I have love that ending of that girl very intelenget . All the best young girl.
@vnkjproduction78982 жыл бұрын
Wabembe tuko juu saana
@Byondorujulika172 жыл бұрын
Safi sana, from Cedar Rapids IOWA STATE USA 🇺🇸
@rabinngarura33552 жыл бұрын
Salamu zangu kwa huyo dada anajibu vizuri Mimi ni Mnyamulenge, Wabembe ni jirani zetu kwetu Kivu
@yessegiven15672 жыл бұрын
Dada yupo vzr kwa maelezo Ila mtangazaji Kama mgeni kwenye hii game coz unauliza local saana
@ebinssports53772 жыл бұрын
kamuhoji ww....
@barakafizitv26322 жыл бұрын
tunajuwana
@johnsonderuloking7987 Жыл бұрын
I think I know her 😊
@afrofizi2 жыл бұрын
Tuko hapa wabembe wa fizi/itombwe 🔥🔥🔥
@mangetz28352 жыл бұрын
Ole m’too ?
@afrofizi2 жыл бұрын
@@mangetz2835 nile mtù shiolo 🔥🔥
@afrofizi2 жыл бұрын
@@mangetz2835 nile mtù shiolo 🔥🔥
@mrpath.69922 жыл бұрын
🇨🇩 ✊🏿✊🏿 túlé âmo
@mrdocta31062 жыл бұрын
I agree wabebe wako more expensive bro. Niliishi nao Kakuma Kenya. Dollar $4000 awachukuwi
@Mpakauseme2 жыл бұрын
Unatia mimba tu watapunguza wenyewe
@cristinasofla50902 жыл бұрын
Kuvaa na makaratasi juu😀😀😀
@mytelecom20192 жыл бұрын
@Ramsey Bayoma Chaoono oulole wetoo mwanaa,
@SM.herithie Жыл бұрын
Ipo siku inchi yetu itakuwa fresh
@thepalaofficial61202 жыл бұрын
Mtangazqji mwenyewe mbembe na alikua kambini vilevile
@sumisumi81812 жыл бұрын
😁😁😁😁
@mangetz28352 жыл бұрын
Ahahah umeonaa ? Mshamba mshamba
@angelageofrey97562 жыл бұрын
Sio mzoefu wa kipindi msikie maswali yake?
@vipajitv17992 жыл бұрын
Dah😀😀Sawa mnichukue
@mangetz28352 жыл бұрын
@@vipajitv1799 sio, ila maswahili yako sio kabisa.. kama vipi umwe unaaandika kwenye karatasi ili ujue swali hipi inafaa..
@sakinamaovu16132 жыл бұрын
UNHCR
@etonabintu2 жыл бұрын
Kama mumezaa mtoto/watoto mahari airudishwi kama amukuzaa familia ya mwanamke lazima irudishe pesa za watu, ingine njia ya kurudisha ni yule mwanamke akipata mume wa kumuoa zile mahari atakazo toa mume wake wa sasa zinarudishwa kwa mume wake wa zamani
@julitabonganda15492 жыл бұрын
Wanapewa mkopo wa tickets za ndege wakifika wanarudisha sio kwamba wanalipa OIM
@King_Of_Everything2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
@kendrickmorgan67492 жыл бұрын
Hahaha 🤣 wabembe wakorofi sana kama una izo pesa kwendaaaaaaa lol 😂
@nakalikyumile3234 Жыл бұрын
Mtangazaji anauliza maswali ya kipuuzi sana
@msemasungura56512 жыл бұрын
Nipe namba za huyo dada
@msemasungura56512 жыл бұрын
Wabembe walikupo Tz kabla ya ya uhuru Karne ya 13
@nakalikyumile3234 Жыл бұрын
Vita Congo sio mipango ya mungu, bali ni mipango ya haohao ambao wa nawapa makazi nyie wachache, kwa kuwapumbaza, mdhani ni watu wazuri, ila wazungu ndio chanzo cha vita na mizozo afrika,
@mangetz28352 жыл бұрын
Mtangazaji wa mavi mavi..
