Sikia Mapovu ya Mbunge Ally Kessy kwa Wazanzibari!

  Рет қаралды 79,980

Global TV  Online

Global TV Online

6 жыл бұрын

Sikia Mapovu ya Mbunge Ally Kessy kwa Wazanzibari!
Mbunge wa Nkasi kwa tiketi ya CCM, Ally Kessy amewatolea mapovu wafanyabiashara wenye asili ya Visiwa vya Zanzibar, kwa madai kuwa wamekuwa wakiongoza kwa kufanya biashara za mapendo.
Nkasi ameyasema hayo bungeni mjini Dodoma, wakati akichangia hoja kuhusu wizara ya fedha na mipango, na kuitaka serikali kuacha kuwachekewa wafanyabiashara wa aina hiyo, badala yake wakikamatwa, wafilisiwe biashara zao na kufungwa jela.
Install #GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER

Пікірлер: 131
@actwazalendo2784
@actwazalendo2784 5 жыл бұрын
Wazanzibar mliingia mkenge kwenye muuungano
@ummyameir266
@ummyameir266 6 жыл бұрын
Allah atakujibuni kesi na wenzio msioitakia mema zanzibar
@rashidsuleiman2663
@rashidsuleiman2663 6 жыл бұрын
KESI SIKU UTAYOKUJA ZNZ LAZIMA TUKUPELEKE KWA KIRINGOOOOOO.
@islimhassan7800
@islimhassan7800 6 жыл бұрын
Katik wabunge wapuuzi wa kwanza ww uliwah kusema Roma haki yke atekwe n leo unaendelea kuongea pumba
@ronarona2200
@ronarona2200 6 жыл бұрын
Asante sana muheshimiwa
@suleimanalisaid2029
@suleimanalisaid2029 5 жыл бұрын
Tushasema wanzibr hatutaki muungano
@christophermahawi4920
@christophermahawi4920 3 жыл бұрын
Ujumbe wako Kessy ni mzuri,Lakini umeuwakilisha vibaya,umewakilisha kwa chuki.
@twalibmzee2812
@twalibmzee2812 Жыл бұрын
Bora tungeungan na Wakenya yasingelikuw haya
@asiakheir6406
@asiakheir6406 6 жыл бұрын
Hivi rais shein hayasikiihaya? Kama nimimi kesho ningewarejesha mashekh wetu , na kamba naifungua
@hajisunna7410
@hajisunna7410 6 жыл бұрын
Wabunge wa Zanzibar Mupoooo
@jumaomar1454
@jumaomar1454 6 жыл бұрын
Dawa yetu ni kuvunjiwa tu muungano tuone kama tutakuwa kero kwenu mbona mnatun'gan'gania
@hemedwow8802
@hemedwow8802 6 жыл бұрын
Hupati cheo baba!!
@actwazalendo2784
@actwazalendo2784 5 жыл бұрын
Mfanye mabadiliko mwaka2020 muwape wapinzani
@yaserhamdun375
@yaserhamdun375 5 жыл бұрын
Dah ili bunge choko kweli yn linaongea kauli za kibaguzi kabsa, km mnaona muungano sio sibora uvunjwe tu kuliko kuongea usenge huu
@afropanorama4730
@afropanorama4730 6 жыл бұрын
huyu jamaa anatombewa mkewe na mzanzibari ndio maana ana bifu na zanzibar.basi si uwahimize wabunge wenzio wa tanganyika mumshauri magufuli muvunje muungano kwa nini bado mnain'gan'gania tu zanzibar
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 6 жыл бұрын
Sijawahi Kuona Nguruwe kama Huyu, anazungumzia Zanzibar Kibaguzi kama sio sehemu ya Tanzania. Halafu hili guruwe ndio ilisema wanamziki wanyongwe. Sijawahi kuona Mbunge, oops Nguruwe hasara kiasi hiki kukubaliwa kuingia bungeni.
@simuyangu1356
@simuyangu1356 6 жыл бұрын
Kama ni hivyo...mbona hamtaki sasa kuwaacha na nchi yao...wajiendeshe wenyewe...hi wale ni ndugu zetu au ni majirani zetu..au kessy ana hasira nao...mimi naona kuwe na free market...pia kessy aelewe kile ni kisiwa na kina mfumo wake wa kodi ..ila kuna mtu alisema kama zanzibar itasimama yenyewe itakuwa kama Dubai...ss hofu ya nn bara kukazia muungano na kuwabana....mwisho nashauri ili zanzibar muwe huru na kisiwa tajiri africa...sababu naskia oman ni ndugu zenu..mm naona cuf na ccm zanzibar malengo yao yawe mamoja...otherwise mtakaa saana mpaka issa bin mariam atakaporudi....kila siku itakuwa ni hadithi....
@dullasheba6967
@dullasheba6967 6 жыл бұрын
Zanzibar haijawahi kutangaza upungufu wa chakula hata mwaka mmoja nashangaa mnauza nafaka kuja zanzibar na kwengineko halafu njaa inawaumbua anaakili uyu kessy nyie mpaka mmetia watu mawe ya tumbo kwa mchele wenu leo mnatukebehi
@omarmuhammed9655
@omarmuhammed9655 5 жыл бұрын
Watanganyika wenzangu wazanzbar asilimia kubwa hawautaki mungano vo serikali ya ccm ndio inawakalia mabavu lkn uhai wa mungano unahisabika sijui km utafika 2220 tuombeni mungu tu
@omarmuhammed9655
@omarmuhammed9655 5 жыл бұрын
Kweli nimeamin mungano wa znz na tanganyika upo karibu kukatika mm napenda zanzbar watuache tu
🔴Taarifa ya Habari ya Asubuhi, .. Agosti 07, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 111
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 26 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 38 МЛН
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
00:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 8 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 12 МЛН
“MWALIMU NYERERE ATASHANGAA SANA AKIYAKUTA HAYA”-LUSINDE
9:17
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 26 МЛН