mwanaume atakiuwende popote je ni sahihi
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@nurugeogri inategemea na maisha mliyoyachagua cos mahusiano ni ya wawili hayafanani
@user-ng5xe7ze3j
@user-ng5xe7ze3j Ай бұрын
Shukran cna
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@user-ng5xe7ze3j karibu sn😊
@rahmasuleiman7888
@rahmasuleiman7888 21 күн бұрын
Imenisaidia sana....
@mbekitv693
@mbekitv693 20 күн бұрын
@@rahmasuleiman7888 woow vizuri sn👏
@JacqulinedeogratiusKahwa
@JacqulinedeogratiusKahwa 2 ай бұрын
Me nina mpenzi kwanza mzinzi,pili anapenda kunihusisha mambo yake yote.ila me sijamuelewaga pia anapenda twende mahali pamoja ila tu sikuhizi apendi kunipa raha. Pia sijui hatima yetu
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@JacqulinedeogratiusKahwa myb anaenjoy kampani yako tu nothing more. So endelea kuangalia masomo yangu yaliyopita hapa hapa yanaweza kukusaidia kumjua vizuri
@AnatoriaGregory
@AnatoriaGregory 2 ай бұрын
Kaka unaushauli mzur ahsate
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@AnatoriaGregory karibu sn mpendwa. Usiache ku subscribe
@AkitakaHuwa
@AkitakaHuwa 2 ай бұрын
Wakora
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@AkitakaHuwa 🤣🤣🙌
@bettymariga
@bettymariga 3 ай бұрын
Asante Sana bro
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@bettymariga karibu sn😊❤️
@bettymariga
@bettymariga 2 ай бұрын
@@mbekitv693 nimekaribia bro
@scolastikavictor
@scolastikavictor 2 ай бұрын
Niunge kwenye group maana nimeipenda mafunzo yko plz niunge kwenye group
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@scolastikavictor 0659152333
@nurugeogri
@nurugeogri 3 ай бұрын
Ddio nimehiyelewa
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@nurugeogri vizuri sna😀👏
@rizikimikidadi6879
@rizikimikidadi6879 Ай бұрын
vipi akisema bado kitogo
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@rizikimikidadi6879 kidogo nini?
@user-lt5wx8re2h
@user-lt5wx8re2h Ай бұрын
Namna gani naweza kujoin group
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@user-lt5wx8re2h nicheki whatsapp
@PrisilaGwakisa-no6kx
@PrisilaGwakisa-no6kx Ай бұрын
Kaka ninamsiba usio isha kwangu naomba n0 Yako nikutafute in box maana sina wakumwelezea maana ktk maisha yangu sinaga rafiki
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@PrisilaGwakisa-no6kx pole sn mpendwa 0659152333
@PrisilaGwakisa-no6kx
@PrisilaGwakisa-no6kx Ай бұрын
@@mbekitv693 Asante kaka
@EvePatrick-u7m
@EvePatrick-u7m 20 күн бұрын
Nijb kka
@mbekitv693
@mbekitv693 20 күн бұрын
@@EvePatrick-u7m Nicheki whatsapp 0659152333
@amneally4135
@amneally4135 Ай бұрын
Bro jamaa ana kila ktu ila ndoa hataamki yaan yupo tayar kuzaa hapo inaa maana gan
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@amneally4135 ongea nae ili ujue
@joycehaule9717
@joycehaule9717 20 күн бұрын
@@mbekitv693 hahahahahahaa anakuuliza wewe utadhani ndo muoaji hahahahaha kweli watu wamevurugwa
@user-co6lt8fq7t
@user-co6lt8fq7t Ай бұрын
Nimekupata kipenzi
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@user-co6lt8fq7t good👏
@magnibrondi3152
@magnibrondi3152 2 ай бұрын
Brother naitaji kujiunga kwenye groupe ila nimeshindwa sijuwi nikutumiye namba zangu uniunge please. Napenda mafunzo yako kwa ulefu
@ommy1246
@ommy1246 2 ай бұрын
Mh so kwa huo mchupi uliotoboka
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@magnibrondi3152 0659152333
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@ommy1246 🤣
@IreneSantu-fd7kb
@IreneSantu-fd7kb Ай бұрын
Asante Kaka Mbeki,mmh nimemuacha mwanaume wangu hanisapoti kwa lolote na pesa zangu anachukua za kwake sizijui kabisa😭
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@IreneSantu-fd7kb duh😰
@joycehaule9717
@joycehaule9717 20 күн бұрын
@@IreneSantu-fd7kb jamani mm mwanaume hata asipo nipa mia ila awe na UPENDO LUKUKI KWANGU WALLAH SINAHAJA YA MIA YAKE , YAN ANIJALI TU UKO WAPI MAMBO YAKO YALIENDAJE UNAENDELEAJE, YAN WANAUME WOTE WAMEKAA KUDANGA TU SIKUHIZI UPENDO HAWANA NGUVU ZA KIUME HAWANA , HELA HAWANA SA SIJUI UNAHAMASIKAJE MTU KUTOA HELA WAKATI HANA CHOCHOTE HAHAHAHAHAHAA AAAH JAMANI
MAKOSA YA WANAWAKE #mapenzi #upendo #ndoa #uaminifu #love
36:21
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 493 М.
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 16 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 99 МЛН
VIASHIRIA 10 VYA MWANAUME MUOAJI - MIN.SUNBELLA KYANDO
24:53
Reality of Christ Church
Рет қаралды 297 М.
WANAWAKE WASIOPENDWA #PART2
29:03
Mbeki TV
Рет қаралды 18 М.
DALILI 20 ZA ASIYEKUPENDA.
17:33
Mbeki TV
Рет қаралды 6 М.
Fix You: Ni Bora Mwanamke akosee kuolewa kuliko Mwanaume akosee KUOA!
1:03:55
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 3,5 М.