@CalmWhiteNoise52 жыл бұрын
Wakimbizi husaidiwa na taasisi ya umoja wa mataifa inayohudumia wakimbizi yaani UNHCR na sio serikali.
@mangetz28352 жыл бұрын
Povuuiu
@msemasungura56512 жыл бұрын
Hata tz kunawabembe acha hizo fatilia histori ujio wawabembe
@bardoniewilass92102 жыл бұрын
Bro ukitaka kujuwa Mila za ki congo vizuri nenda Kansas City Missouri kuna mzee mmoja pale anaye juwa mila zetu kuanzia mwanzo hadi mwisho
@vipajitv17992 жыл бұрын
Anaitwa nan? Mawasiliano yake
@trophywilson72112 жыл бұрын
Wote tutatoka tuliko twende kule Kansas City ?,hata uwe nebraska tu Bellevue bado Mbali
@nyembomajidi30272 жыл бұрын
@@vipajitv1799 tujue historia zetu sisi wafrica tuli danganywa ni wakati wakila mtu aulize kwanini ukifika mpakani wa kila inchi unakuta lugha unaongelewa pande zote ni moja ishara inakwambia niwa moja lakini walitawanishwa kilazima sio kwa mapendekezo yao, zamani pale mungu aliumba dunia hakusema naumba inchi Tanzania ao naumba inchi ya Congo ao la burundi hakuna sisi wote tulikuwa wamoja wakatizile na mabeberu hawaja African
@msemasungura56512 жыл бұрын
Nipe namba zahuyo dadayangu mbembe
@davidcurtis85562 жыл бұрын
Dah! Kuna maswali mengi mno ya maana ameyaacha kuuliza dah.
@vipajitv17992 жыл бұрын
Kma yapo?
@BinKing22 жыл бұрын
Jmn ila huyu mtangazaji naye ni km mkongoman hivi tena Mmbembe wa Nyrgs hivi. Sema ni wale walio potealeaga Tnzn Dar es salaam Au sio Jmn.😂😂😂
@amurikakombe72132 жыл бұрын
kweli kbs, huyu jamaa anajifanya mtanzania lakin siyo mtanzania huyu. mtanzania gani anaongeya Kiswahili cha hivo. mkongo huyu 🤣🤣🤣🤣
@trophywilson72112 жыл бұрын
@@amurikakombe7213 tumekaa na Wakongo saana na Lafudhi imekuwa ya Kikongo
@Travelwithsato07132 жыл бұрын
Ni mtanzania Ila rafiki zake wengi uku ni wacongo na ana ukaribu nao sana, kwaiyo ata Kiswahili cha Kwao kinaweza potea mda wote😂
@SM.herithie Жыл бұрын
Mungu ajapanga ichi yetu kuwa vile
@aoman52142 жыл бұрын
Hata usiogop hata Mimi ni mbembe mwenzio nimezaliwa kigoma ujiji eneo la buzebazeba hivyo wabembe wapo kila nchi
@nyembomajidi30272 жыл бұрын
kweli wafrica ni wadugu ila wazungu ni wabaya sana
@yumagabriel9384 Жыл бұрын
kiswahili ambacho kuzungumziwa na watu kawahida si kile klnachofundishwa shuleni nchini kongo.shuleni wa kono hufundishwa kisarufi na hata redi na televisheni waasema swahili sanufi.
@SM.herithie Жыл бұрын
Mila zilikua au azisemi ivyo
@assaningyoku5948 Жыл бұрын
Hayo maswali ya kuowa unayo muuliza huyo kadogo hawezi we weza kuzijibu kwakuwa Kwanza alizaliwa kambini
@nakalikyumile3234 Жыл бұрын
Sasa, kifaransa ni lugha yenu? Dah ngozi nyeusi ina shida sana,
@fatumaregina262 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣nime penda sana hiyi maojiano 🤣🤣🤣🤣jamani
@mapishiyetumazuri23122 жыл бұрын
Huyu kijana nae nimkoko nae anajidanya
@barakafizitv26322 жыл бұрын
yes 🇨🇩
@saidibaraka931 Жыл бұрын
ila samahani kuhusu swala laku holewa uwaga tuna howana sisi wabembe kuwa wabembe ila kusema mtoto wa m'bembe mbondo aholewe na kabila lingine apana inabidi aholewe na m'bembe mbondo
@lizaeli67322 жыл бұрын
Iowa ya wapi hiyo?
@michelinemapendo66522 жыл бұрын
Malawi
@queenbibisha19612 жыл бұрын
😂😂😂😂 iowa ni state marecan
@aoman52142 жыл бұрын
IPO Marekani
@HubertCubaka2 жыл бұрын
Ni mkoa wa hapa Marekani...
@unjuusalvatory53312 жыл бұрын
Iowa ni US unauliza swali gan
@estherselemani87979 ай бұрын
kaka wewe uchawi ni sehemu yote
@byamnorayckalenga71632 жыл бұрын
Mbona ndungu yetu mtangazaji ana sound like ni Congolese 🤣🤣🤣😂
@allysuleiman60222 жыл бұрын
Hamna bhna nimtanzania mbona
@tausak45682 жыл бұрын
Kabisaaa🤣🤣🤣
@vipajitv17992 жыл бұрын
Mje mnichukue 😀
@Mpakauseme2 жыл бұрын
Mtanzania huyo wewe
@byamnorayckalenga71632 жыл бұрын
@@vipajitv1799 Tunakuja Kesho 😂😂
@assaningyoku5948 Жыл бұрын
Katika swala la kuowa au kuolewa wabembe wahawakukuwa wanaolewa au kuowa mtu asiye kuwa wa kabila yake. Na kwasababu kizazi cha Sasa kinaanza poteza mila na desturi ndio maana tunaanza kwenda owa olela na kuolewa olela hadi kufikia kuolewa na makafiri.
@barakafizitv26322 жыл бұрын
Ata wewe ni mkongomani aja kujifija 🇨🇩
@yahirgenaro7442 жыл бұрын
Most people think... Investing in crypto is all about buying coin and leaving it to rise, common it takes much analysis to be a successful crypto trader, Josephine can tell you more because that's her field of expertise..
@alandidio79392 жыл бұрын
Trading crypto has been a lucrative way of earning passive income. Earning x3 of monthly salary in just two weeks is really astonishing thanks to expert Miss Josephine who made this possible, can't thank her less
@mikejuwan71202 жыл бұрын
Trading with an expert is the best strategy for newbies and busy investors who have little or no time to monitor trade. I lost $4000 carelessly trading on a platform then I was referred to Miss Josephine, she recovered the loss and made an extra profit of $16000
@felicity92612 жыл бұрын
Wow I'm shock and surprised you just mentioned and recommended expert Miss Josephine, I thought I was the only one trading with her. I'm so happy for taking the bold step in working and investing $500 with Miss Josephine after a whole week I received $5000
@juanitachavez64242 жыл бұрын
@@felicity9261 you don't need to be shocked because I am also a huge beneficiary of expert Miss Josephine
@juanitachavez64242 жыл бұрын
I just withdrew my profit of $21000 after investing $2000. Indeed she is an expert
@shifaaal-baity45032 жыл бұрын
Congo hawana lugha moja ya taifa??
@trophywilson72112 жыл бұрын
Hapana ni mbili nafikiri au 3
@trophywilson72112 жыл бұрын
@Vipack Mwanamboka ndiyo usicheke,Kuna Kifaransa,Kiswahili na Lingala kama sijakosea zoote ni Lugha za Taifa
@etonabintu2 жыл бұрын
Ni lugha 4 Lingala, Kiswahili, Kiluba na Kicongo
@j...8762 жыл бұрын
Úngwa sifa za wabembe zina Juliakana vizuri, jifunzeni asili ya nyumbani!! wewe ni wa east of DRCONGO
@Alihamdulil2 жыл бұрын
Uko stupied jounalist
@sidrasidra86162 жыл бұрын
Wabembe wakiwa wanaonge wanaongea kwafujo kama wenye wako sokoni na wanapenda shombo wakila samaki ama nyama ama daga mkikutana barabarani utajua kala nini. Na wanapenda ugali mtepeto